Gabon: Rais Brice Oligui Nguema atangaza kuundwa kwa serikali yake
Nchini Gabon, Rais Brice Clotaire Oligui Nguema amesaini agizo tatu za kiraisi siku ya Alhamisi, Januari 1. La kwanza linamteua Hugues Alexandre Barro Chambrier kama Makamu wa Rais wa Jamhuri.…