Maumivu ya Oktoba 29 yaanza kung’ata Mbeya
Athari ya vurugu na maandamano yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu yameanza kung’ata...
Kijana mbaroni kwa tuhuma za mauaji, uporaji wa pikipiki na fedha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale (24), mkazi wa Mlowo mkoani...
Bayern yaziombea njaa Liverpool, Atletico Madrid leo
Bayern itaungana na Arsenal kufuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya leo, Januari 21...
Kyela kuandaa mpango mkakati kwa kuzingatia Dira ya Taifa 2050
Wataalamu wanaoandaa mpango mkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya...
Straika Prisons atua Coastal
ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, amekamilisha usajili wa kujiunga na Coastal Union kwa mkataba wa miezi sita utakaomweka ndani ya kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya…
Mido Singida anukia Azam
MABOSI wa Azam wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Idriss Diomande, baada ya nyota huyo aliyehusishwa pia kuhitajika na Simba katika dirisha…
Huduma uzazi wa mpango mbioni kuwa fao bima ya afya kwa wote
Uzazi wa mpango ni miongoni mwa afua za afya zilizotetereka baada ya kujitoa kwa USAID, ambazo...
Dilunga aungana na Mzamiru TRA
KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru Yassin waliyecheza pamoja wakiwa Simba.
Kihongosi: Hatutafumbia macho miradi itakayotekelezwa chini ya kiwango
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza hakitanyamaza wala kufumbia macho miradi inayotekelezwa...
Kipa Alliance ajivunia ubora, akiiwaza Simba
KIPA wa zamani wa Yanga Princess, Husna Mtunda ameanza vyema ndani ya kikosi cha Alliance Girls ya Mwanza akitoa mchango mkubwa kwa kuzuia nyavu za lango lake kuguswa na wapinzani.
Chadema kujenga chuo cha kumbukumbu ya Mtei
Heche amesema chuo hicho kinatarajiwa kujengwa katika eneo linalomilikiwa na chama hicho jijini...
Gaza: Waandishi wa Habari watatu wauawa katika shambulio la Israel
Shirika la Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza umetangaza leo Jumatano, Januari 21, vifo vya waandishi wa habari watatu katika shambulio la anga la Israel lililofanywa katika eneo la…
Maumivu ya Oktoba 29 yaanza kung’ata jijini Mbeya
Athari ya vurugu na maandamano yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu yameanza kung’ata...
Israel: Benjamin Netanyahu akubali mwaliko wa kujiunga na ‘Baraza la Amani’ la Donald Trump
Benyamin Netanyahu amekubali mwaliko kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump wa kujiunga na “Baraza lake la Amani,” ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel imetangaza leo Jumatano, Januari 21. Imechapishwa:…
Viongozi wa serikali ya kijiji waachia ngazi, kisa chatajwa
Viongozi wote wa Serikali ya Kijiji cha Namwanga kilichopo katika Kata ya Hezya, Wilaya ya...
Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki chumbani Moshi
Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya...
Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya kinywe
Mavunde amesema madini hayo ni muhimu kuhakikisha yanachimbwa kwa tija na kunufaisha moja kwa...
Wanayopitia wapinzani nchini Uganda
Safari ya upinzani nchini Uganda imezidi kuibua mjadala miongoni mwa wadau wa siasa na haki za...
Usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku
Usikose kutazama tamthiliya ya 6 of Us kuanzia saa 2:00 usiku. #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
Kongo-Brazzaville: Duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais kufanyika Machi 15
Wapiga kura wa Kongo watapiga kupiga kura Jumamosi, Machi 15, kwa duru ya kwanza ya uchaguzi wa urais. Tarehe hii iliyowekwa na serikali ilitangazwa siku ya Jumanne, Januari 20. Hata…
CRDB yaweka historia, yafungua tawi la kwanza Dubai
Hafla hiyo ya uzinduzi imeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...
