Baerbock achaguliwa Rais Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Baerbock alipata kura 167, karibu mara mbili ya kura 88 zinazohitajika kushinda, huku mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Ujerumani, Helga Schmid, akipata kura saba na mataifa mengine 14 kujizuwia…