Ligi Kuu ya EPL: Timu nne zinazoweza kuisaidia Arsenal kuishinda Manchester City na kutwaa ubingwa
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu zapamba moto huku Arsenal ikikabiliana na Manchester City. Kwa uongozi wa pointi sita, je, Gunners wanaweza kupata ubingwa tangu 2004?
Wizara yatakiwa kunufaika uzoefu wa mabalozi wastaafu
DAR ES SALAAM: Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu kutoka kwa mabalozi wastaafu katika utekelezaji wa mipango mbalimbali ya…
Dk Mwinyi: Wanawake wanafanya vizuri zaidi kwenye nafasi wanazopewa
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inatambua...
MCL yaipeleka Rising Woman Zanzibar, Nchimbi asema…
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imezindua rasmi Jukwaa la The Citizen Rising...
Four men arrested over shock death of Brit businessman in Kenya
NAIROBI: FOUR men have been arrested in connection to the gruesome death of a Brit businessman whose body was found dumped in a pineapple sack in Kenya. Campbell Scott, 58,…
Kenya yaongeza bei ya mafuta kufuatia vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Serikali ya Kenya imepandisha bei za rejareja za bidhaa za mafuta kwa kiwango cha hadi asilimia 24.2, ikizingatia ongezeko la ghafla la bei ya mafuta ghafi duniani na changamoto za…
Msururu wa FIFA: Harambee Starlets watapata pesa kiasi gani baada ya kupiga fainali na Australia
Harambee Starlets walimaliza wa pili katika Msururu wa FIFA kwa Wanawake, wakipoteza 2-0 dhidi ya Australia. Hii hapa safari yao, zawadi, na matarajio yabaadaye.
Nigeria yataka msaada kukabiliana na mshtuko wa kiuchumi uliochochewa na vita dhidi ya Iran
Waziri wa Fedha wa Nigeria, ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa muungano wa nchi zinazoendelea unaojulikana kama G24, amesema kwamba taasisi za kifedha za kimataifa zinapaswa kuongeza hatua za kusaidia mataifa…
WB okays 1.4tri/- for Tanzania
Funds expected to boost education, uplift poor households DAR ES SALAAM: THE World Bank, through its Board of Directors, has approved 550 million US dollars (over 1.4tri/-) for Tanzania to…
Esmaeil Baqaei: Iran yasema haitakubali ubabe wa Marekani katika mazungumzo
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amesisitiza kuwa Iran ilikataa mapendekezo aliyoyaita “yasiyo na mantiki” yaliyowasilishwa na Marekani katika mazungumzo yaliyofanyika Islamabad, akionya kuwa Tehran…
Wakenya watoa maoni baada ya EPRA kupunguza bei ya petroli na dizeli hadi chini ya KSh 200
Wakenya wanatoa maoni kwa unafuu wa tahadhari lakini bado wanahisi kuchanganyikiwa baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli (EPRA) kutangaza bei mpya.
Vita vya Mashariki ya Kati: Viongozi wa Israel na Lebanon kukutana kwa mazungumzo Alhamisi
Viongozi wa Israeli na Lebanon watafanya mazungumzo siku ya Alhamisi, Aprili 16, Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza siku ya Jumatano jioni, siku moja baada ya mazungumzo ya kwanza ya…
Mambo manne yanayoweza kutokea katika mzozo wa Marekani na Iran
Usitishaji mapigano, ambao umedumu kwa wiki mbili, bado upo baada ya zaidi ya saa 20 za mazungumzo kati ya Marekani na Iran yaliyoandaliwa na Pakistan ambayo yalimalizika Jumapili bila maendeleo…
Nairobi: Huzuni tele huku mvulana wa Shule ya Upili ya Olympic akifa baada ya kuangukiwa na vifusi
Jengo liliporomoka huko Langata na kusababisha kifo cha Andrew Otiato. Mama yake anasaka msaada wa mazishi huku jamii ikimwombolezea mwanafunzi huyo wa gredi ya 10.
Togo yapinga makadirio ya Mercator, ramani ya dunia inayofanya Afrika ionekane ndogo zaidi
Togo itaomba Umoja wa Mataifa (UN) kubadilisha ramani za dunia na kupitisha moja inayowakilisha kwa usahihi zaidi ukubwa wa mabara, hasa Afrika. Pendekezo liko katika maandalizi ya Mkutano Mkuu ujao…
Mauritania na Ufaransa kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali
Rais wa Mauritania Mohamed Ould Cheikh El Ghazouani amepokelewa Jumatano, Aprili 15, 2026, na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kwa ziara ya siku tatu, ya kwanza kwa mkuu wa nchi…
Magazeti ya Kenya: Ugumu zaidi wa maisha waanza huku serikali ikiashiria kupanda kwa bei ya umeme
Magazeti ya humu nchini ya Aprili 16 yanazungumzia matokeo ya kupanda kwa bei ya mafuta, kesi mahakamani kuhusu magendo ya wadudu, na mauaji ya kutisha Kirinyaga.
