#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mita…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa…
Tanzanians assured full participation in the LNG processing project
MOROGORO: The Minister for Energy, Deogratious Ndejembi, has urged the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to strengthen its plans for accurate data collection, assessment of exploration blocks, and preparation for…
Usafiri mwendokasi mguu sawa Gongo la Mboto
Awamu ya tatu ya usafiri usafiri wa mabasi yaendayo haraka iko mbioni kuanza kati ya Gongo la...
Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob’s Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchagu…
Mwenyekiti wa tume huru ya Taifa ya uchaguzi Jaji mstafu Jacob's Mwambegele ameridhishwa na hali ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Peramiho leo 26.02.2026. Akitembelea baadhi ya…
PURA tasked to accelerate exploration in new oil, gas areas for investment
MOROGORO: THE Permanent Secretary in the Ministry of Energy in charge of Oil and Gas, Dr James Mataragio, has directed the Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) to accelerate preliminary exploration…
Mazungumzo kuhusu mradi wa nyukilia wa Iran yafanyika Geneva
Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia kuhusu mradi wa Nyuklia wa Iran, yamefanyika jijini Geneva nchini Uswiszi, kati ya wajumbe wa Marekani na Iran, wakati rais Donald Trump akitishia…
Super Metro yatoa taarifa kuhusu kifo cha abiria anayedaiwa kusukumwa na kondakta wao: “Imetushtua”
Super Metro Yaanzisha Uchunguzi Baada ya Abiria, Joseph Mureithi, Kusukumwa hadi Kufa na Kondakta Alipokuwa Akisafiri Kutoka Kitengela Kuelekea Nairobi.
Rithe: Tutaadhimisha mwezi wa wanawake kwa kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29, 2025
Ngome ya Wanawake ya Chama cha ACT-Wazalendo imetangaza kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani...
Mauaji ya raia nchini Sudan yaliongezeka mara mbili mwaka wa 2025
Mauaji ya raia kwenye vita vinavyoendelea nchini Sudan, yaliongezeka mara mbili mwaka 2025, ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka 2024. Imechapishwa: 26/02/2026 – 16:46 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Bomet: Askari wa Busia Ahepa baada ya Kudaiwa Kumpumbaza Mkewe Kabla ya Kumuua
Polisi wa Bomet wanamsaka afisa wa Busia ambaye anadaiwa kumrubuni na kumuua mkewe ambaye walikubalina wakakutane hotelini. Mkutano wao uliishia katika mauaji.
#NBCPL Haya magoli yote matano, TRA United wakizindukia Uwanja wa Black Rhino, Karatu
#NBCPL Haya magoli yote matano, TRA United wakizindukia Uwanja wa Black Rhino, Karatu. FT: Fountain Gate 1-4 TRA United Inafuata Namungo vs Singida BS LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
‘Serikali kununua ndege mpya nane’
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amebainisha mafanikio ya Kampuni ya Ndege ya ATCL, ambapo amesema kuwa hadi sasa imefanikiwa kuingiza zaidi ya dola za Marekani milioni…
Watu 25 wameuawa katika mashambulio ya kijihadi Adamawa, Nigeria
Watu 25 wameuawa katika mashambulio mawili ya kijihadi katika jimbo la Adamawa, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Imechapishwa: 26/02/2026 – 16:38 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Msigwa: Kimara tulieni, Serikali ipo kazini
DAR ES SALAAM: WAKAZI wa Kimara jijini Dar es Salaam wameombwa kuwa wavumilivu kufuatia changamoto ya usafiri inayoendelea kulikumba eneo hilo, wakati serikali ikiendelea na jitihada za kutafuta suluhisho la…
Msigwa amaliza utata meli iliyokamatwa El Salvador
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amekiri kupokea taarifa za kukamatwa kwa meli ya FMS Eagles yenye bendera ya Tanzania, inayodaiwa kukutwa na tani 6.6 za dawa…
JKCI yaja na mkakati kupunguza vifo vya mapema kwa wanaume
Wakati ripoti ya kimataifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ikionyesha wanaume duniani...
Abdulla: Wabunge, wakurugenzi ondoeni tofauti zenu fedha za mfuko wa jimbo
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wabunge na wakurugenzi...
#SportPesaLeague Magoli yote mawili, wakitangulia maafande kwa goli la maajabu kutoka kwa Boniface Muchiri, lakini Homeboyz waka…
#SportPesaLeague Magoli yote mawili, wakitangulia maafande kwa goli la maajabu kutoka kwa Boniface Muchiri, lakini Homeboyz wakachomoa kupitia kwa super sub, Pistone Mutamba Vunyoli, kwa header mchungulio…. FT: Ulinzi Stars…
ATCL performance hits heights with 157m US dollars in revenue generated
DAR ES SALAAM: The Government Chief Spokesperson, Gerson Msigwa, has highlighted the achievements of Air Tanzania Company Limited (ATCL), stating that the airline has generated more than 157m US dollars…
Zaidi ya watu 60,000 kunufaika na mpango wa bima ya afya Shinyanga
Watu 63,541 mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na mpango wa Bima ya Afya kwa wote ikiwa ni...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA LINDI, FEBRUARI 26, 2026 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA LINDI, FEBRUARI 26, 2026 -
TRA yaja na ‘ofisi zinazotembea’ kuongeza wigo wa mapato
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua magari maalumu ya kutolea huduma za kodi maarufu...
