‘Kuna ongezeko kubwa wagonjwa wa figo nchini’
DAR ES SALAAM : Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imeadhimisha siku ya Figo Duniani inayofanyika Alhamisi ya pili ya mwezi Machi kila mwaka na kueleza uwepo wa ongezeko kubwa…
Costech yaja na ‘Tanzania Ventures Lab’ kuwezesha bunifu, biashara changa
Katika mwendelezo wa kuhakikisha bunifu na biashara changa za vijana zinaendelezwa, Tume ya...
Tanzania, Uganda agree to broaden ties in five key areas
DAR ES SALAAM: IN efforts to strengthen diplomatic relations and promote joint development in the East African region, the governments of Tanzania and Uganda have begun bilateral talks aimed at…
William Ruto Azua Msisimko baada ya Kuonekana Amevalia Sare ya Kapsabet Boys
Wakenya wamelipuka kwa msisimko baada ya Rais William Ruto kuvalia sare ya shule aliyosomea wakati wa sherehe, hali iliyowaduwaza wengi...........
AKILI ZA KIJIWENI: Pedro utafakari ushauri wetu
SISI hapa kijiweni kazi yetu ni kutoa ushauri tu halafu mwisho wa siku tunamuachia muhusika mwenyewe achague kuufanyia kazi au kuachana nayo.
Tetesi: Will Smith, Chris Rock kumaliza tofauti zao
Waigizaji maarufu wa Hollywood, Will Smith na Chris Rock huenda wakakutana hadharani (live) kwa...
Nelson Mandela Institute, Global Education Link sign research partnership
ARUSHA: THE Nelson Mandela African Institute of Science and Technology has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with Global Education Link Ltd to strengthen collaboration in research, innovation, and scientific…
AKILI ZA KIJIWENI: De Reuck ni beki hasa tatizo ni Bafana Bafana
WOTE katika kijiwe chetu leo tumekubaliana kuwa Rushine De Reuck ni usajili mzuri sana ambao Simba wameufanya msimu huu kutokana na mchango mkubwa anaoutoa katika safu ya ulinzi ya timu…
Samia kuzindua mfuko kuwezesha vijana sekta ubunifu
ARUSHA; WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuzindua rasmi Mfuko wenye jumla ya Sh Bilioni 50 kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini. Akizungumza…
Govt urges stronger school feeding support
DODOMA:THE Tanzanian government has called on education and nutrition stakeholders to strengthen collaboration in supporting school feeding programmes and improving essential services in schools to enhance students’ health and learning.…
AKILI ZA KIJIWENI: Marefa wasisaidie timu kupoteza muda
KUNA suala huwa linatukera sana hapa katika maskani yetu nalo ni tabia ya wachezaji au timu fulani kupenda kupoteza muda pindi wanapocheza baadhi ya mechi.
Mwanamke afungwa jela miezi 6 kwa kukataa kuolewa na mwanamume aliyemlipia karo ya shule
Mwanamke mchanga aliyetambulika kwa jina la Fortunate Kyarikunda atazamiwa kutumikia kifungo kwa kuvunja ahadi ya ndoa na Richard Tumwine, ambaye alimsomesha.
Kerry 2026 taste charts reveals bold flavours
DAR ES SALAAM: Kerry, the global leader in taste and nutrition has unveiled the Kenya 2026 taste charts, signalling a continental shift in consumer flavour preferences and providing insights for…
Tanzania embarks on the construction of 35 new neonatal wards in all 26 regions
DAR ES SALAAM: THE Deputy Minister for Health, Dr Florence Simizi, has said the government has begun constructing 35 new neonatal wards, of which 15 will be in regional hospitals…
Miaka 40–50 waongoza kuugua figo, mijini waathirika zaidi
Watu wa umri kati ya miaka 40 hadi 50, ambao kwa kawaida ndiyo nguvu kazi ya Taifa, wanatajwa...
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia yawa mwarobaini Zanzibar
Wananchi 422,908 wamenufaika na kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia, inayojulikana kama...
Dr Samia hails the commission assessing land use in Ngorongoro for its dedicated work
DODOMA: President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, has commended the chairpersons and members of the commission established to assess land use in the Ngorongoro Conservation Area…
Nairobi: Wasiwasi baada ya ndugu 2 kuonekana wakiuza maziwa kwa zamu usiku mvua ikiwanyeshea
Video ya dada wawili wakiuza maziwa barabarani usiku huko Kibera, wakivumilia mvua kubwa imegusa hisia za watu mtandaoni. Wengi wametoa wito dada hao wasaidiwe.
