Wadau wa elimu, wakiwemo wanafunzi wametakiwa kubadili mtazamo kuhusu matumizi ya Akili Unde (AI) kwa kuitumia kama nyenzo ya ku…
Wadau wa elimu, wakiwemo wanafunzi wametakiwa kubadili mtazamo kuhusu matumizi ya Akili Unde (AI) kwa kuitumia kama nyenzo ya kujiletea manufaa ya kiuchumi na chachu ya mabadiliko binafsi, badala ya…
Tanzania eyes expanded overseas study slots under Samia Scholarship Extended
Dodoma: The government is set to hold talks with South Korea and Saudi Arabia to secure more study opportunities for Tanzanians under a scholarship scheme. Minister for Education, Science and…
Wananchi Wilayani Butiama Mkoani Mara ,wameiomba Serikali kuwachukulia hatua Kali baadhi ya watu wanaotumia majukwaa kisiasa ku…
Wananchi Wilayani Butiama Mkoani Mara ,wameiomba Serikali kuwachukulia hatua Kali baadhi ya watu wanaotumia majukwaa kisiasa kuchafua Viongozi kwani kuruhusu mijadala hiyo nikuzorotesha Maendeleo kwa wananchi. #kilichoborakabisa (Feed generated with…
Ferdinand Omanyala aanika jumba lake la kifahari mitandaoni, mashabiki wampongeza kwa bidii yake
Ferdinand Omanyala alionyesha jumba lake la kifahari lenye paa tambarare huko Ruiru, likionyesha muundo wa kisasa na maridadi. Mashabiki walisherehekea bidii yake
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mkoani…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanj…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia…
#HABARI: Watu watano wamenusurika kifo baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara
#HABARI: Watu watano wamenusurika kifo baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. Ajali hiyo ilihusisha gari la wagonjwa (Ambulance) la wilaya hiyo, lililokuwa…
#NBCPL Mammbo mazito…!!!
#NBCPL Mammbo mazito…!!! HT: Dodoma Jiji 0-0 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJijiFC #SimbaSC #DodomaJijiSimba (Feed generated with FetchRSS)
Mlinzi aeleza jinsi mshtakiwa alivyoiba Vodka, klabu ya The Voice, kuzificha kwenye fulana
Mlinzi Klabu ya The Voice Tz Limited, iliyopo Tabata Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, Masoud...
Shahidi aieleza Mahakama chanzo jengo la CCM kuchomwa moto
Mkaguzi wa Polisi mwenye namba PF 20122, Jafari Nguli (49) ameieleza Mahakama jinsi alivyobaini...
Mawaziri wawili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof
Mawaziri wawili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, na Waziri wa Kilimo Daniel Chongolo wametembelea Kiwanda…
25’ | #NBCPL
25’ | #NBCPL Dodoma Jiji 0-0 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #DodomaJijiFC #SimbaSC #DodomaJijiSimba (Feed generated with FetchRSS)
Wataalamu wataja sababu ongezeko la mafua, Uviko-19
Wakati Wizara ya Afya ikitoa tahadhari kwa wananchi kufuatia ongezeko la wagonjwa wa mafua...
Takukuru yaokoa Sh85 milioni za malipo ya walimu Mwanza
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti Sh85...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kudhibiti na kurejesha shilingi milioni 10 za mak…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kudhibiti na kurejesha shilingi milioni 10 za makusanyo ya fedha za ushuru kwa njia ya POS katika Halmashauri…
Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva daladala Himo
Madereva daladala eneo la Njia Panda, Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, waligoma kwa...
Wafula Buke afarijika baada ya mwanawe kufungwa jela miaka 4: “Alihitaji sana kuenda jela”
Mkurugenzi wa zamani wa ODM Wafula Buke amefarijika baada ya mwanawe wa miaka 21 Declan kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kupanga kutenda kosa kubwa.
Maeneo yaliyotelekezwa Mbeya kurudishwa serikalini
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewataka waliokuwa wamiliki wa maeneo ya...
Shule mpya kumaliza adha ya kutembea umbali mrefu Mtambani, Janga
Wanafunzi wa sekondari katika kata za Mtambani na Janga, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani...
#NBCPL Neno la makocha baada ya mechi…..wa Yanga akiendelea kulia na ugumu wa ratiba huku wa JKT akisema alichojifunza kutokana …
#NBCPL Neno la makocha baada ya mechi…..wa Yanga akiendelea kulia na ugumu wa ratiba huku wa JKT akisema alichojifunza kutokana na kichapo cha leo. FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania.…
Profesa Mkenda: Hakuna zuio waliosomeshwa na Serikali kufanya kazi nje ya nchi
Serikali imesema ni ruksa kwa wanafunzi waliopewa ufadhili wa masomo ya sayansi nje ya nchi...
Soko la Kasera lakumbwa na anguko la bei ya Samaki, mfungo watajwa sababu
Wavuvi na wachuuzi wa Soko Kuu la Kasera jijini Tanga wamelalamikia kushuka kwa bei ya samaki...
Ushindi wa mwenyekiti mpya CUF kupingwa kwa msajili
Dunga amedai wajumbe wengi hawakuwa halali, hivyo hawezi kukubali kushindwa kwa kura za wajumbe...
Wafanyakazi kiwanda cha chai Kibena wagoma, kisa mshahara
Zaidi ya wafanyakazi 250 wa Kiwanda cha Chai cha Kibena Tea Ltd mkoani Njombe, wameanza mgomo...
Hukumu ya kifo msaidizi wa ndani Mganda nchini Syria yazua mjadala
Kesi ya mfanyakazi wa ndani wa Uganda, Vicky Ajok, aliyohukumiwa kifo nchini Syria alikokuwa...
