#HABARI: Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imeleta mabasi mengine 49 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika barabara ya Kimara, Dar es Salaam.

Mabasi hayo kwa sasa yapo katika karakana ya Dart Mbagala Dar es Salaam, yakifanyiwa maandalizi ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi ndani ya mwezi huu Januari.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *