Tanzania supports AU efforts to ensure Somalia is firmly united
DAR ES SALAAM: THE United Republic of Tanzania said it fully supports the African Union’s efforts to resolve the conflict in Somalia and strongly opposes any actions aimed at dividing…
CCM yataja mikakati kuhuisha utendaji viongozi wake
CCM inakuja na maelekezo hayo, katika kipindi ambacho kumekuwa na malalamiko kupitia mitandao...
Stars kurejea kesho baada ya kuandika historia Morocco
Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ leo Jumatano inatarajiwa kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
Trump hajaondoa wazo lake la kuidhibiti Greenland
Denmark na Greenland wanatafuta mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, baada ya Marekani kusisitiza kwa mara nyingine nia yake ya kutaka kuidhibiti Greenland — kisiwa…
Umoja wa Mataifa wasema kinachotokea Ukingo wa Magharibi na Jerusalemu Mashariki dhidi ya Wapalestina ni ubaguzi wa rangi
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu OHCHR imetoa ripoti ya kina hii leo jijini Geneva Uswisi ikieleza hali ya haki za binadamu katika eneo la Ukingo wa…
Uchaguzi wa Uganda hauwezi kuwa huru bila kulindwa kwa Haki za Binadamu
Wakati nchi ya Uganda ikijiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 mwezi huu wa Januari, wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa hii leo wametoa taarifa ikionya kwamba hali ya…
Rwanda na mwelekeo wa kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi ndiyo saratani inayowapata wanawake wengi zaidi nchini Rwanda kwani takribani kila mwaka kati ya wagonjwa wapya 1230 , 830 hufariki dunia. Ili kupunguza mzigo wa…
Kilelezi cha vifaranga chazidi kusambaa kwa wafugaji
Mafunzo kwa vitendo ya kutengeneza kilelezi cha vifaranga au Kinengunengu yaliyoendeshwa mkoani Kigoma kaskazini-magharibi mwa Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, nchini huko yameendelea…
Wahimiza kushughulikia chanzo cha watoto wenye uhitaji
Sababu moja wapo iliyotajwa na msimamizi wa kituo cha kulelea watoto cha masista wa Passionist...
Mkuu wa Jeshi la Iran atishia kujibu ‘vitisho’ vya Trump na Netanyahu
Maandamano yaliyosababishwa na ugumu wa maisha nchini Iran yanafuatiliwa kwa karibu na jamii ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na viongozi mahasimu wa taifa hilo, Israel na Marekani.
TARURA cautions the public of possible dangers heading into the wet season
DAR ES SALAAM: THE public has been urged to take precautions and remain vigilant during the rainy season to avoid possible dangers caused by flooding in road infrastructure areas. The…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
Kombo awards certificates to 900 SAS-CFR graduates
DAR ES SALAAM: THE Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Mahmoud Thabit Kombo has awarded certificates to 900 graduates of various academic levels and disciplines at the Dr…
Afrika, UN wakosoa mkakati wa Trump Venezuela
Kufuatia hatua hiyo, Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa (UN) wametoa kauli kulaani hatua...
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akitoa kilio chake kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira…
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akitoa kilio chake kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kutokana na kukosekana kwa maji katika Mji…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shuleni kwa wakati muhula mpya wa masomo wa…
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shuleni kwa wakati muhula mpya wa masomo wa mwaka 2026 unapoanza, hata kama sare na mahitaji mengine…
Serikali imewataka wavuvi wanaojihusisha na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria kujisalimisha na kuacha matumizi ya zana zilizopig…
Serikali imewataka wavuvi wanaojihusisha na uvuvi haramu katika Ziwa Victoria kujisalimisha na kuacha matumizi ya zana zilizopigwa marufuku kabla ya kuanza kwa operesheni kabambe ya ukamataji. Akizungumza na wadau wa…
Kidole cha sita kilivyomtesa mwigizaji Hrithik
Wakitajwa waigizaji 10 bora kutoka India jina la Hrithik Roshan nyota anayefanya vizuri katika...
Meja Jenerali Hatami: Vitisho vya maadui havitapita bila kujibiwa
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesema Jamhuri ya Kiislamu inayatazama matamshi ya vitisho na kichochezi ya maadui zake kuwa tishio la moja kwa moja dhidi…
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mkandarasi wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa tuhuma za kughushi mkataba wa uj…
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mkandarasi wa kampuni ya Bugeta Engineering Ltd kwa tuhuma za kughushi mkataba wa ujenzi wa madarasa, matundu ya vyoo na mabweni katika Shule ya…
Elimu ya ujuzi, umahiri ni ukombozi kwa vijana, taifa
SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imewekeza nguvu nyingi katika elimu inayojenga umahiri, ujuzi na maadili ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kifi kra, kubuni…
Saudi Arabia vs UAE: Mzozo unaonukia Mashariki ya Kati
Mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya Saudi Arabia dhidi ya silaha za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen yameweka wazi tofauti kubwa za sera za kigeni kati ya…
Waziri Sangu atoa maagizo ukaguzi wa migodi na viwanda
Waziri Sangu amesema Serikali imezipokea changamoto za wadau wa sekta ya uvuvi na kuahidi...
Mama ataweza kuharibu mapenzi ya Zein kwa Sara
Mama ataweza kuharibu mapenzi ya Zein kwa Sara Usikose kutazama uhondo wote huu kwenye THE PRICE leo saa 3:00 USIKU. #AzamTwo
Ziara ya mwanadiplomasia wa ngazi za juu wa China, Afrika
Wang Yi atazitembelea Ethiopia,Somalia,Tanzania na Lesotho, wakati nchi yake ikitafuta kutanuwa zaidi ushawishi wake kwenye bara hilo na hasa kiuchumi
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….JANUARI 07, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 07, 2025
Uchaguzi Mkuu Uganda 2026: Mambo muhimu ya kufahamu
Uganda itafanya uchaguzi mkuu, Januari 15 huku rais wa muda mrefu Yoweri Museveni akiwa tayari kukabiliana na wagombea wengine saba kwenye kinyang'anyiro cha urais.
