Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya Dizeli na Petroli kwenda sokoni uliowekwa na Mamlaka ya Map…
Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya Dizeli na Petroli kwenda sokoni uliowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), umetajwa kuharakisha utoaji wa mafuta kwenye vituo…
Katika tamaduni nyingi za Afrika, mti wa mbuyu umeendelea kupewa hadhi ya kipekee kama chanzo cha maisha, lishe na tiba za asili
Katika tamaduni nyingi za Afrika, mti wa mbuyu umeendelea kupewa hadhi ya kipekee kama chanzo cha maisha, lishe na tiba za asili. Katika Bustani ya Wanyama Mbweni JKT jijini Dar…
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, umepokelewa na mamia ya wakazi wa Iringa na kupelekwa nyumbani kwake mtaa …
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, umepokelewa na mamia ya wakazi wa Iringa na kupelekwa nyumbani kwake mtaa wa Gangilonga kwa ajili ya taratibu za mwisho. Kwa mujibu…
#FIFASeries: Aruba ndio mshindi kwenye kundi ‘B” huku Tanzania ikishika nafasi ya tatu
#FIFASeries: Aruba ndio mshindi kwenye kundi ‘B” huku Tanzania ikishika nafasi ya tatu. FT: Aruba 4-1 Liechtenstein Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD. #FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #ArubaVsLiechtenstein #Aruba #Liechtenstein (Feed generated with FetchRSS)
#FIFASeries: Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema wana hisia mchanganyiko kutokana na kupoteza mechi moja na kushinda mo…
#FIFASeries: Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amesema wana hisia mchanganyiko kutokana na kupoteza mechi moja na kushinda moja kwenye FIFA Series 2026 nchini Rwanda. Taifa Stars ilipoteza kwa goli1-0…
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa mzuri mchezo ulikuwa kwa upande wetu,” Kiungo wa Taifa Stars, Kelvin Nashon anasema baada ya kupote…
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa mzuri mchezo ulikuwa kwa upande wetu,” Kiungo wa Taifa Stars, Kelvin Nashon anasema baada ya kupoteza dhidi ya Liechtenstein mioyo yao iligubikwa na majozi na leo walipswa…
Wanawake wengi bado hawajui kukuza na kulinda vipato vyao kwa vizazi vitatu vijavyo-SRC
Wanawake wengi imeelezwa wanapata kipato lakini bado hawajui namna ya kukikuza au kukilinda ili...
Fitch Ratings yaipa Tanzania daraja la B+, wachumi wachambua
Wachambuzi wameeleza kuwa kitendo cha Tanzania kushikilia daraja lake la mikopo la B+ lenye...
Kwa nini mbio za urais 2030 zimeanza mapema
Kwa nini mapema Ni swali linaloakisi harakati, vikumbo na hekaheka zilizoanza kushuhudiwa kwa...
UTEUZI WA KAIMU KATIBU MKUU CAF: Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemteua Samson Adamu raia wa Nigeria, kuwa Katibu Mkuu wa mu…
UTEUZI WA KAIMU KATIBU MKUU CAF: Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemteua Samson Adamu raia wa Nigeria, kuwa Katibu Mkuu wa muda, kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa awali,…
Mwili wa Lukuvi wapokewa Iringa, kupelekwa kijijini Idodi kesho
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)...
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa ni mgumu, lakini tumefuata maagizo ya mwalimu” Bakari Hussein
#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa ni mgumu, lakini tumefuata maagizo ya mwalimu” Bakari Hussein Nyota wa Taifa Stars, Bakari Hussein ambaye ameitumikia timu hiyo kwa mara ya kwanza leo, amefunguka baada ya…
Serikali, wadau watuliza hofu ya uhaba wa mafuta
Wakati hofu ya uhaba wa mafuta ikiendelea miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara, Serikali...
Serengeti girls ya motooo!
