Uongozi wa mkoa wa Arusha umepiga marufuku uanzishwaji holela wa sehemu za kushusha na kupandisha abiria wa mabasi ya mikoani ‘v…
Uongozi wa mkoa wa Arusha umepiga marufuku uanzishwaji holela wa sehemu za kushusha na kupandisha abiria wa mabasi ya mikoani 'vituo bubu' katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Hata hivyo…
Matokeo ya uchaguzi Uganda 2026: Kura zinahesabiwa, upinzani wadai kuna wizi wa kura
Uchaguzi huu ni kinyang'anyiro cha marudiano kati ya Bobi Wine na Yoweri Museveni, ambaye amekuwa rais kwa miaka 40.
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Suleiman Juma (51) mkazi wa eneo la Kibaridi, Kusini Pemba amefariki dunia baada ya kuf…
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Suleiman Juma (51) mkazi wa eneo la Kibaridi, Kusini Pemba amefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi wakati akichimba mawe katika eneo la…
Tanzania’s stable outlook signals investor confidence and economic resilience
Tanzania’s stable outlook signals investor confidence and economic resilience.
#HABARI: Zaidi ya wananchi 9,500 wa Kijiji cha Mugungia wilayani Iramba mkoani Singida, wameondokana na kero ya muda mrefu ya uk…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 9,500 wa Kijiji cha Mugungia wilayani Iramba mkoani Singida, wameondokana na kero ya muda mrefu ya ukosefu wa mawasiliano baada ya Kampuni ya Airtel Tanzania kuzindua…
Melis kasepa zake
Melis kasepa zake
President Samia calls for a shift from “health aid” to “health investment” to boost Tanzania’s workforce
President Samia calls for a shift from “health aid” to “health investment” to boost Tanzania’s workforce
President Samia announces plans to operationalise Tanzania’s carbon credit market and scale clean cooking under green diplomacy
President Samia announces plans to operationalise Tanzania’s carbon credit market and scale clean cooking under green diplomacy
Kamati Kuu ya Chama cha ACT – Wazalendo inatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho wa uelekeo wa chama hicho utakaotoa mustakabali wa ku…
Kamati Kuu ya Chama cha ACT - Wazalendo inatarajiwa kutoa uamuzi wa mwisho wa uelekeo wa chama hicho utakaotoa mustakabali wa kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) visiwani…
Moto ambao mpaka sasa haujulikani chanzo chake umesababisha familia mbili za mtaa wa Nyantorotoro A manispaa ya Geita kuzikimbia…
Moto ambao mpaka sasa haujulikani chanzo chake umesababisha familia mbili za mtaa wa Nyantorotoro A manispaa ya Geita kuzikimbia nyumba zao huku ukipewa jina la "moto wa miujiza". Familia zilizokimbia…
Wadau watoa wito tafiti zisaidie wajasiriamali
Pengo lililopo kati ya tafiti zinazofanywa katika taasisi za elimu ya juu na mahitaji halisi ya...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amezitaka Taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Utu pamoja na kuishirikisha jamii katika…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (I…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS), unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni utaongeza wigo wa kodi na…
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inatarajiwa kukutana Januari 18 mwaka huu na kisha kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ambavyo pa…
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inatarajiwa kukutana Januari 18 mwaka huu na kisha kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ambavyo pamoja na mambo mengine vitatoa uamuzi wa mwisho kuhusiana na…
RC Macha akerwa na utoro kisa sare
Wanafunzi wasio na sare mkoani Simiyu hawapaswi kuzuiwa kuhudhuria masomo hasa wale wa darasa...
Chunya yajipanga kuzalisha tani 250,635 za mazao ya chakula, biashara
Zaidi ya hekta 83,450 zimetengwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimekanusha taarifa za kuwa kwenye msigano na aliyekuwa mgombea wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu uliop…
Chama cha ACT Wazalendo kimekanusha taarifa za kuwa kwenye msigano na aliyekuwa mgombea wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu uliopita Luhaga Mpina ambae baadae alienguliwa na Tume Huru ya Taifa…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Yusufu Mwenda amesema kuanza kwa mfumo mpya Februari 9, 2026 wa ukusa…
#HABARI: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Yusufu Mwenda amesema kuanza kwa mfumo mpya Februari 9, 2026 wa ukusanyaji wa kodi za ndani ambao Serikali imetumia shilingi bilioni…
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 14, 2026 -MFUMO MPYA WA KODI KUANZA MWEZI UJAO
TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU JANUARI 14, 2026 -MFUMO MPYA WA KODI KUANZA MWEZI UJAO
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 15/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 15/01/2026
Kero ya utiririshaji majitaka Mwanza kupatiwa ufumbuzi
Kero ya utiririshaji wa maji taka na vinyesi kutoka katika maeneo ya milimani jijini Mwanza...
Stars, Afrika Kusini wakutana tena WAFCON
TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imepangwa Kundi B katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, droo iliyofanyika leo mjini Rabat, Morocco.