Ulega aagiza vibarua kupatiwa vyeti baada ya kumaliza kazi
Waziri Ulega amesema hatua hiyo itawasaidia vibarua hao kupata ajira baadaye huku lengo likiwa...
Hekaheka ya kusaka maji kilomita 24 Handeni
Wakati maji yakigeuka lulu kwa wakazi wa Mkata Magharibi, wilayani Handeni, mkoani Tanga, kwa...
Tanzania readies to host Africa’s Horticulture Conference
DAR ES SALAAM: TANZANIA has been honored to host the Regional Horticulture Conference (Hortilogistica Africa) in November 2026 in the Arusha Region. The Ministry of Agriculture announced this on Thursday…
Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabianchi
Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa...
Tanzania notes limited access, cybersecurity as critical gaps in the ICT sector
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has acknowledged that despite notable progress in the communications sector, there are critical gaps that require urgent intervention to ensure services reach all citizens…
Jaji Mutungi amevunja ukimya mgogoro wa CUF
Hatimaye, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amevunja ukimya na kuzungumzia...
Tanzania breaks the ice on the seized FMS Eagle with the Tanzanian flag
DAR ES SALAAM: THE Chief Government Spokesperson of Tanzania, Gerson Msigwa, has confirmed receiving reports of the seizure of the vessel FMS Eagle, flying the Tanzanian flag, which was allegedly…
CCM conveys condolences to the Dar Archdiocese following the death of Cardinal Pengo
DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) has conveyed heartfelt condolences to the Archbishop of the Catholic Archdiocese of Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, following the death of retired…
Mwanamke wa Nakuru Asimua Jinsi Alivyomuua Mwenzake Chuoni Bila Kukusudia, Afichua Alifungwa Miaka 5
Mzozo wa mwanafunzi aliyeishi chuoni uligeuka kuwa msiba huku Margaret Nyatuka akitafakari njia yake ya ukombozi na kutarajia maisha ya baadaye zaidi ya kufungwa.
Kortini akidaiwa kughushi barua za vyuo vikuu
Mkazi wa Kibamba, Hakeem Palangyo, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
TRA yaichapa Fountain Gate kibabe
TRA United imeizamisha Fountain Gate kwa kuitandika mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara...
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Shiwinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, wameshiriki zoezi la upigaji kura ku…
#HABARI: Wananchi wa Kata ya Shiwinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe, wameshiriki zoezi la upigaji kura kumchagua diwani mpya atakayeziba nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Lusekelo Mwalukomu…
Uhalali Tume ya Matukio ya Oktoba 29 kuamuliwa Machi 6
Wakati Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameziagiza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) na Mamlaka ya Udhibiti…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameziagiza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuwa na mkakati wa…
Makundi maalumu yasisitizwa maendeleo jumuishi
DAR ES SALAAM: KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abdul Mhinte, amesema ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha maendeleo jumuishi, akisisitiza kuwa makundi…
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi jumla ya magari 70 yenye lengo la kuongeza ufanisi na kurahisisha zoezi la …
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi jumla ya magari 70 yenye lengo la kuongeza ufanisi na kurahisisha zoezi la ukusanyaji wa kodi nchini. Katika shehena hiyo ya magari, yapo…
NCAA embarks on upgrading road network for tourists, investors, communities
ARUSHA: THE Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) is intensifying efforts to upgrade and maintain its road network, ensuring seamless access for tourists, investors, and local communities. Commissioner Abdul-Razaq Badru, who…
SADC hails Tanzania’s bold push for clean cooking energy
VICTORIAL FALLS: THE Southern African Development Community (SADC) has hailed Tanzania’s bold push to fast-track clean cooking energy, applauding the scrapping of taxes, subsidies on gas cylinders and improved cookstoves,…
Simanzi nesi akifariki Uingereza muda mfupi kabla ya kuingia kazini kwa zamu ya usiku
Richmond Mensah, muuguzi wa Ghana nchini Uingereza, aliaga dunia akiwa usingizini, na kuacha nyuma familia iliyovunjika moyo. Watu mitandaoni aliomboleza kwa uchungu
#MEZAHURU”….ukiangalia wametoka mbali kwa sababu hata kipindi wanaanza mchezo wa wheelchair tennis Pendo kwanza alikuwa na kuj…
#MEZAHURU"....ukiangalia wametoka mbali kwa sababu hata kipindi wanaanza mchezo wa wheelchair tennis Pendo kwanza alikuwa na kujiogopa "kocha mchezo huu siwezi" lakini hakuna kitu ambacho hakiwezekani duniani ....na ndio anazungumza…
#HABARI: Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mkoa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ambayo u…
#HABARI: Serikali imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Ufundi ya Mkoa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90 na kwamba shule hiyo…
NDEJEMBI: PURA IWAANDAE WATANZANIA MRADI WA LNG
NDEJEMBI: PURA IWAANDAE WATANZANIA MRADI WA LNG #HABARI: Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa…
Mwigulu ataka uchunguzi ujenzi ofisi ya DC Kiteto
MANYARA: WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amemtaka kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Haule, kufanya uchunguzi wa kina na kuwasilisha taarifa ya…