Ligi ya wazawa tu yanukia, Makonda ataja sababu
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda amefichua mpango wa kuanzishwa kwa...
Moshi ilivyofurika Kilimanjaro Marathon 2026
Mbio hizo pia zimeendelea kuwa na mchango mkubwa kiuchumi katika mkoa wa Kilimanjaro, ambapo...
Baba ‘Deadbeat’ Akataliwa na Familia Yake Baaada ya Kuwatoroka kwa Miaka 26
Issa Maulid, aliyetelekeza familia yake kwa miaka 26, aliomba msamaha mtandaoni kabla ya kifo chake Hadithi yake ya ilizua tafakari ya jamii na majibu ya kusikitisha
BoT: Inclusive growth hinges on payment systems
DAR ES SALAAM: BANK of Tanzania has said inclusive economic growth increasingly depends on robust payment systems, which are streamlining financial access, boosting efficiency and strengthening the resilience of the…
Sintofahamu mgodi wa Msasa ukititia Geita
Baada ya uvumi huo, Jeshi la Polisi jana saa 2 usiku, lilitoa taarifa ya kanusho juu ya uwepo...
Unity is Tanzania’s path to progress – Chijoriga
KIBAHA: TANZANIANS have been urged to uphold unity and solidarity, regardless of ideological, religious, or ethnic differences, as essential pillars for building an inclusive and sustainable economy and safeguarding the…
Man United yamkomalia Baleba
Brighton huenda ikakubali kulegeza kamba katika msimamo wao kuhusu kiungo wao wa kimataifa wa...
Miili 10 Kati ya 15 Iliyopatikana Kwenye Ajali ya Nyeri Yatambulika
Ajali mbaya katika Barabara Kuu ya Meru–Nyahururu iligharimu maisha ya watu 16, na kuacha familia katika majonzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Nyeri.
Umewahi kusikia kuhusu ugonjwa wa ‘Bipolar’?
Umewahi kusikia kuhusu ugonjwa wa ‘Bipolar’? Ni ugonjwa unaosababisha mtu kuwa katika hali ya huzuni au furaha inayopitiliza. Daktari Bingwa wa Afya na Magonjwa ya Akili- Muhimbili, Said Kuganda anasema…
Coco beach not for sale, it belongs to people, says PM
DAR ES SALAAM: PRIME Minister, Dr Mwigulu Nchemba, (pictured) has issued a definitive clarification regarding the future of Coco Beach in Dar es Salaam stressing that the iconic shoreline will…
Samia woos Italian investors
Modern steel manufacturing plant in offing DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has welcomed Italian investors seeking to invest in Tanzania’s iron and steel sector, reaffirming the country’s commitment…
Tanzania yashauriwa kuchangamkia fursa dunia ikiyumba kiuchumi
Wakati mvutano wa kisiasa hasa Mashariki ya Kati ukiendelea kubadilisha mifumo ya biashara...
Hope for Girls and Women in Tanzania honoured with Malkia wa Nguvu 2026 award
MARA: Hope for Girls and Women in Tanzania (HGWT), a non-profit organization involved in the fight against gender based violence, including FGM and child marriages in Mara Region, has been…
Women key to mediation systems, says Principal Judge
DAR ES SALAAM: WOMEN have a critical role to play in strengthening mediation and Alternative Dispute Resolution (ADR) systems, which are increasingly seen as more effective, affordable and peoplecentred approaches…
Oscar Sudi Amwalika Mkewe Marehemu Johana Ng’eno Nyumbani Kwake Kumfariji
Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng’eno alifariki katika ajali ya helikopta. Oscar Sudi alifariji familia yake, na kutoa msaada walipokuwa wakiomboleza msiba huo.
Fitch keeps Tanzania at ‘B+’, outlook stable
DAR ES SALAAM: FITCH Ratings has reaffirmed Tanzania’s long-term foreign-currency issuer default rating at ‘B+’ with a stable outlook, citing the nation’s robust growth trajectory and fiscal resilience following the…
Zanzibar pushes digital growth, investment opportunities
ZANZIBAR: ZANZIBAR President Hussein Mwinyi has said the government will continue investing heavily in digital transformation and attracting foreign investment following high-level engagements with companies from Turkey and China. Speaking…
TRA introduces new procedures for fuel distribution
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has assured the public that there is no shortage of fuel in the country and that reported challenges are not due to…
Ligi Kuu kurudi kivingine, vita ya Ubingwa bado mbichi
Keshokutwa Jumatano Aprili Mosi 2026, Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea ambapo kwa mwezi huo...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu awashukuru wanazuoni wakuu na wananchi wa Iraq
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshukuru na kuthamini misimamo ya msingi ya wanazuoni wakuu wa kidini na wananchi wa Iraq.