Mloganzila Hospital trains women how to overcome stress, manage finances
DAR ES SALAAM: WOMEN at Muhimbili National Hospital-Mloganzila have been trained on how to deal with stress and financial management, now vital issues facing Tanzanian women today. Speaking during the…
Rais Samia aeleza sababu za kuihifadhi Ngorongoro
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza sababu za kuihifadhi Hifadhi ya Ngorongoro huku akiahidi...
Tume yataja upungufu uhamishaji wananchi Ngorongoro, yatoa mapendekezo
Tume iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutathmini shughuli ya uhamaji wa hiari wa wananchi...
Dar braces for EAC diaspora meeting to enhance cross-border trade
DAR ES SALAAM: TALKS on cross-border trade between Tanzania and Kenya will dominate the Kenyan Diaspora Business and Community Engagement Evening to be held at Wakahouse in Dar es Salaam…
Tanzania launches lab to grow 1,000 startups
DAR ES SALAAM:TANZANIA has launched a national programme aimed at accelerating startup growth, with at least 1,000 ventures expected to benefit over the next four years. The initiative, known as…
Tanzania, Uganda kuimarisha ushirikiano sekta mbalimbali
DAR ES SALAAM; KATIKA jitihada za kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kukuza maendeleo ya pamoja ukanda wa Afrika Mashariki, serikali za Tanzania na Uganda zimeanza majadiliano ya pamoja yanayolenga kuimarisha…
Iran yasema imelenga maeneo ya Israel na Marekani katika Falme za Kiarabu, Iraq, na Kuwait
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi cha Iran (RPC) kimetangaza leo Alhamisi kwamba kimelenga maeneo ya Israel na Marekani katika Falme za Kiarabu, Iraq, na Kuwait. Imechapishwa: 12/03/2026 – 13:25Imehaririwa: 12/03/2026…
Tanzania orders hospitals to observe guidelines in implementing maternal health programs
DAR ES SALAAM: THE Parliamentary Standing Committee on Health and AIDS has issued guidelines to all hospitals in the country to follow Parliament’s guidelines on strengthening mother and child health…
Idd kitaifa Dar, Samia mgeni kwenye Baraza
DAR ES SALAAM: SHEREHE za Sikukuu ya Eid el-Fitri zinatarajiwa kuwa Machi 20 au 21. 2026 kutegemea mwandamo wa mwezi. Taarifa iliyotolewa leo Machi 12, 2026 na Katibu Mkuu wa…
Iran: Vita vimesababisha zaidi ya watu milioni tatu kutoroka makazi yao, kulingana na UNHCR
Takriban Wairani milioni 3.2 wametoroka makazi yao na kukimbilia katika maeneo salama ndani ya Iran tangu kuanza kwa vita kati ya nchi hiyo na Israel na Marekani, Shirika la Umoja…
Urusi inanufaika vipi na vita vya Iran?
Kremlin inataka kudumisha uhusiano mzuri wa kikazi na Trump. Inaamini kuwa uhusiano wake na utawala wa Trump unafaidi malengo ya kijeshi ya Moscow nchini Ukraine.
