Wasira: Nyerere aliandika kitabu kutetea wanawake
DAR ES SALAAM — Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Hayati Julius Nyerere aliandika kitabu cha kutetea haki za wanawake akiwa Chuo Kikuu cha…
Wadau wakutana kujadili mkakati AFCON 2027
DAR ES SALAAM — Wadau kutoka taasisi mbalimbali za serikali na sekta binafsi wamekutana kujadili Mkakati wa Kitaifa wa maandalizi ya Mashindano ya AFCON 2027, katika mkutano uliofanyika jijini Dar…
Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda
DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wafanyabiashara wa soko la Simu 2000 Market wamepangiwa maeneo ya muda wakati ujenzi wa maduka zaidi…
Dar kitovu cha mafuta, bei hutegemea soko la dunia
DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo ni kitovu kikuu cha upokeaji wa mafuta nchini Tanzania, ukiwa na matanki 22, kati…
Tanzania insists on close ties with religious bodies in safeguarding peace, security, national unity
DAR ES SALAAM: THE Minister for Home Affairs, Patrobas Katambi, has reaffirmed the Tanzanian government’s commitment to strengthening cooperation with religious leaders as part of ongoing efforts to safeguard peace,…
Kikwete aanza vyema juhudi za amani Sudan Kusini
JUBA — Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameanza kuhuisha mchakato wa amani nchini Sudan Kusini baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili jijini Juba. Akiwa Mwakilishi Maalum wa Mwenyekiti…
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima na Chuo Kikuu cha Nasarawa nchini Nigeria kupitia njia ya mtandao. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tukio hilo litafanyika…
Maritime security, trade, and economic cooperation herald the 9th Indian Ocean Conference
PORT LOUIS: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Mahmoud Thabit Kombo, is participating in the 9th Indian Ocean Conference taking place in Port Louis, Mauritius, from…
Mwenge wa Uhuru kukagua miradi ya bilioni 113 Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amesema Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kwa...
Wapinzani Zimbabwe wajawa hofu mabadiliko ya katiba yakishika kasi
Mabadiliko hayo yanatazamwa kama mapinduzi dhidi ya nguvu ya umma huku wanasiasa wakieleza kuwa...
Kampuni ya mafuta yafurahishwa mfumo ulipaji kodi
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Uingizaji na Usambazaji wa mafuta Jamii ya Petrol nchini ya ‘MOIL Energies’ imesema imefurahishwa kwa kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ulipaji kodi ya nishati hiyo…
Vijana wahitajika maonesho ya ubunifu
SHINYANGA: WAJASIRIAMALI 600 nchini wanatarajiwa kuonesha bidhaa zao mpya za ubunifu,kubadilishana ubora na kuuza huku vijana wanaochipukia wakiombwa kuhudhuria kujifunza zaidi kwa kile walichonacho ili kujiajiri na kunyanyua vipato vyao.…
Nani kipa bora zaidi duniani? Je ni Raya, Neuer au Maignan?
David Raya na Manuel Neuer walitamba katika Ligi ya Mabingwa wiki hii - lakini je, ni miongoni mwa makipa bora zaidi duniani?
Wanaanga wanne waliokwenda mwezini wavunja rekodi
Hatua hiyo ilihitimisha mpango ambao siku nne kabla uliwafikisha wanaanga umbali wa maili...
TISEZA registers 177 projects worth 31tri/-in three months, creates 19,750 jobs
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) Director General Gilead Teri has said that between January and March 2026, 177 projects worth 31tri/- have been…
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetenga zaidi ya shilingi bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwem…
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetenga zaidi ya shilingi bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo masoko, kwa lengo la kutoa fursa za ajira na…
How Mwanza police intensify crackdown, warning against drunk-drivers
MWANZA: ON any given day, thousands of vehicles move along Tanzania’s roads, carrying workers, families and goods that sustain the economy. Beneath this daily movement, however, lies a growing and…
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo y…
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) kimesema huduma za usafiri zitaendelea kutolewa kama kawaida kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati yao na serikali. Katibu Mkuu wa TABOA, Priscus John amesema uamuzi…
Edwin Sifuna aishikisha ODM kigugumizi, chashindwa kumfukuza kabisa kabisa
Edwin Sifuna amepata muda zaidi wa kuwa ODM huku jopo la nidhamu la chama likimpa muda wa ziada wa kujiandaa kwa utetezi wake kutokana na hatua ya kumtimua.
