Kila mtu anaye rafiki, ndugu au jamaa, ambeaye ni rafiki wa kuzikana
Kila mtu anaye rafiki, ndugu au jamaa, ambeaye ni rafiki wa kuzikana. Kwenye shida na raha, yupo naye, na ikifika kwenye suala la kutembeleana, haina haja ya kutoa taarifa.Swali niJe,…
MSF: ‘Hali ya kibinadamu ni mbaya katika eneo la Fizi na katika kambi ya wakimbizi Burundi’
Mashariki mwa DRC, Wazalendo, wanamgambo wanaoshirikiana na jeshi la Kongo, waliingia Uvira mnamo Januari 18, 2026, siku moja baada ya kuondoka kwa vikosi vya mwisho vya AFC/M23. Mnamo Desemba 10,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 19, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na mila potofu zinazokataza ulaji wa vyakula vyenye virutubisho muhimu, hususan kwa w…
Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuachana na mila potofu zinazokataza ulaji wa vyakula vyenye virutubisho muhimu, hususan kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Hatua hiyo inalenga kuimarisha afya…
LHRC yafungua kesi kupinga adhabu ya viboko shuleni
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimefungua kesi ya Kikatiba Mahakama Kuu ya...
Wizara ya Usalama ya Iran yawatia mbaroni magaidi 2 wa MKO walioshiriki katika ghasia za Tehran
Wizara ya Usalama ya Iran imetangaza kuwa imewatia nguvuni mamluki wawili wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO). Mamluki hao walikuwa wapiongozwa na kupewa maagizo la uongozi wa…
CAR: Baraza la Katiba lamtangaza Rais Faustin-Archange Touadéra kuwa alishinda uchaguzi
Baraza la Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, limetangaza mnamo Januari 19, 2026, kuchaguliwa tena kwa Rais Faustin-Archange Touadéra kwa muhula wa tatu. Imechapishwa: 19/01/2026 – 12:36 Dakika 1…
Qalibaf: Vita vya karibuni vya kigaidi dhidi ya Iran vinafanana na shambulio la pager la Israel huko Lebanon
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) Muhammad Baqer Qalibaf amesema kuwa "Vita vya kigaidi vya mtindo wa Daesh" vya hivi karibuni hapa nchini vilikuwa na malengo…
Afrika Kusini yatangaza janga la kitaifa kufuatia mvua na mafuriko yaliyouwa watu 30
Afrika Kusini imetangaza janga la kitaifa kutokana na mvua kubwa na mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 30 kaskazini mwa nchi hiyo, kuharibu maelfu ya nyumba na kusomba barabara…
Nigeria yauwa magaidi 40 wa Boko Haram katika operesheni za anga
Jeshi la Anga la Nigeria limetangaza kuwua limeuwa takriban magaidi 40 wa Boko Haram katika mashambulizi ya anga mtawalia iliyofanya mapema wiki hii katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa…
#Repost @ourafricanfooty
#Repost @ourafricanfooty —— Mwamuzi wa fainali ya AFCON, Jean Jacques Ndala, ndiye aliyetoa penalti nyingi zaidi katika mashindano haya ya AFCON. Alitoa penalti katika mchezo wa Morocco dhidi ya Comoros…
Rached Ghannouchi Kiongozi wa Ennahda Tunisia atimiza siku 1,000 jela
Rached Ghannouchi kiongozi wa chama cha Kiislamu chenye ushawishi mkubwa nchini Tunisia cha al-Nahdha na Spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo jana Jumapili alitimiza siku 1,000 akiwa kifungoni…
Uhispania: Idadi ya vifo yaongezeka baada ya treni mbili kugongana
Zaidi ya watu 39 wamefariki na wengine kujeruhiwa siku ya Jumapili, Januari 18, kusini mwa Uhispania, kulingana na ripoti mpya ya vifo iliyothibitishwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya…
Miliki kiwanja katika mji wa Kipumbwi: Lango la biashara na uchumi Afrika Mashariki
Mji wa Kipumbwi katika Wilaya ya Pangani, Mkoa wa Tanga, unazidi kukua, hii ni kutokana na...
40 wajitokeza kuwekeza sekta ya bidhaa za afya Tanzania
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa akisalimiana na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe...