Dr Samia reveals major steps to promote national healing after Oct 29 riots
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, has outlined major diplomatic and political steps aimed at promoting national healing and reconciliation following the unrest that…
Comoros players commend Taifa Stars’ AFCON performance
MORONI: THE Ambassador of Tanzania to Comoros, Saidi Yakubu, has today, January 15, 2026, received the former Comoros national team players who paid a courtesy visit to the Tanzania Embassy…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulikuwa na mafanikio makubwa iki…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake huku mchakato huo…
Makamu wa Rais, Dkt
Makamu wa Rais, Dkt. Emanuel Nchimbi, kesho januari 16 anatarajiwa kuzindua jengo maalumu kwa ajili ya watu mashuhuri wakiwemo marais, lililopo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…
Mwili wa mwanafunzi wakutwa ndani Mbeya
Taharuki na sintofahamu imetanda katika Mtaa wa Igodima jijini Mbeya baada ya mkazi wa eneo...
#HABARI: Kamati ya Maadili ya Bodi ya Wakurugenzi ya Ununuzi na Ugavi imependekeza kuchukuliwa kwa hatua kali za kinidhamu dhidi…
#HABARI: Kamati ya Maadili ya Bodi ya Wakurugenzi ya Ununuzi na Ugavi imependekeza kuchukuliwa kwa hatua kali za kinidhamu dhidi ya wataalamu 14 hapa nchini baada ya kubainika kukiuka taratibu…
Familia yakabidhiwa mwili wa aliyedaiwa kujinyonga mahabusu, kuzika Jumamosi
Wakati maswali mengi yakiibuka kuhusu utata wa kifo cha Michael Rambau (18) anayedaiwa...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha kikao cha dharura cha baraza la mawaziri la ulinzi mjini Paris kujadili dhamira ya Ra…
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha kikao cha dharura cha baraza la mawaziri la ulinzi mjini Paris kujadili dhamira ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kukiteka kisiwa kinachojitawala cha…
Bobi Wine apiga kura, wafuasi wake wamsindikiza kituoni
Mgombea urais wa upinzani kupitia Chama cha National Unity Platform (NUP), Robert Kyagulanyi...
Matokeo ya uchaguzi Uganda kujulikana ndani ya saa 72
Zaidi ya wananchi milioni 21 nchini Uganda leo Alhamisi Januari 15, 2026 wanatarajiwa kupiga...
#HABARI: Serikali, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera m…
#HABARI: Serikali, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera mkoani Iringa pamoja na kusaini mikataba ya kihistoria ya shilingi trilioni 1.2…
Miaka 33 ya Chadema: Tusingekuwa imara tungesambaratika -Golugwa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kama kisingekuwa na uimara wa kiitikadi na...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki maarufu kama ‘Drones’ kuzingatia sheria ya matumiz…
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka watumiaji wa ndege nyuki maarufu kama 'Drones' kuzingatia sheria ya matumizi ya vifaa hivyo ili kuepuka maafa yanayoweza kusababishwa na matumizi holela.…
#MALUMBANOYAHOJA: Nini kifanyike kuondoa hofu kwa vijana wanaohitimu kurejea mitaani ?
#MALUMBANOYAHOJA: Nini kifanyike kuondoa hofu kwa vijana wanaohitimu kurejea mitaani ?
Ahadi ya Rais Samia muhula wake wa pili
Rais Samia Suluhu Hassan amesema atatumia muhula wake wa pili madarakani kukarabati, kujenga...
Zoezi la kuhesabu kura nchini Uganda linaendelea
Shughuli za kuhesabu kura zimeanza katika vituo mbalimbali vya kupigia kura kote Kampala na sehemu zingine za Uganda, baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji kura.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA – JANUARI 15, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA - JANUARI 15, 2026
DR Congo delivers humanitarian aid to refugees in Kigoma
KIGOMA: THE government of the Democratic Republic of the Congo (DRC) has delivered humanitarian assistance to refugees at the National Mills Centre (NMC) refugee reception facility in Kigoma. The items…
CDF inaugurates SUMAJKT’s Advisory Board of Directors
DAR ES SALAAM: THE Minister for Defence and National Service, Dr Rhimo Nyansaho, has officially inaugurated the new Advisory Board of Directors of the National Service Economic Development Organization (SUMAJKT).…
Minister orders a quality construction of Msalato Airport as it nears completion
DODOMA: THE Minister for Transport, Prof Makame Mbarawa, has directed contractors and supervising agencies involved in the construction of the Msalato International Airport to ensure quality and value for money…
No internet disruption, Dr Samia assures diplomats and foreigners of their safety
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has assured the diplomatic community and foreign residents of their safety in the country following service disruptions and internet shutdowns during last year’s general elections.…
‘Gesi asilia kipaumbele Dira 2050’
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amesema kipaumbele kikuu katika Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kitakuwa utumiaji wa gesi asilia, ambapo jitihada zitalenga ukamilishaji wa mradi wa gesi asilia…
Tanzania seeks to unlock its economy by empowering the private sectors
DODOMA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to unlocking the country’s economy by empowering the private sector in the country. President Samia Suluhu made the announcement when addressing various…
Samia azungumzia maendeleo SGR, bomba la mafuta
DODOMA: RAIS Dk Samia Suluh Hassan amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni ukamilishaji wa Reli ya Kisasa (SGR) na Mfereji wa Mafuta wa Ghuba ya Afrika Mashariki, ambao unatarajiwa kukamilika…
Uchumi Tanzania waendelea kukua kwa kasi
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kuwa miongoni mwa nchi za Afrika zenye ukuaji wa haraka wa uchumi, kwa ukuaji wa Pato la Taifa la ndani (GDP) kwa asilimia 5.9, huku…