TR Office calls for PIC support to strengthen public investment reforms
DODOMA: THE Office of the Treasury Registrar (OTR) yesterday conducted a special seminar for the Parliamentary Public Investment Committee (PIC) in Dodoma, aimed at strengthening parliamentary oversight of public investments…
DRC: Mlipuko wa kipindupindu waenea Kivu Kusini, kulingana na Umoja wa Mataifa
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA), yenye makao yake makuu DRC, inaonya kwa hali ilivyo katika mkoa wa Kivu Kusini. Katika mkoa huu wa…
Mziki wa Ligi Kuu umerudi upyaa kwa mechi ya kisasi
BAADA ya siku 40 za kupisha Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 na Kombe la Mapinduzi 2026, Ligi Kuu Bara inarejea tena leo kwa mechi moja kupigwa na…
Undeshaji wa taasizi za Wakfu na mchango wake katika huduma za kijamii
Waqf ni mali inayowekwa katika umiliki wa mwingine, mara nyingi chini ya taasisi maalumu kwa...
Mashujaa yaifuata Yanga kwa akili mpya
KIKOSI cha Mashujaa FC tayari kimeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya watetezi ikiwa na akili nyingine kabisa na kocha…
Venezuela: Kaimu rais apendekeza ‘mageuzi ya sehemu’ ya sheria ya mafuta
Rais wa mpito wa Venezuela, Delcy Rodriguez, amezungumzia “mageuzi ya sehemu” ya sheria ya mafuta katika hotuba yake kwa Bunge la taifa siku ya Alhamisi, Januari 15, chini ya wiki…
Namna ya kuchagua mchumba katika ndoa ya Kiislamu (2)
Uamuzi wa kuchagua mke ni miongoni mwa uamuzi muhimu zaidi katika maisha ya mwanadamu.
PREMATURE BABIES A fight for survival
DAR ES SALAAM: PREMATURE birth is a significant public health challenge, not only in Tanzania but also across the globe. It poses major risks to both newborns and mothers, contributing…
Venezuela: Maria Corina Machado, apokelewa katika Ikulu ya White House
Donald Trump amekutana na kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado, katika Ikulu ya White House siku ya Alhamisi, Januari 15. Mkutano huu unaweza kuathiri maono ya rais wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….JANUARI 16, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026
‘We’re friend to all, non-aligned’
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has declared that Tanzania remains a “friend to all and non-aligned but multi-engaged,” positioning the nation as a strategic bridge between the Global West and…
Ethiopia inaishutumu Eritrea kwa kuwapa silaha waasi, na hivyo kuzidisha mvutano
Polisi wa Ethiopia wanadai kukamata maelfu ya risasi zilizotumwa na Eritrea kwa waasi katika eneo la Amhara nchini Ethiopia. Eritrea imekusha madai haya, ikiyaita uongo unaolenga kuhalalisha uingiliaji kati wa…
Tanzania rides wave of growing investment interest
DODOMA: TANZANIA is experiencing a significant surge in investor confidence, fuelled by a stable macroeconomic environment and the strategic rollout of the National Development Vision (NDV) 2050. President Samia Suluhu…
State capture, graft hold back Kenya’s economy
NAIROBI: CORRUPTION and illicit financial flows cost Kenya as much as 1.5-billion US dollars annually, funds that could transform health, education and infrastructure development, the AfDB report says. Public spending…
Mapigano makali yanaendelea kati ya M23 na Wazalendo Rutshuru
Mapigano makali kati ya waasi wa AFC/M23 na wapiganaji wa Wazalendo, washirika wa vikosi vya Jeshi la DRC (FARDC), yameendelea siku ya Alhamisi, Januari 15, katika eneo la Bukombo katika…
BBC yafichua mgawanyiko katika uongozi wa juu wa Taliban
Kiongozi wa Taliban aliwahi kuonya kuhusu mgawanyiko: Uchunguzi wa BBC unaonyesha jinsi mitazamo kuhusu wanawake, intaneti na dini inavyoligawa kundi hilo katika ngazi ya juu kabisa.
Dk Mwigulu akutana na viongozi, wataalam Wizara ya Elimu
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, pamoja na Timu ya Wataalam kutoka…
HRW Watch yashutumu FARDC na M23 kwa mauaji na unyanyasaji dhidi ya raia Mashariki mwa DRC
Unyanyasaji wa kijinsia unaohusiana na migogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeongezeka, huku usaidizi kwa manusura ukipungua kwa kiasi kikubwa, kulingana na shirika lisilo la kiserikali la kimataifa…
#MEZAHURU: Je, vijiweni vijana hupeana michongo ya pesa na fursa au ni zogo tu?
#MEZAHURU: Je, vijiweni vijana hupeana michongo ya pesa na fursa au ni zogo tu?
DRC: João Lourenço amtuma mjumbe wake kwa Félix Tshisekedi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Téte António na mjumbe wa João Manuel Gonçalves Lourenço, Rais wa Angola na Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, amepokelewa siku ya…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Januari 16, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Januari 16, 2026 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Rais wa Tanzania asikitishwa na kuzimwa kwa mtandao wa Intaneti siku ya Uchaguzi
Rais wa Tanzania amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa mwezi Oktoba uliopingwa kuhusu kuzimwa kwa mtandao wa intaneti kulikosababisha nchi hiyo kuinfia katiak sintofahamu kwa siku sita, huku…
‘NightFall’: Lifahamu kombora ambalo Uingereza iliahidi Ukraine
Siku ya Jumapili, serikali ya Uingereza ilitangaza nia yake ya kutengeneza kombora lenye nguvu la masafa marefu mahsusi kwa ajili ya Ukraine.
