Wanakagera waibebesha CCM kero ya Nida
Maombi hayo yamewasilishwa na wakazi hao pamoja na viongozi wao kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi...
Klopp avunja ukimya kuondoka kwa Salah Liverpool
Salah ametangaza wiki hii kuwa atahitimisha safari yake ya miaka tisa Liverpool, ikiwa ni miaka...
Abela John alivyobadili wazo kuwa biashara ya chakula
Kila safari ya mafanikio huanza na hatua moja. Kwa baadhi ya watu, hatua hiyo huja kwa...
Kwa nini dawa zinakosekana vituo vya afya Mfamasia Mkuu ajibu – 1
Kila mara mwananchi anapoingia katika kituo cha afya au hospitali ya umma na kuambiwa dawa...
May Day itatue matatizo ya wastaafu, si ya wafanyakazi pekee!
Kutokana na maumivu na malalamiko mengi aliyopokea mstaafu wetu kutoka kwa wastaafu wenzake juu...
Caps Limited yang’ara SADC, yatwaa tuzo mbili za ubora
Kampuni ya Caps Limited ya Tanzania imeibuka kidedea katika anga za kimataifa baada ya kutwaa...
Husain kortini akidaiwa kuiba na kutakatisha Sh5 bilioni
Mhasibu Hamid Husain (39) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...
Mafuriko yakata barabara ya Ifakara – Mlimba
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya amesema mvua kubwa iliyonyesha usiku wa Machi 24...
Kenya yaanza majaribio ya intaneti ya satelaiti kwa simu
Majaribio hayo yalifanyika katika maeneo yasiyo na mtandao wa kawaida wa simu, ambapo minara ya...
Isimani waleza sababu kumchagua Lukuvi miaka 30
Wananchi wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa wametoa sababu mbalimbali zilizowafanya kumchagua...
Wasira aonya hasira na vinyongo vya uchaguzi, ahimiza amani
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka viongozi na makada wa chama hicho...
Simulizi ya manusura maafa Rungwe, vifo vikiongezeka
Simanzi, vilio na majonzi vimetanda katika Kata za Lupepo na Nkunga wilayani Rungwe mkoani...
Watanzania kunufaika na huduma za afya za kimataifa
Watanzania sasa wana fursa ya kupata matibabu ya kisasa ya kiwango cha kimataifa nje ya nchi...
ATIDI yaunga mkono miradi ya dola bilioni 7.8 Tanzania, serikali yahamasisha uwekezaji
Jitihada za Tanzania kuvutia uwekezaji mkubwa zimepata msukumo mpya baada ya Waziri wa Fedha...
Afrika yahimizwa kubuni mifumo yake ya uhifadhi wa mazingira
Wakati juhudi za kulinda rasilimali na mazingira zikiendelea kushika kasi duniani, Afrika...
Uchunguzi madai ya shule kuwa na kitabu kimoja wabaini siyo kweli
Sakata la mama aliyejitokeza mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, akidai kuwa Shule ya...
Tanzania, Ireland zasaini MoU kuendeleza ‘Samia Scholarship’
Serikali ya Tanzania na Ireland zimesaini hati ya makubaliano (MoU) yenye lengo la kuendeleza...
TBL yaja na mpango kupunguza matumizi ya maji katika uzalishaji wa bia
Katika kuadhimisha Siku ya Maji Duniani, Kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) kimeweka...
Wanawake wa Mvomero, Kilosa kuwezeshwa kiuchumi
Vikundi vya akiba na mikopo (Vicoba) katika wilaya za Mvomero na Kilosa mkoani Morogoro...
CCM kushughulikia watumishi wanaokwamisha miradi
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitachukua hatua kali kwa watumishi na viongozi wa Serikali...
TRA yaja na utaratibu kudhibiti magendo mafuta ya kula
Wakati malalamiko ya bei na upatikanaji wa mafuta ya kula yakiendelea kujitokeza mara kwa mara...
Anaswa kwa kujiunganishia huduma ya maji, Mauwasa ikitoa onyo
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mji wa Maswa (Mauwasa) imeonya wananchi...
