Familia ya hayati William Lukuvi imesema mwili wa kiongozi huyo aliyekuwa Mbunge mwanadamizi unatarajiwa kuagwa Bungeni jijini D…
Familia ya hayati William Lukuvi imesema mwili wa kiongozi huyo aliyekuwa Mbunge mwanadamizi unatarajiwa kuagwa Bungeni jijini Dodoma Ijumaa Machi 27, 2026 kabla ya kuagwa tena jijini Dar es Salaam…
May Day itatue matatizo ya wastaafu, si ya wafanyakazi pekee!
Kutokana na maumivu na malalamiko mengi aliyopokea mstaafu wetu kutoka kwa wastaafu wenzake juu...
Kwa nini dawa zinakosekana vituo vya afya Mfamasia Mkuu ajibu – 1
Kila mara mwananchi anapoingia katika kituo cha afya au hospitali ya umma na kuambiwa dawa...
Silaha hatari zinazotumiwa na Marekani dhidi ya Iran
Katika saa 48 za mwanzo, mashambulizi hayo yalitekelezwa kwa nguvu kubwa ya anga, yakihusisha ndege za kivita, makombora ya masafa marefu pamoja na mifumo ya kisasa ya kijasusi.
Wafugaji wa wanyama wa nyumbani wakiwemo ng’ombe, mbuzi na punda mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuongeza vipato vyao baada ya k…
Wafugaji wa wanyama wa nyumbani wakiwemo ng'ombe, mbuzi na punda mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuongeza vipato vyao baada ya kufunguliwa kwa kiwanda cha kuchakata ngozi na kuzalisha bidhaa vikiwemo viatu na…
Tetesi za soka Ulaya: Bayern yakataa ofa ya Liverpool ya £170m kwa Olise
Bayern Munich wanataka kumbakiza Michael Olise licha ya kuvutiwa na Liverpool ambao wanaweza kutoa dau la zaidi ya pauni milioni 170. Wakati huo huo, Manchester United wanajiandaa kuwasilisha ofa rasmi…
Zaidi ya wakazi 140,000 wa vijiji 60 vya wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuondokana na shida ya maji safi na salam…
Zaidi ya wakazi 140,000 wa vijiji 60 vya wilayani Siha mkoani Kilimanjaro wanatarajiwa kuondokana na shida ya maji safi na salama baada ya bajeti ya Shilingi Bilioni 5.5 kutolewa na…
Iran yataka Umoja wa Mataifa uwalaani wavamizi na uwawajibishe
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za dhati na kutoa msimamo thabiti na wa wazi katika kulaani tawala zilizoanzisha vita dhidi…
Pezeshkian: Nchi za Kiislamu zisiwaruhusu maadui kupanda mbegu za mifarakano
Rais wa Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Malaysia kwamba nchi za Kiislamu hazipaswi kuwaruhusu maadui kupanda mbegu za mifarakano na kuwasha moto wa vita.
Msemaji wa Jeshi la Iran: Takribani wanajeshi 800 wa Marekani na Waisraeli 1,300 wameuawa vitani
Msemaji mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, kulingana na makadirio ya kijeshi ya Iran, mamia ya wanajeshi wa Marekani pamoja na zaidi ya Waisraeli 1,300 wameuawa katika…
Africa Pushes Resource Control Agenda
DAR ES SALAAM: African countries are increasingly advancing a resource nationalism agenda, seeking to retain greater control over mineral wealth as global demand for critical resources accelerates. The shift is…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 27, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
SADC Moves to Protect Strategic Minerals
GABORONE: Southern African countries are stepping up efforts to secure critical mineral resources from organized crime and illicit trade, as governments push for stronger regional coordination to protect what is…
Rethinking Africa’s Trade Model
LAGOS: African economists and policymakers are increasingly calling for a shift in the continent’s trade strategy, arguing that long-standing reliance on raw material exports is limiting economic transformation and long-term…
Africa Pushes for Fair Trade Space
GENEVA: African countries are increasingly calling for greater flexibility within global trade rules, arguing that the current framework of the World Trade Organization (WTO) does not sufficiently support their development…
Digital Trade Rules Raise Concerns
NAIROBI: African countries are expressing growing concern that emerging global rules on digital trade could limit their ability to shape the future of their economies, as negotiations continue within the…
Africa Questions WTO Fairness
ADDIS ABABA: African policymakers and trade analysts are raising concerns over whether current global trade rules adequately support the continent’s development, as debates intensify ahead of key negotiations at the…
AfCFTA Seen as Strategic Shift
ACCRA: African leaders and economists are increasingly positioning the African Continental Free Trade Area (AfCFTA) as a central instrument for reshaping the continent’s economic trajectory, amid growing concerns over the…
NBC BANK: “…wakati tunaingia, ligi yetu ilikuwa namba 10 Afrika”
NBC BANK: “…wakati tunaingia, ligi yetu ilikuwa namba 10 Afrika” Wadhamini wakuu wa Ligi Kuu ya NBC, ambao ni Benk ya Biashara ya NBC, wanatoa neno baada ya CAF kuitambua…
“Kosa lilianzia kichwani”, Ali Kamwe aanika sababu za kichapo cha Taifa Stars
Wakati mashabiki wa soka nchini Tanzania wakiendelea kutafuta majibu ya namna gani timu ya Taifa "Taifa Stars" imepoteza mchezo mbele ya Liechtenstein, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe,…
MZIZIMA DERBY | “…tuna wachezaji wengi majeruhi”
MZIZIMA DERBY | “…tuna wachezaji wengi majeruhi” Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge anaeleza jinsi wanavyojiandaa na mechi mbili zilizo mbele yao ikiwemo Dabi ya Mzizima dhidi ya Simba, itakayopigwa…
MZIZIMA DERBY | “…ilishawahi kukaribia kutoa uhai wa mtu”
MZIZIMA DERBY | “…ilishawahi kukaribia kutoa uhai wa mtu” Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabith Zakaria analeza ukubwa wa Dabi ya Mzizima kati ya Simba…
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kudhibiti bodaboda zinazokiuka sheria, zikiwemo pikipiki z…
Kamati ya Usalama ya Wilaya ya Arusha imeanzisha operesheni maalum ya kudhibiti bodaboda zinazokiuka sheria, zikiwemo pikipiki zenye kelele za milipuko na taa zenye mwanga mkali, ili kuimarisha usalama barabarani…
#FIFASeries “…tumecheza na timu ambayo haipendi kucheza”
#FIFASeries “…tumecheza na timu ambayo haipendi kucheza” Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi aumizwa na matokeo akilia na matumizi ya nafasi, afichua alichowaambia wachezaji wakati wa mapumziko, asema hajapenda staili…
Tanzania imepanda hadi nafasi ya tano kwa ubora wa viwango vya soka Afrika kwa mujibu wa Shirkisho la Soka Afrika (CAF), ikiishu…
Tanzania imepanda hadi nafasi ya tano kwa ubora wa viwango vya soka Afrika kwa mujibu wa Shirkisho la Soka Afrika (CAF), ikiishusha Tunisia. Bodi ya Ligi Kuu kupitia kwa afisa…
Caps Limited yang’ara SADC, yatwaa tuzo mbili za ubora
Kampuni ya Caps Limited ya Tanzania imeibuka kidedea katika anga za kimataifa baada ya kutwaa...
DC Ileje asisitiza uwajibikaji malezi kwa watoto
SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, leo Machi 26, 2026 ameongoza tukio la Siku ya Afya na Lishe katika kijiji cha Isongole, likilenga kuimarisha uelewa wa jamii kuhusu…
Husain kortini akidaiwa kuiba na kutakatisha Sh5 bilioni
Mhasibu Hamid Husain (39) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...
William Kamket: Video ya TBT ya Marehemu Mwanawe Mbunge Akizungumza kwa Ufasaha Yachangamsha Watu
Mbunge wa Tiaty William Kamket na mkewe, Immaculate Kassait, walimpoteza mwanao, Bill Ballot Kassait Jr, ambaye ujumbe wake uliibuka na kuchangamsha mioyo mitandaoni
Stars yaanza kwa kipigo FIFA Series 2026
Taifa Stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa Michuano ya Fifa Series na imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya nchi ndogo kisoka Liechtenstein.
Mohamed Salah atangaza rasmi anaondoka Liverpool mwishoni mwa msimu
Mohamed Salah atangaza kuondoka kwake Liverpool mwishoni mwa msimu wa 2025-26, akitafakari urithi wake wa ajabu na uhusiano wake wa kina na klabu hiyo.
