MSIMAMO: KMC wameongeza tatu kwenye mkoba wao wa pointi
MSIMAMO: KMC wameongeza tatu kwenye mkoba wao wa pointi. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
MSIMAMO: KMC wameongeza tatu kwenye mkoba wao wa pointi. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
#NBCPL: KMC wamezichukua alama zote tatu FT: KMC 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #KMCvsMashujaa #KMC #Mashujaa
#NBCPL: KMC bado wapo mbele 70’: KMC 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #KMCvsMashujaa #KMC #Mashujaa
#NBCPL: KMC wapo mbele kwa goli moja HT: KMC 1-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #KMCvsMashujaa #KMC #Mashujaa
15’| #NBCPL KMC 0-0 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #KMCvsMashujaa #KMC #Mashujaa
MSHIKEMSHIKE: AS FAR VS Vs Yanga SC ni kufa au kupona kwa Wananchi kuisaka robo fainali CAFCL. Una ushauri gani kwa Kocha na Wachezaji? Tuandikie maoni yako hapa na sisi…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka Iddy Nonga, amesema wachezaji wa timu ya KMC wanahitaji ushauri wa kisaikolojia zaidi kuelekea mchezo wao wa leo dhidi ya Mashujaa FC ili kujiweka katika nafasi…
VIWANJANI: “Mimi bado nawapa nafasi…” Mchambuzi wa soka Philip Nkini amesema bado ana imani na Azam FC kuendelea hatua ya robo fainali katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)…
Matajiri wa jiji AzamFC wanaisaka robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Jumamosi hii watakuwa nyumbani dimba la New Amaan Complex, Zanzibar wakiwakaribisha AS Maniema. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00…
VIWANJANI: “Katika michakato yote ya nyuma hiki ndicho kipindi ambacho unaona Yanga wamesogea zaidi kukaribia kujenga uwanja” Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mwandishi wa habari Philip Nkini, amesema Yanga…
#NBCPL: Ilipigwa “cross” na Gadiel Michael na kuunganishwa kwa kichwa na William Edgar kisha mpira ukajaa kamabani, Dodoma Jiji ikitangulia. Eliud Ambokile akairudisha Mbeya City mchezoni kwa goli la kichwa…
VITASA: “Iliniumiza sana” Bondia Fadhil Majiha amebainisha kuwa taarifa za kubadilishiwa mpinzani zilimuumiza sana na aliamua kupigana ili kulinda maslahi ya wapenda ngumi na wadhamini. Awali Majiha alitakiwa kupigana na…
#NBCPL: hakuna mbabe FT: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji Saa 1:00 usiku ni KMC dhidi ya Mashujaa FC, LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
#NBCPL: ‘Boli’ bado inatembea ndani ya dimba la Sokoine. 70’: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @iddynonga_ anaimwagia sifa Mtibwa Sugar kutokna na mwenendo wake kwenye NBC Premier League msimu huu. #Viwanjani
#NBCPL: Tusubiri dakika 45 zijazo HT: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
VIWANJANI: “Simba atabaki kuwa mkubwa” Mchambuzi wa soka @nkiniphilip anasema Simba itahitaji kwenda kuionesha Petro Atletico ya kwamba wao waliteleza na sio kuanguka katika mechi zao zilizopita za Ligi ya…
#NBCPL: Kila timu imepata goli moja. 35’: Mbeya City 1-1 Dodoma Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MbeyaCityVsDodomaJiji #MbeyaCity #DodomaJiji
VIWANJANI: “Young Africans kwenye hilo wamefanikiwa” Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesifu maoni ya Rais wa Yanga SC, Hersi Said kwa namna uongozi wake unavyosaidia kukuza chapa ya timu hiyo ndani…
VIWANJANI: “Wamesajili wachezaji wenye daraja kubwa kiasi” Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis anasema uongozi wa Mbeya City usitoe presha kwa benchi la ufundi kwa hali waliyonayo sasa. Rashid anasema Mbeya City…
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis anasema anatamani kuiona Yanga SC ikiwa na mwendelezo mzuri wa kucheza mechi za ugenini kama ilivyocheza dhidi ya JS Kabylie katika mchezo wake wa pili…
#RSL: Hakuna mbabe FT: Al Hilal 0-0 Al Ahli Ilikuwa #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlHilalVsAlAhli
LIGI YA MABINGWA: Wachambuzi wa soka Ramadhan Murondo na Salama Ngale wauchambua mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Esperance de Tunis ambao…
#NBCPL: Kocha Zedekiah Otieno wa Tanzania Prisons afurahishwa na timu yake kufunga goli baada ya kukaa kwa muda japo asikitishwa vijana wake kutofuata mpango waliokwenda nao. Kocha Mtibwa Sugar, Yusuf…
#NBCPL: Kocha Francis Baraza wa Pamba Jiji hajui kipi kimewasibu vijana wake mpaka wakapoteza mechi dhidi ya JKT Tanzania. Kocha Ahmad Ally wa JKT Tanzania akoshwa na vijana wake. FT:…
50’| #RSL Al Hilal 0-0 Al Ahli LIVE #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlHilalVsAlAhli
#NBCPL: Valentino aliupokea mpira na kugeuka nao na kuuweka nyavuni akiitanguliza JKT Tanzania. Salehe Karabaka hakukubali kuondoka patupu, akaweka goli la pili. Valentino naye hakuridhika, akaweka tena goli linguine na…
MSIMAMO: Wenye makazi yao wamerudi juu kileleni #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
#NBCPL: Alama tatu zote zimebaki kambini. FT: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #JKTTanzaniaVsPambaJiji
#NBCPL: Valentino Mashaka ni kama amekasirika…kashaweka chuma mbili kambani. 75’: JKT Tanzania 3-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
MATOKEO#RSL FT: Al Riadh 0-1 Al Nassr Saa 2:30 usiku ni Al Hilal dhidi ya Al Ahli LIVE #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlRoadhVsAlNassr
#NBCPL: JKT Tanzania kifua mbele ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza. HT: JKT Tanzania 1-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
70’| #RSL Al Riadh 0-1 Al Nassr LIVE #AzamSports3HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlRoadhVsAlNassr
#NBCPL: JKT Tanzania wapo mbele kwa goli moja. 35’: JKT Tanzania 1-0 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate
#NBCPL: Ilianza Tanzania Prisons kwa mkwaju wa penati kupitia George Mpole, kabla ya Mtibwa Sugar nao kusawazisha kwa penati kupitia Magata Fredrick. Dakika ya 87, Ismail Mhesa akapiga shuti la…
MSHIKEMSHIKE: Baada ya mambo kuwa magumu kwa Simba SC Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, ifanye nini kurejea kwa nguvu msimu ujao? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye…
#NBCPL: Mtibwa Sugar wamezisomba alama zote tatu katika dimba la nyumbani. FT: Mtibwa Sugar 2-1 TZ Prisons Saa 1:00 usiku ni JKT Tanzania dhidi ya Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague…
CARBAO Cup Nusu Fainali Jumatano hii Manchester City watakuwa nyumbani Etihad Stadium wakiwakaribisha mabingwa watetezi Newcastle United. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Man city akiwa ugenini walishinda 2 -…
#NBCPL: Kila timu imepata penati moja. HT: Mtibwa Sugar 1-1 TZ Prisons LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MtibwaSugarVsTZPrisons #MtibwaSugar #Prisons
KMC vs MASHUJAA: Kocha wa Mashujaa FC, Salum Mayanga amesema matarajio yake ni kwamba kesho watapata matokeo mazuri mbele ya KMC. Kwa ipande wake mchezaji Seif Karihe anasema hawana shida…
#NBCPL: Prisons imetangulia kwa mkwaji wa penati. 15’: Mtibwa Sugar 0-1 TZ Prisons LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #MtibwaSugarVsTZPrisons #MtibwaSugar #Prisons
KMC vs MASHUJAA: “Tunazibeba timu zote 15” Kocha wa KMC Mohamed Abdallah ‘Bares’ anasema mechi ya kesho itakuwa ngumu na nzuri kutokana na hali ya timu zote mbili japo wao…
Saudi Pro League Mechi za leo katika Saudi Pro League Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SaudiProLeague #Azamtvsports
CARBAO Cup Nusu Fainali Jumanne hii Arsenal watakuwa nyumbani Emirate stadium wakiwakaribisha Chelsea. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Arsenal akiwa ugenini alishinda 3 -2. Je, watashinda nje ndani ama…
KUTOKA CONGO: Kikosi cha Singida BS kilivyoianza safari ya kurejea Tanzania kikitokea Congo Brazzaville ambako kilicheza mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao AS Otoho. Katika mechi…