Denmark na Greenland zataka mkutano na Marekani
Denmark na Greenland zazidi kuingiwa na wasiwasi baada ya rais Trump kurudia tena kauli yake ya kutaka kuichukuwa Greenland akidai ni kwa faida za kiusalama
72 envoys attend training on the strategic role of the private sector in economic growth
DAR ES SALAAM: 72 participants have today, January 7, 2026. completed the Long Course at the Tanzania National Defense College (NDC-TZ) through a special lecture highlighting the contribution of the…
Muungano wa Saudi washambulia Yemen
Mashambulizi ya Saudi ni baada ya Kiongozi wa baraza la mpito kukataa kushiriki mazungumzo ya nchini Saudi Arabia na hivyo kufukuzwa kwenye wadhifa wake na kukabiliwa na tuhuma za uhaini
UN: Israel ikomeshe ‘ubaguzi’ dhidi ya Wapalestina
Umoja wa Mataifa umesema kuwa miongo kadhaa ya vitendo vya ubaguzi dhidi ya Wapalestina vinavyofanywa na Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kimabavu, vinazidi kuongezeka.
Takukuru yatoa kauli mabilioni ya Wachina, 137 wakamatwa
Amesema waliokamatwa ni Yao Licong na Wang Weisi ambao ni wakazi wa Oysterbay Phonex Apartments...
Mboni; Mshambuliaji aliyepewa maujanja Simba, akaja kuitungua Mapinduzi
SIMBA katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayofanyika Zanzibar, ilianza hatua ya makundi na clean sheet ikishinda 1-0 dhidi ya Muembe Makumbi City, lakini ikajikuta ikishindwa kulinda lango lake…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI- JANUARI 07, 2026
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI- JANUARI 07, 2026
Tanzania invests 280bn/- to ensure a reliable power in Dar
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has invested over 280bn/- in various electricity projects to ensure a reliable power supply in Dar es Salaam region. This was disclosed today, January…
Mkuu wa zamani wa Sera za Nje wa EU: Ulaya iache kuifanya Marekani muitifaki wake mkuu
Josep Borrell, mwanadiplomasia mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya (EU) amesema, kambi hiyo inapaswa iache kuichukulia Marekani kama mshirika wake mkuu, huku Washington na Brussels zikiwa zinazozana hivi sasa…
Kauli za Trump zaendelea kutikisa dunia
Trump, ameendelea kuzua mjadala wa kimataifa baada ya kudokeza uwezekano wa kuendeleza sera ya...
Mzizima Derby… Mechi ya kisasi
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC.
Said Zanda atua JKT Tanzania
UONGOZI wa JKT Tanzania uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji nyota Said Zanda ‘Ronaldo’ kutoka Bigman inayoshiriki Ligi ya Championship baada ya pande mbili kufikia makubaliano.
Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari 🥹
Sheiza/Mussa amuweka wazi Hamida kuwa hayuko tayari 🥹
Azam yajifungia na mashine
AZAM FC ipo katika mazungumzo na mshambuliaji Ben Malango ambaye kocha Florence Ibenge anatamani uzoefu wake uongeze nguvu ndani ya timu.
Washiriki kozi ndefu NDC-TZ wafundwa
DAR ES SALAAM: Washiriki wa Kozi Ndefu katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC-TZ) leo wamepatiwa mhadhara maalum ulioangazia mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya uchumi wa Taifa,…
Aga Khan yapata ithibati ya JCI kwa mara ya nne
Kupitia ithibati hiyo, Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam inaendelea kuwa hospitali pekee...