MONASTIR: TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imeanza vyema kambi yake ya mazoezi kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tunisia…
Utaratibu mpya TRA waharakisha usambazaji mafuta
DAR ES SALAAM: Utaratibu mpya wa kutoa mafuta kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta ya dizeli na petroli kwenda sokoni uliowekwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), umetajwa kuharakisha utoaji wa…
Taifa Stars yaichakaza Macau FIFA Series
Baada ya kuiongoza Taifa Stars katika mechi tano zilizopita bila ya ushindi sawa na dakika 450, hatimaye kocha, Miguel Gamondi ameonja ushindi wake wa kwanza katika mechi ya kimataifa dhidi…
Mwigulu amaliza utata Coco Beach
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali haina mpango wa kuliuza eneo la Coco Beach...
Waathirika 1,163 wa mafuriko Simanjiro wapatiwa msaada
Watu 1,163 walioathirika na mafuriko katika Tarafa ya Moipo, wilayani Simanjiro mkoani Manyara,...
Katibu Mkuu CAF ajiuzulu, mrithi wake atajwa
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Veron Mosengo-Omba ameng’atuka katika...
Stars yatakata ikiichapa Macau, FIFA Series 2026
Baada ya kuiongoza Taifa Stars katika mechi tano zilizopita bila ya ushindi sawa na dakika 450,...
Algeria: Rais wa zamani Liamine Zeroual amefariki akiwa na umri wa miaka 84
Liamine Zeroual alikuwa kielelezo bora, mfano wa kuigwa katika taifa la Algeria wakati wa kipindi cha miaka kumi kilichokumbwa na matukio ya kusikitisha katika miaka ya 1990. Rais wa zamani…
Ngorongoro waanzisha mfuko wa elimu kusaidia wanafunzi wasiojiweza
Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha imeanza hatua za kuanzisha mfuko maalumu wa elimu...
Mastaa Dar City watoa onyo BAL 2026
MABINGWA wa kikapu wa Tanzania, Dar City wanatarajiwa kushuka tena dimbani kesho watakapokutana na Al Ahly Ly ya Libya katika mwendelezo wa mashindano ya BAL 2026 nchini Afrika Kusini.
Makao makuu ya kituo cha televisheni ya Qatar Al Araby yashambuliwa kimakusudi Tehran
Shambulio la makusudi lilifanywa dhidi ya jengo ambako kunapatikana makao makuu ya kituo cha televisheni ya Al Araby, iliyoko mashariki mwa Tehran, kwenye mraba usio mbali na Heravi Square, anaripoti…
Iran inatishia kuilenga USS Abraham Lincoln ikiwa itafika ndani ya masafa ya urushaji makombora
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran, Shahram Irani, amesema Jumapili, Machi 29, kwamba meli kubwa ya USS Abraham Lincoln intalengwa ikiwa itafika ndani ya masafa ya urushaji makombora. Imechapishwa:…
Profesa Lipumba akabidhi mikoba CUF, asema hana imani na Katibu Mkuu
Hatimaye, Profesa Ibrahim Lipumba amekubali kung'olewa katika wadhifa wa uenyekiti wa Chama cha...
Wakulima Lindi wavuna Sh238 bilioni, wasisitizwa ubora
Chama Kikuu cha Ushirika Lindi mwambao kimefanya mkutano wake wa tisa wa mwaka wenye lengo la...
Waziri Kairuki awang’ata sikio waandishi wa habari wanawake
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, amewataka wanawake wanahabari...
Tanzania tasks TPDC to oversee fuel imports as efforts stabilize market prices
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has taken emergency measures by directing the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) to import fuel in bulk, in order to ensure security and sufficient…
Mbunge aanzisha mfuko maalumu kusaidia wanafunzi Ngorongoro
ARUSHA: Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Yannick ameanzisha mpango maalumu wa kuanzisha mfuko wa elimu utakaowanufaisha wanafunzi 280 kutoka wilayani Ngorongoro wanaotoka katika familia zisizo na uwezo wa…
Serikali yaahidi kuendelea kuboresha masilahi ya watumishi wa afya
Serikali imeahidi kuendeleza dhamira yake ya kulinda, kuimarisha na kuboresha masilahi ya...
AG, msimamizi waibua hoja nzito kesi ya Baba Levo
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) ameibua hoja mahakamani katika shauri la uchaguzi la kupinga...
Tahadhari ya usafi wa vyakula minadani yasisitizwa
Baadhi ya wananchi wilayani Maswa, mkoani Simiyu, wameiomba Idara ya Afya ya Halmashauri ya...
Mama, mtoto wa miezi nne wauawa, watupwa kisimani Tanga
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawashikilia watuhumiwa wanane kwa tuhuma za kuhusika na...
Papa Leo XIV audhihaki utawala wa Trump: Mungu hayuko pamoja na wapenda vita
Papa Leo wa 14 amepinga majaribio ya kutaka kuhalalisha vita na mauaji kwa kutumia vibaya jina la Mungu, katika matamshi ambayo, kwa mujibu wa Televisheni ya CNN, yamerudi na kupinga…
Viongozi wa dini: Elimu iwe ngao dhidi ya ndoa za utotoni
Katika mjadala ulioandaliwa na Shirika la Msichana Initiative jijini Dar es Salaam jana Machi...
Kwa nini jiografia inaipa Iran nafasi nzuri katika Lango-Bahari la Hormuz?
Lango Bahari la Hormuz takriban limefungwa kwa wiki nne sasa na hivyo kupelekea soko la mafuta duniani kutumbukia katika mgogoro mkubwa wa nishati na wala haijulikani litafunguliwa lini.
Dar envisions a transformed Temeke Municipality in DMDP II’s roads project
DAR ES SALAAM: A massive 97.176bn/- roads project is expected to transform Temeke Municipality, with 51.2 kilometres of modern tarmac and concrete roads under construction—unlocking mobility, easing flooding and boosting…
Abdu Mandeke: Ndoto Ulaya imetimia, sasa ni kazi tu
BAADA ya kusajiliwa na Riga FC ya Latvia, kiungo mshambuliaji Abdu Mandeke amesema malengo yake yametimia kutua barani Ulaya, lakini anatamani kucheza na kuonyesha kiwango bora ili kimfungulie njia zaidi.
Said Jr anakitaka kiatu cha dhahabu Malaysia
MSHAMBULIAJI Mtanzania Said Khamis Said Jr anayekipiga katika timu ya Imigresen ya Ligi Kuu Malaysia ameamua kupigania kiatu cha dhahabu katika mashindano hayo akimkimbiza polepole anayeongoza kwenye msimamo wa wafungaji…
Kiatu cha dhahabu chamnyemelea Clara Luvanga Saudi Arabia
MSHAMBULIAJI wa Al Nassr ya Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia, Clara Luvanga amefikia rekodi yake ya msimu uliopita ya kufunga mabao 21 kukiwa bado mechi mbili za kumaliza mashindano…
Mabula alizwa na ishu ya waamuzi Azerbaijan
Kiungo wa Mtanzania anayeitumikia Shamakhi ya Ligi Kuu Azerbaijan, Alphonce Mabula amesema changamoto ya waamuzi katika mechi za mashindano haipo Bara pekee, bali ipo hadi kwenye anayocheza.
Umoja wa Mataifa walaani mauaji ya mlinzi wake wa amani huko Lebanon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amelaani vikali mauaji ya mlinda amani wa Umoja wa Mataifa aliyekuwa akihudumu katika Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon…
Kwanini Iran inatoza ushuru meli kupita Mlango- Bahari wa Hormuz?
Marekani na Iran zimeonyesha misimamo yake,na kuendelea kupimana nguvu kiasi hiki kunaleta athari gani?
Orkeeswa yajifua Zanzibar kusaka uzoefu wa kimataifa
KOCHA Mkuu wa timu ya kikapu kwa wanawake ya Orkeeswa kutoka Arusha, Benjamin John amesema ushiriki wao katika mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation ni sehemu ya maandalizi ya kikosi…