Scar behind poor haemophilia awareness
DAR ES SALAAM: HAEMOPHILIA is a blood disorder that affects the body’s ability to clot blood, caused by a deficiency of essential clotting factors. Global statistics show that one in…
Leadership lessons from India offer insights for Tanzania
INDIA: FOR Tanzania, engagement in international training programmes plays an important role in strengthening national capacity. Such initiatives build relationships with global partners while offering opportunities to reflect on local…
COLUMN: MIND YOUR LANGUAGE. Is the world facing high prices of oil, fuel, petroleum, or all, at the same time?
DAR ES SALAAM: TO address the various challenges currently facing the world as a result of the conflict going on in the Middle East, news writers are facing a problem…
Tanzania eyes cotton output recovery to 300,000 tonnes
MWANZA: TANZANIA is eyeing a recovery in cotton production to 300,000 tonnes in the 2026/27 season after output rose to 222,057 tonnes in 2025/26 from a record low of 149,361…
TZ showcases housing opportunities at Africa forum
NAIROBI: THE government has highlighted its achievements in urban development and the housing sector at the Second African Urban Forum currently taking place in Nairobi, Kenya. It also called on…
Zanzibar signs water master plan deal
ZANZIBAR: THE Zanzibar government has signed a landmark agreement with NIRAS International Consulting to develop a comprehensive Water Master Plan aimed at improving water supply, resource management and sanitation services…
JINSI RAIS SAMIA ALIVYOPUNGUZA MSAFARA WAKE
JINSI RAIS SAMIA ALIVYOPUNGUZA MSAFARA WAKE. #StarTvUpdate (Feed generated with FetchRSS)
Public urged to routinely test for Hepatitis B
DODOMA: THE general public has been urged to undergo Hepatitis B testing to determine their health status as the disease remains health threat despite availability of its vaccines and treatment.…
No fixed repayment terms for disability loans, House told
DODOMA: THE government has said there is no fixed repayment period for loans issued to persons with disabilities under the 10 per cent loan scheme, telling the National Assembly that…
Raymond Omollo ajizozoa, alaani shambulizi dhidi ya Osotsi na kukana kuhusika: “Hata siwafahamu”
Katibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Raymond Omollo amelaani shambulio dhidi ya Seneta Godfrey Osotsi, akionya vikali dhidi ya magenge yanayofanya ghasia za kisiasa.
MPs demand focus on project sustainability
DODOMA: AS the government continues to spend billions of shillings on implementing various infrastructure projects aimed at enhancing service delivery across the country, lawmakers have urged the state to strengthen…
Government reiterates commitment to peace, dignity
DAR ES SALAAM: THE government has reiterated its commitment to protecting and respecting the dignity of Tanzanians, upholding rights and accountability, as well as maintaining peace, stability and national unity.…
Tanzania’s digital growth hits record high
DODOMA: TANZANIA’S communication sector has recorded significant progress during the 2021–2025 period under President Samia Suluhu Hassan’s leadership, marked by expanded access to communication services, a surge in internet subscriptions…
Samia accelerate digital growth
DODOMA: AS the communication sector continues to record significant progress, President Samia Suluhu Hassan has directed relevant authorities to eliminate bureaucratic delays in the approval of telecommunications infrastructure projects, to…
Jiandae kwa simulizi kali ya mapenzi, usaliti, heshima na misukosuko ya ndoa kwenye filamu ya Couple Goals inayoanza kuonyeshwa …
Jiandae kwa simulizi kali ya mapenzi, usaliti, heshima na misukosuko ya ndoa kwenye filamu ya Couple Goals inayoanza kuonyeshwa kuanzia Aprili 11, 2026 kupitia Azam Max. Filamu hii ni kioo…
How sport helps build peace, unity
DAR ES SALAAM: PEACE and sport are deeply interconnected, each strengthening the other in ways that shape communities and nations. Sport thrives in environments where peace prevails, while also serving…
Hatimaye majembe apokea gari la KSh 2 milioni kwa kumtwanga Mbavu, afunguka kuhusu mipango
Bondia wa Kenya Majembe anajivunia ushindi wake na gari jipya aina ya Toyota Noah, zawadi kutoka kwa kampuni ya kamari. Alisema mipango ya familia na mustakabali.