Burkina Faso yamshutumu rais wa zamani wa mpito Damiba kwa kuongoza jaribio la mapinduzi
Serikali ya Burkina Faso imejieleza kuhusu jaribio la mapinduzi la hivi karibuni, ambalo lilishindwa Jumamosi, Januari 3. Katika mahojiano yaliyorushwa kwenye televisheni ya umma, Waziri wa Usalama ameeleza kwamba wahusika…
Ugiriki, Cyprus na Israel kutanua luteka za kijeshi
Cyprus, Ugiriki na Israel zinatarajia kutanua luteka na mafunzo ya pamoja ya kijeshi. Hata hivyo, Uturuki inaonekana kuwa na wasiwasi zaidi kutokana na nchi mbili wanachana wa Umoja wa Ulaya…
Raia wa China waliodakwa Osterbay na mamilioni wafikishwa mahakamani
Washtakiwa hao walionekana katika video iliyosambaa mtandaoni jana, wakiwa ndani ya geti baada...
Mfanyakazi katika shirika la usalama wa nyuklia la Japani amepoteza simu yake ya kazini ambayo ina taarifa nyeti, wakati wa ziar…
Mfanyakazi katika shirika la usalama wa nyuklia la Japani amepoteza simu yake ya kazini ambayo ina taarifa nyeti, wakati wa ziara binafsi nchini China, vimeripoti vyombo vya habari vya Japani.…
JKT Queens, Simba Queens kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
JKT, Simba kazi ipo WPL
BAADA ya jana kupigwa mechi nne za Ligi ya Wanawake (WPL), leo saa 12 jioni itaendelea Simba Queens itakapoikaribisha JKT Queens.
Bei ya mafuta yashuka baada ya Washington kutangaza makubaliano na Venezuela
Bei ya mafuta yashuka kidogo leo Jumatano baada ya Donald Trump kutangaza siku ya Jumanne kwamba Venezuela “itakabidhi” hadi mapipa milioni 50 ya mafuta kwa Marekani. Hii inakuja huku mvutano…
Wachina wa mabilioni wapandishwa kizimbani kwa utakatishaji fedha
Washtakiwa hao walionekana katika video iliyosambaa mtandaoni jana, wakiwa ndani ya geti baada...
Wanaodaiwa kumsafirisha Natasha kwenda Guangzhou kusomewa maelezo ya awali Jan 20
Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka matatu ambayo ni usafirishaji haramu wa biandamu na kufanya...
CCM cherishes ten-cell leaders as key players of its stability
DAR ES SALAAM: THE Secretary-General of Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr Asha-Rose Migiro, has urged ten-cell leaders not to merely receive orders from above, but insteady instructions should come from…
Waziri wa mambo ya kigeni ya China ameanza ziara ya kikazi barani Afrika
Waziri wa mambo ya nje wa Uchina, Wang Yi, ameanza ziara rasmi barani Afrika ambapo atatembelea nchi kadhaa katika kile ofisi yake imesema ni kumarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa…
Kwenye kunyoosha sasa 🤣🤣🤣
Kwenye kunyoosha sasa 🤣🤣🤣 #Clouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
Tanzania lures its citizens to apply for small-scale mining licenses
ZANZIBAR: THE Tanzanian Minerals Commission has encouraged Tanzanians to apply for Small-Scale Mining Licenses and establish small factories for cutting, processing, polishing gemstones to increase value before bringing them to…
Michel Nkuka Mboladinga shabiki wa Leopards ya Congo aacha hisia ya kudumu AFCON
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaweza kuwa imetolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa njia ya kuhuzunisha, lakini shabiki wake mmoja ameacha hisia ya kudumu kwenye mashindano…
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni, imefanikiwa kuwakamata raia wawili wa China, Yao…
#HABARI: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kinondoni, imefanikiwa kuwakamata raia wawili wa China, Yao Licong na Wang Weisi, wakiwa na kiasi kikubwa cha fedha haramu…
#MICHEZO: Tanzania imeandika historia mpya katika ramani ya michezo ya dunia baada ya Timu ya Taifa ya Kriketi chini ya miaka 1…
