Skip to content
  • Thu. Jul 9th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu… Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022 Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou Justin Muturi atilia mashaka madai ya Gachagua kwamba alimfanya Ruto kuwa Rais: “Nina tashwishi”
LTV ENGLISH NEWS

Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability

July 8, 2026 mjombazecoder

Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…

July 8, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022

July 8, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou

July 8, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Justin Muturi atilia mashaka madai ya Gachagua kwamba alimfanya Ruto kuwa Rais: “Nina tashwishi”

July 8, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability
LTV ENGLISH NEWS
Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability
Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022
TUKO SWAHILI NEWS
Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022
Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou
TUKO SWAHILI NEWS
Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability
LTV ENGLISH NEWS
Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability
Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022
TUKO SWAHILI NEWS
Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022
Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou
TUKO SWAHILI NEWS
Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou
HABARI ZA KIPEKEE

Rais wa Iran atangaza masharti ya kusitishwa vita vya kutwishwa vya US, Israel

March 12, 2026 mjombazecoder

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametangaza masharti kadhaa ya kuhitimisha vita vya kichokozi vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu; huku tawala mbili hizo za…

TUKO SWAHILI NEWS

Mama Kibera akiri anajuta kuondoka Kenya baada ya kuishia gerezani Saudi Arabia

March 12, 2026 mjombazecoder

Baada ya kuhangaika kuwalisha watoto wake huko Kibera, Isabella Juma alitafuta kazi nje ya nchi nchini Saudi Arabia, lakini akakamatwa na kusukumwa jela

LTV ENGLISH NEWS

Government disburses 7bn/- to empower youth in fisheries projects

March 12, 2026 mjombazecoder

MWANZA: A TOTAL of 7bn/- has been issued as loans to support 308 graduates through the Building a Better Tomorrow (BBT) – Fisheries Programme to implement projects in cage fish…

LTV ENGLISH NEWS

Stakeholders see Tanzania’s strong potential in carbon trading

March 12, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS have highlighted Tanzania’s strong potential in carbon trading, noting its vast forests, expanding clean energy initiatives and growing investor interest. Stakeholders have pointed to Tanzania’s strong…

LTV ENGLISH NEWS

PM directs regional leaders to promote investment, support businesses

March 12, 2026 mjombazecoder

DODOMA: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has directed Regional Commissioners, Council Directors and Regional Administrative Secretaries to take the lead in promoting investment and business growth in their respective areas. Dr…

MWANANCHI

Ukatili wa kijinsia watajwa chanzo baadhi ya wanawake kuishia gerezani

March 12, 2026 mjombazecoder

Imeelezwa kuwa baadhi ya wanawake wanaojikuta wakihukumiwa vifungo mbalimbali gerezani, chanzo...

LTV ENGLISH NEWS

ROSTAM’S ENTRY INTO NMG: Economic implications for East Africa’s media industry

March 12, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: FOLLOWING breaking news in the first quarter of 2026 that prominent Tanzanian businessman Rostam Aziz has acquired a controlling stake in Nation Media Group after purchasing the…

TUKO SWAHILI NEWS

Watu 12 wakamatwa baada ya kula hadharani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

March 12, 2026 mjombazecoder

Polisi huko Chechake wamewakamata 12 kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani. Kukamatwa huko kunazua mijadala juu ya nidhamu na utangamano wa dini mbalimbali Zanzibar

TUKO SWAHILI NEWS

Eliud Kipchoge asimulia vitisho familia ilipokea baada ya kifo cha Kelvin Kiptum: “Ilinivunja moyo”

March 12, 2026 mjombazecoder

Eliud Kipchoge alizungumzia madai yaliyoenea kuhusu yeye kuhusika katika kifo cha Kelvin Kiptum na kusababisha vitisho vingi kwake na familia yake.

LTV ENGLISH NEWS

Govt backs private investment in sugar sector

March 12, 2026 mjombazecoder

DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has reaffirmed the government commitment to supporting domestic sugar production and maintaining a stable and predictable investment atmosphere that encourage private sector’s participation in key…

HABARI ZA KIPEKEE

Araghchi aonya UN: Kunyamazia kimya uvamizi wa US, Israel kutashadidisha taharuki katika eneo

March 12, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres kuwa, kufumbia macho au kutochukua hatua za maana…

LTV ENGLISH NEWS

Hidden land injustices now demand urgent reform

March 12, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: ACROSS the country, land disputes are increasingly dominating public conversations. What were once quiet grievances handled within villages, wards or district offices are now surfacing in open…

