Tume ya Utumishi wa Umma yabadilisha umri wa kustaafu wa lazima kwa wahadhiri nchini
Tume ya Utumishi wa Umma ilipitia umri wa kustaafu kwa wahadhiri na wanasayansi wa utafiti, na kuuongeza hadi miaka 70 na 75 kwa watu wanaoishi na ulemavu.
Mashambulizi ya anga yasababisha ‘mvua nyeusi’ ambayo haijawahi kushuhudiwa Tehran, wanasayansi wanasema
Mashambulizi ya anga yame haribu takribani vituo vinne vya mafuta tangu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yalipoanza mwezi uliopita.
Tanzania establishes 50bn/-fund for youth involved in creative arts
ARUSHA: THE Tanzanian government has announced the establishment of a 50bn/- fund aimed at empowering young people involved in the country’s creative arts industry. Beneficiaries of the fund will include…
DRC: Michakato ya amani yazidi kudhoofika baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani Goma
Mlipuko kwenye makazi ya raia siku ya Jumatano, Machi 11, katika jiji la Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umezua hasira. Wakati mfanyakazi wa misaada, raia wa Ufaransa,…
Youth grab lion’s share as GCLA creates146,000 jobs
Dodoma: The Government Chemist Laboratory Authority (GCLA) has created employment opportunities for more than 146,567 people, the majority of them youth, after registering 4,406 stakeholders through the Customer Chemicals Management…
Kamanda wa Polisi Nairobi George Seda ahamishwa hadi Magharibi kufuatia mabadiliko mapya ya NPS
Huduma ya Polisi ya Kitaifa imetangaza mabadiliko ya uongozi, ikimteua Issa Mohamud kuwa Kamanda Polisi Nairobi katika mabadiliko ya kawaida kabla ya uchaguzi.
Sudan Kusini: Jeshi la Uganda lakana kuwalenga raia
Katika ripoti iliyochapishwa mnamo Februari 27, Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini ilishutumu vikosi vya Uganda kwa kuingilia kati pamoja na jeshi la Sudan…
Jeshi la Mali lashutumiwa kuwaua raia saba katika eneo la mpakani na Mauritania na Senegal
Nchini Mali, jeshi la Mali linashutumiwa kuwaua raia saba katika eneo la mpakani na Mauritania na Senegal. Vyanzo vingi vya ndani vinashutumu Jeshi la Mali (FAMA). Hili ni eneo ambalo…
Tyler Onyango: Kocha wa Harambee Stars, Mariga wakutana na kiungo wa Everton nchini Uingereza
Kocha wa Harambee Stars Benni McCarthy amekutana Tyler Onyango nchini Uingereza wakati wakitafuta kuunda kikosi thabiti cha Fainali za Mataifa ya Afrika 2027.
Tume yapendekeza mabadiliko ya sheria kukomesha matumizi mseto ya ardhi Ngorongoro
Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro imependekeza Sheria ya...
CAR: Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Noël Barrot kuzuru Bangui
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa anatarajiwa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati leo Alhamisi, Machi 12. Ingawa mkutano na Rais Faustin-Archange Touadéra unatarajiwa, kutoka kwa…
Tanzania appreciates Ireland’s 110m Euros funding in its major projects
DAR ES SALAAM: Tanzania’s Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, responsible for East African Affairs, James Millya, has expressed appreciation to the Republic of Ireland for its…
George Natembeya aashiria hatamuunga mkono Rigathi Gachagua kuwania urais: “Unhealthy competition”
Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya akataa kuunga mkono azma ya Rigathi Gachagua 2027, akitetea urais wa zamu ili kupunguza mivutano ya kikanda.
Tunisia: Waandaaji kadhaa wa Global Sumud Flotilla wakamatwa
Wakishutumiwa na mamlaka kwa kukusanya fedha haramu na utakatishaji fedha, angalau wanachama saba wa mpango uliozinduliwa mwaka jana ili kuvunja kizuizi cha Israel dhidi ya eneo la Wapalestina walikamatwa mwishoni…
Southeast Asia shuts offices, limits travel as oil crisis deepens
TAIPEI: Governments and businesses across Southeast Asia are scrambling to stave off energy shortages as the Strait of Hormuz remains shut to maritime traffic, amid the fallout of the United…
DRC: Kifo cha mfanyakazi wa misaada, raia wa Ufaransa, Goma chazua hisia kali
Saa chache tu baada ya vifo vya watu kadhaa—ikiwa ni pamoja na mfanyakazi wa misaada, raia wa Ufaransa—katika shambulio la ndege isiyo na rubani huko Goma, hisia zimeongezeka kutoka kwa…
Golfers set for March Challenge tourney at Sea Cliff Zanzibar
DAR ES SALAAM: GOLF enthusiasts are preparing for the upcoming March Golf Challenge, an 18-hole Stableford competition scheduled for later this month at the scenic golf course of Sea Cliff…
NCBA yakutanisha wadau Zanzibar, Serikali yaziasa taasisi za fedha zisaidie uzalishaji
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Juma Malik Akil amesema ujumuishaji wa kifedha unapaswa...
