Trump ameongeza muda wa usitishaji wa vita Iran
Rais wa Marekani, Donald Trump, hapo jana alitangaza kuongeza muda wa usitishaji mapigano na Iran ili kutoa nafasi ya majadiliano, wakati huu makubaliano ya awali yakimalizika bila ya tukio lolote…
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Barcelona zinamfukuzia Bernardo Silva
Bernardo Silva yuko kwenye rada za Arsenal na Barcelona, Liverpool wanaweza kujaribu kumsajili Randal Kolo Muani, huku Kobbie Mainoo akikubali kufanya mazungumzo mkataba mpya Manchester United
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 22, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Mayanga arejea Mbeya City, kibarua hiki chamsubiri Ligi Kuu
Baada ya kuachana na Mecky Maxime, Mbeya City imemrejesha kikosini Salumu Mayanga kuwa kocha mkuu.
Muhato: Teknolojia imeleta mapinduzi katika uhifadhi wa nyaraka na taarifa
Ukuaji wa teknolojia umetajwa kama kichocheo kikuu katika kuleta mapinduzi katika uhifadhi wa...
Mayanga arudisha majeshi Mbeya City akimrithi Maxime
Baada ya kuachana na Mecky Maxime, Mbeya City imemrejesha kikosini Salumu Mayanga kuwa Kocha...
Chadema katikati ya mjadala wa mwelekeo wa upinzani
Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mjadala unaozidi kushika kasi miongoni mwa wadau...
Dk Nchemba kuongoza mkutano wa hatma ya uchaguzi wa ALAT Taifa kesho Arusha
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba anatarajiwa kufungua na kushuhudia mkutano mkuu wa uchaguzi wa...
Yanga yatangulia nusu fainali Muungano, ikiipiga Muembe Makumbi
YANGA imeanza vyema kampeni ya kutetea ubingwa wake wa Kombe la Muungano, ikiichapa Muembe Makumbi City kwa mabao 4-0.
Vikwazo vya wanawake katika kilimo licha ya mchango wao mkubwa
Licha ya wanawake kuchangia karibu asilimia 40 ya nguvu kazi ya kilimo duniani na kuwa na...
Kibaha yajipanga kukabiliana na ongezeko la wanafunzi 2028
Manispaa ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani imeanza maandalizi ya kuboresha miundombinu ya elimu...
Mikoa minne kunufaika kambi ya kibingwa ya matibabu
WATU zaidi ya 300 kutoka Mikoa minne ya kanda ya kaskazini ya Arusha ,Kilimanjaro,Tanga na Manyara wanatarajia kunufaika na kambi ya siku tatu ya matibabu ya kibingwa Jijini Arusha kwa…
Sh4.3 bilioni kujenga jengo jipya la Manispaa ya Iringa
Manispaa ya Iringa imeandika historia mpya baada ya kusaini mkataba wa ujenzi wa ofisi mpya za...
Osere Flats: Ndani ya Nyumba za Rongai Zinazomilikiwa na Charlene Ruto
Osere Flats mtaani Ongata Rongai ni makazi ya vyumba viwili vya kulala ambapo mandhari yake ni ya klupendeza, yanayosemekana yanamilikiwa na Charlene Ruto.
Mahakama yarejesha kesi ya fidia kwa Shose Sinare
Mahakama hiyo imeirejesha kesi hiyo baada ya Shose kushinda rufaa aliyoikata akipinga uamuzi wa...
Waziri wa Tanzania Anguruma William Ruto Kusema Kenya Ndiyo Nchi Iliyoendelea Zaidi Afrika Mashariki
Rais William Ruto alidai Kenya ndiyo nchi iliyoendelea zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki, na kuhalalisha bei ghali ya bidhaa za mafuta nchini Kenya.
Ulega aipa Tanroads siku 14 kumpata mkandarasi barabara ya Kisarawe–Maneromango
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads)...
Muuguzi adaiwa kuuawa na mpenzi aliyemsomesha kisa wivu wa mapenzi
Ofisa Muuguzi wa Hospitali ya Mji Same mkoani Kilimanjaro, Asha Bakari (25), anadaiwa kuuawa...
ATCL ilivyojipanga kuibeba Afcon 2027
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeweka wazi mkakati wake maalumu wa kutumia fursa ya mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji, kwa kuzindua huduma na vifurushi…
Maagizo matano ya Rais Samia kuboresha sekta ya mama, baba lishe
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo matano yanayolenga kuboresha sekta ya mama na baba...
Kifaa kipya mlangoni Yanga, mchongo mzima upo hivi…
YANGA inapiga hesabu mpya juu ya kuboresha ukuta wake na wakati wowote inaweza kumng’oa beki wa kazi pale TRA United. Dili la kifaa hicho kipya, linatishia nafasi ya beki Mghana,…
PURA commended for overseeing gas drilling operations
DODOMA: The Permanent Secretary in the Ministry of Energy responsible for Petroleum and Gas, Dr James Mataragio, has commended the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) for successfully supervising the implementation…
Songwe kitovu uzalishaji Soya Tanzania
Katika kukabiliana na utegemezi wa bidhaa za soya kutoka nje ya nchi, Tanzania imeanza...
PURA yapongezwa usimamizi uchimbaji visimna vya gesi
DODOMA: Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kusimamia kwa mafanikio utekelezaji wa mradi…
Maporomoko ya tope Morogoro yalazimisha kufungwa shule, Serikali yatuma wataalamu
Serikali imetuma timu ya wataalamu kuchunguza chanzo cha maporomoko ya tope yaliyolikumba...
DC Kilombero aagiza watendaji kusimamia kazi ya ugawaji, matumizi ya vyandarua
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya amewaagiza watendaji wa kata, vijiji na mitaa...
