Nigeria: Angalau wanajeshi wanane wameuawa kwa bomu lililotegwa kando ya barabara
Angalau wanajeshi wanane waliuawa siku ya Jumapili katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria, wakati bomu lililotegwa kando ya barabara lilipolipuka baada gari lao la kivita lilipokuwa likipita, chanzo…