Tamasha maarufu la kukuza utamaduni na utalii nchini litafanyika jijini Mwanza Aprili 19, ikiwa ni mara ya pili
Tamasha maarufu la kukuza utamaduni na utalii nchini litafanyika jijini Mwanza Aprili 19, ikiwa ni mara ya pili Mwaka jana Machi 8 lilifanyika jijini Mwanza na kuutangaza utamaduni wa makabila…
Ndoto za vijana zimeanza kudhihirika kwa vitendo baada ya kikundi cha “Vijana Ujenzi Workshop Yard” kutoka Halmashauri ya Wilaya…
Ndoto za vijana zimeanza kudhihirika kwa vitendo baada ya kikundi cha “Vijana Ujenzi Workshop Yard” kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kunufaika na mikopo ya asilimia 10 yenye thamani ya…
Dola milioni 1.94 kulinda maji Wami – Ruvu
KAMPUNI ya Coca-Cola Tanzania kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Mazingira (IUCN) na Serikali kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu imezindua mradi wa zaidi ya…
Ofisi ya DP yakanusha madai askari anayehusishwa na ujambazi Kitengela ni wa Kindiki
Ofisi ya Naibu Rais Kithure Kindiki imekana kumfahamu afisa wa Jeshi la Ulinzi (KDF) anayehusishwa na ujambazi huko Kitengela dhidi ya raia wa Congo.
Coca-Cola injects USD 1.94m to strengthen water security in Tanzania
Morogoro: The Coca-Cola system in Tanzania is investing USD 1.94 million to help restore the Ruvu Basin, a vital water source serving Dar es Salaam Dar es Salaam is the…
Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa kirafiki maarufu kama FIFA Series kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein kut…
Timu ya Taifa Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa kirafiki maarufu kama FIFA Series kwa bao 1-0 dhidi ya Liechtenstein kutoka Ulaya. Katika mchezo huo ambao umechezwa Uwanja wa…
Hongera @queenladivaa kwa kuipeperusha Vyema bendera ya Star Tv kupitia Kipindi bora cha Kiswahili #kamusiyamtaa
Hongera @queenladivaa kwa kuipeperusha Vyema bendera ya Star Tv kupitia Kipindi bora cha Kiswahili #kamusiyamtaa #BAKITA #KAMUSIYAMTAA #StarTvUahari (Feed generated with FetchRSS)
Shell Kenya yathibitisha kuisha kwa mafuta katika vituo vyake vikuu: “Tunaomba radhi”
Vivo Energy Kenya imekumbwa na upungufu wa mafuta kufuatia mzozo katika Mashariki ya Kati. Kampuni hiyo, ambayo husambaza na kuuza huduma za Shell, ilithibitisha.
Mafuriko yakata barabara ya Ifakara – Mlimba
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dunstan Kyobya amesema mvua kubwa iliyonyesha usiku wa Machi 24...
Oga Obinna afunguka alivyomtema Ex kwa sababu ya kukatiwa na mkufunzi wa gym: “Bado inaniuma”
Oga Obinna alifichua huzuni aliyonayo kutokana na mpenzi wake wa zamani ambaye alikuwa akichepuka na mkufunzi wa gym. Ufichuzi wake ulizua hisia miongoni mwa Wakenya
Rachel Ruto Akutana na Melania Trump Kwenye kongamano la Wake za Marais White House
Ziara ya Rachel Ruto Marekani ilimpelekea kukutana na Melania Trump kwenye Kongamano la Growing the Future Together, wakiangazia teknolojia katika elimu ya watoto.
Kenya yaanza majaribio ya intaneti ya satelaiti kwa simu
Majaribio hayo yalifanyika katika maeneo yasiyo na mtandao wa kawaida wa simu, ambapo minara ya...
Raia 15 wa Zimbabwe wameuawa wakiipigania Urusi nchini Ukraine
Zimbabwe inasema raia wake kumi na watano, wameuawa, baada ya kusajiliwa katika jeshi la Urusi kwenda kupigana nchini Ukraine, huku wengine zaidi ya 60 wamekwama katika mstari wa mbele kwenye…
Sudan Kusini: Ni mwaka mmoja tangu Riek Machar azuiliwe nyumbani
Nchini Sudan Kusini, imepita mwaka mmoja kamili tangu kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa rais , Riek Machar. Imechapishwa: 26/03/2026 – 16:43 Dakika 1 Wakati wa…
Picha za CCTV zanasa nyakati za mwisho za mwanamke wa Migori mikononi mwa mume, jamaa asiyefahamika
Picha za CCTV zilifichua matukio ya kutisha ya Davine Kwamboka, anayedaiwa kuuawa na mumewe, akiwaacha watoto wadogo na kuzua hasira kali........
Isimani waleza sababu kumchagua Lukuvi miaka 30
Wananchi wa Jimbo la Isimani, mkoani Iringa wametoa sababu mbalimbali zilizowafanya kumchagua...
Wasira aonya hasira na vinyongo vya uchaguzi, ahimiza amani
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka viongozi na makada wa chama hicho...
Afreximbank launches new scheme to scale Africa’s digital trade ecosystem
CAIRO: AFRICAN Export-Import Bank, Afreximbank, has officially launched the inaugural cohort of its accelerator programme that brings together eight high-potential startups from across Africa and the diaspora for an intensive…