Mwanaume mmoja nchini China amemshtaki mke wake mahakamani na kutaka alipwe fidia kutokana na mwenza wake huyo kuwa na tabia ya kula kupita kiasi.
Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alipinga na kuamuru mwanaume huyo arudishiwe sehemu ya mahari kwa mujibu wa sheria na baada ya shauri hilo kumalizika wanandoa hao wakaamua kuivunja ndoa hiyo.
✍Ibrahim kilumbo
Mhariri | @allymufti_tz
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)