Jeshi Iran lashambulia makao ya Shin Bet na vituo vya ndege za kivita Israel
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu limetangaza kutekeleza shambulio la droni au ndege ya kivita isiyo na rubani dhidi ya kituo cha kijeshi cha Palmachim pamoja na makao ya Shin Bet…
Community efforts revive degraded mangrove forests in Lindi
LINDI: EFFORTS to restore degraded mangrove forests at Mbanja Village in Lindi Urban District are beginning to show encouraging results as local communities work collectively to rehabilitate a coastal ecosystem…
Senegal: Wabunge wapitisha sheria inayoongeza adhabu kwa ushoga
Wabunge nchini Senegal wamepitisha sheria siku ya Jumatano, Machi 11, inayoongeza adhabu kwa mahusiano ya ngono ya wapenzi wa jinsia moja. Marekebisho ya Ibara ya 19 ya kanuni ya adhabu…
JPC session deepens Tanzania-Uganda’s ties in socio-economic development
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Uganda have convened the Fifth Session of the Joint Permanent Commission (JPC), in a joint move to strengthen bilateral cooperation in economic and social development…
Economic gains from mining face rising community scrutiny
DAR ES SALAAM: THE mining sector continues to play a crucial role in Tanzania’s economic growth, contributing significantly to employment creation, export earnings and government revenue. Over the past decade,…
TANAPA advances access for disabled tourists
KILIMANJARO: THE Tanzania National Parks Authority (TANAPA) has embarked on an initiative aimed at promoting domestic tourism among people with disabilities as part of the institution’s broader efforts to boost…
Polisi wanawake Geita waipa tano Magereza Chato
GEITA; MTANDAO wa Polisi Wanawake (PFT-NET) mkoa wa Geita, umeeleza kuridhishwa na kuunga mkono programu ya ustadi, uwezo na maarifa inayotolewa na Jeshi la Magereza wilayani Chato kwa wafungwa. Programu…
Renewable energy and the future of sustainable power generation
DAR ES SALAAM: THE global demand for energy has grown significantly over the past century due to population growth, industrial development and rapid urbanisation. Traditionally, most of the world’s energy…
‘Timiza Fund imekuwa chachu ya mafanikio’
DAR ES SALAAMM; Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Zan Securities Limited, Raphael Masumbuko, amesema uwekezaji wa pamoja umeanza kuwa chachu ya kuwainua kiuchumi Watanzania wengi. Amesema hatua hiyo inatokana na…
Usipojipanga BDL imekula kwako
WAKATI timu zikisubiri kutangaziwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), timu zitakazoshindwa kujipanga vizuri huenda zikajikuta zikikumbana na vichapo vya kushangaza kutokana na…
Mchujo Ukonga Kings si mchezo
MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu Mkoa…
Bandari, Planet kinapigwa fainali ya pili
JOTO la fainali ya pili ya Dunda Swish Tournament linazidi kuzikumba timu za Bandari Mwanza na Bugando Planet.
Land ownership key to women’s economic empowerment, development
DAR ES SALAAM: ACROSS Tanzania, from the dusty footpaths of rural villages to the busy streets of growing towns, land has never been just a piece of earth, but the…
Mwanamke wa Nairobi Avunja Kioo cha Matatu Baada ya Kondakta Kudaiwa Kuhepa na Chenji Yake
Abiria aliyechemka Nairobi alivunja kioo cha mbele cha matatu baada ya mzozo wa nauli kuchacha, na hivyo kuzua video hiyo kupepea mitandaoni watu wakitoa maoni mseto
Rights advocates demand probe into hospital allegations
DAR ES SALAAM: A COALITION of 48 women’s rights organisations is calling for an “independent, impartial and timely” investigation into the harrowing claims made by a Mbulu resident, Ms Teresia…
Why we sometimes hide our feelings from the people we love most
DAR ES SALAAM: IT may seem surprising that the people we love most are often the ones we find hardest to be emotionally honest with. In therapy, I sometimes meet…
Sekta binafsi kuchangia tril 60/- Mpango wa Maendeleo
SERIKALI imesema sekta binafsi inatarajiwa kuchangia Sh trilioni 60.1 katika utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2026/2027 ambazo ni sawa na asilimia 69.6 ya kiasi kitakachotumika. Waziri wa Nchi,…
Tanzania moves from policy to action in inclusive development
DAR ES SALAAM: AS inclusive development gains global recognition as a cornerstone of sustainable progress, Tanzania is reinforcing its commitment to ensuring that no one is left behind. At the…
Akon achukizwa na tabia za mwanae, agusia malezi ya Afrika
Nyota wa muziki duniani, Aliaune Damala maarufu Akon amesema Afrika ni sehemu salama kwa malezi...
Vita Iran yatikisa soko la nishati, Ujerumani, Austria kutoa akiba ya mafuta
Nchi za Ujerumani na Austria zimetangaza kuanza kuachia sehemu ya akiba yao ya mafuta kufuatia...
Hizbullah yatwanga ngome za Israel kwa makombora na droni
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa mapema leo ikisema kwamba imeshambulia ngome za utawala haramu wa Israel kaskazini na katikati mwa ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
Zanzibar expands digital health system for primary facilities
ZANZIBAR: THE Zanzibar Ministry of Health has announced plans to strengthen healthcare services by supplying Information and Communication Technology (ICT) equipment to primary health facilities as part of the government’s…
Middle East Monitor: Vita vya Iran huenda vikawa mwisho wa kisiasa wa Netanyahu
Tovuti ya Middle East Minitor imeandika makala ya uchambuzi kuhusu mashambulizi ya kichokozi ya Marekani na utawala wa Kziayuni wa Israel ikisema kuwa vita ambavyo Benjamin Netanyahu amejiandaa kwa ajili…
Serikali yapendekeza bajeti tril 62/-, vipaumbele vitano
SERIKALI imetaja vipaumbele vitano katika mapendekezo ya mfumo na ukomo wa bajeti kwa mwaka 2026/2027. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema hayo wakati wa kuwasilisha mapendekezo ya Mfumo…
Seneta wa Marekani: Serikali ya Trump imesema uongo kuhusu shambulio dhidi ya shule ya Iran
Seneta wa Marekani amekosoa uongo wa kukaririwa wa serikali na jeshi la nchi hiyo na kusema serikali imetudanganya kuhusu shambulizi lililolenga shule ya watoto wadogo nchini Iran.
Council loans empower women businesses
GEITA: THE government has disbursed 323bn/- in interest-free council loans to 35,326 beneficiaries, including women, youth and people with disabilities, between 2021 and 2025. Out of the total amount, 159bn/-…
Samia: Tutaendelea kulinda amani
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itaendelea kulinda amani, umoja wa kitaifa na utulivu wa kisiasa. Alisema hayo alipopokea salamu za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres…
Nambuo’s quest to give girls a choice
DAR ES SALAAM: LAWYER Irene Nambuo has made it her mission to ensure that Tanzanian girls grow up with choices, not early marriages. As Coordinator of the Tanzania End Child…
Jackson Kibor: Mwanawe Marehemu Bwenyenye wa Eldoret Afungwa Jela kwa Kumpiga Dadake wa Mama Kambo
Albert Kibor, mwanawe marehemu tajiri Jackson Kibor, alisukumwa jela miaka mitatu kwa kumpiga shangaye Faith Jemutai huko Eldoret; mahakama ilimnyima chaguo la faini
Why government retains minority stakes in strategic companies
DAR ES SALAAM: TANZANIA continues to hold minority stakes in strategic companies to safeguard national interests, promote economic growth, and leverage private sector expertise, officials from the Office of the…
Arsenal yamuenzi hayati Raila Odinga, yatuma zawadi kwa heshima kubwa
Arsenal F.C. ilimuenzi hayati Raila Odinga kwa kuangazia jina lake kwenye programu ya siku ya mechi, wakienzi ushabiki wake kwa klabu wakati wa mechi ya Ligi Kuu.