Mabadiliko ya kijani katika nishati huongeza ufanisi lakini yanaweza kuleta udhaifu mpya: Ripoti
Kwa kuongezeka kwa mabadiliko ya tabianchi, matukio ya hali ya hewa kali — vimbunga, mafuriko, ukame wa muda mrefu — yanazidisha vitisho vya nishati. Vyanzo vya nishati mbadala kama jua…
‘Eneo la Hatari’ barani Ulaya lisilojulikana na wengi: Suwałki Gap
Chanzo cha picha, Raees Hussain / BBC, Getty Maelezo ya picha, Picha ya wanaume wawili waliovaa sare za kijeshi wakionyeshana mgongo wao huku kando ya picha hiyo ni mchoro wa…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Pakistan: Takriban watu 900 wamefariki na milioni moja kuhamishwa baada ya mafuriko mapya
Ni mojawapo ya nchi zinazochangia kwa uchache katika ongezeko la joto duniani, lakini pia ni mojawapo ya nchi zilizo hatarini zaidi kwa madhara yake. Tangu mwezi Juni, eneo la kaskazini…
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Barcelona wataka kumsajili Marc Guehi
Barcelona wanamtaka Marc Guehi, Aston Villa wanataka kumjumuisha tena Emiliano Martinez, Manchester United wamweke Carlos Baleba kwenye orodha yao fupi na mustakabali wa wachezaji watatu wa Everton haujulikani. Source link
Hekalu la Ziggurat: Katika mji unaoaminika Nabii Ibrahim alizaliwa
Chanzo cha picha, Geena Truman Maelezo ya picha, Hekalu la Ziggurat katika mji wa Uru ni kubwa na lina umri wa miaka 4,100 Saa 2 zilizopita Jengo la Ziggurat katika…
DRC: Shughuli zimezorota Uvira wakati mvutano mkubwa kati ya FARDC na Wazalendo ukiendelea
Tangu siku ya Jumanne, Septemba 2, mji wa pili kwa ukubwa katika mkoa wa Kivu Kusini, mashariki mwa DRC umekuwa uwanja wa uhusiano mpya mbaya kati ya jeshi la Kongo…
Urusi na Ukraine: “Unaweza kuja Kyiv”: Zelensky amjibu Putin kuhusu pendekezo la lake la kufanya mazungumzo Moscow
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Rais Putin wa Urusi na mwenzake wa Ukraine Volodymir Zelensky Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, katika mahojiano na ABC News, amekataa tena…
DRC: Mamlaka ya afya yahamasishwa dhidi ya mlipuko mpya wa Ebola
Mamlaka ya afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wako katika hali ya tahadhari kufuatia kugunduliwa kwa mlipuko mpya wa virusi vya Ebola. Eneo lililoathiriwa ni mkoa wa Kasai, katikati…
Somalia: Al Shabab wanadai kutekeleza shambulio dhidi ya wanajeshi wa Marekani
Nchini Somalia, kundi la kigaidi la Al-Shabab lilitekeleza shambulizi siku ya Alhamisi dhidi ya kambi ya kijeshi karibu na uwanja wa ndege wa Kismayo, mji wenye bandari ulioko kusini mwa…
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu
#SWALILAKIPIMAJOTO:”Wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Je, Wanakuja na suluhu ya kutatua changamoto zinazowakabili wananchi?
Israel yashambulia jengo la Mushtaha mjini Gaza
Shambulio hilo limetokea wakati jeshi la nchi hiyo linapozidisha oparesheni inayolenga kuchukua udhibiti wa mji wa Gaza unaokaliwa na takriban Wapalestina milioni moja. Kwa mujibu wa jeshi la Israel IDF,…
Lebanon kujadili mpango wa kuipokonya silaha Hezbollah
Mnamo mwezi Agosti, kutokana na shinikizo kubwa la Marekani na kwa hofu ya Israel kuongeza mashambulizi nchini humo, serikali ya Lebanon ililiamuru jeshi kuandaa mpango wa kulipokonya silaha kundi la…
Trump: Sijafurahishwa na ukaribu wa Urusi, India na China
Trump ameandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kwamba, “Marekani imewapoteza India na Urusi kwa China yenye giza na kina kirefu, na kwamba anazitakia nchi hizo maisha marefu…
Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza Angela Rayner ajiuzulu
Kujiuzulu kwa Rayner, mwenye umri wa miaka 45, kunatajwa kuwa pigo kubwa kwa Keir Starmer, kwani ni waziri wa nane na wa ngazi ya juu zaidi kuondoka katika timu yake.…
Rwanda yaikosoa HRW kuhusu ongezeko la makaburi
Human Rights Watch ilisema jana kwamba, makaburi 460 yaliongezwa kati ya Disemba 15 na Julai 3, huku picha za satelaiti zikionyesha jumla ya makaburi mapya 1,171 tangu mwaka 2022. Ripoti…
WHO: Mpox sio tena dharura ya afya ya kimataifa
