Sudan Kusini yamrejesha nyumbani kwao raia wa Mexico
Munoz-Gutierrez, alikuwa miongoni mwa kundi la watu wanane ambao wamekuwa chini ya ulinzi wa serikali ya nchi hiyo tangu walipotoka Marekani. Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya Sudan…
Munoz-Gutierrez, alikuwa miongoni mwa kundi la watu wanane ambao wamekuwa chini ya ulinzi wa serikali ya nchi hiyo tangu walipotoka Marekani. Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya Sudan…
Jesus Munõz Gutierrez alikabidhiwa kwa balozi aliyeteuliwa wa Mexico, Alejandro Ives Estivill, ambaye aliwasili Juba siku ya Ijumaa, taarifa hiyo ilisema. Juba ilisema inabaki kujitolea kushirikiana na washirika wa kimataifa…
Artan atajiunga na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria kama waamuzi wakuu kutoka bara la Afrika. Akiwa ni mwanzilishi katika soka la Kisomali, Artan hapo awali alikua…
Watu kumi na mmoja, wakiwemo watoto, walitoweka baada ya kiboko kupindua mashua yao kusini magharibi mwa Côte d’Ivoire, afisa wa serikali alisema Jumamosi. Waziri wa mshikamano wa kitaifa na mshikamano…
Nchini Burkina Faso, Chama cha Wanasheria kinashutumu kukamatwa kwa wakili Ini Benjamine Doli. Aliporejea kutoka likizo nje ya nchi, “alitekwa nyara” kutoka nyumbani kwake huko Ouagadougou na watu wenye silaha.…
Eygi, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa na uraia wa nchi mbili wa Uturuki na Marekani, aliuawa na jeshi la Israeli wakati wa maandamano dhidi ya makazi haramu ya…
Hali ya kutisha kwa wakazi wa kijiji cha Dar El Jamal katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria. Siku ya Ijumaa, Septemba 5, watu wenye silaha walivamia mji huu…
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwaka wa shule, uliopangwa awali kuanza siku ya Jumatatu, Septemba 1, haukuanza tena katika shule kadhaa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini.…
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye ametangaza serikali mpya jioni ya Jumamosi, Septemba 6, ambapo Mawaziri wa Sheria na Mambo ya Ndani wameondoka na Waziri mpya wa Mambo ya Nje…
Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…
Makao makuu ya serikali ya Ukraine yalichomwa moto leo Jumapili, Septemba 7, mjini Kyiv wakati wa mashambulizi ya usiku ya Urusi yaliyosababisha vifo vya watu watano, ikiwa ni pamoja na…
Hii ni afueni kubwa kwa jamii za Venezuela na Haiti nchini Marekani. Zaidi ya raia milioni moja wa nchi hizi mbili, wanaotishiwa kufukuzwa, wanaweza kubaki Marekani—kwa sasa, angalau. Jaji wa…
Kwa mujibu wa walioshuhudia,jengo hilo refu ni la pili kudondoshwa baada ya Jeshi la Israel IDF kuliangusha jengo lingine refu hapo siku ya Ijumaa, kwenye eneo hilo. Taarifa ya kijeshi…
Nchini Kenya kesi za muda mrefu za Paul Mackenzie zinaendelea, huku kesi zikisikizwa wiki hii katika mahakama ya watoto ya Tononoka mjini Mombasa, pwani ya Kenya. Mchungaji huyo na washitakiwa…
Zelenskyy, amemweleza Putin kuwa pendekezo la rais huyo wa Urusi kwamba wakutane mjini Moscow kwa mazungumzo haliwezekani na badala yake rais wa Ukraine amependekeza kuwa ingekuwa bora kama watakuna mjini…
Jeshi la Israel limeharibu jengo jingine refu katika Jiji la Gaza siku ya Jumamosi, Septemba 6, likiwataka wakazi wake kuondoka kuelekea eneo ambalo limetangaza kuwa “la kibinadamu,” kwa kutarajia shambulio…
Mkurugenzi wa eneo la Berber Hassan Ibrahim Karar, amesema juhudi zinaendelea za kuwaokoa watu walionasa kwenye vifusi lakini hakutaja sababu ya kuporomoka kwa mgodi huo. Tangu mapigano yalipozuka nchini Sudan…
Jamii forums yafungiwa kwa siku 90 kwa ‘kudhalilisha serikali na Rais’ wa Tanzania Aidha TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano…
Sudan, nchi ya tatu kwa ukubwa barani Afrika, inabaki kuwa miongoni mwa wazalishaji wakuu wa dhahabu barani humo. Hata hivyo, dhahabu nyingi inachimbwa kupitia shughuli za uchimbaji wa kienyeji na…
Rais wa Marekani Donald Trump alithibitisha Ijumaa kwamba hatashiriki mkutano ujao wa viongozi wa Kundi la 20 (G20) nchini Afrika Kusini mwezi Novemba, akisema atamtuma Makamu wa Rais JD Vance…
Katika hatua ya kihistoria ya kidiplomasia, Serikali ya Shirikisho ya Somalia imemteua balozi mpya kwenda Syria, ikithibitisha tena dhamira yake ya kudumisha uhusiano wa muda mrefu na taifa la Kiarabu…
Maduro amesema hayo katika muktadha wa mvutano unaoongezeka kati ya Marekani na Venezuela. Rais wa Venezuela amesema kwa sasa nchi yake imo katika hatua ya kisiasa. Hata hivyo ameeleza kuwa…
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 wamekiuka haki za binadamu kwa kiwango kikubwa katika mgogoro unaoendelea…
Amri hiyo imetolewa wakati jeshi hilo linatanua kampeni ya kijeshi kwenye mji huo ulio mkubwa zaidi katika Ukanda wa Gaza. Jeshi hilo hivi sasa linafanya mashambulizi makali ikiwemo kuyalenga majengo…
