Chukwu mlango wa kutokea Singida BS
SINGIDA Black Stars inaweza kuingia sokoni kutafuta mbadala wa kiungo wake tegemeo, Morice Chukwu, baada ya nyota huyo kuweka wazi kuwa yupo mbioni kuondoka kwenye kikosi hicho mwishoni mwa msimu…
Mastaa wawapa saluti, Okello, Barker kunyakua tuzo za NBC PL
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello na kocha wa Simba, Steve Barker kupata tuzo ubora za mwezi, kulingana na kazi walizofanya, wadau wa soka wamesema wamestahili kwa jinsi…
Makocha wafunguka mapya kipigo cha Mwakinyo
Makocha waliowahi kumnoa bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo wamebainisha mambo matatu yaliyochangia kipigo kwa bondia huyo dhidi ya Michel Soro wa Ivory Coast.
Dili iliyokufa -17
“Hizo taarifa tayari zimesambazwa katika vituo vyote vya polisi. Alama yetu ilikuwa ni namba ya usajili ya hilo gari kwani alipofika hapo gesti, watu waliona namba ya gari alilokuwa nalo.…
Mwakinyo afunguka sababu za kupoteza pambano la IBO
Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, amesema udhaifu wa mwili na kushindwa kucheza katika kiwango chake cha kawaida ndiyo sababu kubwa iliyochangia kupoteza pambano lake la kuwania mkanda wa IBO…
Dar Leopards kukiwasha tamasha la raga
IKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa Tamasha la Touch Rugby Tournament, waandaaji wa mashindano hayo, Dar Leopards RFC wamewaomba mashabiki wa michezo huo kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja…
Yanga, Simba, TRA United zimekula kibano cha TPLB
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeendelea kuonyesha makali yake katika kusimamia nidhamu baada ya kutoa adhabu mbalimbali kwa wachezaji, maofisa na mashabiki pamoja na klabu za Ligi Kuu Bara…
Moallin achekelea mabao ya Dube, Depu
KUNA ukame uliowapitia washambuliaji wawili wa Yanga, Prince Dube na Laurindo Aurelio ‘Depu’ sasa jamaa wametupia huko timu za taifa na kumfanya kocha wao Abdihamid Moalin amechekelea akisema ni hatua…
Moalin achekelea mabao ya Dube, Depu
KUNA ukame uliowapitia washambuliaji wawili wa Yanga, Prince Dube na Laurindo Aurelio ‘Depu’ sasa jamaa wametupia huko timu za taifa na kumfanya kocha wao Abdihamid Moalin amechekelea akisema ni hatua…
Jaku aiomba SMZ kuwekeza Ligi Kuu Zanzibar
Mwakilishi wa Paje, Jaku Hashim Ayub ameishauri serikali kuwekeza fedha katika Ligi Kuu Zanzibar kwa lengo la kuipa thamani na ushindani kama zilivyo ligi nyingine.
Kinda Azam aula Falme za Kiarabu
Kinda wa Azam FC, Feisal Othman amejiunga na United FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE) inayonolewa na kiungo wa zamani wa Juventus na Italia, Andrea Pirlo.
Mechi Zanzibar Heroes, Uganda yafutwa
Mechi ya kirafiki iliyopangwa kuchezwa Juni 11, 2026 baina ya Timu ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ na Uganda, imeahirishwa.
Dili iliyokufa -16
ILIPOISHIA Majaliwa alipoambiwa hivyo akanyamaza kimya. “Sasa nakwambia kama umeshaanza kuharibika kiasi hicho, ujue nyumba hii itakushinda.” “Sasa iko wapi hiyo kete yangu?” “Unaona jinsi ambavyo umerukwa na akili! Unauliza…
Wanawake wanavyojishindia mamilioni kupitia SportPesa
SportPesa Tanzania inasherehekea mafanikio makubwa baada ya wanawake wawili kutoka mazingira tofouti kushinda jumla ya Sh 857 milioni, jambo linaloonyesha kukua kwa ushiriki wa kinamama katika michezo ya kubahatisha nchini.
EXCLUSIVE INTERVIEW PART 2 || Magori afunguka mazito Msimbazi
Elvis Rupia anukia Ligi Kuu Kenya MSHAMBULIAJI mahiri wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia yuko katika mazungumzo ya kurejea katika timu ya Kenya Police FC ya kwao Kenya aliyowahi…
Jina la Msenegal mezani kwa Ibenge
WINGA wa Azam FC raia wa Senegal, Pape Doudou Diallo amerejea tena ndani ya kikosi hicho baada ya mkataba wake wa mkopo na Shabana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya…
Dili iliyokufa – 15
ILIPOISHIA “Sasa Majaliwa ungependa uendelee na masomo au ufanye kazi?” Wakwetu akamuuliza. “Ngoja nifikirie halafu nitakwambia.” “Kama utapenda uendelee na masomo utaniambia, vyuo viko vingi siku hizo, ni wewe tu…
Straika Mkongomani aiteka Singida Black Stars
MABOSI wa Singida Black Stars wanaendelea kufanyia tathimini maeneo ya kuboresha msimu ujao, ambapo kwa sasa inaangalia uwezekano wa kuinasa saini ya mshambuliaji nyota Mkongomani Gusto Wa Ilungo Mulongo anayeichezea…
Dili iliyokufa – 14
ILIPOISHIA “Aliwalea mpaka mlifikia umri gani?” “Tulishamaliza kidato cha tatu alipotuacha na kurudi Oman” “Aliwaacha kwa sababu gani?” “Mume wake alifariki, akaona asingeweza kuishi peke yake akarudi kwao” “Sasa ilikuwaje…
Geita Gold, Kagera Sugar zarejea Ligi Kuu Bara
TIMU za Geita Gold na Kagera Sugar zimerejea Ligi Kuu Bara msimu ujao wa 2026-2026, baada ya kujihakikishia ushindi katika mechi zao za raundi ya 28, ambapo zimezifanya kufikisha pointi…
SMZ yatenga Sh5 bilioni maandalizi AFCON 2027
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetenga Sh5 bilioni kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, hatua inayotarajiwa kuleta manufaa makubwa ya kiuchumi…
Azam, Lupopo zamsaka beki mkongo
MABOSI wa Azam FC wamehamishia nguvu zao katika kuimarisha safu ya ulinzi baada ya kuanza mazungumzo ya kumsajili beki wa kati wa Union Maniema, Jeancy Mpindi Mukuene, ambaye pia anawaniwa…
Kiungo KMC FC mlangoni JKT Tanzania
WAKATI KMC FC ikibakisha hatua chache kucheza Ligi ya Championship msimu ujao wa 2026-2027, nyota wa timu hiyo, Rashid Chambo ameanza kuzivutia klabu mbalimbali ili kuipata saini yake, huku maafande…
Mgosi ana rekodi Simba Queens
WAKATI pongezi nyingi zikielekezwa kwa Simba Queens baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania msimu huu, Kocha msaidizi wa timu hiyo, Mussa Hassan ‘Mgosi’ naye ana rekodi…
Bilo, Ruangwa warejea walikotoka
WAKATI bingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens akitangazwa mapema huku kwenye vita ya kushuka daraja nako ishajulikana nani ana nafasi ya kusalia na nani anarudi Ligi daraja la…
Chobanka afichua kilichoiangusha Ceasiaa
KOCHA Mkuu wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema kubadilisha kikosi kila msimu ndicho kilichochangia timu hiyo kushindwa kufanya vizuri katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania msimu huu tofauti na ilivyokuwa…
Evalisto akiri ugumu Misri
KIUNGO mshambuliaji wa Mtanzania anayekipiga Fouad FC ya Misri, Oscar Evalisto, amesema msimu uliomalizika haukuwa wa mzuri kwake baada ya kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara tangu alipojiunga…
Mnoga anavizia timu za League One
BAADA ya kumaliza mkataba wake na Salford City ya England, inaelezwa beki wa Mtanzania, Haji Mnoga kuna timu mbili kutoka League One zimeanza kumfuatilia.gi kwa dakika 1697 akitoa mchango wake…
Takwimu za Ubamba zaichanganya FC Masar
WINGA wa kimataifa, Hasnath Ubamba, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika soka la wanawake nchini Misri baada ya kumaliza msimu wa 2025/26 akiwa miongoni mwa nyota walioibeba FC Masar.
Dili iliyokufa – 13
ILIPOISHIA Alfajiri ya siku ya pili yake Sharifa aliamka akatoka uani akiwa na simu yake mkononi. Akampigia mwanawe Majaliwa. Simu iliita sana kabla ya kupokelewa. Ilipopokelewa sauti ya Majaliwa ilikuwa…
Dili iliyokufa – 12
ILIPOISHIA Siku iliyofuata baada ya Wakwetu kuondoka nyumbani kwenda kazini kwake, Sharifa naye alitoka. Alikodi teksi iliyompeleka Kwaminchi kwa mwanawe. Alimkuta majaliwa akijiandaa kwenda sokoni kununua viazi na mahitaji mengine…