Volodymyr Zelensky amtaka Donald Trump kuwasilisha makombora ya Tomahawk kwa Ukraine
Wakati macho yote yakielekezwa Mashariki ya Kati, Ukraine inaendelea kushambuliwa kila siku na Urusi, na Rais Volodymyr Zelensky anaonya kuhusu hali mbaya ambayo nchi hiyo inapitia kwa sasa. Imechapishwa: 13/10/2025…