Tanesco kuingiza umeme wa jua kwenye gridi ya Taifa
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linatarajia kuingiza kwenye gridi ya Taifa umeme...
Geay awika tena Deagu Marathon
Nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu...
Wachimbaji Mirerani wapata zahanati
ARUSHA: ZAHANATI yenye gharama ya zaidi ya Sh milioni 180 inajengwa ndani ya ukuta wa migodi ya madini ya Tanzanite iliyopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mirerani mkoani Arusha.…
Magaidi wauwa watu 50, wateka wanawake na watoto kaskazini-magharibi mwa Nigeria
Takribani watu 50 wameuawa na wanawake pamoja na watoto kadhaa kutekwa nyara katika shambulio la kigaidi lililolenga kijiji kimoja katika jimbo la Zamfara, kaskazini-magharibi mwa Nigeria.
Türk: Akili Mnemba izingatie ujumuishaji, uwajibikaji na viwango vya kimataifa
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, ameonya kuwa bila kuweka mifumo madhubuti ya udhibiti kwa haraka, akili mnemba (AI) inaweza kuongeza pengo la usawa,…
Sekta ya madini ya Sudan yapata hasara ya dola bilioni 7 huku vita vikiendelea
Sekta ya madini nchini Sudan imepata hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni saba kufuatia kuendelea kwa vita vya vya ndani kwa takribani miezi 34. Hayo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya…
Umuhimu wa kuelewa hisia unapowasiliana na mtoto
Kama kuna eneo muhimu kwa sisi wazazi kulizingatia ni kuelewa hisia za watoto kabla hatujawapa...
Maisha ya kuigiza yanavyoathiri ndoa za wengi
Katika zama hizi, ndoa nyingi haziishi tena kwa misingi ya ukweli bali kwa misingi ya maonyesho.
Andrew: Unachohitaji kujua kuhusu kuanguka kwa Mwanamfalme wa zamani
Andrew Mountbatten-Windsor amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 66 akiwa ndani ya seli ya polisi akiwa na “kitanda na choo tu”, ni nini kilichosababisha kuanguka kwa heshima ya mwanamfalme wa…
Kane apigiwa kampeni Barcelona
Jina la mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane limeibuka katika kampeni ya kuwania Urais wa...
Zanzibar yatenga Sh99 bilioni kujenga shule 13 za ghorofa
Safari ya kumaliza mfumo wa mikondo miwili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari...
Mvua yaua watatu Songwe, yumo mwanafunzi wa shule ya msingi
Watu watatu akiwamo mwanafunzi wa darasa la pili, wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea...
Tanzania to host International Kiswahili Conference in Paris
PARIS: TANZANIA will host the International Kiswahili Conference in Paris, France, from April 27 to 30, 2026, the government has confirmed. The conference, aimed at celebrating the global growth of…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Karim Amri, ameongoza Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kagera kufanya ziara ya kuimarisha chama…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu ana…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu anavyoeleza zaidi. #SheriaUpdate (Feed generated with FetchRSS)
TZ Film Festival and Awards: Where cinema sparkled, water cost fortune
DAR ES SALAAM: THERE are some evenings that pass like polite dinner guests. They knock gently, compliment the curtains and leave before the tea goes cold. And then there are…
Unaleaje watoto baada ya ndoa kuvunjika
Kuvunjika kwa ndoa ni tukio linalotikisa misingi ya familia na kuacha maumivu makubwa kwa...
30bn/- PPP to restore stone town sites
ZANZIBAR: THE Zanzibar Government has signed a Public-Private Partnership (PPP) agreement with Infinity Developments to restore and upgrade key historical sites within Stone Town, with the investor committing approximately 12…
Spurs majeraha kibao ikiivaa Arsenal
Tottenham Hotspur itawakosa nyota tisa tegemeo leo wakati itakapokuwa kwenye Uwanja wake wa...
Sudan: Mashambulizi matano dhidi ya vituo vya matibabu tangu mwanzo wa mwaka, kulingana na WHO
Tangu mwanzoni mwa mwaka 2026, mashambulizi matano dhidi ya vituo vya matibabu tayari yamerekodiwa katika mzozo wa Sudan, mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema siku ya Jumamosi, Februari…
Morice Sichone asaini mmoja UAE
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kitanzania, Morice Sichone amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza huko United Arab Emirates akitokea Tridents FC ya Zambia.
Kipa Mtanzania ang’ara Falme za Kiarabu
KIPA kijana wa Kitanzania, Abdallah Hamisi anaendelea kuandika rekodi yake kimyakimya katika Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE Pro League) baada ya kupandishwa kutoka kikosi cha vijana hadi timu…
Noela Luhala aula Lithuania
BEKI wa zamani wa Yanga Princess, Noela Luhala, ametambulishwa rasmi kujiunga na timu ya wanawake ya MFA Zalgiris ya Lithuania, hatua inayomfungulia ukurasa mpya katika soka la Ulaya.
EAC tasks BoT to educate bloc’s central banks on gold purchasing program
MWANZA: CENTRAL Bank officials from the East African Community (EAC) member states visited the Bank of Tanzania (BoT) Mwanza Branch to learn about the implementation of BoT’s gold purchasing and…
Mashindano ya mbio za baisikeli: Tour du Rwanda inaanza kwa toleo jipya
Kwa siku nane za mashindano ya mbio za baisikeli, toleo la kumi na nane la Tour du Rwanda litafanyika kuanzia Februari 22 hadi Machi 1. Mbio hizo zitaanzia Rukomo na…
Hasnath Ubamba anakiwasha Misri
MSHAMBULIAJI nyota wa Tanzania, Hasnath Ubamba ameendelea kung’ara nchini Misri akikipigania kikosi cha FC Masar Women kuendeleza mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Pointi tatu za maamuzi Bara
Kwa muda wa saa tisa, Ligi Kuu ya NBC leo itakuwa katika hisia za maelfu ya mashabiki wa soka...