Iran yaonya dhidi ya vitisho vya mataifa ya kigeni
Jamhuri ya kiislamu ya Iran imeonya dhidi ya vitisho vya mataifa ya kigeni, ikisema haitokaa kimya kuacha iendelee kuchokozwa,baada ya Israel na Marekani kuunga mkono maandamano ya wananchi Iran
Serikali ya Venezuela yatangaza siku saba za maombolezo
Venezuela imetangaza wiki moja ya kuwaomboleza wanajeshi waliouawa katika shambulio la Marekani. Cuba pia yatangaza siku mbili za kuwaomboleza wanajeshi waliouawa nchini Venezuela.
Feeding the Islands: Why Zanzibar is struggling to grow enough rice
ZANZIBAR: IN the rice paddies of Kibonde Mzungu, early morning mist clings to the surface of flooded fields while farmers set to work transplanting seedlings. For these families, rice is…
Mkutano wa kwanza wa Papa leo wa baraza la makadinali
Makadinali wadaiwa kutaka kupewa fursa ya kuwa sehemu ya maamuzi katika masuala ya kanisa kwenye ngazi ya kimataifa
DRC yaaga mashindano ya AFCON huko Morocco
Timu ya mwisho iliyokuwa ikiwakilisha eneo la la Afrika Mashariki na Kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeyaaga mashindano ya AFCON baada ya kufungwa na Algeria bao 1-0 katika…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka askari wa Idara ya uhamiaji nchini kuongeza ufanisi katika kutoa…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewataka askari wa Idara ya uhamiaji nchini kuongeza ufanisi katika kutoa huduma bora kwa wageni ikiwemo watalii wanaoingia nchini ambao uliingizia taifa…
Govt disburses loans to empower Tanga groups
TANGA: THE government has handed over 2.76bn/- to women, youths and persons with disabilities in Tanga under the 10 per cent loans scheme, as part of the fulfillment of President…
Tanzania’s youth and digital economy: Rethinking social media’s role
FOR too long, the image of Tanzanian youth online has been dominated by tales of wasted hours, viral distractions and the “hazardous” side of internet use. Yet there is a…
Huku Aziza anaendelea kupambania familia yake, Jemo naye kazua balaa
Huku Aziza anaendelea kupambania familia yake, Jemo naye kazua balaa. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Mabinti 200 wanusurika kukeketwa Mara, RC atoa maagizo
Zaidi ya mabinti 200 wamenusurika kukeketwa wilayani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuokolewa na...
Ufaransa, Ujerumani na Poland kuijadili Ukraine, mjini Paris
Mawaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Poland wanatarajiwa kukutana mjini Paris, ambapo uungaji mkono wao kwa Ukraine utakuwa miongoni mwa ajenda kuu za mazungumzo.
Baghaei: Israel ibebeshwe dhima kwa mashambulizi ya kinyama Lebanon
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel kwa uhalifu wa kivita, kufuatia wimbi la mashambulizi mabaya dhidi ya Lebanon, na kukanyaga makubaliano…
Mvua, mafuriko yaua na kujeruhi makumi ya watu Madagascar
Wau wasiopungua 11 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na athari za mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha nchini Madagacar kwa wiki kadhaa sasa.
Imarati inapanga kuijengea Israel kambi ya jeshi karibu na Saudi Arabia
Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vimefichua mpango wa Umoja wa Falme za Kiarabu wa kujenga kambi ya kijeshi ya Israel karibu na mpaka wa nchi hizi mbili za Kiarabu.
Wakazi wa Mkoa wa Morogoro wameishukuru Serikali kuanzisha Huduma za msaada wa Kisheria bila malipo kwa kuwa inasaidia wenye k…
Wakazi wa Mkoa wa Morogoro wameishukuru Serikali kuanzisha Huduma za msaada wa Kisheria bila malipo kwa kuwa inasaidia wenye kipato cha chini na kupunguza migogoro. Wakizungumza kwenye Kliniki ya siku…
#HABARI: Mtoto mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa Kata ya Nyansha wilayani Kasulu mkoani Kigoma anaomba msaada wa matibabu baada y…
#HABARI: Mtoto mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa Kata ya Nyansha wilayani Kasulu mkoani Kigoma anaomba msaada wa matibabu baada ya kupata changamoto ya afya kwa kupoteza fahamu kwa…
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akielezea mikakati ya kuwainua vijana kiuchumi katika wilaya hiy…
@drnicasMawazo, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha akielezea mikakati ya kuwainua vijana kiuchumi katika wilaya hiyo. #LiveonClouds360 #LainiYawana #Clouds26Nyoosha
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI -07/01/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI -07/01/2026
Reconciliation is not the responsibility of leaders alone, it is the collective duty of all citizens to foster national unity
DAR ES SALAAM: IN today’s world, where governance continues to improve, multiparty general elections are a cornerstone of democratic life. Such an election environment allows citizens to choose leaders, debate…
Trump amesema Marekani itachukua mafuta ya Venezuela
Rais Donald Trump alimueleze mtangazaji wa kipindi cha MS NOW, Joe Scarborough, kwamba Marekani inapanga “kuchukua mafuta,” kufuatia mashambulizi yaliyofanyika nchini Venezuela na kukamatwa kwa Nicolás Maduro.
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.