Kufunguliwa tena kwa Mlango-Bahari wa Hormuz katikati ya mazungumzo
Utawala wa Trump umeazimia kuanzisha upya biashara ya hidrokaboni duniani. Lakini hadi sasa, mazungumzo yanapokaribia kuanza, utawala wa Iran unashikilia ufunguo wa Mlango-Bahari wa Hormuz na unaendelea kuzuia safari za…
Big Game wikiendi hii katika Laliga
Big Game wikiendi hii katika Laliga Leo Jumamosi saa 4:00 usiku, Sevilla watakuwa uwanja wa nyumbani wakiwakaribisha Atletico Madrid. Jumapili, saa 4:00 usiku, Athletic Bilbao watakuwa wenyeji wa Villarreal .…
Harmonize kwa Kajala ameendeleza utamaduni wake!
Mwanamuziki wa Bongofleva, Harmonize kwa sasa yupo masikioni mwa wengi kupitia wimbo wake mpya,...
Murkomen anguruma, aamrisha IG Kanja kuchukua hatua kali dhidi ya wahuni na manunda wa wanasiasa
Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen ameamuru kukamatwa kwa wahuni wanaohusishwa na wanasiasa, akilaani mashambulizi dhidi ya Seneta Godfrey Osotsi.
Fedha ni jasho la mtu, lakini kwa baadhi ya wananchi, jasho hilo huisha bila mafanikio kutokana na watu Wengi kuendelea kutembea…
Fedha ni jasho la mtu, lakini kwa baadhi ya wananchi, jasho hilo huisha bila mafanikio kutokana na watu Wengi kuendelea kutembea na fedha mifukoni au kuzichimbia majumbani wakiamini ni salama,…
J.D. Vance awasili Islamabad kwa ajili ya kuanza kwa mazungumzo na Iran
Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amewasili Pakistan siku ya Jumamosi, ambapo mazungumzo kati ya Marekani na Iran yamepangwa kufanyika huku kukiwa na hali ya kutoaminiana. Mazungumzo hayo yanafanyika…
Aliyeikimbia Rwanda asilimulia alivyoungana tena na familia baada ya miaka 13
Ametoa wito kwa Wanyarwanda waliokimbia nchi yao kurejea kwani nchi yao imetulia na wananchi...
China yatetea uratibu ulioimarishwa na Korea Kaskazini kuhusu masuala ya kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amekutana na Kim Jong-un huko Korea Kaskazini siku ya Ijumaa, Aprili 10. Mkutano huu unaonyesha uhusiano kati ya washirika hao wawili…
Djibouti: Ismaïl Omar Guelleh achaguliwa tena kwa asilimia 97.81 ya kura kwa muhula wa sita
Wadjibouti wamepiga kura jana, Ijumaa, kumchagua rais wao. Rais aliye madarakani Ismaïl Omar Guelleh amechaguliwa tena kwa asilimia 97.81 ya kura, kulingana na matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Jumamosi. Hakuna matukio…
Wanaanga wa Artemis II watua salama baada ya kukamilisha safari ya kihistoria mwezini
Nasa imesifia mbinu iliyotumiwa na wanaanga hao wanne kutu katika bahari ya Pacific baada ya kusafiri umbali ambao haujawawahi kufikiwa na binadamu yeyote.
Majina ya mastaa watakaohudhuria Met Gala 2026 yavuja!
Orodha ya wageni mashuhuri wanaotarajiwa kuhudhuria Met Gala 2026 itakayofanyika Jumatatu ya...
J.D. Vance njiani kuelekea Pakistan kwa ajili ya kuanza kwa mazungumzo na Iran
Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance yuko njiani kuelekea Pakistan Jumamosi, ambapo mazungumzo kati ya Marekani na Iran yatafanyika huku kukiwa na hali ya kutoaminiana. Mazungumzo hayo yanalenga kukomesha…
BUNDESLIGA EXPERIENCE: Mchezaji wa Bayer 04 Leverkusen na timu ya Taifa ya Burkina Faso, Edmund Tapsoba ameelezea matarajio yake…
BUNDESLIGA EXPERIENCE: Mchezaji wa Bayer 04 Leverkusen na timu ya Taifa ya Burkina Faso, Edmund Tapsoba ameelezea matarajio yake kwenye AFCON 2027 ambayo itafanyika kwa ushirikiano wa mataifa ya Tanzania,…
Buda amwaga chozi la furaha baada ya mkewe kumnunulia gari jipya kusherehekea bathidei
Tukio la mshangao wa dhati wa bathidei kutoka kwa mke kwa mumewe umeonyesha gari la kifahari na pesa taslimu na kuatua hisia katika mitandao ya kijamii.