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwamba uamuzi huo umezingatia ushauri wa Kamati ya Dharura ya WHO, ambayo hukutana kila baada ya miezi mitatu kutathmini hali ya…
WHO: Mpox sio dharura ya afya ya kimataifa tena
Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kwamba uamuzi huo umezingatia ushauri wa Kamati ya Dharura ya WHO, ambayo hukutana kila baada ya miezi mitatu kutathmini hali ya…
Zelensky: Maelfu ya wanajeshi wanaweza kupelekwa Ukraine
Dhamana hizo zinapendekezwa na washirika wa Ukraine, punde uvamizi wa Urusi nchini mwake ukimalizika. Zelensky alisema hayo baada ya kukutana na Rais wa Baraza Kuu la Ulaya, Antonio Costa huko…
Naibu Waziri Mkuu Uingereza ajiuzulu kwa mapungufu ya kodi
Rayner, anayefahamika kwa misimamo yake yenye muelekeo wa mrengo wa kushoto katika chama cha Labour, alikiri mapema wiki hii kwamba hakulipa kodi ya kutosha wakati aliponunua eneo la makazi kwenye…
UN: Moto wa nyika unachochea uchafuzi wa hewa
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, matukio ya moto wa nyika yameongezeka kwa kasi, yakichochewa na mabadiliko ya tabianchi. Matukio hayo ya moto yalichangia kwa kiwango kikubwa uchafuzi wa hewa mwaka…
Jeshi la Israel laendelea kuishambulia Gaza
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema mashambulizi dhidi ya jengo hilo ni onyo la mwanzo na kwamba operesheni hiyo ya kijeshi itakapoimarishwa, itakuwa vigumu kuisimamisha. Matamshi yake yanakuja…
M23 na Vikosi vya Kongo washutumiwa kwa uhalifu wa kivita
Hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya wachunguzi wa Umoja Mataifa iliyochapishwa Ijumaa ikisema pande zote mbili zimetenda uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu hasa katika majimbo…
RSF wametekeleza uhalifu dhidi ya binadamu mjini El-Fasher Sudan
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wapiganaji wa RSF wametekeleza vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Sudan hasa katika mji wa El-Fasher…
DRC: Pande hasimu zimetekeleza ukiukaji wa haki za binadamu: UN
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa waasiwa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na wanajeshi wa jeshi la Congo FARDC na makundi yenye silaha kama vile Wazalendo walitekeleza ukiukwaji…
Mali: Wanajidi washambulia viwanda vinavyomilikiwa na wawekezaji wa kijeshi
Wanajihadi wanaoshirikiana na Al-Qaeda, wameendeleza mashambulio kulenga viwanda vinavyomilikiwa na wawekezaji wa kijeshi hasa, Wachina. Imechapishwa: 05/09/2025 – 16:24Imehaririwa: 05/09/2025 – 17:01 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara…
Salum Mwalimu kutoa ushindani kwa Samia?
Miaka michache iliyopita, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kilikuwa na sura ya Mzee Hashim Spunda Rungwe na sera yake maarufu ya ‘ubwabwa kwa wote.’ Ilikuwa ni kawaida kumuona mzee…
Uturuki yakataa ripoti za vyombo vya habari vya Israel zinazoihusisha na njama ya mauaji
Kituo cha Uturuki cha Kupambana na Upotoshaji wa Taarifa kimekanusha ripoti za vyombo vya habari vya Israel zilizotaja Uturuki na kuihusisha na madai ya njama ya kumuua waziri wa Israel,…
Droni iliyododoshwa: Mali yawasilisha malalamiko dhidi ya Algeria ICJ
Mali imetangaza kuwa imewasilisha malalamiko katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Algeria, ikiituhumu kwa kudungua ndege isiyo na rubani ya jeshi lake katika ardhi ya Mali mapema…
Israel yaanza kushambulia majengo marefu katika Ukanda wa Gaza
Jeshi la Israel limeanza kushambulia majengo marefu kwenye mji wa Gaza, katika operesheni inayosema, inawalenga Hamas. Imechapishwa: 05/09/2025 – 15:24 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Rwanda yalaani ripoti ya HRW kuhusu kuongezeka kwa makaburi ya kijeshi
Rwanda imelaani na kukanusha ripoti ya Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kuhusu uchunguzi wake satellite unaonesha ongezeko la kaburi la kijeshi liliongezeka kwa…
WHO yatahadharisha juu ya kusambaa zaidi ugonjwa wa Ebola