TAB commends PDPC’s training on personal data protection
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Association of the Blind (TAB) has received introductory training on personal data protection as part of the efforts by the Personal Data Protection Commission (PDPC)…
Dr Samia seeks proper conservation of Ngorongoro as she receives its land use report
DODOMA: TANZANIAN President, Dr Samia Suluhu Hassan, has stated that the Ngorongoro Conservation Area is a unique world heritage site that must be protected for the benefit of Tanzania and…
Sheria za kimataifa haziheshimiwi na chuki badala ya amani ndio inatawala: Guterres
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, Alhamisi tarehe 12 Machi amewahimiza wapigaji wote kusitisha mapigano katika Ukanda wa Mashariki ya Kati, kuheshimu sheria za kimataifa, kulinda raia, na…
Marekebisho ya sera ya ardhi Tanzania yachagiza haki ya ardhi kwa wanawake
Tanzania imefanyia marekebisho sera ya ardhi ili iweze kuhakikisha kuna haki sawa kwa mwanamke na mwanaume kumili ardhi, amesema Lucy Kabyemera, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na…
Mapambano dhidi ya Ukimwi, UNAIDS yatambua maendeleo Afrika Magharibi na Kati
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloratibu juhudi za kukabiliana na Ukimwi, UNAIDS, limetambua maendeleo yaliyopatikana katika hatua dhidi ya virusi vya Ukimwi, VVU katika ukanda wa Afrika Magharibi na Kati,…
Mashariki ya Kati: Mashambulizi ya meli, kupanda kwa bei ya mafuta na kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu
Kuongezeka mapigano kwenye mpaka kati ya Israel na Lebanon Watoto wanalipa gharama kubwa Mashambulizi ya meli na kupanda kwa bei ya mafuta Baraza la Usalama kujadili suala la Iran Usumbufu…
Iran: zaidi ya watu milioni 3 wakimbia makazi yao kutokana na mapigano
Idadi ya watu waliokimbia makazi yao nchini Iran imeongezeka kwa kasi na kufikia takriban watu milioni 3.2 kutokana na mashambulizi makali yanayozidi kushika kasi nchini humo kutoka jeshi la Marekani…
Kwa nini Mlo Shuleni ni muhimu: WFP
Leo ni Siku ya Mlo shuleni. Mamilioni ya watoto duniani kote huenda shuleni kila siku bila kutia chochote tumboni. Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa…
Tume ya Rais kuleta suluhisho la kudumu kwa vurugu za uchaguzi
Tanzania imesisitiza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kukuza uwajibikaji, mshikamano na...
‘Serikali imeanza ujenzi wodi mpya 35 za watoto’
DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri wa Afya,Dk Florence Simizi, amesema serikali imeanza hatua ya utekelezaji wa ujenzi wodi mpya 35 za watoto wachanga nchini, ambapo 15 zitakuwa katika hospitali za…
Kiongozi asasi za kiraia: Tanzania inajijengea msingi imara wa amani, umoja na ustahimilivu wa kijamii
Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama amesema Tanzania inaendelea...
Programu kuharakisha mfumo ubunifu yazinduliwa
DAR ES SALAAM; TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Sahara Ventures, imezindua rasmi programu ya kitaifa ya kuharakisha ukuaji wa biashara changa na kuimarisha mfumo…
‘Wapinzani’ CUF wakomaa mwenyekiti mpya ajiuzulu, mwenyewe ajibu mapigo
Wakati Mwenyekiti mpya wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuf akianza juhudi za kufanya...
NBS launches nationwide surveys to boost investment
DODOMA:THE National Bureau of Statistics (NBS) has launched four nationwide surveys aimed at strengthening data on business activities and improving the country’s investment and economic planning frameworks. The surveys will…
Riyadh imesema imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran katika anga yake
Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imetangaza leo Alhamisi, Machi 12, kwamba imedungua ndege isiyo na rubani ya Iran iliyokuwa ikijaribu kukaribia eneo kunakopatikana balozi mbalimbali huko Riyadh. Katika siku…
Kapsabet: Wanafunzi 11 waanguka kwenye tangi la maji taka wakitazama msafara wa Rais Ruto
Mwanafunzi mmoja alifariki na 10 kujeruhiwa baada ya tangi la maji taka kuporomoka katika Shule ya VWasiosikia ya Kapsabet. Walikuwa wakitaka kumuona Rais Ruto.
Gereza la Chato kufundisha wafungwa, mahabusu kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK)
Jeshi la Magereza wilayani Chato mkoani Geita limeanza utekelezaji wa mkakati wa kisayansi wa...
COSTECH launches a national program to accelerate the growth of startups, innovation ecosystem
DAR ES SALAAM: To promote and strengthen youth-owned startups, the National Commission for Science and Technology (COSTECH) has officially launched a national program to accelerate the growth of startups and…
Government prepares new leadership framework
KIBAHA: THE government is preparing a new framework for recruiting and appointing leaders in public institutions in order to strengthen leadership capacity and improve service delivery. The system, known as…
TEITI pledges to work closely with mining firms to enhance accountability in the extractive sector
GEITA: THE Chairperson of the Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI) Committee, Wilson Masilingi, has conducted a visit to the Geita Gold Mine to observe the progress achieved by the…
Aliyeanza na mtaji wa elfu mbili, apewa Sh5 milioni, kiti mwendo
Baada ya dhiki, faraja. Ndivyo ilivyokuwa kwa mkazi wa Sengerema aliyepata ulemavu wa kudumu...