Tanzania’s AAT seeks investors’ involvement in creating well-planned cities
DAR ES SALAAM: TANZANIA is exploring significant potential to improve the planning and organisation of its big cities by engaging its citizens, investors and professionals in implementing sustainable urban development…
Kwanini vita vya Iran vinaweza kumponza Trump kisiasa
Trump amesema kupanda kwa bei ya bidhaa ni kwa muda tu, na hali itakuwa imerejea kuwa kawaida kabla ya uchaguzi mdogo wa mwezi Novemba.
Mjumbe wa UN: Walioua watoto wa shule ya msingi ya Minab wapandishwe kizimbani
Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Elimu Duniani, Gordon Brown, amesema watoto hawapasi kufanywa wahanga wa vita, na shule na hospitali hazipaswi kushambuliwa.
Tanzania kuuza mahindi DRC
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuiuzia mahindi Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ili kusaidia nchi hiyo kukabiliana na uhaba wa chakula. The post Tanzania kuuza mahindi DRC first…
Reuters: Hitilafu zanatikisa White House; Trump anatafuta njia ya kujinasua katika kinamasi cha vita na Iran
Shirika la habari la Reuters limemnukuu mmoja wa washauri wa Rais wa Marekani akisema kuwa hitilafu kubwa zimepamba moto ndani ya Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, kuhusu mwelekeo…
Migogoro ya ardhi yatikisa ziara ya Kihongosi
Migogoro ya ardhi imekuwa fupa gumu kwenye Jiji la Mwanza huku wilaya za Ilemela na Nyamagana...
Tanzania welcomes home its citizens fleeing the US-Israel-Iran war
DAR ES SALAAM: SEVEN Tanzanian nationals who were stuck in Iran have arrived in Dar es Salaam tonight following a rescue operation coordinated by the Tanzanian government. The Tanzanians arrived…
Boti yapinduka yaua watumishi 6 Kigoma
KIGOMA; WATUMISHI sita wa Idara ya Afya halmashauri ya Wilaya Kigoma mkoani Kigoma wamekufa, baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kutoka Kigoma Mjini kuelekea Kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya Wilaya Kigoma…
Mama wa watoto 2 Nairobi aomba msaada wa kumtibu bintiye aliye na uvimbe shingoni
Caro, mama wa Nairobi ambaye yuko singo, anasimulia matatizo yake ya kuwalea watoto wawili akitafuta usaidizi wa haraka wa matibabu kwa binti yake mgonjwa, Yasmin.
Mama wa watoto 2 wa Nairobi aomba msaada wa kumtibu bintiye aliye na uvimbe shingoni
Caro, mama wa Nairobi ambaye yuko singo, anasimulia matatizo yake ya kuwalea watoto wawili akitafuta usaidizi wa haraka wa matibabu kwa binti yake mgonjwa, Yasmin.
Je Ndindi Nyoro amekamatwa Mbunge wa Kiharu avunja ukimya baada ya madai kuibuka
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro alijibu madai ya kukamatwa kwake yaliyosambaa mtandaoni, akisema video mtandaoni ni ya zamani, na kuhakikishia umma yuko salama kazini.
Boti yapinduka Ziwa Tanganyika, watumishi sita wa afya wafa maji
Maganga amesema pamoja na watu sita waliothibitika kufariki dunia na miili yao kupatikana, bado...
Baba wa Nairobi asiye na kazi atatizika kumlea bintiye mchanga baada ya mkewe kumhepa, aomba msaada
Evans Moriango anatatizika kumlea binti yake mdogo baada ya kupoteza kazi na kuachwa na mke wake. Aliomba msaada wakati akisimulia hadithi yake....
TMA yatoa tahadhari kwa watumiaji wa Ziwa Nyasa
Wakati TMA ,ikitoa tahadhari hiyo, bei ya dagaa imetajwa kupaa kutoka Sh20,000 hadi Sh50,000...
Edwin Sifuna azindua kampeni ya kuwasajili Wakenya katika Linda Mwananchi
Edwin Sifuna anaunda harakati ya Linda Mwananchi kuwa nguvu ya kisiasa ya 2027, akiwakusanya waasi wa ODM dhidi ya Ruto huku akizindua usajili mtandaoni.