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amemteua naibu wake mpya na mawaziri wa Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani katika mabadiliko makubwa yanayonuia kurejesha mamlaka yake baada ya Naibu…
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema haitowezekana kuishi pamoja kwa amani katika eneo la Mashariki ya Kati bila kuwepo taifa huru la Palestina na kukomesha kile walichokitaja kuwa vitendo vya…
Morocco iliandika historia siku ya Ijumaa kwa kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 litakalofanyika katika nchi tatu, Marekani, Mexico na Canada. Walihakikisha nafasi…
Msemaji wa jeshi la Israel ametangaza leo Jumamosi asubuhi kuanzishwa kwa “eneo la kibinadamu” huko Al-Mawasi, kusini mwa eneo la Palestina, akiwataka wakaazi wa mji wa Gaza kuhamia huko kabla…
Kwa kuongezeka kwa mabadiliko ya tabianchi, matukio ya hali ya hewa kali — vimbunga, mafuriko, ukame wa muda mrefu — yanazidisha vitisho vya nishati. Vyanzo vya nishati mbadala kama jua…
Ni mojawapo ya nchi zinazochangia kwa uchache katika ongezeko la joto duniani, lakini pia ni mojawapo ya nchi zilizo hatarini zaidi kwa madhara yake. Tangu mwezi Juni, eneo la kaskazini…
Tangu siku ya Jumanne, Septemba 2, mji wa pili kwa ukubwa katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC umekuwa uwanja wa uhusiano mpya mbaya kati ya jeshi la Kongo…
Mamlaka ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wako katika hali ya tahadhari kufuatia kugunduliwa kwa mlipuko mpya wa virusi vya Ebola. Eneo lililoathiriwa ni mkoa wa Kasai, katikati…
Nchini Somalia, kundi la kigaidi la Al-Shabab lilitekeleza shambulizi siku ya Alhamisi dhidi ya kambi ya kijeshi karibu na uwanja wa ndege wa Kismayo, mji wenye bandari ulioko kusini mwa…
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Je, Wanakuja na suluhu ya kutatua changamoto zinazowakabili wananchi?
Shambulio hilo limetokea wakati jeshi la nchi hiyo linapozidisha oparesheni inayolenga kuchukua udhibiti wa mji wa Gaza unaokaliwa na takriban Wapalestina milioni moja. Kwa mujibu wa jeshi la Israel IDF,…
Mnamo mwezi Agosti, kutokana na shinikizo kubwa la Marekani na kwa hofu ya Israel kuongeza mashambulizi nchini humo, serikali ya Lebanon ililiamuru jeshi kuandaa mpango wa kulipokonya silaha kundi la…
Trump ameandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kwamba, “Marekani imewapoteza India na Urusi kwa China yenye giza na kina kirefu, na kwamba anazitakia nchi hizo maisha marefu…
Kujiuzulu kwa Rayner, mwenye umri wa miaka 45, kunatajwa kuwa pigo kubwa kwa Keir Starmer, kwani ni waziri wa nane na wa ngazi ya juu zaidi kuondoka katika timu yake.…
Human Rights Watch ilisema jana kwamba, makaburi 460 yaliongezwa kati ya Disemba 15 na Julai 3, huku picha za satelaiti zikionyesha jumla ya makaburi mapya 1,171 tangu mwaka 2022. Ripoti…
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwamba uamuzi huo umezingatia ushauri wa Kamati ya Dharura ya WHO, ambayo hukutana kila baada ya miezi mitatu kutathmini hali ya…
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwamba uamuzi huo umezingatia ushauri wa Kamati ya Dharura ya WHO, ambayo hukutana kila baada ya miezi mitatu kutathmini hali ya…
Dhamana hizo zinapendekezwa na washirika wa Ukraine, punde uvamizi wa Urusi nchini mwake ukimalizika. Zelensky alisema hayo baada ya kukutana na Rais wa Baraza Kuu la Ulaya, Antonio Costa huko…
Rayner, anayefahamika kwa misimamo yake yenye muelekeo wa mrengo wa kushoto katika chama cha Labour, alikiri mapema wiki hii kwamba hakulipa kodi ya kutosha wakati aliponunua eneo la makazi kwenye…
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, matukio ya moto wa nyika yameongezeka kwa kasi, yakichochewa na mabadiliko ya tabianchi. Matukio hayo ya moto yalichangia kwa kiwango kikubwa uchafuzi wa hewa mwaka…
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema mashambulizi dhidi ya jengo hilo ni onyo la mwanzo na kwamba operesheni hiyo ya kijeshi itakapoimarishwa, itakuwa vigumu kuisimamisha. Matamshi yake yanakuja…
Hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya wachunguzi wa Umoja Mataifa iliyochapishwa Ijumaa ikisema pande zote mbili zimetenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu hasa katika majimbo…
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wapiganaji wa RSF wametekeleza vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Sudan hasa katika mji wa El-Fasher…
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa waasiwa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na wanajeshi wa jeshi la Congo FARDC na makundi yenye silaha kama vile Wazalendo walitekeleza ukiukwaji…
Wanajihadi wanaoshirikiana na Al-Qaeda, wameendeleza mashambulio kulenga viwanda vinavyomilikiwa na wawekezaji wa kijeshi hasa, Wachina. Imechapishwa: 05/09/2025 – 16:24Imehaririwa: 05/09/2025 – 17:01 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara…