Mataifa ya Afrika ya Kati yamteua mwenyekiti mpya wa tume ya ECCAS kutoka Burundi
Tume ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati ina rais mpya. Wakuu wa nchi za ECCAS waliokutana siku ya Jumapili, Septemba 7, huko Sipopo, Equatorial Guinea, wamemteua…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Colombia: Wanajeshi 72 wametekwa nyara katika eneo la Cauca linalodhibitiwa na kundi la waasi
Wanajeshi wasiopunguwa 72 wamechukuliwa mateka siku ya Jumapili, Septemba 7, katika eneo la Cauca. Kulingana na jeshi, eneo hili lililo kusini magharibi mwa Colombia linadhibitiwa na kundi la wapiganaji wanaohusishwa…
Gaza: Hamas yasema iko tayari kuzungumza wakati operesheni za Israel zikizidi
Hamas imesema siku ya Jumapili Septemba 7 kwamba iko tayari kuanza tena mazungumzo “mara moja” baada ya kupokea pendekezo jipya kutoka Washington. Donald Trump ametuma “onyo la mwisho” kwa Hamas…
Rais Trump atoa onyo la mwisho kwa wapiganaji wa Hamas
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema, anatoa onyo la mwisho kwa kundi la Hamas, na kuwataka wakubali mkataba utakaosababisha kuachiwa huru kwa mateka wote. Imechapishwa: 08/09/2025 – 06:03 Dakika 1…
Vita vya Ukraine: Zelensky alaani ‘shambulio la kikatili’ baada ya Urusi kulishambulia jengo kuu la serikalikatika jimbo la Kyiv
Chanzo cha picha, ABC News Maelezo ya picha, Zelensky akihojiwa hapo awali na mwandishi wa ABC News Martha Raddatz kuhusu nyuma ya Urusi kulipua kiwanda kinachomilikiwa na Marekani nchini Ukraine…
DRC : Hali ya wasiwasi bado inaendelea kushuhudiwa Uvira
Hali ya wasiwasi bado inashuhudiwa Uvira, jimboni Kivu Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, kwa siku ya sita mfululizo mji huo ulisalia mahame.…
Trump yuko tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Rais wa Mareakni Donald Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi habari katika ikulu yake mjini Washington siku ya Jumapili lakini hakusema awamu mpya ya vikwazo hivyo vitawekwa lini. Rais huyo…
Hamas yasema iko tayari kuzungumza mara moja
Kundi la Hamas limesema liko tayari kukaa mara moja kwenye meza ya mazungumzo kufuatia kile lilichokieleza kuwa ni mawazo kadhaa kutoka kwa Marekani yanayolenga kuafikiwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano.…
Hamas yasema iko tayari kungumza mara moja
Kundi la Hamas limesema liko tayari kukaa mara moja kwenye meza ya mazungumzo kufuatia kile lilichokieleza kuwa ni mawazo kadhaa kutoka kwa Marekani yanayolenga kuafikiwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano.…
Serikali ya Ufaransa hatarini kuanguka katika kura ya imani
Waziri Mkuu wa nne wa Ufaransa katika kipindi cha miaka mitatu François Bayrou, anakabiliwa na hali ya kukaribia kushindwa kwa hakika katika kura ya imani hivi leo. Viongozi wa upinzani…
Chama cha upinzani Uturuki chaitisha maandamano Istanbul
Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki Republican People’s Party, CHP kimewatolea wito Waturuki na wakaazi wa mji mkuu Istanbul wajitokeze kwa maandamano baada ya polisi kuweka vizuizi katika maeneo yanayoyazunguka…
Mamilioni ya abiria kuathiriwa na mgomo London
Mamilioni ya watu wanajiandaa kwa wiki ya hekaheka na matatizo ya usafiri jijini London Uingereza huku wafanyakazi wa treni za chini ya ardhi jijini humo wakianza mgomo wa siku tano.…
Wafuasi wa Bolsonaro waandamana Brazil
Maalfu ya wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro wamefanya maandamano jana katika miji kadhaa, siku chache kabla mahakama ya juu kabisa ya nchi hiyo kupitisha hukumu ikiwa…
Wafuasi wa Bolsonaro waandaman Brazil
Maalfu ya wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro wamefanya maandamano jana katika miji kadhaa, siku chache kabla mahakama ya juu kabisa ya nchi hiyo kupitisha hukumu ikiwa…
08.09.2025
SK2 / S02S08.09.20258 Septemba 2025 Watu wanne wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya risasi mjini Jerusalem+++ Mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini Tanzania zimeufungia mtandao maarufu wa Jamii Afrika…
08.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ08.09.20258 Septemba 2025 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza…
08.09.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
08.09.20258 Septemba 2025 Rais wa Marekani Donald Trump aashiria yuko tayari kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi kwa awamu ya pili ya vikwazo. Kundi la Hamas lasema liko tayari kwa mazungumzo…
