#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Patrobas Katambi amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. George Simbachawene leo Januari 14, 2026, Ofisi za Wizara, Mtumba jijini Dodoma.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria halfa hiyo ni pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud, Katibu Mkuu Ally Gugu, Naibu Katibu Mkuu Dkt. Maduhu Kazi, Wakuu wa Vyombo vya Usalama, Wakuu wa Idara na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