TUKO SWAHILI NEWS

Afueni kwa familia baada ya mwili wa mwanao uliozuiliwa hospitalini kufuatia KSh 3.7m kuachiliwa

March 12, 2026 mjombazecoder

Familia ya Joel aliyezaliwa na ugonjwa wa uti wa mgongo, hatimaye wamemzika baada ya miezi miwili ya kuhangaika kuhusu bili ya KSh 3.7 milioni za hospitali

LTV ENGLISH NEWS

Proposed budget rises to 62.3tri/-, targets stronger economy

March 12, 2026 mjombazecoder

DODOMA: THE government yesterday unveiled a 62.33tri/- proposed budget for the 2026/27 financial year, representing a 10.3 per cent increase from the 57.04tri/- allocated in the current fiscal year as…

TUKO SWAHILI NEWS

Mafuriko ya Nairobi: Familia za waliofariki zaahidiwa KSh 200,000 kutoka kwa serikali

March 12, 2026 mjombazecoder

Kila familia ya waathiriwa wa mafuriko ya Nairobi itapokea KSh 200,000 kutoka kwa serikali. Watu 24 walipoteza maisha yao kwenye mafuriko wakati wa janga hilo.

MWANANCHI

Ripoti yabainisha pengo uchimbaji endelevu Bulyanhulu, Barrick yajibu

March 12, 2026 mjombazecoder

Ripoti mpya ya utafiti imeibua taswira ya pande mbili katika sekta ya madini nchini, ikionesha...

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yasema haitashiriki Kombe la Dunia la FIFA 2026

March 12, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Michezo wa Iran, Ahmad Donyamali amesema timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu haitashiriki katika fainali za Kombe la Dunia katika msimu ujao wa joto, licha…

LTV ENGLISH NEWS

Heavy rains disrupt transport, flood homes across Tanzania

March 12, 2026 mjombazecoder

MOROGORO: HEAVY rains currently falling in several parts of Tanzania have caused flooding, damaged infrastructure and disrupted transport, with authorities urging residents in vulnerable areas to take precautionary measures. In…

MWANANCHI

Hili ndilo soko la mafuta na bei zinapangwa hivi

March 12, 2026 mjombazecoder

Vita inayoendelea katika ghuba ya Uajemi tayari vimesababisha bei ya bidhaa muhimu ya mafuta...

IDHAA YA DUNIA

Jinsi watawala wa Iran walivyojenga mfumo wa kuwaweka madarakani

March 12, 2026 mjombazecoder

Wataalamu wanasema muundo wa mamlaka ya Iran umewezesha utawala huo kustahimili misukosuko ya mara kwa mara

TUKO SWAHILI NEWS

Magazeti ya Kenya, Machi 12: Oburu Oginga awatimua waliokuwa wafanyakazi wa Raila Odinga

March 12, 2026 mjombazecoder

ODM imewafuta Kazi zaidi ya wafanyakazi 90 wa Raila Odinga huku Oburu Oginga akiimarisha udhibiti, akizindua ofisi mpya Riverside na kupanua ushawishi wake kisiasa.

LTV ENGLISH NEWS

OCTOBER 29 INCIDENT PROBE: Samia pledges justice, stability

March 12, 2026 mjombazecoder

DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has said the government is committed to ensure that investigations into the October 29th, 2025 incidents are conducted in accordance with the principles of the…

TUKO SWAHILI NEWS

Victor Wanyama asimulia jinsi nusura amwage wino wa kuichezea Man Utd baada ya kukutana na Ferguson

March 12, 2026 mjombazecoder

Victor Wanyama alifichua jinsi nusra ajiunge na Manchester United baada ya Sir Alex Ferguson kuvutiwa na uchezaji wake huko Celtic, lakini alijiunga na Southampton.

MWANANCHI

Mzawa aja na jukwaa la suluhu kwa wabunifu na wasaka ajira

March 12, 2026 mjombazecoder

Suala la ukosefu wa ajira rasmi limekuwa likiumiza kichwa wengi, kuanzia kwa watu binafsi hata...

LTV ENGLISH NEWS

Isles’ February tourist arrivals up by 4.9pc

March 12, 2026 mjombazecoder

ZANZIBAR: ZANZIBAR recorded 86,839 international tourist arrivals in February this year, marking a 4.9 per cent increase compared to 82,750 visitors recorded in February last year. However, the figure represents…

MWANANCHI

Silva atupa taulo kufuatia kipigo cha Madrid

March 12, 2026 mjombazecoder

Nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva, amesema matumaini ya timu yake kusonga mbele katika...

