Trump atoa wito wa mkataba mpya wa kudhibiti silaha za nyuklia badala ya kuongeza muda wa New START
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa mkataba mpya kufuatia kumalizika muda kwa mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia wa New START na Urusi.
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa mkataba mpya kufuatia kumalizika muda kwa mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia wa New START na Urusi.
Idara ya Moto na Usimamizi wa Majanga nchini Japani inasema watu 42 wamefariki katika matukio yanayohusiana na hali mbaya za msimu wa baridi kali na theluji nyingi nchini humo tangu…
Kampuni ya magari ya Mitsubishi Motors ilipata hasara halisi ya yeni bilioni 4.4, au takriban dola milioni 28 kwa kipindi cha miezi tisa hadi mwezi Desemba mwaka jana, huku ushuru…
Maonyesho ya kimataifa ya magari yalianza Februari 5 nchini Indonesia, ambako mauzo ya magari ya umeme yanaongezeka kwa kasi na watengenezaji magari wa China wataangaziwa mno wakati wa maonyesho hayo.
India imeongeza kodi kwenye sigara na bidhaa za tumbaku, ikiongeza kiwango cha msingi cha kodi kutoka asilimia 28 hadi asilimia 40 kuanzia mwezi huu.
Maafisa waandamizi kutoka Ukraine, Urusi na Marekani wamekutana kwa ajili ya awamu nyingine ya mazungumzo ya kukomesha mapigano. Wamesema walibadilishana wafungwa 157 kutoka Ukraine na 157 kutoka Urusi baada ya…
Maafisa waandamizi wa Marekani na Iran wanajiandaa kufanya mazungumzo nchini Oman Februari 6 kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran. Swali kuu ni ikiwa duru hii ya mazungumzo itasababisha kupungua kwa…
Rais wa Marekani Donald Trump anasema atafanya mkutano na Waziri Mkuu wa Japani Takaichi Sanae jijini Washington mwezi ujao.
Afisa mwandamizi wa serikali ya Ukraine anasema nchi yake haitakubali masharti yasiyofaa, kama vile hatua za upande mmoja za kuondoa wanajeshi kutoka mistari ya mbele, ili kukomesha mapigano na Urusi.
Afisa mwandamizi wa Ukraine anasema mazungumzo ya amani ya ngazi ya juu na nchi za Urusi na Marekani ya Februari 4, yalikuwa "ya kweli na yenye tija."
Halijoto katika baadhi ya maeneo ya Japani ni za joto kiasi kwa wakati huu wa mwaka, na kuongeza hatari ya theluji kuanguka kutoka kwenye paa. Lakini hali ya hewa ya…
Idara ya Kukabiliana na Moto na Majanga ya Japani imesema theluji nyingi na baridi kali tangu Januari 20 imesababisha vifo vya watu 38 nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema mazungumzo kati ya Iran na Marekani yamepangwa kufanyika Oman Februari 6.
Rais wa Marekani, Donald Trump, na mwenzake wa China, Xi Jinping, walizungumza kwa simu Februari 4. Trump alisema wana uhusiano "mzuri sana", na kwamba walijadili masuala mbalimbali ikiwemo juu ya…
Mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia uliosainiwa kati ya Marekani na Urusi, mataifa mawili ambayo yanamiliki idadi kubwa mno ya vichwa vya nyuklia duniani, unatarajiwa kuisha Februari 5.
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemwambia mwenzake wa China, Xi Jinping, kwamba Urusi itawajibika ipasavyo huku mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia kati ya Urusi na Marekani ukiwa unamalizika Februari…
Tunataka sauti yako! - Taarifa | NHK WORLD-JAPAN Live & Programs
Kampuni kubwa zaidi ya kuzalisha umeme ya Japani ya Jera, imetia saini mkataba wa muda mrefu wa kununua gesi asilia ya kimiminika, LNG kutoka Qatar, kuanzia mwaka 2028. Jera inasema…
Uhispania imekuwa nchi ya hivi karibuni barani Ulaya kuzingatia upigaji marufuku wa mitandao ya kijamii kwa watoto.
Kongamano la wanataaluma lililohudhuriwa na maafisa kutoka Chama cha Kikomunisti cha China na chama kikubwa zaidi cha upinzani cha Kuomintang cha Taiwan lilifanyika China Februari 3. Vyombo vya habari vya…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuendelea na mazungumzo na Marekani.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameilaani Urusi kwa kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine.
Mama wa mwanamke Mjapani aliyetekwa nyara na Korea Kaskazini ameelezea matumaini ya kuungana tena na binti yake baada ya karibu miaka 50 ya kutengana.
NHK WORLD-JAPAN ni huduma ya kimataifa ya shirika la umma la utangazaji la Japani, NHK. Linatoa taarifa za hivi karibuni kuhusu Japani na bara la Asia kupitia televisheni, redio na…
Watch NHK WORLD-JAPAN on your Roku. NHK WORLD-JAPAN is the English-language international broadcasting service of NHK, Japan's only public broadcaster. This app provides you with news and a variety of…
Habari na huduma za mahitajiko kutoka nchini Japani.