Mtaalamu wa Ugonjwa wa Ukoma, Dkt
Mtaalamu wa Ugonjwa wa Ukoma, Dkt. Deus Kamala amesema ugonjwa huo husababishwa na bakteria ambao huingia mwilini kupitia njia ya hewa na kuanza kushambulia mapafu. Ameeleza kuwa baada ya kuingia…
Uchaguzi wa urais CAR: Anicet Georges Dologuélé alaani uchaguzi uliogubikwa na udanganyifu
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, siku moja baada ya Baraza la Katiba kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa urais, na kumthibitisha Faustin-Archange Touadéra kuwa mkuu wa Jamhuri ya…
Familia ya mtalii aliyefariki ajalini yalia na Mahakama
Familia ya raia wa Israel, Inbar Greidinger-Geisler, aliyepoteza maisha kwa ajali akifanya...
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma, imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya wanafunzi wenye mahitaji maal…
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kigoma, imetoa msaada wa mahitaji mbalimbali ya wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule ya Msingi Kabanga Wilayani Kasulu ikiwa na lengo la…
Mkurugenzi wa halmashauri Mbarali aagiza wagonjwa kutibiwa kabla ya malipo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, Raymond Mweli ameliambia Mwananchi...
Mkurugenzi wa halmashauri Mbeya aagiza wagonjwa kutibiwa kabla ya malipo
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, Raymond Mweli ameliambia Mwananchi...
Ugonjwa wa ukoma huanza taratibu na dalili zake mara nyingi huonekana baada ya muda mrefu, hali inayofanya baadhi ya wagonjwa ku…
Ugonjwa wa ukoma huanza taratibu na dalili zake mara nyingi huonekana baada ya muda mrefu, hali inayofanya baadhi ya wagonjwa kuchelewa kugundulika. Dalili za awali hujumuisha kuonekana kwa mabaka kwenye…
Trump mjini Davos kwa mkutano wa ana kwa ana na viongozi wa Ulaya kuhusu suala la Greenland
Donald Trump amepangwa kushiriki katika mkutano kuhusu Greenland na “vyama mbalimbali” leo Jumatano, Januari 21, kando ya Jukwaa la Uchumi la Davos. Kabla ya kuondoka kwenda Uswisi, rais wa Marekani…
Wafanyakazi na viongozi wa serikali mkoani Mwanza, waliokuwa kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa, Saidi Mtanda wamejikuta katika wakati…
Wafanyakazi na viongozi wa serikali mkoani Mwanza, waliokuwa kwenye ziara ya Mkuu wa Mkoa, Saidi Mtanda wamejikuta katika wakati mgumu baada ya RC Mtanda kuwapa kazi ya kuhamisha shehena ya…
INEC timizeni wajibu wenu kwa umma, wekeni matokeo kwenye Tovuti
Oktoba 29, 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) iliendesha uchaguzi mkuu wa Rais...
🔴MEZA HURU: …..JANUARI 21, 2026
🔴MEZA HURU: .....JANUARI 21, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Wakulima mkoani Rukwa wameiomba serikali kuhakikisha inapeleka mapema mbolea, hususan ya kupandia, kabla ya kuanza kwa msimu wa …
Wakulima mkoani Rukwa wameiomba serikali kuhakikisha inapeleka mapema mbolea, hususan ya kupandia, kabla ya kuanza kwa msimu wa kilimo ili kuendana na kalenda ya kilimo. Maombi hayo yametokana na uhaba…
Davos: Nchi nyingi duniani bado zinajitolea kwa mfumo wa ushirikiano wa kimataifa asema Baerbock
Akizungumza katika Jukwaa la Kiuchumi Duniani WEF, mjini Davos Uswis hii leo Jumatano, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Annalena Baerbock, amewataka wawakilishi wa serikali, sekta ya biashara…
Kwa nini mgogoro unazidi kuongezeka Haiti na nini kinafuata
Haiti inaingia mwaka 2026 ikikabiliwa na moja ya migogoro tata zaidi katika historia yake ya hivi karibuni. Leo Jumatano, taifa hili la kisiwa cha Karibea liko juu ya ajenda ya…
Dunia inaingia katika zama za kufilisika maji
Katika muktadha wa kupungua kwa muda mrefu kwa maji ya chini ya ardhi, matumizi kupita kiasi ya rasilimali za maji, uharibifu wa ardhi na udongo, ukataji miti, pamoja na uchafuzi…
Ujumbe maalumu wa Lissu kusomwa kumbukizi ya Mzee Mtei
Ujumbe huo unatarajiwa kwenda kuchukuliwa leo ambao utasomwa katika kumbukizi ya Mzee Mtei...