LTV ENGLISH NEWS

Stakeholders push local participation in PPP projects

March 12, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: STAKEHOLDERS have emphasised the importance of local participation in implementing Public-Private Partnership (PPP) projects, saying it is crucial for empowering Tanzanians beyond the concept of local content.…

LTV ENGLISH NEWS

Mwinyi thanks Oman for supporting Zanzibar

March 12, 2026 mjombazecoder

ZANZIBAR: ZANZIBAR President Dr Hussein Mwinyi has expressed gratitude to the government of Oman for its continued support towards the islands’ development efforts. Dr Mwinyi extended the gratitude on Tuesday…

MWANANCHI

Nguvu ya jua katika ujenzi wa uchumi wa bluu

March 12, 2026 mjombazecoder

Kuna methali ya Kiswahili inayosema, "Samaki mkunje angali mbichi." Tunaielewa vyema maana yake...

IDHAA YA DUNIA

Kukamatwa, shutuma, madai dhidi ya familia ya Mugabe baada ya kupoteza madaraka

March 12, 2026 mjombazecoder

Bellarmine Mugabe baada ya kufikishwa mahakamani, tunaangalia kilichotokea kwa familia ya zamani ya Zimbabwe iliyokuwa madarakani.

MWANANCHI

Nafasi ya Tanzania katika uchumi wa dunia kupitia madini muhimu

March 12, 2026 mjombazecoder

Dunia inapoharakisha mpito kutoka nishati ya mafuta na gesi kwenda nishati safi, madini muhimu...

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Sudan Kusini: Serikali yachukua udhibiti wa Mji wa kimkakati wa Akobo

March 12, 2026 mjombazecoder

Jeshi la Sudan Kusini, limetangaza kuuchukua tena Mji wa kimkakati wa Akobo ulioko kaskazini mwa jimbo la Jonglei kutoka kwa wapiganaji wa upinzani baada ya kuanzisha mashambulio yake ya wiki…

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Raia wa Congo Brazzaville kushiriki uchaguzi mkuu wikendi hii

March 12, 2026 mjombazecoder

Raia wa Congo Brazzaville Jumapili ya wiki hii watachagua rais, huku kiongozi wa sasa Denis Sassou Nguesso mwenye umri wa miaka 82 akiwania kwa muhula wa tano ambapo atapambana na…

IDHAA YA DUNIA

Israel yasema iko tayari kuendelea na vita na Iran “kwa muda mrefu iwezekanavyo

March 12, 2026 mjombazecoder

Katika taarifa mpya kutoka kwa msemaji wa jeshi Avichay Adraee, amesema Hezbollah imeanzisha operesheni mpya, na Israeli itajibu.

IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

Burundi :Waziri Mkuu wa zamani Guillaume Bunyoni aachiwa huru

March 12, 2026 mjombazecoder

Waziri mkuu wa zamani wa Burundi, Jenerali Alain-Guillaume Bunyoni, ambaye anatumikia kifungo cha maisha gerezani kwa jaribio la mapinduzi, hapo jana aliachiwa kwa sababu za kiafya, vyanzo vya mahakama na…

MWANANCHI

Anguko la biashara za familia liko hapa

March 12, 2026 mjombazecoder

Biashara za familia ni sehemu muhimu sana ya uchumi katika nchi nyingi duniani, na Tanzania pia...

IDHAA YA DUNIA

Tetesi za soka Alhamisi:Man Utd yammezea mate Murillo

March 12, 2026 mjombazecoder

Manchester United wanatazamia kumsajili beki wa Nottingham Forest, Murillo, Arsenal wanaonesha nia ya kumsajili Tino Livramento, na Tottenham Hotspur watamruhusu Antonin Kinsky kuondoka kwa mkopo.

IDHAA YA DUNIA

Mlango-Bahari wa Hormuz: Nini kitatokea Iran ikifunga njia ya usafirishaji mafuta

March 12, 2026 mjombazecoder

Takribani moja ya tano ya uzalishaji wa mafuta ghafi duniani hupitia njia hii nyembamba ya bahari, ambayo haina upana wa zaidi ya kilomita arobaini katika sehemu yake nyembamba zaidi.

HABARI ZA KIPEKEE

Korea Kaskazini yampongeza Ayatullah Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

March 12, 2026 mjombazecoder

Korea Kaskazini imepongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.