Trump atoa ‘onyo la mwisho’ kwa Hamas kuhusu mateka
Kupitia ujumbe kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisema: “Waisraeli wamekubali masharti yangu. Ni wakati wa Hamas pia kukubali. Nimewaonya kuhusu matokeo ya kutoafiki. Hili ndilo onyo langu la mwisho.” Mnamo…
Saudi yazindua mradi wa ujenzi mpya Damascus na viunga vyake
Saudi Arabia imetangaza Jumapili miradi mipya ya kibinadamu nchini Syria ikiwemo kuondoa vifusi vya vita karibu na mji mkuu Damascus, wiki chache baada ya kusaini mikataba ya uwekezaji yenye thamani…
Trump yupo tayari kwa vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kuanzisha awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Urusi, hatua inayoweza kulenga mauzo ya nishati ya Moscow na washirika wake. Hii ni…
Uhamiaji Marekani: Trump akumbana na pinzamini za kisheria
Rais wa Marekani Donald Trump ameahidi kufukuza mamilioni ya wahamiaji kwa mpango mkubwa zaidi wa kuondoa watu kihistoria. Lakini ajenda yake ya uhamiaji inakabiliwa na majaribu makubwa mahakamani, huku sera…
Nishati ya jua Afrika: Mustakabali wa nishati jadidifu
Katika jimbo la Northern Cape, kusini mwa jangwa la Kalahari, mnara mrefu unaong’aa unasimama katikati ya vioo vya sola vilivyopangwa kwa mistari. Vioo hivyo hufuata mwanga wa jua mchana kutwa,…
Marekani: Donald Trump atishia kuingilia kijeshi Chicago
Mvutano unaongezeka kati ya White House na mamlaka ya Chicago. Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine ametishia kuingilia kijeshi katika mji wa tatu kwa ukubwa nchini Marekani, unaotawaliwa…
DRC: Serikali ya mkoa wa Kivu Kusini yaonya juu ya kuimarishwa kwa jeshi la Rwanda Idjwi
Serikali ya mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC imetoa tahadhari ya kitaifa na kimataifa kuhusiana na kuimarishwa kwa wanajeshi wa Rwanda katika eneo la Idjwi. Katika taarifa kwa vyombo…
Jean-Pierre Lacroix athibitisha uungwaji mkono wa UN kwa mchakato wa amani nchini DRC
Akihutubia wanahabari siku ya Jumapili, Septemba 7, mjini Beni (Kivu Kaskazini), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Operesheni za Amani Jean-Pierre Lacroix amebainisha dhamira ya Umoja wa…
Netanyahu asema jeshi linazidisha mashambulizi Gaza
Jeshi la Israel limesema majengo mawili marefu yaliyobomolewa wiki hii yalitumiwa na Hamas kufuatilia wanajeshi, madai yaliyokanushwa na kundi hilo. Hali hii imezidisha hofu ya kuzorota zaidi kwa hali ya…
Viongozi wa EU walaani mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine
Rais wa Halmashauri ya Ulaya Ursula von der Leyen amesema Kremlin “inadhihaki diplomasia, inakanyaga sheria za kimataifa na inaua kiholela,” huku Rais wa Baraza la Ulaya António Costa akiongeza kuwa…
DRC: Jeshi lawaonesha watu wanaodaiwa kuwa ni wasaidizi wa AFC/M23 waliokamatwa Fizi na Uvira
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) limewaonyesha kwa waandishi wa habari siku ya Jumamosi, Septemba 6, watu sita waliokamatwa katika nyanda za juu za Fizi na Uvira, wakituhumiwa…
Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ajiuzulu
Ishiba, aliyekuwa madarakani tangu Oktoba mwaka jana, alikabiliwa na ukosoaji unaoongezeka na wito wa kuachia ngazi ndani ya chama chake cha Liberal Democratic Party (LDP) kufuatia kupoteza wingi wa viti…
Saudi Arabia yazindua mradi wa ujenzi mpya wa Damascus
Saudi Arabia imekuwa mfadhili mkuu wa serikali mpya ya Syria, iliyochukua madaraka baada ya kuondolewa madarakani, mtawala wa muda mrefu Bashar al-Assad mwezi Desemba uliopita. Katika hafla iliyofanyika leo mjini…
Grossi aonya kuwepo kwa dunia yenye mataifa 25 ya nyuklia
Akizungumza na gazeti la Italia La Repubblica, Grossi alisema hatari ya mzozo wa nyuklia leo ni kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa zamani, huku mchakato wa kupunguza au kuondoa silaha hizo ukiwa…
Japan: Waziri Mkuu Shigeru Ishiba ajiuzulu kwa shinikizo la chama chake
Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba ametangaza kujiuzulu leo Jumapili, Septemba 7, chini ya mwaka mmoja baada ya kuchukua madaraka. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 68 anajiuzulu chini ya…
Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba atangaza kujiuzulu
Ishiba, mwenye miaka 68, alisema ataendelea kushika wadhifa huo hadi kiongozi mpya wa chama atakapochaguliwa. Aliongeza kuwa uamuzi wake unalenga kuepusha mgawanyiko zaidi ndani ya chama, akisema: “Sasa ndiyo wakati…