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ..APRILI 16, 2026- SIMBA YAENDELEZA UBABE WAKE NBC
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ..APRILI 16, 2026- SIMBA YAENDELEZA UBABE WAKE NBC (Feed generated with FetchRSS)
Burkina Faso: Mashirika yasiyo ya kiserikali 100 yamevunjwa na kupigwa marufuku kufanya kazi
Nchini Burkina Faso, Waziri wa mambo ya aNadani na Uhamaji ametangaza siku ya Jumartano, Aprili 15, 2026, kufutwa kwa mashirika takriban 100. Mamlaka zimetaja kutofuata masharti ya kisheria yaliyopo, bila…
Sudan: Jumuiya ya kimataifa yaahidi euro bilioni 1.5 katika misaada ya kibinadamu
Mkutano wa tatu kuhusu Sudan umefanyika siku ya Jumatano, Aprili 15, huko Berlin. Kama ilivyokuwa katika mikutano miwili iliyopita, lengo lake lilikuwa kukusanya fedha kwa ajili ya misaada ya kibinadamu,…
Madagascar: Ofisi ya rais yalaani vitisho dhidi ya rais mpya
Nchini Madagascar, Mkurugenzi wa Mawasiliano katika ofisi ya rais amefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari siku ya Jumatano, Aprili 15, 2026, katika muktadha ulioangaziwa na kukamatwa hivi…
Marekani na Iran zajadili duru ya pili ya mazungumzo kukiwa na wasiwasi wa muda wa usitishaji mapigano
Msemaji wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt amesema mazungumzo ya kurefusha makubaliano ya kusitisha mapigano kwa zaidi ya wiki mbili yamekuwa yenye tija na yanayoendelea.
Burudani au matokeo? Arsenal yatinga nusu fainali kwa tabu
Iwapo Arsenal watafanikiwa kunyanyua taji kubwa huenda hata Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza mashabiki hawatajali namna walivyocheza kwenye mechi kama hii.
Dk Kigwangalla: Niliandika barua kujiuzulu ubunge
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema misimamo na harakati...
AFC/M23 na Kinshasa wasaini utaratibu mpya wa ufuatiliaji wa kusitisha mapigano
AFC/M23 na serikali ya DRC walisaini utaratibu mpya wa ufuatiliaji wa kusitisha mapigano nchini Uswisi. Utaratibu huu, uliotarajiwa kwa wiki kadhaa, sasa unaunganisha pande zote mbili kwenye mzozo ili kuthibitisha…
DRC: Uchunguzi wa kimahakama waanzishwa baada ya mauaji ya mjasiriamali wa michezo
Tukio hili la kusikitisha limesababisha msukosuko mjini Kinshasa. Mjasiriamali ambaye alikuwa bado kijana alipatikana amefariki, akipigwa risasi hadi kufa asubuhi na mapema ya Aprili 10. Vally Amisi, meneja wa klabu…
🔴KUMEKUCHA: ..APRILI 16, 2026
🔴KUMEKUCHA: ..APRILI 16, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Papa Leo anaendelea na ziara yake nchini Cameroon
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo wa kumi na nne, leo anatarajiwa kuzuru Bamenda, eneo ambalo limeendelea kukabiliwa na utovu wa usalama kwa miaka kadhaa sasa, kati ya kundi…
Jeshi la Israel limeagizwa kumuua mpiganaji yeyote wa Hezbollah kusini mwa Lebanon
Jeshi la Israel limeagizwa kumuua mpiganaji yeyote wa Hezbollah katika eneo la kusini mwa Lebanon linaloanzia mpaka wa Israel na Lebanon hadi Mto Litani, ambao unapita takriban kilomita 30 (maili…
Wizi wa miundombinu ya umma kuendelea kurudisha nyuma maendeleo
Wizi wa miundombinu ya umma kuendelea kurudisha nyuma maendeleo. Je,wakamatwe wanaonunua miundombinu hiyo ili kukomesha biashara hiyo ? (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 mkoani Dar es Salaam zinatarajiwa kuingia wilayani Kinondoni Aprili 17, 2026, ambapo…
#HABARI: Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 mkoani Dar es Salaam zinatarajiwa kuingia wilayani Kinondoni Aprili 17, 2026, ambapo utakimbizwa kwa umbali wa kilometa 63.9. Katika mbio hizo, Mwenge…
Kwenye historia ya mashindano ya UEFA Champions League (UCL), timu zilizokutana mara nyingi zaidi ni Real Madrid na Bayern Munic…
Kwenye historia ya mashindano ya UEFA Champions League (UCL), timu zilizokutana mara nyingi zaidi ni Real Madrid na Bayern Munich, zikiwa zimecheza jumla ya mechi 29. Ukweli wa Kuvutia kuhusu…
Uchunguzi wa siri wa BBC wabaini kuwa wahamiaji hujifanya wapenzi wa jinsi moja ili kupata hifadhi
BBC imefichua sekta ya kificho inayowatoza wahamiaji maelfu ya pauni ili kuwasaidia kukwepa mfumo wa kutoa hifadhi.