Admeri Irani awaonya Wamarekani: Manowari ya Lincoln ikija karibu, tutalipiza kisasi cha damu ya mashahidi wa Dena.
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewaonya Wamarekani akisema: "Mara tu manowari ya kubeba ndege ya Abraham Lincoln itakapokaribia eneo letu la ulengaji shabaha, tutalipiza…
Ruto na Gachagua Wapigania Ubabe wa Mlima Kenya Baada ya Kifo cha Mbunge
Kifo cha David Njuguna Kiaraho chazua ushindani mkali wa kisiasa Mlima Kenya. Wachambuzi watabiri uchaguzi mdogo utakaoathiri uaminifu katika eneo hilo kabla ya 2027
Ruto na Gachagua Wapigania Ubabe wa Mlima Kenya Baada ya Kifo cha Mbunge
Kifo cha David Njuguna Kiaraho chazua ushindani mkali wa kisiasa Mlima Kenya. Wachambuzi watabiri uchaguzi mdogo utakaoathiri uaminifu katika eneo hilo kabla ya 2027
Rais wa Syria kujadili na viongozi wa Ujerumani kuhusu ujenzi mpya wa nchi yake
Katikati ya vita katika Mashariki ya Kati, mwanajihadi huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 44 aliyempindua Bashar Al Assad mnamo mwezi Desemba 2024 anatarajia kukutana na viongozi kadhaa wa…
Monduli disburses 248.9m/- to women, youth groups
MONDULI: MONDULI District Commissioner, Gloriana Kimath has handed over a cheque worth 248.9m/- to 21 entrepreneurial groups in the district. The beneficiaries include ten women’s groups, nine youth groups and…
Eldoret: Mwanamke Mjamzito Afariki Katika Ajali Ya Kuhuzunisha Akirudi Nyumbani Kutoka Kliniki
Ruth Jerop, mama mjamzito, alifariki katika ajali kwenye barabara ya Eldoret–Iten, na kuacha familia yake na jamii ya Nandi katika majonzi mazito.
Mulembe Wamtetea Mwanao Gavana Sakaja Wakimhakikishia Kuchaguliwa Tena
Viongozi wa Magharibi mwa Kenya wamemsifia Gavana wa Nairobi Sakaja kwa rekodi yake ya maendeleo na mkataba wa kihistoria wa KSh 80 bilioni na Rais Ruto.
Nigeria: Jimbo la Lagos kuchukua bima ili kujikinga na hatari za mafuriko
Jimbo hili la kusini magharibi mwa Nigeria linalopakana na Ghuba ya Guinea ambalo likoa katika hatari kubwa ya kuongezeka kwa viwango vya bahari kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa…
Digital tools to improve social welfare delivery
DODOMA: THE government has equipped Social Welfare Officers across all 26 regions of Mainland Tanzania with smartphones to strengthen communication, improve service delivery and enhance direct engagement between officers and…
“Trump agundua Israel ilimdanganya ” – The Independent
Katika gazeti la The Independent, makala ya Robert Fox inaangazia mwenendo wa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, yenye kichwa "Hatimaye, Donald Trump ametambua kwamba Israel imemfanyia hila."
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 30, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Machi 30, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates (Feed generated with FetchRSS)
Jamhuri ya Afrika ya Kati: Faustin-Archange Touadéra kuapishwa kwa muhula wa tatu
Faustin-Archange Touadéra ambaye alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa Desemba 26, ataapishwa kwa muhula mpya wa miaka saba katika sherehe kubwa huko Bangui leo Jumatatu, Machi 30. Kwa hafla…
Xi Jinping amwalika kiongozi wa upinzani wa Taiwan kuzuru China
Rais wa China Xi Jinping amemwalika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani huko Taiwan kuzuru China mwezi Aprili, kulingana na vyombo vya habari vya serikali ya China na chama chenyewe…
Wanawake wanavyoondolewa vikwazo vya kiuchumi Zanzibar
Ukosefu wa mitaji, majukumu ya malezi yasiyolipwa, ukatili na unyanyasaji wa kijinsia ni...
