Yas mtandao wenye kasi zaidi Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo
Kampuni ya kimataifa ya uchambuzi wa mitandao, Ookla, imeutangaza mtandao wa Yas kinara mtandao...
Mwanaume arudi nyumbani baada ya miaka 12 London na mfuko wa plastiki, kakake asimulia masaibu
Jamaa amehuzunika baada ya kakake kurejea kutoka London bila chochote isipokuwa mfuko wa plastiki, akifichua mapambano ya familia na nyota kuzimwa
Zanzibar Second VP receives BMH delegation
ZANZIBAR: The Executive Director of Benjamin Mkapa Hospital (BMH), Prof Abel Makubi, accompanied by some members of the organising committee for the hospital’s 10th anniversary celebrations. The delegates delivered a…
Kamati ya Bunge yaibana Wizara ya Elimu ujenzi wa vyuo vya Veta
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Husna Sekiboko...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo itaanzisha utaratibu mpya wa kuingiza…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema Mamlaka hiyo itaanzisha utaratibu mpya wa kuingiza mafuta ya kupikia Tanzania Bara kutoka Zanzibar ili kuwezesha kufanyika kwa…
TRA yaikazia Yanga, Dube, Mwenda wazua hofu
YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa limeyakamata na kuyashikilia mabasi mawili ya abiria yaliyokuwa yakisafirisha vifaranga v…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Iringa limeyakamata na kuyashikilia mabasi mawili ya abiria yaliyokuwa yakisafirisha vifaranga vya kuku elfu 36 kutoka nchi jirani ya Malawi kinyume na taratibu. Kamanda wa…
Muelekeo mpya ukusanyaji wa mapato
Tume yaja na mapendekezo 284 yanayolenga kufanya mageuzi ya mfumo wa kodi, ikiwa ni hatua...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wananchi na viongozi kuendelea kushirikiana bila kubaguana kwa m…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka, amewataka wananchi na viongozi kuendelea kushirikiana bila kubaguana kwa misingi ya dini au itikadi za kisiasa ili kudumisha amani na mshikamano…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro limemkamata Emmanuel Kawiche, dereva wa gari la shule,…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro limemkamata Emmanuel Kawiche, dereva wa gari la shule, akiwa anaendesha wanafunzi akiwa katika hali ya ulevi mkubwa. Kamanda wa Polisi…
TRA United yaivuta shati Yanga ikiilazimisha sare
Yanga imeshindwa kuongeza pengo la pointi baina yake na Azam iliyo katika nafasi ya pili kwenye...
Pakistan yatangaza kusitisha mapigano na Afghanistan wakati wa sikukuu ya Eid al-Fitr
Pakistan imetangaza kusitisha mapigano katika mzozo wake na Afghanistan leo Jumatano, Machi 18, wakati wote wa Sikukuu ya Eid al-Fitr, ambayo inaashiria mwisho wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.…
Maxime: Mbeya City ni suala la muda tu
KOCHA wa Mbeya City, Mecky Maxime amewapa nguvu mashabiki wa timu hiyo huku akiwaambia kwamba bado anaamini kikosi hicho kitarudi kwenye ubora wake licha ya kupoteza mechi iliyopita.
Maximo aiombea KMC
LICHA ya kuachana na kikosi cha KMC, kocha Marcio Maximo amesema bado anaiombea dua njema timu hiyo ibaki Ligi Kuu Bara.
TRA 0-0 YANGA.
TRA 0-0 YANGA. (Feed generated with FetchRSS)
Manula arejea Stars Gamondi akiita 25
KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi ametangaza kikosi cha wachezaji 25 akiwemo kipa Aishi Manula wa Azam kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026 ambayo itachezwa Kigali nchini Rwanda.
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi amesema ili kupata maelezi bora ya jamii inatokana na malezi bora ya pam…
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi amesema ili kupata maelezi bora ya jamii inatokana na malezi bora ya pamoja kwa watoto na vijana katika kujenga misingi kwenye…
Lindi yaibua mjadala wa Upandaji Miti kuelekea siku ya misitu duniani
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani sambamba na Kampeni ya Kitaifa ya Upandaji Miti,...
DRC: Umoja wa Mataifa unaitaka AFC/M23 kuheshimu nafasi za kibinadamu
Mratibu wa Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, Bruno Lemarquis, amewasili Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini, siku ya Jumanne, Machi 17, 2026. Mji huu uko chini…
Halmashauri za Mtwara zapewa neno upandaji miti
Halmashauri tisa za Mkoa wa Mtwara zimetakiwa kuongeza kasi ya upandaji miti ili kufikia...
Ajira 1,300 za kada ya afya zanukia Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza mpango wa kutoa ajira 1,300 kwa wataalamu wa sekta...