Hadi sasa watu 15 wamefariki kati ya visa 28 vilivyothibitishwa na mamlaka za afya. Waziri wa afya Samuel Roger Kamba ametahadharisha kuwa bado hawajathibitisha idadi kamili ya waathirika na wanaendelea…
Watu 19 wauawa kufuatia mashambulizi ya Israel mji wa Gaza
Kwa mujibu wa msemaji wa shirika hilo, Mahmud Bassal, ni kwamba mashambulizi ya Israel yalilenga majengo na mahema yaliyokuwa yamehifadhi watu walioyakimbia makaazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea. Jeshi la…
Finland yaunga mkono suluhisho la mataifa mawili
Tamko hilo la Finland ni matokeo ya mkutano wa kimataifa uliofanyika mwezi Julai na ulioandaliwa na Saudi Arabia na Ufaransa, ambao ulisusiwa na Israel na mshirika wake mkuu, Marekani. Waziri…
Putin: Wanajeshi wa kigeni Ukraine kabla ya amani ni maadui
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema leo kuwa vikosi vyovyote vya kigeni vitakavyotumwa nchini Ukraine kabla ya kutiwa saini kwa makubaliano ya amani kati ya Kyiv na Moscow vitachukuliwa kama…
Ni mwaka mmoja tangu maandamano ya wakazi wa Ngorongoro
Mwaka 2024, wananchi zaidi ya 500 waliandamana kwa amani wakidai kurejeshwa kwa maeneo yao yaliyochukuliwa na serikali, kurudishiwa huduma za kijamii pamoja na ulinzi wa haki za binadamu. Yalikuwa ni…
Kansela Merz aeleza wasiwasi kuhusu nafasi ya Ulaya duniani
Merz ameyasema hayo wakati wa mahojiano na kituo rasmi cha habari cha chama chake CDU.TV. Kiongozi huyo wa Ujerumani ametaja vita vya Ukraine kama mfano na kueleza kwamba Ulaya kwa…
Watu 15 wafariki dunia kwa Ebola Kongo
Waziri wa Afya Samuel Roger Kamba amesema kwamba huo ni mripuko wa 16 wa Ebola nchini humo na kwamba kufariki kwa asilimia 53.6 ya wagonjwa kunaonyesha uzito wake. Mwanamke mjamzito…
M23 na jeshi la Kongo wahusishwa na ukiukaji wa haki DRC
Kwa mujibu wa ripoti ya wachunguzi wa Umoja wa Mataifa, kuna uwezekano kulifanyika uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali…
UNICEF yaonya kuhusu hali ya watoto katika ukanda wa Gaza
Katika mkutano na waandishi wa habari hapo jana, msemaji wa UNICEF, Tess Ingram, amesema mji wa Gaza City, kimbilio la mwisho kwa familia kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, unaibuka kwa…
Putin: Vikosi vya kigeni Ukraine vitalengwa
Hayo ni baada ya Ufaransa kusema kuwa imekubaliana na washirika wake kutuma wanajeshi wa kulinda amani Ukraine. Putin pia alifutilia mbali wazo la kuwepo vikosi vya amani nchini Ukraine baada…
Vijana wa Kiafrika huenda wakawa ni wapweke kuliko unavyojua
Utafiti huo unaakisi kukua kwa tatizo la upweke miongoni mwa vijana hasa wanaotoka katika mataifa masikini. Katika utafiti huo watu 1,000 walihojiwa kwenye mataifa 142. Kati ya nchi 29 zilizobainika…
Maulidi yaadhimishwa kwa sherehe kubwa Somalia
Maelfu ya Wasomali wameandamana mitaani jijini Mogadishu kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, ikiwa ni sikukuu iliyotangazwa rasmi na serikali. Wizara ya Kazi na Masuala ya Kijamii ilitangaza siku…
Je Iran itafanikiwa kuviepuka vikwazo vipya vya UN?
Hii ni baada ya mataifa matatu ya Ulaya kuanzisha mchakato wa kuiwekea vikwazo kama makubaliano hayatofikiwa. Ufaransa Ujerumani na Uingereza hivi karibuni zilianzisha mchakato unaolenga kuiwekea tena vikwazo Iran kuhusu…
Nguvu ya mafuta: Urusi, China na India zaipa kisogo Marekani
Chanzo cha picha, Reuters Maelezo ya picha, Kabla ya Tianjin, viongozi hao watatu walikutana hapo awali Kazan mwaka jana Maelezo kuhusu taarifa Author, Osmond Chia Nafasi, Mwandishi masuala ya biashara,…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Tetesi za Soka Ijumaa: Maguire anawindwa na vilabu vya Saudi
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Harry Maguire Saa 4 zilizopita Harry Maguire wa Manchester United na England, mwenye umri wa miaka 32, amekuwa akiwindwa na vilabu viwili…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Fahamu nchi zenye mabilionea wengi Afrika
Chanzo cha picha, HP Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam Saa 3 zilizopita Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na…