Trump adokeza mpango wa kukiteka Kisiwa cha Kharg nchini Iran, huku bei ya mafuta ikipanda
Katika mahojiano na gazeti la Financial Times, Rais wa Marekani anasema anataka ‘‘kuchukua’’ mafuta ya Iran lakini anaongeza kuwa mkataba unaweza kufikiwa ‘‘haraka’’.
Kenya: IEBC kuzindua zoezi endelevu la kuwaandikisha wapiga kura wapya
Tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, kuanzia leo inazindua zoezi endelevu la kujiadikisha kwa wapiga kura wapya wapatao zaidi ya Milioni 2.5 kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Imechapishwa: 30/03/2026…
Hatima ya kilo 440 za urani iliyorutubishwa ya Iran ni ipi? – Uchambuzi
''Ikiwa Marekani inajua mahali ilipo urani hiyo, kwa nini ichague njia ya kijeshi?'', mwandishi Mark Urban anauliza.
Trump atishia kuchukua udhibiti wa Kisiwa cha Kharg nchini Iran
Rais wa Marekani sasa anatishia kuchukua mafuta ya Iran na kwenda mbali zaidi na kudhibiti kisiwa cha Kharg, kinachozalisha bidhaa hiyo, wakati huu vita vikiendelea kwa wiki ya nne. Imechapishwa:…
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Wasiwasi waikumbuka Bayern Munich huku ligi ya Saudia ikijaribu kumshawishi Hary Kane
Bayern Munich wanahofia vilabu vya Saudi Pro League vinamlenga Harry Kane, Bernardo Silva yuko tayari kuondoka Manchester City na Inter Miami kuanza mazungumzo na Casemiro wa Manchester United.
Jeshi la Iran: Wanajeshi wa Marekani watageuzwa kuwa “Chakula cha Papa”
Msemaji wa Kamandi ya Khatam al‑Anbia ya Jeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa uvamizi wowote wa kijeshi wa Marekani kupitia nchi kavu au jaribio la kuikalia kwa mabavu…
Spika wa Bunge: Iran imekataa matakwa ya Marekani na Israel ya “Kujisalimisha,” Itapigana hadi ushindi
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema Iran haitakubali kamwe masharti ya kujisalimisha yanayotolewa na Marekani na Israel, na itaendelea kupigana hadi ipate ushindi.
Marekani: Vifo katika vituo wanakozuiliwa wahamiaji vyafikia kiwango cha juu zaidi
Nchini Marekani, bajeti ya Idara ya Usalama wa Nchi, ambayo inasimamia Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE), bado imekwama katika Bunge, na hakuna azimio linalotarajiwa kwa sasa. Ingawa hatua za…
Senegal: Rais wa zamani Macky Sall aendelea kugombea kwenye nafasi ya Katibu Mkuu wa UM
Hata bila kuungwa mkono na Umoja wa Afrika, Macky Sall anaendelea kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Mrithi wa Antonio Guterres atachaguliwa mwishoni mwa mwaka huu, na…
Congo-Brazzaville: Mahakama ya Katiba yaidhinisha ushindi wa Denis Sassou Nguesso
Mahakama ya Katiba nchini Congo-Brazzaville, imethibitisha ushindi wa Denis Sassou Nguesso. Siku ya Jumamosi, Machi 28, Mahakama ya Katiba ilitatua mzozo wa uchaguzi. Ilifutilia mbali ombi la kufuta uchaguzi wa…
DRC: Moïse Katumbi aonya kuhusu marekebisho ya katiba
Kiongozi wa upnzani nchini DRC, Moïse Katumbi Chapwe amevunja ukimya wake. Moïse Katumbi ambaye ni mmoja wa wapinzani wakuu wa kisiasa wa rais Félix Tshisekedi pia amepinga wazo la mageuzi…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanizi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwek…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ametoa ufafanizi rasmi kuhusu hatma ya eneo la Coco Beach, akisisitiza kuwa halitauzwa kwa mwekezaji yeyote bali maboresho yatafanyika kwa manufaa ya wananchi waliopo katika…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amewataka walipakodi ambao bado hawajafanyiwa makadirio ya…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amewataka walipakodi ambao bado hawajafanyiwa makadirio ya kodi kwa nchi nzima kutumia siku mbili zilizosalia kufanya makadirio yao kabla…
Usikose kutazama MY SON filamu mpya itakayokuijia kupitia #AzamTVMaxApp kuanzia Aprili 05, 2026
Usikose kutazama MY SON filamu mpya itakayokuijia kupitia #AzamTVMaxApp kuanzia Aprili 05, 2026. (Feed generated with FetchRSS)