Kuzima mtandao hakutatui migogoro ya kisiasa – UNESCO
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO) limeeleza wasiwasi wake kuhusu mwelekeo unaoongezeka wa serikali kutumia uzimaji wa mtandao wa intaneti kama njia ya kushughulikia migogoro…
Muongo wa kuboresha kilimo katika Ukingo wa Magharibi kwa msaada wa FAO na Canada
Kwa muongo mmoja kuanzia mwaka wa 2016 hadi mwaka wa 2025, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) kwa ushirikiano na serikali ya Canada limechangia kwa…
Mafuriko Msumbiji: Serikali na UN wanaendelea kusaidia watu katika hali ngumu ya kifedha
Kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba Msumbiji kutokana na mvua zinazoendelea, serikali ya nchi hiyo ya kusinimashariki mwa Afrika imetangaza kuwa hadi kufikia sasa imerekodi vifo vya watu 120 na maelfu ya…
Wafugaji wa nyuki mkoani Katavi wameiomba serikali kuimarisha ulinzi kwenye mizinga ili kupunguza wizi, ambao kwa sasa unadaiwa …
Wafugaji wa nyuki mkoani Katavi wameiomba serikali kuimarisha ulinzi kwenye mizinga ili kupunguza wizi, ambao kwa sasa unadaiwa kukithiri na kuwaletea hasara kwenye uzalishaji. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi (Feed…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 21 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Afrika Kusini imetuma timu kusaidia juhudi za uokoaji baada ya mwanasiasa wa eneo hilo kusombwa na mafuriko alipokuwa akizuru nc…
Afrika Kusini imetuma timu kusaidia juhudi za uokoaji baada ya mwanasiasa wa eneo hilo kusombwa na mafuriko alipokuwa akizuru nchi jirani ya Msumbiji. Andile Mngwevu, diwani katika manispaa ya Ekurhuleni,…
Trump anaiyumbisha dunia kuliko rais yeyote tangu Vita vya Pili vya Dunia
Historia ya Marekani imejaa uvamizi, shughuli za siri zenye utata za kuwaangusha watawala na serikali. Lakini, katika karne iliyopita, hakuna rais wa Marekani aliyetishia kunyakua ardhi ya mshirika wake
Rais wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa dunia huko Davos, Uswisi, baada ya kusisitiza tena vi…
Rais wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa dunia huko Davos, Uswisi, baada ya kusisitiza tena vitisho vyake vya kuchukua udhibiti wa Greenland. Anatarajiwa kuzungumza katika…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….JANUARI 21 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 21 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMAZA FEDHA KITAIFA
#MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMAZA FEDHA KITAIFA (Feed generated with FetchRSS)
Bahreini: Iran haitafumbia macho katu haki yake ya kurutubisha urani kwa matumizi ya amani
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesisitiza kwamba, taifa hili halitafumbia macho katu haki yake ya kurutubisha…
B’Tselem: Wapalestina wasiopungua 84 wameuawa kwenye kambi za mateso za Israel
Mfumo wa magereza wa utawala wa kizayuni wa Israel umekuwa "mtandao wa kambi za mateso" unaowalenga Wapalestina. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya ya uchunguzi uliofanywa na asasi ya kutetea haki…
“Haiwezi Tena Kuvumilika”, asema Waziri Mkuu wa Ubelgiji akiitaka Ulaya iamue moja kuhusu Trump
Waziri Mkuu wa Ubelgiji Bart De Wever amesema, ni lazima Ulaya imueleze wazi Rais wa Marekani Donald Trump kwamba hali ilipofikia hivi sasa "Haiwezi Tena Kuvumilika".