Wasyria warejea taratibu kutoka Ujerumani, wasiwasi bado upo
Idadi ya wakimbizi wanaorejea Syria kutoka Ujerumani tangu kuanguka kwa utawala wa muda mrefu wa Bashar al-Assad imekuwa ikiongezeka taratibu, ingawa bado iko katika kiwango cha chini. Wizara ya Mambo…
Urusi yatumia droni 800, makobora 13 katika shambulio Kyiv
Urusi imefanya shambulio kubwa zaidi la anga dhidi ya Ukraine tangu vita kuanza, kwa kurusha zaidi ya droni 800 na makombora 13 Jumapili alfajiri, na kuua watu wasipungua wanne, huku…
Urusi yafanya shambulizi kubwa zaidi la anga dhidi Ukraine
Msemaji wa jeshi la anga Yuriy Ihnat amethibitisha kuwa jumla ya droni 805 na makombora 13 yalirushwa, huku vikosi vya Ukraine vikiangusha droni 747 na makombora manne. Mengine yaliangukia maeneo…
Israel yasema vita vya Gaza vitaisha mateka wakiachiwa huru
Matamshi ya Saar wakati wa mkutano na waandishi wa habari mjini Jerusalem akiwa na mwenzake wa Denmark, yanakuja siku moja baada ya Hamas kusisitiza msimamo wake wa muda mrefu kwamba…
Waziri Mkuu wa Japan aamua kujiuzulu
Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku shinikizo la kuachia madaraka likiongezeka kutoka kwa viongozi wakuu akiwemo waziri…
Wakimbizi wa Syria wameanza kurejea kwao kutoka Ujerumani
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imesema kufikia Agosti, Wasyria 1,867 walirudi nyumbani kwa msaada wa serikali, huku wengine wakiondoka kupitia programu za majimbo au bila msaada. Kwa sasa…
Sudan Kusini yamrejesha nyumbani kwao raia wa Mexico
Munoz-Gutierrez, alikuwa miongoni mwa kundi la watu wanane ambao wamekuwa chini ya ulinzi wa serikali ya nchi hiyo tangu walipotoka Marekani. Katika taarifa, wizara ya mambo ya nje ya Sudan…
Sudan Kusini yamrejesha Mexico mhamiaji waliyempokea kutoka Marekani
Jesus Munõz Gutierrez alikabidhiwa kwa balozi aliyeteuliwa wa Mexico, Alejandro Ives Estivill, ambaye aliwasili Juba siku ya Ijumaa, taarifa hiyo ilisema. Juba ilisema inabaki kujitolea kushirikiana na washirika wa kimataifa…
Omar Artan aweka historia ya kuwa mwamuzi wa kwanza wa Somalia kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA
Artan atajiunga na Jalal Jayed wa Morocco na Youcef Gamouh wa Algeria kama waamuzi wakuu kutoka bara la Afrika. Akiwa ni mwanzilishi katika soka la Kisomali, Artan hapo awali alikua…
Mamlaka Tanzania yafungia Jamii Forums kwa siku 90, wenyewe hawakubaliani na uamuzi huo
Chanzo cha picha, Maxence Melo 6 Septemba 2025 Imeboreshwa Dakika 7 zilizopita Muasisi wa JamiiForums, Maxence Melo, amesema jukwaa hilo linalazimika kukubali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha…
Watoto kati ya 11 waliotoweka baada ya kiboko kupindua mashua nchini Côte d’Ivoire
Watu kumi na mmoja, wakiwemo watoto, walitoweka baada ya kiboko kupindua mashua yao kusini magharibi mwa Côte d’Ivoire, afisa wa serikali alisema Jumamosi. Waziri wa mshikamano wa kitaifa na mshikamano…
Burkina Faso: Wakili mkosoaji wa serikali atekwa nyara Ouagadougou
Nchini Burkina Faso, Chama cha Wanasheria kinashutumu kukamatwa kwa wakili Ini Benjamine Doli. Aliporejea kutoka likizo nje ya nchi, “alitekwa nyara” kutoka nyumbani kwake huko Ouagadougou na watu wenye silaha.…
Uturuki inaadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Aysenur Ezgi Eygi na vikosi vya Israeli
Eygi, mwenye umri wa miaka 26, ambaye alikuwa na uraia wa nchi mbili wa Uturuki na Marekani, aliuawa na jeshi la Israeli wakati wa maandamano dhidi ya makazi haramu ya…
Nigeria: Boko Haram washukiwa kufanya mauaji mengine katika Jimbo la Borno
Hali ya kutisha kwa wakazi wa kijiji cha Dar El Jamal katika Jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria. Siku ya Ijumaa, Septemba 5, watu wenye silaha walivamia mji huu…
Unajua ni kwanini joto kali linazeesha binadamu haraka?
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Maelezo ya picha, Utafiti unaonyesha watu walio na viwango vya juu vya joto mara kwa mara wanazeeka haraka Maelezo kuhusu taarifa Author, Angela…
Mashariki mwa DRC: Maelfu ya wanafunzi wa Kivu washindwa kurudi shule kutokana na mapigano
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwaka wa shule, uliopangwa awali kuanza siku ya Jumatatu, Septemba 1, haukuanza tena katika shule kadhaa katika mikoa ya Kivu Kaskazini na Kusini.…