Iran na China kufikia makubaliano ya kununua makombora ya kushambulia meli
Kulingana na vyanzo kadhaa, Iran iko karibu kununua baadhi ya makombora ya kushambulia meli ya hali ya juu zaidi duniani kutoka China. Makubaliano haya tayari yanatia wasiwasi Washington, huku kukiwa…
Hakuna maendeleo bila ushirikiano – Waziri Sangu
Jamii imetakiwa kuimarisha na kuenzi utamaduni wa ushirikiano kupitia majadiliano ya mara kwa...
Mkakati kulinda Ziwa Tanganyika na Victoria
Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) imesaini mkataba wa ushirikiano na Tume ya Bonde la Ziwa...
Wananchi walalamikia kero ya maji Barabara ya Dodoma–Iringa
Wananchi waishio pembezoni mwa barabara kuu ya Dodoma - Iringa katika kata za Manzase na Fufu...
Maswali Mazito ya Yvonne Okwara Yamwacha Waziri Opiyo Wandayi Amekauka Mdomo: “Mtaalam wa Nani?”
Wakenya waliokuwa wakifuatilia mahojiano walielezea hasira na kufadhaika kwao mtandaoni, wakishangaa kwa nini Waziri Opiyo Wandayi alikuwa akikwepa maswali rahisi.
Dk Mwinyi, Mwigulu kushuhudia mashindano ya mabara ya kuhifadhi Quran
Msimu wa 26 wa mashindano ya mabara ya kuhifadhi Quran tukufu yanatarajiwa utafanyika Machi...
Mvutano kati ya Marekani na Iran: Ndege 12 za kivita za Marekani za F-22 Raptor zatua Israel
Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran yamepangwa kuanza tena siku ya Alhamisi, Februari 26, mjini Geneva. Pande zote mbili zinasema zinatoa kipaumbele njia za kidiplomasia,…
#NBCPL Funga kazi imetoka kwa super sub, Shekhan Ibrahim
#NBCPL Funga kazi imetoka kwa super sub, Shekhan Ibrahim. Goli la tano kwa Wananchi..!! FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania. Inafuata Dodoma Jiji vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC…
#NBCPL Chuma nambari nne ni Buba kwake Dube, Dube naye hafanyi makosa….!!!
#NBCPL Chuma nambari nne ni Buba kwake Dube, Dube naye hafanyi makosa….!!! FT: Yanga SC 5-0 JKT Tanzania. Inafuata Dodoma Jiji vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates…
Ziara ya Waziri Mkuu wa India Narendra Modi nchini Israel: Mtego wa kidiplomasia
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amewasili Israeli Jumatano, Februari 25, kwa ziara ya siku mbili. Nyuma ya “urafiki unaodumu” na ushirikiano unaostawi wa pande mbili katika biashara na ulinzi…
Yanga yatuma salamu Msimbazi ikiichapa JKT Tanzania 5-0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wameendelea kuthibitisha ubora wao katika ligi hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa nane mfululizo kufuatia kuwachapa Maafande wa JKT Tanzania mabao 5-0,…
Walimu 258 wenye ulemavu wapigwa msasa elimu jumuishi
Serikali imesema walimu 258 wamepatiwa mafunzo ya elimu jumuishi na walimu wataalamu 92...
Lwakatare: Uamuzi wa Msajili umetenda haki CUF
Uchaguzi wa marudio ulifanyika Februari 22, 2026 ambapo Mirambo Yusuf alichaguliwa kuwa...
Ruth Odinga, Caroli Omondi miongoni mwa wabunge waasi wa ODM walitiomuliwa kwa kamati kuu za bunge
ODM imeanzisha hatua za kinidhamu dhidi ya wabunge waasi, na kuwaondoa katika kamati kuu huku wafuasi wa chama wakiimarisha udhibiti kabla ya uchaguzi wa 2027.
Yanga yaitumia salamu Simba ikiipiga mkono JKT
Mabao ya Yanga yamepachikwa na Mohamed Hussein, Laurindo Aurelio 'Depu', Mudathir Yahya, Prince...
Skimu ya umwagiliaji kunufaisha wakulima 24,500 Mwanga
Wananchi wa Kata ya Kigonigoni, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali...
Gary Neville aitaka Man United kumtafuta kocha mwingine
Nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, ameitaka klabu hiyo kuanza haraka...
Sudan: UM umewaekea vikwazo maafisa wanne wa RSF kwa ukatili uliofanywa El-Fasher
Kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imewaongeza maafisa wanne Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye orodha yake ya vikwazo kwa Sudan. Imelaani kuhusika kwao…
Serikali yaridhishwa bei ya bidhaa mwezi wa Ramadhani
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeridhishwa na mwenendo wa wafanyabiashara...
Papa Leo XIV kuzuru Algeria Aprili 13, kituo cha kwanza katika ziara yake barani Afrika
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, atafanya ziara nchini Algeria, Cameroon, Angola, na Equatorial Guinea kuanzia katikati ya mwezi Aprili. Kituo cha kwanza katika ziara yake hii ya…
MAKAMU wa Rais Dkt Emanuel Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwa kilele cha kumbukizi ya miaka 120 ya mashujaa wa vita ya Maj…
MAKAMU wa Rais Dkt Emanuel Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwa kilele cha kumbukizi ya miaka 120 ya mashujaa wa vita ya Majimaji itakayofanyika tarehe 27 Februari mwaka huu katika…
Tanzania launches strategic campaign to promote the tanzanite market
DOHA: THE Tanzanian government has launched a strategic campaign to promote tanzanite gemstones in Qatar, aiming to expand international markets, attract investment, and boost tourism. Minister for Minerals, Anthony Mavunde…