CookFund yachochea mapinduzi ya nishati safi, wanafunzi 62,000 wanufaika
Teknolojia hizo zinatarajiwa kupunguza shinikizo kwa rasilimali za misitu, kuboresha ubora wa...
Wanawake viongozi watajwa chachu ya ukuaji wa kampuni
Maadili ya uongozi, uaminifu, uwezo wa kujali wafanyakazi na malezi bora vimetajwa kuwa...
SMZ yapigia chapuo matumizi ya teknolojia katika uvuvi
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema inaendelea kutekeleza kwa vitendo sera ya...
SMZ yajifunga kitanzi upatikanaji umeme wa uhakika kwa wawekezaji
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema inaendelea kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na...
Dk Mwigulu asimulia walichopanga na Lukuvi, lakini hakikutimia
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametaja kitu anachokumbuka kwa mara ya mwisho alipowasiliana na...
Wanafunzi wawili wanusurika kufa maji Mto Lwiche, mmoja akitafutwa
Watoto watatu wamenusurika kufa maji katika Mto Lwiche uliopo katika Kijiji cha Kasisiwe, Kata...
Watengeneza maudhui nchini wapewa elimu ya fedha
Wakati tasnia ya uzalishaji maudhui mtandaoni ikizidi kushika kasi nchini, watengeneza maudhui...
Mtandao wa wizi wa pikipiki wafichuliwa, tisa wadakwa Iringa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limekamata pikipiki 115 na watuhumiwa tisa katika operesheni...
Huyu hapa Mehmet aliyenyuma ya filamu za Kituruki
Sekta ya filamu nchini Uturuki imekuwa sehemu muhimu ya kutangaza historia na utamaduni wa watu...
Maofisa Polisi 12 mbaroni kwa tuhuma za rushwa Afrika Kusini
Mamlaka kupambana na rushwa nchini Afrika Kusini imewakamata maofisa 12 waandamizi wa polisi...
Tanzania, Djibout kushirikiana biashara ya kaboni
Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) cha Tanzania na Djibouti kupitia tasisi inayoratibu...
Nyota timu ya taifa riadha afungiwa miaka 10, sababu yatajwa
Kwa mujibu wa uchunguzi wa AIU, Sakilu alibainika kuwa na viambato vinavyohusiana na homoni ya...
Lukuvi umeitwa marehemu, oh! Mnyalukolo, Vahungilage…
Gwiji wa muziki Ramadhan Mtoro Ongala (Dk Remmy) aliwahi kuimba wimbo wake kuwa 'kifo hakina...
CRDB Insurance inavyokuza ujumuishi wa huduma za bima kupitia ubunifu wa wanawake
Sekta ya bima Tanzania inaendelea kukua kwa kasi, ikichochewa na mageuzi ya kiuchumi, maendeleo...
Maguire aweka sharti kusaini mkataba mpya Man United
Beki wa Manchester United, Harry Maguire yupo hatua za mwisho kukubaliana na klabu hiyo...
Inspector Haroun atuma ujumbe Simba
Msanii wa Bongo Fleva, Haroun Kahena maarufu Inspector Haroun, amezungumza kuhusu mwenendo wa...
Rufaa ya Senegal yasajiliwa rasmi CAS kupinga uamuzi wa CAF
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa...
Liverpool yaanza kumsaka mrithi wa Salah, yakwama kwa Olise
Baada ya Salah kutangaza kuondoka kwenye viunga vya Anfield mwishoni mwa msimu huu, Liverpool...
Mfumo unaoweza kutatua tatizo la ajira kwa vijana
Kila mwaka, vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini humiminika mamia ya wahitimu waliobeba taji la...
Njia za kusimamia fedha kwa maisha bora baadaye
Fedha ni sehemu muhimu sana ya maisha ya kila siku. Watu hufanya kazi, huanzisha biashara, na...
Video ya wimbo ‘Jeene Laga Hoon’ ilivyobadili maisha ya Krish
Mitandao ya kijamii inaendelea kuthibitika kuwa jukwaa lenye nguvu ya kubadilisha maisha ya...