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Mhe
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amesisitiza kuwa matumizi ya teknolojia ya kidijitali katika mfumo wa Mahakama ni nyenzo muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa haki kwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA, MACHI 18, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PEMBA, MACHI 18, 2026
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina budi kikusanya kodi kwani nchi haiwezi kuendelea bila fedha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haina budi kikusanya kodi kwani nchi haiwezi kuendelea bila fedha. Kwa mujibu wa Rais Samia, hatuwezi kufanya chochote kama kodi haitokusanya ikiwamo shughuli za…
Senegal yaomba uchunguzi wa kimataifa kuhusu ‘tuhuma za ufisadi’ baada ya kupoteza ubingwa wake
Kufuatia uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wa kuivua timu ya taifa ya Senegal, Lions of Teranga, Ubingwa wa AFCON 2025 na kuipa ubingwa…
Zanzibar clerics call for stronger moral upbringing of children and youth
ZANZIBAR: RELIGIOUS leaders have called for a stronger moral upbringing of children and youth, stressing early religious guidance as key to building a disciplined and responsible society. Deputy Mufti of…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itadhibiti mianya ya ukwepaji wa kodi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itadhibiti mianya ya ukwepaji wa kodi. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa Udhibiti huo utaongeza ufanisi wa makusanyo ya kodi nchini. Amesema hayo akizungumza na…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi matumizi ya ndege nyuki (drones) ili kuboresha ukaguzi wa miundomb…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi matumizi ya ndege nyuki (drones) ili kuboresha ukaguzi wa miundombinu ya umeme nchini. Hatua hiyo ni sehemu ya mikakati ya shirika kutumia…
#HABARI: Serikali imeingilia kati mgogoro wa umiliki wa ardhi unaohusisha wawekezaji wa kigeni katika Sekta ya Utalii wilayani A…
#HABARI: Serikali imeingilia kati mgogoro wa umiliki wa ardhi unaohusisha wawekezaji wa kigeni katika Sekta ya Utalii wilayani Arumeru, mkoani Arusha, kwa kutuma timu ya wataalamu wa ardhi kufanya uhakiki…
Ajali yaua wanne Rombo wakitokea matembezini
Vijana hao wenye umri kati ya miaka 19-20 ni wakazi wa Kijiji cha Shimbi Masho, Kata ya Kwa...
Zaidi ya asilimia 70 wafanyakazi Muhimbili ni wanawake
Zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni wanawake, hatua...
‘Hakuna misaada tukusanye kodi’
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa nchi. The post ‘Hakuna misaada tukusanye…
Israel yadai kumuua waziri wa ujasusi wa Iran, mvutano wazidi kupamba moto
Mvutano wa kijeshi kati ya Israel na Iran umeingia hatua mpya kufuatia madai ya Israel kuwa...
Afueni kwa Raphael Tuju Mahakama Ikisimamisha Unyakuzi wa Mali Yake ya Karen
Mahakama yasitisha unyakuzi wa mali ya Tuju ya Dari, hivyo basi kuhifadhi hali ilivyo akipinga uhalali wa mnada ili kusimamisha uhamisho na kulinda haki za umiliki
Tanzania pledges to find a lasting solution to recurring floods in Morogoro Region
MOROGORO: THE Tanzanian government has pledged to find a lasting solution to recurring floods in Morogoro Region, with plans to invest in major infrastructure projects to protect lives and property.…
Wananchi Dar walalama kukatika umeme, Tanesco yajibu
Katika siku za hivi karibuni baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam huduma ya umeme imekuwa...
Finance Ministry holds talks with Plasco in joint efforts to accelerate industrial growth
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to strengthening ties with the private sector to accelerate industrial growth and economic development. This was reached in a discussion…
Sera ya vijana EAC yatia matumaini, sauti yao bado changamoto
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Machano Ali Machano, amesisitiza umuhimu wa vijana...
Tanzania eyes 2bn/- annual revenue from carbon trading
KAGERA: TANZANIA is eyeing at least 2bn/- in annual revenue from carbon trading as the government pushes to scale up the emerging sector as part of its long-term economic strategy.…
Tanzania urged fast-track construction of ICT backbone linking it with DR Congo
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Committee on Infrastructure has urged the government to fast-track construction of the National ICT Backbone linking Tanzania and the Democratic Republic of the Congo to…
Tanzania tells the UN of its achievements against gender-based violence and FGM
NEW YORK: TANZANIA has intensified efforts to combat gender-based violence and female genital mutilation (FGM), with new national strategies already showing progress, including a decline in FGM prevalence. Minister for…
William Kamket: Picha ya mkewe mbunge akiwa amesononeka kufuatia kifo cha mwanawe yavunja mioyo
Mbunge wa Tiaty William Kamket na Kamishna Immaculate Kassait wanaomboleza msiba wa mwanao, Bill Ballot Kassait Jnr, huku rambirambi zikimiminika kutoka kwa Wakenya.
Tanzania uses the Nantong platform to lure investment in the textile, fisheries mineral processing sectors
NANTONG CITY: State Minister in the President’s Office – Planning and Investment, Professor Kitila Mkumbo, participated in an investment and business forum held today, March 18, 2026, in Nantong City,…
Namna ya kuzuia maji yasijae barabarani wakati wa mvua, athari zake
Katika siku za hivi karibuni Mkoa wa Dar es Salaam umekuwa miongoni wa inayopata mvua za mara...
Mbinu shirikishi zatolewa kuinua ufaulu wa somo la hisabati
Wadau hao walisisitiza matumizi ya mbinu shirikishi, ubunifu darasani na kuunganisha somo hilo...
Serikali kupitia mapenddekezo 284 ya kodi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itayafanyia uchambuzi wa kina mapendekezo 284 ya maboresho ya mifumo ya kodi nchini kabla ya kuanza…
Completion of Shinyanga Airport unlocks trade and investment in Lake Zone regions
SHINYANGA: The Minister for Works, Abdallah Ulega, has hailed the completion of the Shinyanga Airport’s expansion project, saying it will unlock trade and investment opportunities, strengthening economic links between the…
SADC countries commend Tanzania’s strides in promoting clean cooking energy
DODOMA: THE Tanzanian government has intensified efforts to promote clean cooking energy, urging energy sector staff to scale up adoption nationwide in line with national priorities. Speaking earlier in Dodoma…