Uswisi yakosolewa kwa kuwarudisha kwa nguvu nyumbani waomba hifadhi kutoka Burundi
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa na mashirika 40 yasiyo ya kiserikali yanaikosoa Uswisi kwa kuwarudisha kwa nguvu nyumbani waomba hifadhi kutoka Burundi. Imechapishwa: 29/05/2026 – 06:05 Dakika 1 Wakati wa…