Msigwa confirms Mkapa Stadium for Sunday match
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Information, Culture, Arts and Sports has clarified that the use of Benjamin Mkapa Stadium for the upcoming match between Azam FC and Young Africans…
Ripoti mpya yaonesha mwanamke aliyevunja kioo cha matatu ni baby mama wa dereva
Taarifa mpya imezuka katika kisa cha mwanamke wa Nairobi aliyenaswa kwenye video akivunja kioo cha mbele cha matatu awali ikidaiwa ulikuwa ni mzozo wa nauli.
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds licha ya kudondoshewa mabomu na US, Israel
Mamilioni ya wananchi wa Iran katika pembe zote za nchi wameshiriki katika maandamano makubwa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa, huku tawala za kitwaghuti za Marekani na Israel…
Mahakama yamruhusu Tuju kukata rufaa huku mnada wa mali zake za kifahari Karen ukikaribia
Waziri wa zamani Raphael Tuju ameruhusiwa kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioruhusu mali yake ya Karen kuuzwa, ili kulipa deni la muda mrefu.
Sea Cliff Golf Club junior programme gains momentum
ZANZIBAR: THE newly introduced Junior Golf Training Programme at the Sea Cliff Resort and Spa Golf Club in Zanzibar is already gaining momentum, just two weeks after its launch. Club…
50bn/- fund to boost creative youths
DAR ES SALAAM: THE Government of Tanzania, through the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports, has announced the establishment of a 50bn/- fund aimed at empowering young people working…
Barker hails players’ resilience
DAR ES SALAAM: SIMBA SC head coach Steve Barker praised his players’ determination after they secured a hard-fought 2–1 victory over Singida Black Stars in a Mainland Premier League match…
Ceccy kaondoka na kitita kwenye video ya Lil Baby
Mwanamitindo Mtanzania Ceccу ametokea kama mrembo (video vixen) kwenye video ya wimbo wa rapa...
Maporomoko ya Ardhi Ethiopia: zaidi ya watu 100 wauawa baada ya mafuriko kufagia Jimbo la Gamo
Mafuriko na maporomoko ya ardhi katika Jimbo la Gamo nchini Ethiopia yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 102. Mamlaka zimeo kuhusu hatari zaidi.
COSTECH launches programme to boost startups
DAR ES SALAAM: TANZANIA Commission for Science and Technology (COSTECH) has launched a national programme aimed at accelerating the growth of innovative startups and transforming local ideas into sustainable businesses,…
Kongamano la EAIF 2026 kufungua fursa kwa vijana wa fintech
Kongamano la Uwekezaji Afrika Mashariki la mwaka 2026 (East Africa Investment Forum – EAIF...
Linus Kaikai aonekana kumpuuza Sakaja baada ya gavana kuwapigia simu News Gang kujitetea: “Imekataa”
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja alikosolewa kuhusu janga la mafuriko wakati wa mahojiano ya moja kwa moja. Alipiga simu na kujitetea lakini hatimaye alikatishwa.
Mwaka na nusu tangu Ommy Dimpoz awatupe mashabiki
Tofauti na ulivyo ukubwa wa jina lake ndani ya Bongofleva, mwimbaji Ommy Dimpoz, 38, ni kama...