Mtayarishaji wa filamu ya Couple Goals, Lilian Shirima amesema filamu hiyo si ya kukosa kwani haiishii tu kwenye masuala ya mahu…
Mtayarishaji wa filamu ya Couple Goals, Lilian Shirima amesema filamu hiyo si ya kukosa kwani haiishii tu kwenye masuala ya mahusiano, bali inaangazia kwa undani maisha ya ndoa, familia na…
Mwinyi appoints new district commissioners
ZANZIBAR: ZANZIBAR President, Hussein Mwinyi, has made a new round of appointments for District Commissioners (DCs) across Unguja and Pemba, in a move aimed at strengthening local government leadership. According…
Sista Mkatoliki aliyefukuzwa aduwaza kwa urembo, mwonekano wake mpya: “Nina barua 80 za uchumba”
Dada wa zamani Mkatoliki Shako Annastasia amewashangaza wanamtandao kwa mabadiliko yake, akifichua kwamba ana zaidi ya barua za uchumba 80 tangu tukio la kutimuliwa.
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Mkuu wa idara ya program #AzamMedia Fatuma Mohamed, amehimiza wadau wa michezo kuendelea kufanya ma…
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Mkuu wa idara ya program #AzamMedia Fatuma Mohamed, amehimiza wadau wa michezo kuendelea kufanya mazoezi ili kulinda afya zao. Fatuma ameyasema hayo mapema leo Aprili…
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Baadhi ya wafanyakazi wa #AzamTV na wadau wengine wa michezo wamejitokeza mapema leo Aprili 11, 202…
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Baadhi ya wafanyakazi wa #AzamTV na wadau wengine wa michezo wamejitokeza mapema leo Aprili 11, 2026 kwenye mbio maalumu zilizopewa jina la AzamTV Fitness Club…
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
TABOA calls off strike, bus services to continue nationwide
DAR ES SALAAM: The Tanzania Bus Owners Association (TABOA) has announced that transport services will continue as normal following successful talks with the government. Speaking today, TABOA Secretary General, Priscus…
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UM alaani ‘wimbi lisilokoma la mauaji’ Gaza
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amelaani siku ya Ijumaa, Aprili 10, mauaji ya Wapalestina yanayofanywa katika Ukanda wa Gaza, miezi sita baada ya…
Miaka 42 tangu kufariki kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Moringe Sokoine, Watanzania wameendelea kukumbushwa u…
Miaka 42 tangu kufariki kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Moringe Sokoine, Watanzania wameendelea kukumbushwa umuhimu wa uongozi wa uadilifu na uwajibikaji. (Feed generated with FetchRSS)
Kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz katikati ya mazungumzo
Utawala wa Trump umeazimia kuanzisha upya biashara ya hidrokaboni duniani. Lakini hadi sasa, mazungumzo yanapokaribia kuanza, utawala wa Iran unashikilia ufunguo wa Mlango-Bahari wa Hormuz na unaendelea kuzuia safari za…
Big Game wikiendi hii katika Laliga
Big Game wikiendi hii katika Laliga Leo Jumamosi saa 4:00 usiku, Sevilla watakuwa uwanja wa nyumbani wakiwakaribisha Atletico Madrid. Jumapili, saa 4:00 usiku, Athletic Bilbao watakuwa wenyeji wa Villarreal .…
Harmonize kwa Kajala ameendeleza utamaduni wake!
Mwanamuziki wa Bongofleva, Harmonize kwa sasa yupo masikioni mwa wengi kupitia wimbo wake mpya,...