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Liverpool yaongoza mbio za kumsajili Senesi
Beki wa Bournemouth Marcos Senesi wa anawaniwa na Liverpool, Reds pia Inamtaka Mmshambuliaji wa Newcastle Anthony Gordon, huku Manchester City wakimfuatilia mlinzi wa Feyenoord Givairo Read.
Au sisi mpaka nyavu zitikisike?
Au sisi mpaka nyavu zitikisike? ##Football #Soccer #FootballShorts #Goal #Highlights #MatchDay #FootballFans #Viral #Reels #Shorts #FYP #Trending #Ballers #FootballLife #GameTime (Feed generated with FetchRSS)
Fikiri Elias aweka rekodi ya kwanza Coastal
KOCHA Fikiri Elias, ameanza na mguu mzuri ndani ya Coastal Union akifanikiwa kuweka rekodi ambayo watangulizi wake wameishindwa.
EPRA yapunguza bei ya petroli kwa KSh 9, dizeli kwa KSh 10
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli imetangaza kupunguza bei ya mafuta kufuatia hatua ya kupunguza VAT kwenye bidhaa za petroli kutoka asilimia 16 hadi 8%.
Msigwa awataka wanahabari kulinda amani
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuhamasisha amani, umoja, mshikamano na maridhiano…
Wanazuoni waja na njia kufanya tafiti ziwe injini ya maendeleo
Wakati Tanzania ikielekea kwenye utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayoweka...
Wale ambao hawana Ithibati watupishe
KAIMU Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Patrick Kipangula, amewakumbusha waandishi wa habari kuzingatia maadili ya taaluma yao ili kulinda amani na mshikamano wa jamii. The…
Wizara tatu kutafuta tiba migogoro ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Leonard Akwilapo, amesema tayari wizara hiyo...
Tamisemi yatangaza mkakati ukarabati shule zote chakavu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Profesa...
Mwigulu ahitimisha bajeti ofisi yake, kuhusu mafuta kimya kinene
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amehitimisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha...
Rigathi Gachagua Awataja William Ruto, Oburu Oginga na Maafisa Wengine 2 wa Serikali katika Kashfa
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua alimshutumu Rais William Ruto kwa kupanga sakata ya mafuta huku mafuta yakipanda, akiwahusisha maafisa wakuu na madai ya ufisadi.
Mradi wa vyoo kuimarisha utoaji elimu Bukombe
Katibu Tawala wa Wilaya ya Bukombe, Ally Mketo, amewataka wanafunzi wa Shule ya Sekondari...
Chatanda aahidi mchango wake sekta ya afya
DODOMA: Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa (UWT), Mary Chatanda ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Hospitali Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, amesema kuwa ataendelea kutoa mchango wake…
Je, G-to-G ni Suluhisho au Chanzo cha Tatizo la Bei ya Mafuta Kenya
Mfumo wa ununuzi wa mafuta kwa njia ya Serikali kwa Serikali (G-to-G) umeendelea kuwa kitovu cha mjadala Kenya, hasa wakati wananchi wanafinywa na gharama ya maisha
Wanaofanya uandishi bila ithibati kusakwa
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Patrick Kipangula...
Vijiji 66 Kigoma vyaungwa gridi ya taifa
KIGOMA: Jumla ya kaya 1800 katika vijiji 66 mkoani Kigoma zimeunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa kupitia mpango wa umeme vijijini unaosimamiwa na Wakala wa Umeme Vjijini (REA) ikiwa…