Kenya yasaini makubaliano ya awali ya biashara isiyotozwa ushuru na China
Kenya imesaini makubaliano ya awali ya biashara na China ambayo yangeipa 98% ya mauzo yake ya nje ufikiaji usiotozwa ushuru katika soko kubwa la China, serikali ya Nairobi ilisema Alhamisi,…
Uchaguzi Uganda 2026: Museveni achukua uongozi wa mapema wa kura zilizohesabiwa kufikia sasa
Jaji Simon Byabakama, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Uganda amesema matokeo hayo yanazingatia vituo 133 vya kupiga kura na yanawakilisha asilimia 0.26 ya jumla ya kura zilizopigwa.
Mandawa anaposahau kumbakishia Mstaafu
Siku chache zilizopita Mstaafu wetu ambaye hupenda kujinasibu kuwa macho yake yameshaona kila...
Uchaguzi wa urais: Uganda: Yoweri Museveni anaongoza kwa 61.7%
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais yanaonyesha Yoweri Museveni akiongoza kwa kura 14,232 (61.7%); Bobi Wine anashika nafasi ya pili kwa kura 7,753 (33.64%), kulingana na Tume ya Uchaguzi…
Chadema yafuta uteuzi viongozi kamati za Kanda ya Nyasa
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imefuta uteuzi wa...
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Aston Villa kumsajili Tammy Abraham
Tammy Abraham anaweza kurejea Aston Villa, Manchester United wanatarajia kumsajili Carlos Baleba msimu wa joto, na Jean-Philippe Mateta analengwa na Juventus.
#KIPIMAJOTO: TRA kuanzisha mfumo mpya wa ukusanyaji wa Kodi za ndani
#KIPIMAJOTO: TRA kuanzisha mfumo mpya wa ukusanyaji wa Kodi za ndani. Je, imeweka utaratibu wa elimu kwa umma kabla ya kuanza kuutumia
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 16, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI JANUARI 16, 2026
Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini
Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa…
WFP: Familia nchini Sudan zinapitia kipindi kigumu kufuatia mizozo ya kikatili, njaa na uhaba wa fedha
Familia nchini Sudan zinasukumwa ukingoni huku "migogoro ya kikatili" na njaa vikiendelea. Mpango wa Chakula Duniani (WFP) pia umetahadharisha kuwa oparesheni zake za kibinadamu za kunusuru maisha ya wananchi wa…
Iijumaa, Januari 16, 2026
Leo ni Ijumaa tarehe 26 Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 16 Januari 2027.
ANC yaonya kuhusu njama za ‘mapinduzi’ nchini Iran
Mkuu wa vuguvugu la Mshikamano wa Kimataifa wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini ameonya kwamba, machafuko ya hivi karibuni nchini…
Magaidi 30 wa al-Shabaab wauawa na vikosi vya Somalia, Uganda na AU
Vikosi vya Somalia, Uganda na Umoja wa Afrika (AU) jana Alhamisi viliwaangamiza zaidi ya wanamgambo 30 wa al-Shabaab, na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa operesheni ya pamoja huko kusini mwa…
Wananchi tuyatunze mabasi mapya ya mwendokasi
WAKAZI wa Dar es Salaam wana kila sababu ya kuanza kufurahia huduma za usafi ri, baada ya Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) kubainisha kuwasili kwa mabasi mengine 50 ya…
Misri: Umoja wa Sudan ni mstari mwekundu kwetu, hatutasita kuchukua kila hatua kuulinda
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty amesema, nchi yake itachukua hatua zote zinazohitajika ili kuhifadhi umoja wa ardhi ya Sudan, wakati nchi hiyo jirani inakaribia kuingia mwaka…
Kwa nini njama zote za Marekani dhidi ya Iran daima zinafeli?
Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba, watu wa Iran wataendelea kusimama imara kulinda na kutetea nchi yao, akisisitiza kuwa, njama yoyote ya Marekani dhidi ya…
Aagiza kuvunjwa mkataba na mkandarasi ‘tapeli’
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Elimu, Reuben Kwagilwa ameagiza kuvunjwa mara moja mkataba wa Bogeta Engineering Ltd baada ya kubainika kughushi…
Msako nyumba kwa nyumba watoto wasioripoti shuleni
DIWANI wa Kata ya Nyanguku Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Elias Ngole ametangaza kufanyika kwa operesheni maalumu kwa ajili ya kusaka watoto ambao hawajaripoti shule. Operesheni hiyo inatarajiwa kuanza Januari…
Upatikanaji dawa vituo vya afya wafikia 87%
SERIKALI imesema hali ya upatikanaji wa dawa katika vituo vyote vya afya nchini umefikia asilimia 87 na kwenye Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) ni zaidi ya asilimia 77. Mfamasia Mkuu…
Mfumo Mpya wa Kodi Kuanza
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Februari 9, mwaka huu inatarajia kuanza rasmi matumizi ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) utakaokwenda kufanya kazi kwa saa…
REA Kuzindua Mradi wa Umeme Mtera
SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera tarehe 16 Januari 2026, ikifuatiwa na kusaini mikataba 30 yenye thamani ya shilingi…
Dk. Nchimbi kuzindua jengo jipya JNIA
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, atazindua rasmi jengo la wageni mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar…
SMZ : Miradi ya kimkakati kutekelezwa kwa viwango
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha miradi yote ya maendeleo, hususan miradi ya kimkakati, inatekelezwa kwa viwango vinavyokubalika. The…