Artemis II: Wanaanga watua katika Bahari ya Pasifiki
Baada ya safari ya kihistoria ya kuzunguka Mwezi, wanaanga wanne wa misheni ya Artemis II wamekamilisha safari yao angani siku ya Ijumaa jioni, Aprili 11, 2026, kwa kushuka kwa mafanikio…
Raphael Tuju aagiza familia kumzika ndani ya saa 48 akifa, serikali isihusishwe katika mazishi yake
Waziri wa zamani wa Raphael Tuju ameiomba familia yake kumzika haraka, ndani ya saa 48 atakapofariki, na kutoihusisha kivyovyote serikali katika mazishi yake.
Cherehani director aliyewakutanisha Phina na Eni
Ni wazi kuwa tasnia ya filamu Bongo imeendelea kupitia mabadiliko kila kukicha. Kutoka kule...
Kakamega nyumba haikaliki, Mwakilishi Kike amshtaki Gavana Barasa kwa kumwita mlevi
Mwakilishi wa Kike wa Kakamega Elsie Muhanda amewasilisha kesi mahakamani akitaka fidia dhidi ya matamshi ya Gavana Fernandes Barasa anayodai yalimchafulia jina.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Spurs wanaongoza mbio za kumsajili Robertson
Tottenham iko kwenye nafasi nzuri ya kumsajili Andy Robertson, Manchester City katika mazungumzo ya Morten Hjulmand na Arsenal inawafuatilia Anthony Gordon na Kees Smit wanaowaniwa na klabu zingine za Ligi…
Godfrey Osotsi abumburuka, asema wahuni waliomvamia Kisumu hawawezi kumtisha: “Mjipange tunakuja”
Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi ameapa kuendelea na shughuli za kisiasa licha ya majeraha aliyonayo kutokana na shambulio Kisumu, ambalo limezua hasira ya kitaifa.
Magazeti ya Kenya: Wahuni wavamia mkutano wa Kalonzo Matuu, wawachafua wafuasi wa mshirika wa Ruto
Kuongezeka kwa uhasama wa kisiasa kunaunda mazingira ya makabiliano nchini kabla ya uchaguzi wa 2027. Matukio ya punde yanazua wasiwasi mkubwa kuhusu mstakabali.
Mpango wa kufuta uchaguzi wa urais unawaweka Wazimbabwe katika mvutano mkubwa
Chama tawala kimewasilisha muswada wa sheria ambao unawanyima wapiga kura nafasi ya kumchagua rais.
Mohammad Bagher Ghalibaf: Mwanajeshi na mwanasiasa wa Iran atakayeongoza mazungumzo ya amani na Marekani
Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 64 amewahi kushika nafasi muhimu katika uongozi wa Iran, lakini majaribio yake ya kugombea urais hapo awali yaliishia kushindwa.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 11, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo, Aprili 10, 2026 kimekuta na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Malawi, Dkt …
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo, Aprili 10, 2026 kimekuta na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Malawi, Dkt Lazarus Chakwera Jopo hilo la viongozi Chadema limeongozwa na Makamu…
Ujumbe Maalum wa Viongozi wa ACT Wazalendo umekutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Lazarus Chakwera ambay…
Ujumbe Maalum wa Viongozi wa ACT Wazalendo umekutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Lazarus Chakwera ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Malawi. Ujumbe huo ulioongozwa…
Jaji Levira: Mipango IJA iendane na Dira 2050
TANGA: Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani, Dk Mary Levira amesema kuwa chuo kina jukumu…
Dk Samia azindua minara 758, Airtel juu
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan amezindua minara 758 ya mawasiliano nchini, ikiwa ni hatua kubwa ya kuharakisha mageuzi ya uchumi wa kidijitali. Uzinduzi huo uliofanyika jijini Dodoma umeongeza au…
Sido kuwakutanisha pamoja wajasiriamali
Zaidi ya Wajasiriamali 600 kutoka Tanzania bara na visiwani wanatarajia kushiriki maonesho ya...
