‘Tuongeze uzalishaji wa nguzo za zege’
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea na kukagua mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa nguzo za zege (TCPM) kilichopo mkoani Tabora kwa lengo la kujiridhisha na…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 13, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Hospitali zahimizwa kuboresha huduma za uzazi
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa maelekezo kwa hospitali zote nchini kufuata miongozo ya Bunge katika kuimarisha programu za afya ya mama na mtoto.…
Ushirikiano wahitajika chakula shuleni
NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidhi Ameir ametoa wito kwa wadau wa elimu, wazazi na jamii kwa ujumla kushirikiana na Serikali kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula bora na…
Depu aendeleza moto Ligi Kuu, Nsajigwa hali bado tete
LAURINDO Aurelio 'Depu' amempatia kocha Pedro Goncalves kile alichohitaji baada ya kufunga bao pekee wakati Yanga ikiichapa Tanzania Prisons.
Wakazi wa Pemba dumisheni amani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari ya…
MWANAUME DEPU, DAIMA MBELE
MWANAUME DEPU, DAIMA MBELE YANGA ileee, Maria Depu mwanaume wa shoka analibeba chama mabegani. Goli la dhahabu dakika za jioni, linaipa timu pointi zote tatu mbele Tanzania Prisons mchezo wa…
Nairobi: Vijana Waliochemka Wavamia Makafani Kudai Mwili wa Rafiki Yao baada ya Kuchukua Jeneza Tupu
Vijana waliochemkk walivamia makafanmi jijini Nairobi wakitaka mwili wa Nicholas Kyalo kuachiliwa. Aliaga dunia katika mafuriko na kusababisha fujo na sintofahamu.
Anayedaiwa kutapeli watalii kupitia mitandao atiwa mbaroni
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa KDC, Kata ya Mbokomu, Wilaya ya...
Mwanamwe Mutahi Kagwe Afunga Ndoa Katika Harusi Maridadi Ufukweni
Waziri Mutahi Kagwe aliandamana na mwanawe kwa fahari kubwa akielekea kufunga ndoa katika harusi ya kukata shoka na barafu wake wa moyo. Mengi hapa..
Matatani akituhumiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia, mtoto wa mdogo wa mkewe
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Benjamin Kikula (61), baba mkubwa wa marehemu Naomi...
Ripoti zabaini kasoro tano uhamaji Ngorongoro
Wakati tume zilizoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan zikibainisha sababu za kukwama kwa mpango...
Hisa za NMG zapaa kwa asilimia 28.3 ndani ya saa 48
Bei ya hisa za kampuni ya habari ya Nation Media Group (NMG) imeongezeka kwa asilimia 28.3...
Familia ya Likoni Yamtafuta Mwanao,18, Aliyetoweka Tangu Siku ya Wapendanao
Familia moja huko Likoni kaunti ya Mombasa, inaomba msaada huku mwanao Ramadhan Athman mwenye umri wa miaka 18 akitoweka baada ya kumtembelea babake
Korti Yaamuru Shule ya Moi Kabarak kumrejesha shuleni mwanafunzi wa Kidato cha 4 waliyefukuza
Mahakama Kuu ya Milimani imeamuru Shule ya Upili ya Moi Kabarak imrudishe shuleni mwanafunzi waliyefukuza huku mzazi akisema siyo haki na ni dhulma.
Millie Odhiambo aonya kuhusu wimbi la magenge kama ya Haiti nchini: “Yatasumbua Kenya”
Mbunge wa Suba Kaskazini Millie Odhiambo anaonya kwamba majambazi wa kukodi wanatishia usalama Kenya, huku wakiingiza utamaduni hatari wa majambazi kama Haiti.
Urasimu, tozo za kero kwenye taasisi za umma, mashirika kumulikwa
Serikali imetangaza mchakato wa kupitia upya mashirika na taasisi za umma zinazohusika na...
Geopolitical tensions in the Middle East pose a danger to the SADC bloc
PRETORIA: RISING global geopolitical tensions and ongoing conflicts in the Middle East are posing serious economic risks to countries in the Southern African Development Community (SADC). Chairperson of the SADC…
Kamati ya Bunge yaridhishwa kasi ujenzi jengo jipya CBE
DAR ES SALAAM; Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, ameeleza kuridhishwa kwake na hatua ya ujenzi wa jengo la kisasa la…
Raphael Tuju aandika ujumbe wa kihisia baada ya wahuni kuvamia mali yake ili kumfukuza: “Sina nguvu”
Raphael Tuju alizungumza baada ya wanaodaiwa kuwa wahuni kuvamia nyumba yake ya Karen huku mgogoro wa mali kati yake na EADB mahakamani ukitokota.
Wanajeshi wa Uganda nchini Sudan Kusini wamekuwa wakiwalenga raia: Ripoti
Ripoti ya Umoja wa Mataifa, imebaini kuwa wanajeshi wa Uganda waliopo nchini Sudan Kusini, wamekuwa wakiwalenga raia wa kawaida katika taifa hilo linaloendelea kushuhudia changamoto za kiusalama na kisiasa. Imechapishwa:…
NEEMA CHARLES: Mwanamke pekee mwenyekiti wa soko kwa masoko ya Dar
Mwananchi ilifanya mahojiano na Neema, mfanyabiashara wa viungo vya mboga katika soko hilo...