Absa to equip 5,000 young women with AI skills
DAR ES SALAAM: ABSA Bank Tanzania in partnership with Microsoft and Women in Tech, has launched the ElevateHer AI Programme to train and certify 5,000 young Tanzanian women in artificial…
Timiza fund declares first dividend as investor base boom
DAR ES SALAAM: INVESTORS in the Timiza Fund are set to receive their first income payout by the end of this month following the fund management’s announcement of a dividend…
TATO apologizes, withdraw flood alert on Serengeti, Welcome tourists
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Association of Tour Operators (TATO) has rolled out a red carpet for prospective tourists, assuring them that the destination remains safe for travel. TATO says…
Tantrade reviews regulations to boost competition
TANZANIA’s Trade Development Authority (TanTrade) yesterday convened a stakeholder meeting to review draft trade regulations aimed at strengthening the country’s business environment. The initiative seeks to create a more efficient,…
How soon Singeli hits global airwaves, its deep roots tell it all
DAR ES SALAAM: A YOUTHFUL bodaboda rider had switched on Asumani, playing in high volume as he sped towards the Magufuli Bus Terminal on March 4, 2026, the day the…
From courtroom dreams to business mentor: Baraka Michael’s mission to empower entrepreneurs
DAR ES SAALAM: AFTER graduating with a law degree and securing a job at a firm, Baraka Michael (pictured) appeared set to follow the traditional legal career path. Instead, he…
Mabilioni biashara ya kaboni hatarini kutoweka
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa…
Mwinyi’s first 100 days boost Zanzibar’s blue economy
ZANZIBAR: ZANZIBAR has accelerated efforts to expand its blue economy through new fishing infrastructure, seaweed processing initiatives, and oil and gas exploration, marking key achievements during the first 100 days…
Rais wa Iran asisitiza ulazima wa kusitishwa mara moja uvamizi wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ameishukuru serikali na wananchi wa India kwa kuonesha mshikamano na watu wa Iran, akisema kuwa Iran daima imekuwa ikiiheshimu India kama…
PLO’s hard-hitting analysis on Kenya’s governance, economic crisis
NAIROBI: AS an East African citizen, I have noticed that discussions on political platforms and even in churches have continued recently, with implications that, when examined closely, will do more…
Kutana na aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule aliyewahi kumfundisha William Ruto katika Kapsabet Boys
William Ruto alisherehekea miaka mia moja ya Shule ya Upili ya Wavulana ya Kapsabet, akishiriki kumbukumbu na kuwatia moyo vijana. Hotuba yake ilikazia ndoto, elimu
Wasomi na watu mashuhuri walaani mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Wasomi na watu mashuhuri kutoka maeneo mbalimbali ya dunia wamelaani mashambulizi na jinai zinazofanywa na Marekani na Israel dhidi ya watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Mwanza youths urged to form groups for council loans
MWANZA: A TOTAL of 336 youths from Ilemela and Nyamagana districts in Mwanza Region have been urged to form groups in order to benefit from the 10 per cent loans…
Russia: Iran ina haki ya kujitetea mbele ya mashambulizi ya Marekani, Israel
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki ya kujitetea na kukabiliana na hujuma za Marekani na Israel na ametoa…
Samia mourns former SAUT Vice-Chancellor Mahalu
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has conveyed her condolences to the Council of St Augustine University of Tanzania (SAUT) following the death of the university’s former ViceChancellor, Prof…
VP calls for clerics to pray for nation, unity
DODOMA: VICE-PRESIDENT, Dr Emmanuel Nchimbi has called on religious leaders and all Tanzanians to use the holy month of Ramadan and Lent to pray for the nation, its leaders and…
IRGC yashambulia meli nyingine ya mafuta ya US Ghuba ya Uajemi
Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC kimetangaza habari ya kushambulia meli nyingine ya mafuta Marekani katika Ghuba ya Uajemi.
Over 2,500 households connected to gas pipeline
DODOMA: A TOTAL of 2,515 households has been connected to the natural gas pipeline network, according to Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)’s latest report. Presenting a performance report to reporters…
Baqaei: Israel imeiburuta Marekani kwenye vita na Iran, Wamarekani wanapaswa kulijua hili
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema wananchi wa Marekani wanapaswa kujua kwamba utawala haramu wa Israel umeiburuta Marekani na kuitumbukiza kwenye vita na Iran.
Kubwa wiki hii: Ndugu waacha kazi kuanzisha kampuni yao, mwanamke ashinda kesi ya urithi wa KSh 7b
Mapacha Ndichu waliacha kazi kubwa benki kuanzisha kampuni yao ya malipo. Chepkoech Too apata urithi wa KSh 7bil baada ya mzozo wa mahakamani wa muongo mmoja.
Ndege ya kujaza mafuta ya Jeshi la Marekani imetunguliwa nchini Iraq
Makao Makuu ya Kamandi ya Kati ya Marekani (CENTCOM) yametangaza ‘kuanguka’ kwa ndege yao ya kijeshi ya kujaza mafuta angani katika eneo la magharibi mwa Iraq, na kutaja tukio hilo…
Nege ya kujaza mafuta ya Jeshi la Marekani imetunguliwa nchini Iraq
Makao Makuu ya Kamandi ya Kati ya Marekani (CENTCOM) yametangaza ‘kuanguka’ kwa ndege yao ya kijeshi ya kujaza mafuta angani katika eneo la magharibi mwa Iraq, na kutaja tukio hilo…