Asilimia 59 fedha za mikopo ya halmashauri hazijafika kwa wahusika
Wakati Serikali ikijizatiti kuwawezesha wananchi kiuchumi, Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
Ulega akoshwa na miradi 81 ya dharura
MOROGORO: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameridhishwa na kazi kubwa iliyofanywa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), akiupongeza kwa usimamizi thabiti wa miradi 81 ya dharura iliyotekelezwa nchini. Miradi hiyo,…
Elimu ya mabadiliko ya tabianchi yasisitizwa kwa wenye ulemavu
Taasisi ya Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania (Fuwavita), imesema elimu ya mabadiliko ya...
Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda
Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza imesema haina mamlaka ya kutoa uamuzi katika...
Makonda asimamisha Uchaguzi TOC, Rage abebeshwa zigo
Uchaguzi huo ulipangwa kufanyika Jumapili, Aprili 12, 2026 hapa Dar es Salaam ambapo nafasi za...
CAG abaini fedha kiduchu kwenye balozi kutekeleza diplomasia ya uchumi
Amesisitiza kwamba kiasi kikubwa cha fedha kilichotumika kwa matumizi mengine ya ofisi kilizuia...
Mila potofu zadaiwa kuchangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani
Kesi ya mauaji inayowakabili wanamgambo yapigwa kalenda S: Tukio hilo la mauaji lilitokea...
Mambo manne ya ACT Wazalendo kwa Chakwera haya hapa
ACT imedai kuwa uchaguzi huo ulikuwa na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi, na kulikuwepo na...
CAG abaini utekelezaji hafifu wa mapendekezo, yapo yaliyofikisha miaka 19
Amebainisha kwamba hali hiyo inaacha asilimia 63 ya mapendekezo bila kukamilika, ikionesha...
Serikali yatuma wataalamu wa jiolojia kuchunguza ardhi kupasuka Same
Mpaka sasa, kaya 10 zimeyakimbia makazi yake katika kijiji hicho huku moja ya nyumba za ibada...
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Mohamed Laizer aliyesimamishwa kazi kutokana na matokeo yasiyoridhisha ya timu. Kwa…
Serikali yajenga Km 1,759 za barabara mipakani
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya, amesema Serikali inaendelea kujenga barabara za usalama mpakani kwa kiwango cha changarawe ili kurahisisha shughuli za vyombo vya ulinzi na usalama katika doria mipakani.…
Kimoto kutua na wawili Singida Black Stars
SINGIDA Black Stars imemtangaza kocha mpya wa kikosi hicho, Papy Kimoto, akiwa na msaidizi wake Kapiten Ngoyi Dora ambao wote wamesaini mkataba wa mwaka mmoja na miezi mitatu.
Ruto Awafokea Sakaja, Maafisa Wengine wa Serikali Kuhusu Maadili ya Mavazi
Rais Ruto alimkosoa Gavana wa Nairobi Sakaja kuhusu mavazi yake akiwa Ikulu, akisisitiza kwamba mavazi yanafaa kuonyesha uzito wa kazi rasmi........
Mbeya City mzuka umepanda
MZUKA umeanza kupanda. Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mbeya City kukusanya pointi nne katika michezo miwili, huku ikitoa matumaini kuwa kazi iliyobaki ni mchezo wa kesho dhidi ya Singida Black…
Kombe la FA: Yanga kuivaa TMA Stars, Coastal Union uso kwa uso na Pamba Jiji
LIGI Kuu Bara imesimama kidogo na utamu unahamia Kombe la Shirikisho la CRDB na bingwa mtetezi Yanga inarudi uwanjani kutafuta hesabu za kulinda taji lake itakapokuwa mwenyeji wa wabishi wa…
Tanzania’s access to communications services hits heights as digital infrastructure expands
DODOMA: THE Permanent Secretary of the Ministry of Information, Communications and Information Technology, Mohammed Khamis Abdulla, has said that access to communication services in Tanzania has significantly improved between 2021…
TESP yaimarisha mafunzo ya ualimu nchini
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mafunzo ya ualimu kupitia Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP),…