Mtakwimu aonya matumizi mifumo ya akili unde
Zaidi ya vijana 713 na wasimamizi 69 wamepata ajira za muda katika Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
Burkina Faso: Al-Qaeda wamewauwa watu 38 katika kipindi cha mwezi mmoja
Wanajihadi wanaoshirikiana na magaidi Al-Qaeda wamewauwa watu 38 na kuwateka wanawake tisa nchini Burkina Faso kwa kipindi cha mwezi mmoja uliopita. Imechapishwa: 12/03/2026 – 16:43 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Bakwata: Sikukuu ya Eid El-Fitri Machi 20–21
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza rasmi Sikukuu ya Eid El-Fitri mwaka...
Kiwanda cha nguzo za zege Tabora chakamilika, kitaongeza uhakika wa umeme
Serikali kupitia kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania Tanesco), Tanzania Concrete Poles...
DR Congo: Raia waandamana Goma kulalamikia ukosefu wa usalama
Jijini Goma,mashariki mwa DRC, kumefanyika maandamano baada ya shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani siku ya Jumatano na kusababisha vifo vya watu watatu, akiwemo raia wa Ufaransa mfanyakazi wa Shirika…
Masilingi awataka watendaji kuongeza uwazi kwenye miradi ya CSR
Mwenyekiti wa Tume ya Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini na Gesi, Balozi Wilson Masilingi,...
Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia
Jamii imetakiwa kuvunja ukimya na kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia...
BOT yatangaza nafasi 105 za ajira
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mlango-Bahari wa Hormuz uendelee kufungwa; apongeza mchango wa wananchi
Kiongozi wa tatu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran leo ametoa ujumbe wake wa kwanza baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo akitilia mkazo umuhimu wa mchango wa wananchi na mahudhurio…
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mlango-Bahari wa Hormoz uendelee kufungwa; apongeza mchango wa wananchi
Kiongozi wa tatu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran leo ametoa ujumbe wake wa kwanza baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo akitilia mkazo umuhimu wa mchango wa wananchi na mahudhurio…
Walinzi wadaiwa kujimilikisha mashamba baada ya wamiliki kufariki dunia
Imedaiwa kuwa, miongoni mwa vyanzo vikuu vya migogoro ya ardhi mkoani Tanga ni walinzi...
Ngoy awekewa mkataba mpya Namungo
WAWAKILISHI wa mshambuliaji wa Namungo FC, Mkongomani, Fabrice Ngoy wamepokea mkataba mpya kutoka kwa uongozi wa kikosi hicho cha Wauaji wa Kusini ambao wanataka wakamilishe dili hilo mapema, kabla ya…
Chamou aendeleza rekodi dhidi ya Namungo
BEKI wa kati wa TRA United, Chamou Karaboue, ameendeleza rekodi bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya nyota huyo kufikisha mabao mawili, ambayo yote ameyafunga dhidi ya ‘Wauaji…
Bilioni 388.8 kujenga Afcon City Unguja
WAKATI Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi zitakazokuwa wenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2027, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imejiandaa vizuri kupokea ugeni huo kwa…
Singida alenga ushindi dhidi Mbeya City
BAADA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga na Simba, kocha wa Singida Black Stars, David Ouma amewataka wachezaji wake kusahau matokeo hayo na…
Dalali wa Mahakama akamatwa, agizo la Dk Mwigulu halijatekelezwa
Zikiwa zimepita siku 17 tangu agizo la Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba la kurejeshwa mali za...
TPDC executes strategic projects to boost gas production
Dodoma: Nearly two decades after the country began extracting natural gas from the southern region for industrial and domestic use, the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) has launched multi-billion-shilling projects…
Ziara ujumbe wa Congo yafungua matumaini ya soko la mahindi
Wakulima wa Tanzania, sasa kupata uhakika wa soko la mahindi baada ya ujumbe wa Rais wa Jamhuri...
Makubaliano Musongati yafungua ukurasa mpya uchimbaji Nikeli Afrika Mashariki
Kampuni ya Lifezone Metals inayomiliki Tembo Nickel, imesaini makubaliano ya miezi 14 na...
Tanzania parades Rafiki Briquete to broaden its clean energy campaign
TABORA: THE Tanzanian government, through the State Mining Corporation (STAMICO), has stepped up efforts to ensure that the use of clean cooking energy through the Rafiki Briquette project spreads countrywide…
Tahadhari utegemezi wa akili unde kama mbadala wa mawasiliano ya binadamu
Wataalamu wa saikolojia wameonya juu ya hatari inayoweza kujitokeza ikiwa watu wataanza...
CCM kuzingatia mgawanyo walimu sekondari Kahasa
MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema atahakikisha mgawanyo wa walimu unazingatia Shule ya Sekondari Kahasa ili kuhakikisha wanafunzi wanapata walimu…
Kiengei Afanya Sala Nzito baada ya Wachungaji Kumtoroka Kufuatia Ziara ya Ruto Katika Kanisa la JCM
Askofu Muthee Kiengei alihutubia kwa hila dhoruba iliyoshuhudiwa katika kanisa lake baada ya ziara ya Rais Ruto, na kuwataka waumini kudumisha ahadi zao za maombi
100 patients receive kidney transplants as Tanzania marks World Kidney Day
DAR ES SALAAM: MUHIMBILI National Hospital (MNH) has today, March 12, 2026, celebrated World Kidney Day, which is held on the second Thursday of March every year, and said that…
Tanzania sees success in promoting gender equality in land ownership
NEW YORK: TANZANIA has presented its achievements in empowering women and girls to legally own land across various parts of the country. These successes were shared during a side event…