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….JANUARI 19, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Licha ya jitihada zinazofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hasa dhidi ya watoto, i…
Licha ya jitihada zinazofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa katika kupambana na vitendo vya ukatili, hasa dhidi ya watoto, imeelezwa kuwa baadhi ya wananchi wameendelea kukaidi sheria na maadili…
Hatua za kupunguza foleni mpakani Tunduma zaanza
Makame amesema baada ya maelekezo ya Waziri Mkuu, tayari zipo hatua zilizoanza kuchukuliwa...
Wananchi jijini Mwanza wamesema Daraja la Mkuyuni lililopo Wilaya ya Nyamagana litakapofunguliwa rasmi kwa matumizi litakuwa msa…
Wananchi jijini Mwanza wamesema Daraja la Mkuyuni lililopo Wilaya ya Nyamagana litakapofunguliwa rasmi kwa matumizi litakuwa msaada mkubwa kwao, hususan wakati wa kipindi cha mvua, kwani litarahisisha usafiri na usafirishaji…
Kihongosi aagiza watumishi wazembe kushughulikiwa
Itigi. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi...
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Victoria Mwanziva, Januari 18, 2026, amefanya ukaguzi wa mradi wa uchimbaji wa kisima kirefu katika eneo la chanzo cha maji Sinde, Manispaa ya…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI – 19/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 19/01/2026
Halotel yaja na kasi mpya ya kidijitali kubadili maisha ya Watanzania
Halotel imedumisha dhamira ya kuwawezesha Watanzania kupiga hatua, kuota ndoto na kuzifikia...
#HABARI: Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imeleta mabasi mengine 49 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika barabara ya Kima…
#HABARI: Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) imeleta mabasi mengine 49 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika barabara ya Kimara, Dar es Salaam. Mabasi hayo kwa sasa yapo katika karakana…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….JANUARI 19, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Takribani watu 39 wamepoteza maisha baada ya ajali iliyohusisha treni za mwendokasi kusini mwa Hispania, huku mamlaka zikionya k…
Takribani watu 39 wamepoteza maisha baada ya ajali iliyohusisha treni za mwendokasi kusini mwa Hispania, huku mamlaka zikionya kwamba idadi ya vifo inaweza kuongezeka. Zaidi ya watu 30 wanatibiwa majeraha…
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ametangaza operesheni kupitia wenyeviti na watendaji wa vijiji na mitaa kuhakikisha watoto…
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ametangaza operesheni kupitia wenyeviti na watendaji wa vijiji na mitaa kuhakikisha watoto waliofaulu na wanaopaswa kuanza shule wanaripoti kwenye shule walizopangiwa mara moja…
Je, Morocco walipendelewa kwenye fainali ya Afcon 2025?
Tukio kuu katika fainali hiyo litakalosalia katika kumbukumbu ya historia ya michuano hiyo ni katika dakika ya 98 pale Senegal waliopotoka uwanjani na kususia mechi hiyo kwa muda wa dakika…
Mane ataja chanzo cha kugomea kutoka uwanjani
Uamuzi wa Senegal kurejea uwanjani na kuendelea na mchezo, ulikuwa na faida kwa upande wao...
Sio maksudi wala sio bahati mbaya ni kawaida kwa Édouard Mendy kudaka penati kama hizi
Sio maksudi wala sio bahati mbaya ni kawaida kwa Édouard Mendy kudaka penati kama hizi.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amemtaka Mganga Mfawidhi wa Halmashaur…
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amemtaka Mganga Mfawidhi wa Halmashauri ya Itigi kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mganga Mfawidhi wa…
Mwanachama wa Simba, Samwel Mushi maarufu kama Mgallilaya amelia na viongozi wake akidai ndio tatizo la timu kufanya vibaya
Mwanachama wa Simba, Samwel Mushi maarufu kama Mgallilaya amelia na viongozi wake akidai ndio tatizo la timu kufanya vibaya. #StarTvUpdate
#MEZAHURU: Je ni kweli vijana wanayo ELIMU YA FEDHA kabla ya kupatiwa mikopo wanayohitaji.?
#MEZAHURU: Je ni kweli vijana wanayo ELIMU YA FEDHA kabla ya kupatiwa mikopo wanayohitaji.?