“Lazima PHD?” Uteuzi wa Gaucho Katika Bodi ya Mama Lucy Wagawa Kenya Ahmednasir Akiuliza Swali Nzito
Wakili Ahmednasir alizua mjadala baada ya kushangaa mbona Wakenya wanamkataa mtu aliyejijenga kutoka mtaani ila wanawaamini mabwenyenye ambao wameishi kufyonza nchi
“Lazima PHD?” Uteuzi Gaucho Katika Bodi ya Mama Lucy Wagawa Kenya Ahmed Nasir Akiuliza Swali Nzito
Wakili Ahmednasir alizua mjadala baada ya kushangaa mbona Wakenya wanamkataa mtu aliyejijenga kutoka mtaani ila wanawaamini mabwenyenye ambao wameishi kufyonza nchi
Wakati maandalizi ya mkutano mkuu wa ALAT yakiendelea jijini Arusha, ambao pia utatumika kuwachagua viongozi wapya, baadhi ya wa…
Wakati maandalizi ya mkutano mkuu wa ALAT yakiendelea jijini Arusha, ambao pia utatumika kuwachagua viongozi wapya, baadhi ya wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wamezungumzia umuhimu wa chombo hicho pamoja na…
Wakazi zaidi ya 100 wa Kitongoji cha Kibosha Mji Mpya wamejitokeza kuomba kuunganishiwa huduma ya majisafi na salama, wakati mra…
Wakazi zaidi ya 100 wa Kitongoji cha Kibosha Mji Mpya wamejitokeza kuomba kuunganishiwa huduma ya majisafi na salama, wakati mradi wa maji wa Kibosha Mnarani ukiendelea kukamilishwa na Mamlaka ya…
Ibenge azikunjia uso Simba, Yanga Kombe la Muungano
KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amezichimba mkwara timu tatu kubwa Simba, Yanga na Singida Black Stars akisema hawezi kukubali timu hiyo kuendelea kugeuka ngazi ya mafanikio.
Pura: Tanzania ina kiwango cha gesi mara mbili zaidi ya malengo
Tanzania huenda ikawa mzalishaji mkubwa wa gesi kutokana na matokeo kuonyesha uwezo wa zaidi ya...
Mike Sonko Adai Mpenzi Wake Alimchiti: “Nilikuwa Nikilipa Kodi”
Madai tata ya Mike Sonko ya kuchiti yamezua mjadala mtandaoni, na kufichua huzuni na ukafiri. Aliyopitia yamechochea majadiliano juu ya mienendo ya uhusiano.
Ugomvi wa baa wasababisha kifo Tabora, kijana achinjwa shingoni
Ugomvi ulioanza kwa maneno makali ndani ya baa umegeuka kuwa tukio la mauaji baada ya kijana...
Maandamano Nairobi CBD: Polisi Watawanya Waandamanaji Waliojitokeza Kuteta Kuhusu Bei ya Mafuta
Polisi waliojihami wameshika doria CBD Nairobi huku kukiwa na maandamano ya kuteta kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta. Waandamanaji wanaongozwa na Rigathi Gachagua.
BoT yawashauri wachimbaji wadogo Simiyu kutumia mifumo rasmi ya fedha
Wachimbaji wengi bado wanatumia njia zisizo rasmi kuhifadhi au kuhamisha fedha, hali...
UDSM yaja na suluhisho upungufu wa ujuzi wahitimu
Wakati malalamiko ya waajiri kuhusu wahitimu kukosa ujuzi laini yakiendelea kushika kasi, Chuo...
Wabunge, wasomi wataka mfumo imara Wizara ya Vijana
Wakati wabunge wakipitisha bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, hoja...
Rais Samia Suluhu Hassan, ameagiza kutengwa na kuendelezwa maeneo rasmi kwa shughuli za mama na baba lishe ili kuboresha mazingi…
Rais Samia Suluhu Hassan, ameagiza kutengwa na kuendelezwa maeneo rasmi kwa shughuli za mama na baba lishe ili kuboresha mazingira yao ya kazi. Ametoa agizo hilo Aprili 21, 2026 jijini…
Sehemu ya Series zitakazoruka wiki hii kupitia Kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya Series zitakazoruka wiki hii kupitia Kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za Series. #Series #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
Meya wa Kibaha ajitosa kuwania uongozi ALAT
Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dk Nicas Mawazo, amejitosa katika kinyang’anyiro cha uongozi wa...
Sehemu ya vipindi vya Katuni wiki hii kupitia AzamTV
Sehemu ya vipindi vya Katuni wiki hii kupitia AzamTV Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za Katuni. #Kids #AzamTV (Feed generated with FetchRSS)
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema shughuli za baba lishe na mama lishe zina hadhi na zinapaswa kuheshimiwa kutokana na mchango w…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema shughuli za baba lishe na mama lishe zina hadhi na zinapaswa kuheshimiwa kutokana na mchango wake katika afya na ustawi wa jamii. Rais Samia amesema…
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa TOSCI, Zubery Suddy, amesema ubora wa mbegu unasimamiwa kwa kuzingatia taratibu na…
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa TOSCI, Zubery Suddy, amesema ubora wa mbegu unasimamiwa kwa kuzingatia taratibu na viwango vya kisheria vinavyohusisha hatua mbalimbali za ukaguzi. Ameeleza…
UNOPS: Tunajitahidi kurejesha maisha kaskazini mwa Msumbiji baada ya mgogoro
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Miradi na Huduma (UNOPS) kwa kushirikiana na Serikali ya Msumbiji imekabidhi rasmi boti 23 za uvuvi pamoja na vifaa vyake kwa vyama vya wavuvi…