Download NHK WORLD-JAPAN by NHK (Japan Broadcasting Corporation) on the App Store. See screenshots, ratings and reviews, user tips, and more games like NHK…
Rais wa Marekani Donald Trump anasema India imekubali kuacha kununua mafuta ghafi kutoka Urusi. Makubaliano hayo yanatarajiwa kusababisha Marekani kupunguza ushuru wake wa forodha wa ziada kwa bidhaa za India…
Kundi la wanamgambo limefanya mashambulizi yaliyoratibiwa katika jimbo la kusini magharibi mwa Pakistan la Balochistan, na kusababisha vifo vya askari 17 wa vikosi vya usalama na raia 31. Vikosi vya…
Utawala wa Rais Trump umekuwa ukiongeza shinikizo kwa Iran kuingia katika mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia. Chombo cha habari cha Marekani cha Axios kinaripoti kwamba mazungumzo juu ya nyuklia…
Mahakama ya Hong Kong imefanya kikao chake cha kwanza kuhusu wizi wa barabarani wa zaidi ya yeni milioni 50, au takriban dola za Marekani 330,000, unaowahusisha raia wa Japani.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy anasema Urusi imehama kutoka kushambulia miundombinu ya nishati hadi "kuharibu" njia za usafiri, hasa reli, katika siku chache zilizopita.
Idara ya Kukabiliana na Moto na Majanga nchini Japani ilisema theluji nyingi na baridi kali tangu Januari 20 vilisababisha vifo vya watu 30.
Tam anazungumza na mwenyenyumba roboti Haru-san katika sebule ya nyumba anayoishi. Inaonekana ana ombi. Katika somo hili, utajifunza namna ya kuomba kiungwana. Baadaye kwenye kipindi, tutazungumzia jinsi ya kufanya manunuzi…
Idara ya Kukabiliana na Moto na Majanga ya Japani inasema hali mbaya za majira ya baridi kali na ajali zinazohusiana na theluji katika siku 14 zilizopita, zimesababisha vifo vya watu…
Mkoa wa Aomori ulioko kaskazini mashariki mwa Japani umeomba Kikosi cha Kujihami cha Ardhini cha Japani, GSDF, kutuma maafisa katika mji wa Aomori ili kukabiliana na theluji nyingi iliyovunja rekodi.
Mikoa ya kaskazini mwa Japani imekabiliwa na theluji nyingi zaidi kuliko kawaida. Theluji bado inadondoka katika maeneo ya pwani kando ya Bahari ya Japani.
Mamlaka za waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC zinasema watu zaidi ya 200 wameuawa katika mgodi ulioporomoka huko Rubaya mashariki mwa nchi hiyo Januari 28.
Rais wa Marekani Donald Trump anasema nchi yake ipo katika mazungumzo na maafisa waandamizi wa Cuba na anadhani pande hizo mbili "zitafikia makubaliano."
Mjumbe wa Marekani Laura Dogu amewasili nchini Venezuela kufungua tena misheni ya kidiplomasia ya Marekani huko Caracas.
Mamia ya watu wameandamana huko Milan, Italia, kupinga mpango wa Marekani wa kuwatuma maafisa wa Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani, au ICE, kuwalinda washiriki wa Marekani katika Olimpiki…
Israel inasema kivuko cha mpakani cha Rafah kati ya Ukanda wa Gaza na Misri "kimefunguliwa tena kwa ajili ya watu pekee." Inaongeza kuwa kupita kwa wakazi katika pande zote mbili…
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema awamu inayofuata ya mazungumzo ya amani miongoni mwa maafisa waandamizi kutoka nchi hiyo, Urusi na Marekani itafanyika mjini Abu Dhabi, Umoja wa Falme za…
Mwanamume wa Kijapani mwenye umri wa miaka 51 aliyeibiwa huko Hong Kong ni miongoni mwa wale wanaoaminika kushambuliwa katika jaribio la wizi kwenye eneo la kuegesha magari la Uwanja wa…
Polisi wa Hong Kong wamesema watu wanne wameshtakiwa kwa kula njama ya kumwibia mwanamume Mjapani yeni milioni 51, au karibu dola 330,000 za Marekani, pesa taslimu.
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea Kipindi cha Tupike Kijapani ambapo tutapika pamoja chakula cha “Hosomaki” hii…
Taiwan imesema uchumi wake ulikua kwa asilimia 8.63 ukiondoa mfumuko wa bei mwaka 2025, kutoka mwaka uliotangulia, ikiwa ni ukuaji wake wa juu zaidi katika kipindi cha miaka 15. Sababu…
Kiashiria muhimu cha shughuli za uzalishaji za China kimepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miezi miwili. Lawama kubwa inawekwa kwenye mahitaji ya ndani yasiyoongezeka kutokana na kushuka kwa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezishauri nchi wanachama kulipa michango yao, akionya kwamba Umoja wa Mataifa unakabiliwa na hatari ya mdororo wa kifedha kutokana na kiasi kikubwa…