#MICHEZO: Tanzania imeandika historia mpya katika ramani ya michezo ya dunia baada ya Timu ya Taifa ya Kriketi chini ya miaka 19 kufuzu kwa mara ya kwanza kushiriki Kombe la…
Bodi ya Ithibati yaonya waandishi wasio na sifa
DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema imebaini baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kihabari baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu.…
Dar braces for Pharmaceutical Production Investment Forum
DAR ES SALAAM: THE Ministry of Health has organised a Tanzania Pharmaceutical Production Investment Forum on January 19, 2026, a high-level platform aimed at attracting domestic and international investment into…
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Gervas Kasiga ameipongeza #AzamMediaLimited kwa kuendelea kudhamini Tuzo za filamu nchini kwa misimu minne mfululizo. Ametoa pongezi hizo leo kwenye mkutano na…
Mkuu wa Chaneli ya #SinemaZetu @sophiamgaz amesema kuelekea usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2025, kampuni ya Azam Media imejipa…
Mkuu wa Chaneli ya #SinemaZetu @sophiamgaz amesema kuelekea usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2025, kampuni ya Azam Media imejipanga kurusha matangazo hayo mubashara kwa viwango vya juu. Amesema pia…
Kwa nini Afrika inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu uvamizi wa Trump nchini Venezuela
Wataalamu wanaonya kuwa hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela inaweza kufungua njia ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya viongozi wa mataifa mengine ambayo yamewahi kuwa katika mvutano na utawala wa…
”Katika filamu 2,360 zilizopokelewa, tulikuwa tuna jumla ya filamu 239 kutoka Tanzania na 2,121 kutoka nje ya Tanzania,,,tamash…
''Katika filamu 2,360 zilizopokelewa, tulikuwa tuna jumla ya filamu 239 kutoka Tanzania na 2,121 kutoka nje ya Tanzania,,,tamasha sasa linabadilika kuwa ni la Kimataifa'' Dkt. Gervas Kasiga, Katibu Mtendaji Bodi…
Njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, imezuiwa, limetangaza taifa hilo la Afrika Magharib…
Njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, imezuiwa, limetangaza taifa hilo la Afrika Magharibi. Mpango huo ulikuwa umepangwa na Luteni Kanali Paul Henri Damiba, afisa…
Huyu Kares bey kuna jambo analitafuta
Huyu Kares bey kuna jambo analitafuta. Usikose kufuatilia mkasa huu wa OTTOMAN kuanzia saa 4:00 usiku. #AzamTWO
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za watoto. #Kids #AzamTV
Sehemu ya series zitakazoruka wiki hii ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV
Sehemu ya series zitakazoruka wiki hii ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama series hizi na nyingine. #Azamseries #AzamONE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. 𝗔𝘀𝗵𝗮-𝗿𝗼𝘀𝗲 𝗠𝗶𝗴𝗶𝗿𝗼 amewasisitizia Mabalozi wa mashina na viongozi wengine wa chama kuendeleza mahusiano mazuri na jamii kwakuwa hayo ndiyo yanayopelekea kuongeza…
“….sasa kuna mashindano ya Kitaifa ya ubunifu tulikuwa na huyu Bwana (Injinia, Yassin Sanga kutoka TANTECK Machinery) vyuo vy…
“....sasa kuna mashindano ya Kitaifa ya ubunifu tulikuwa na huyu Bwana (Injinia, Yassin Sanga kutoka TANTECK Machinery) vyuo vya ufundi vyote nilikuwa mshindi wa kwanza kwa ubunifu wa ile gari…
Upatanishi ni jukumu la wote kukuza umoja wa kitaifa
KATIKA dunia ya leo ambako utawala bora unaendelea kuimarika, uchaguzi mkuu katika mfumo wa siasa wa vyama vingi ni msingi wa maisha ya kidemokrasia. Mazingira hayo ya uchaguzi ndiyo huwezesha…
UDOM appoints Prof Sunzu as its Deputy Vice Chancellor
DODOMA: THE Chancellor of the University of Dodoma and the retired Chief Justice of Tanzania, Prof Ibrahim Juma, has appointed Prof Jefta Sunzu as Deputy Vice Chancellor for Planning, Finance…