Halmashauri ya Manispaa ya Tabora imetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 928 kwa vikundi 97 vya wajasiriamali, katika awamu ya kwanza ya utoaji wa mikopo kwa vikundi vilivyokidhi vigezo.
Jumla ya vikundi 165 viliomba na kukidhi masharti ya kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2, ambapo awamu ya kwanza imeanza kwa vikundi 97 ili kuwezesha utekelezaji wa shughuli za uzalishaji na ujasiriamali.
✍Juma Kapipi
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