Cliff Shedrack, Mkurugenzi wa CGS Collateral Co.Ltd akieleza umuhimu wa Meneja Dhamana katika mfumo wa Stakabadhi za Ghala ambao…
Cliff Shedrack, Mkurugenzi wa CGS Collateral Co.Ltd akieleza umuhimu wa Meneja Dhamana katika mfumo wa Stakabadhi za Ghala ambao utekelezaji wake utarasimishwa Jumanne January 20 #Clouds360
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….JANUARI 19, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Licha ya jitihada za Jeshi la Polisi mkoani Iringa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto, bado baadhi ya wananchi wam…
Licha ya jitihada za Jeshi la Polisi mkoani Iringa kupambana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto, bado baadhi ya wananchi wameendelea kukaidi sheria na maadili ya jamii, hali inayosababisha…
Ulimwengu wa Spoti, Jan 19
Hujambo msikilizaji mpenzi, na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku zilizopita, ikiwemo fainali ya michuano ya AFCON. Nakusihi tuwe sote hadi tamati ya…
Vitisho vya ushuru vya Trump: EU kufanya mkutano usio wa kawaida ili kuamua jibu
Rais wa Baraza la Ulaya António Costa ametangaza siku ya Jumapili kwamba ameamua kuitisha mkutano usio wa kawaida wa viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) katika siku zijazo (Alhamisi?) kujadili…
#Baragumulive imeketi na Mratibu wa Bima ya Afya kutoka wizara ya Afya Tumainiel Mwacha kujadili Kuhusu utekelezaji wa Ahadi ya…
#Baragumulive imeketi na Mratibu wa Bima ya Afya kutoka wizara ya Afya Tumainiel Mwacha kujadili Kuhusu utekelezaji wa Ahadi ya Bima ya Afya kwa wananchi wote iliyotolewa na Rais @samia_suluhu_hassan…
Asangye Bangu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) #Clouds360 kueleza kuhusu tukio…
Asangye Bangu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) #Clouds360 kueleza kuhusu tukio kubwa la kurasimisha utekelezaji wa stakabadhi za ghala kwa kutumia njia…
Ajali treni ya mwendokasi yaua 21 Hispania
Ripoti zinaeleza kuwa jumla ya watu 100 walijeruhiwa ambapo 30 kati yao wamelazwa hospitalini...
🔴AFCON 2025: SENEGAL WATWAA UBINGWA AFCON 2025….JANUARI 19, 2026
🔴AFCON 2025: SENEGAL WATWAA UBINGWA AFCON 2025....JANUARI 19, 2026
“Nipimie chipsi za kushiba.” Hii ni kauli inayotumika mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye vijiwe vya k…
“Nipimie chipsi za kushiba.” Hii ni kauli inayotumika mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye vijiwe vya kuuzia viazi vya kukaanga maarufu kama chips. Huko mkoani Mbeya, kauli…
Kusini mwa Afrika: Zaidi ya watu 100 wamefariki nchini Msumbiji kutokana na mafuriko makubwa
Afrika Kusini imetangaza rasmi hali ya janga la kitaifa Jumapili kujibu mafuriko mabaya na uharibifu ambayo yamekuwa yakiikumba nchi hiyo tangu mwezi Desemba. Zimbabwe na haswa Msumbiji pia wanaripoti vifo.…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….JANUARI 19, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....JANUARI 19, 2026
Juma moja baada ya UTV kurusha taarifa kuhusu vijana watatu wanaounda kundi la Boosta linalojihusisha na muziki wa rap, ambao hu…
Juma moja baada ya UTV kurusha taarifa kuhusu vijana watatu wanaounda kundi la Boosta linalojihusisha na muziki wa rap, ambao hupita mitaani na kutoa burudani hiyo kwenye viunga vya Jiji…
Ndani ya hifadhi ya msitu wa asili wa Uzungwa Scarp inayopatikana mpakani mwa mikoa ya Iringa na Morogoro, kumeibuliwa kivutio k…
Ndani ya hifadhi ya msitu wa asili wa Uzungwa Scarp inayopatikana mpakani mwa mikoa ya Iringa na Morogoro, kumeibuliwa kivutio kipya cha utalii. Ni maporomoko marefu ya maji yanayojulikana kwa…