Mtaalamu wa Uchumi Wilbald Msofe amesema kuwa maandalizi ya maisha ya kustaafu yanapaswa kuanza tangu siku ya kwanza mtu anapoaj…
Mtaalamu wa Uchumi Wilbald Msofe amesema kuwa maandalizi ya maisha ya kustaafu yanapaswa kuanza tangu siku ya kwanza mtu anapoajiriwa. Msofe ameeleza kuwa wafanyakazi wengi hufanya kosa la kusubiri hadi…
Khalid Adam atamba kuinusuru African Sports
LICHA ya mwenendo mbaya wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, ila kocha wa kikosi hicho, Khalid Adam, amesema ataendelea kuipigania timu hiyo hadi mwishoni, ili ibakie…
DC Itunda ataka hatua kali kwa wazazi wanaokwamisha usajili watoto shule
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewaelekeza watendaji wa kata jijini Mbeya...
Ndoa ndoano inapomnasa aliyeitega
Kuna wakati ndoa huonekana kama daraja la kuvuka kwenda kesho iliyo bora.
Mhadhiri wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt
Mhadhiri wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Jackson Coy, amesema jamii inapaswa kufikiri zaidi ya mtazamo wa kawaida ili kuona thamani na mahitaji ya makundi yenye…
Straika aliyekwama Fountain Gate afunguka
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Boniface Mwanjonde, amesema ameumia baada ya usajili wake wa kujiunga na Fountain Gate ya Ligi Kuu Bara katika dirisha dogo la Januari 2026 kukwama, ingawa amechukulia…
Rosenior aanza lawama Chelsea
Kocha wa Chelsea, Liam Rosenior, amewashukia baadhi ya wachezaji wake kufuatia sare dhidi ya...
Mzenji kumrithi Kondo TMA Stars
TIMU ya TMA FC ya jijini Arusha, iko katika hatua za mwisho za kumuajiri kocha Mzanzibari, Haji Ali Nuhu, ili kukiongoza kikosi hicho cha Championship hadi mwishoni mwa msimu huu,…
Ethiopia yawa onyesho halisi la uhamaji wa umeme ‘made in China’
Uamuzi mkali wenye athari za haraka. Kwa kuwekeza katika magari ya umeme ili kulegeza mshiko wake juu ya utegemezi wa nishati, Ethiopia kimsingi inabadilisha mfumo wake wa maendeleo—na kufichua waziwazi…
Hassan Mwaterema afichua siri Kagera Sugar
MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema, amesema siri ya mwenendo mzuri kwa kikosi hicho hadi sasa katika Ligi ya Championship msimu huu, ni kutokana na ushindani mkali kutoka kwa wapinzani…
Mingange ajiweka kando Songea United
ALIYEKUWA Kocha wa Songea United, Meja Mstaafu, Abdul Mingange, amesema ameamua kuachana na timu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili, licha ya kutofikia malengo aliyojiwekea tangu mwanzoni mwa msimu ya…
Jesse Jackson: Mfuasi wa Martin Luther King aliyeipa sura mpya Marekani
Akiwa mfuasi wa Martin Luther King Jr., Jackson alijenga kazi yake kwa kuandaa kisiasa na kuboresha maisha ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.
Gambia: Serikali ina wasiwasi kuhusu baadhi ya raia wake kuondoka kuelekea migogoro ya silaha
Nchini Gambia, serikali inasema “ina wasiwasi mkubwa” kuhusu raia ambao wameenda nje ya nchi kupigana, wakikusudia “kujiandikisha katika migogoro ya silaha.” Imechapishwa: 22/02/2026 – 09:34 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
ONGEA NA ANTI BETTIE: Nilitendwa, nawaogopa wanaume kama ukoma
Nilitendwa na mwanaume niliyempenda na niliamini tungeoana kwa maneno mazuri aliyokuwa...
DRC: Kufuatia onyo la IMF, Félix Tshisekedi azindua ukaguzi wa mishahara ya watumishi wa umma
Nchini DRC, kufuatia onyo la IMF kuhusu muswada wa mishahara unaoongezeka, ambao sasa unazidi nusu ya bajeti ya serikali, Rais Félix Tshisekedi anajikita katika usimamizi wa mishahara ya wafanyakazi wa…
Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda
ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na…
Shirika la ndege la Air Côte d’Ivoire lakumbwa na shambulio la mtandaoni
Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili, Februari 8, lakini liligunduliwa siku ya Ijumaa, Februari 20. Shirika la ndege la Air Côte d’Ivoire, lilikuwa mwathiriwa wa shambulio hilo la mtandaoni. Kulingana…
Simulizi ya baba aliyetelekezewa mtoto na mke wake
Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume ndiyo huwatelekeza watoto wao kwa mama zao, jambo...
Wanajeshi wanne wauawa katika makabiliano kaskazini mwa Chad
Nchini Chad, wanajeshi wanne waliuawa usiku wa Februari 17 kuamkia 18 katika jimbo la Borkou, kaskazini mwa mbali mwa nchi. Inaripotiwa kwamba tukio hilo lilitokea wakati wa makabliano na majambazi…
Papa Leo XIV atuma salamu za rambirambi msiba wa Kardinali Pengo
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ametuma salamu za rambirambi kutokana na...
Ushuru: Hofu yatanda Afrika Kusini baada ya uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani
Siku ya Ijumaa, Februari 20, Mahakama Kuu ya Marekani iliamua kwamba baadhi ya ushuru uliowekwa na Donald Trump duniani kote ulikuwa kinyume cha sheria. Uamuzi huu unapaswa kusababisha kuondolewa kwa…