HABARI ZA KIPEKEE

Kamanda Hatami: Tutalinda heshima na hadhi ya Iran ya Kiislamu hadi tone la mwisho la damu

March 12, 2026 mjombazecoder

Kamanda Mkuu Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vijana wa ardhi hii takatifu watalinda heshima ya Iran kwa nguvu na azma hadi tone la mwisho la damu

HABARI ZA KIPEKEE

Pezeshkian: Iran haina nia ya kuingia katika mzozo na nchi za eneo

March 12, 2026 mjombazecoder

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kwamba Iran haitaki vita au uhasama na nchi za eneo, bali inalenga tu vituo vinavyotumiwa kama chanzo cha mashambulizi dhidi…

HABARILEO

Elimu ya faragha yafikishwa kwa wasioona

March 11, 2026 mjombazecoder

TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeanza mkakati maalum wa kuwafikia watu wenye mahitaji maalum kwa kuwapa elimu ya faragha na kuelimisha kuhusu haki zao wanapokuwa kwenye mitandao ya…

HABARILEO

Tume yakutana na mwakilishi UN

March 11, 2026 mjombazecoder

TUME ya Uchunguzi ya matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imekutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa…

ASTV TANZANIA

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,TFF Wallace Karia, amepigia chapuo dhana ya “No School, No Play” wakati alipotembelea kituo…

March 11, 2026 mjombazecoder

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,TFF Wallace Karia, amepigia chapuo dhana ya “No School, No Play” wakati alipotembelea kituo cha michezo cha Future Stars Academy mkoani Arusha. Dennis Mwasalanga na…

MWANASPOTI

Sereri awaliza waajiri wake wa zamani, Fei Toto akirejea na bao, asisti

March 11, 2026 mjombazecoder

BAADA ya kucheza mechi mbili za ugenini kwa dakika 180 ikiambulia pointi mbili, Azam FC imeamkia kwa Dodoma Jiji kufuatia kuichapa mabao 3-0.

TUKO SWAHILI NEWS

Waihiga Mwaura amkumbuka marehemu dadake kwa ujumbe wa kugusa moyo siku yake ya bathidei

March 11, 2026 mjombazecoder

Waihiga Mwaura alimkumbuka marehemu dadake, Lil Gathoni, kwa heshima siku yake ya kuzaliwa, akikumbuka urithi wake na kushiriki kumbukumbu katika jumbe za hisia.

ASTV TANZANIA

Kipato kidogo kwa wananchi hasa wa vijijini kimesababisha kupunguza kasi ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwamo gesi

March 11, 2026 mjombazecoder

Kipato kidogo kwa wananchi hasa wa vijijini kimesababisha kupunguza kasi ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwamo gesi. Hali hiyo inachangia baadhi ya wananchi ushindwa kujaza mitungi yao pindi…

MWANANCHI

Wataalamu 600 kukutana Moro kujadili upangaji miji, matumizi ya teknolojia

March 11, 2026 mjombazecoder

Wataalamu zaidi ya 600 wa sekta ya ujenzi na upangaji miji wanatarajiwa kukutana mkoani...

TUKO SWAHILI NEWS

Johana Ng’eno: Patrick Ntutu, Ba’mkwe wa Mbunge Aliyefariki Atembelea Kaburi na Kumfariji Mjane

March 11, 2026 mjombazecoder

Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu alitoa heshima katika kaburi la marehemu Mbunge Johana Ng'eno, akishiriki jumbe za Rais William Ruto na kumfariji mjane wake.

TUKO SWAHILI NEWS

Mwanamume wa Kisii aliyekuwa akiishi chooni baada ya kufungiwa nyumba apatikana amefariki

March 11, 2026 mjombazecoder

Mfanyikazi wa hospitali ya Kisii kilichotelekezwa baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi bila mshahara, huku wenzake wakisimulia hali yake ya kusikitisha wakidai haki

Posts pagination

1 … 368 369 370 … 1,046

Recent Posts

  • Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability
  • Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…
  • Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022
  • Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou
  • Justin Muturi atilia mashaka madai ya Gachagua kwamba alimfanya Ruto kuwa Rais: “Nina tashwishi”

Recent Comments

  1. Phillippaica on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • July 2026
  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

LTV ENGLISH NEWS

Msigwa hails Tanzanian patriotism in safeguarding their country’s peace and stability

July 8, 2026 mjombazecoder

Maelfu ya vikundi vya ulinzi shirikishi wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali wilayani hu…

July 8, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Jimi Wanjigi amwambia Ruto kusahau kabisa Singapore badala yake amtaka atimize ahadi alizotoa 2022

July 8, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Ndindi Nyoro ashangaa kimya cha IEBC wakati vyuma vya kisiasa vikiumana Ol Kalou

July 8, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS