Kwanini Jevdet amejitenga na ndugu zake?
Kwanini Jevdet amejitenga na ndugu zake? Kwanini yuko tofuati na wenzake? Kwanini majirani wanampenda zaidi kuliko kina Hashmet na Nejra wala mama yao?
Mawazo amfanyia unyama Yasinta 🥹
Mawazo amfanyia unyama Yasinta 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Chichi sio wa kinyonge amezama kwenye usiku wa talaka ngija ngija aliofanyiwa na Mwana 😅
Chichi sio wa kinyonge amezama kwenye usiku wa talaka ngija ngija aliofanyiwa na Mwana 😅 #NomaSeries
#JENGAAFYAKLINIC:UFAHAMU UGONJWA WA KIHARUSI
#JENGAAFYAKLINIC:UFAHAMU UGONJWA WA KIHARUSI
#HABARI: Shabiki maarufu wa Simba Ziad Mohamed ‘Muhaya Msomi’ amesema hali ya Simba sasa ni mbaya kwani hadi mashabiki hawaamini…
#HABARI: Shabiki maarufu wa Simba Ziad Mohamed 'Muhaya Msomi' amesema hali ya Simba sasa ni mbaya kwani hadi mashabiki hawaaminiani. haoni mabadiliko yoyote yaliyo makini kutoka Kwa viongozi wa Simba…
#MCHEZOSUPA: Mchezo Supa chini ya Kituo cha ITV, umerudisha kwa jamii kwa kutembelea kituo cha kulea Watoto Yatima cha Watoto We…
#MCHEZOSUPA: Mchezo Supa chini ya Kituo cha ITV, umerudisha kwa jamii kwa kutembelea kituo cha kulea Watoto Yatima cha Watoto Wetu jijini Dar es Salaam. Mzalishaji wa Vipindi wa Capital…
Vijana wa kikundi cha Fikra Pevu, wanaoishi mtaa wa Migongo mkoani Mtwara wameanza kunufaika kiuchumi kupitia shughuli za kuchak…
Vijana wa kikundi cha Fikra Pevu, wanaoishi mtaa wa Migongo mkoani Mtwara wameanza kunufaika kiuchumi kupitia shughuli za kuchakata plastiki chakavu na kuziuza. Mpango huu umewasaidia kukabiliana na changamoto ya…
Wasikilize wananchi wa Mkoa wa Njombe wakieleza namna walivyopanga kufanya matumizi na kugawa rasilimali zao katika kusherehekea…
Wasikilize wananchi wa Mkoa wa Njombe wakieleza namna walivyopanga kufanya matumizi na kugawa rasilimali zao katika kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
CBE kujenga hoteli ya nyota tatu, kampasi Kilimanjaro
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kinatarajia kutumia jumla ya Sh26.4 bilioni kwa ajili ya...
Salah arudi na ushindi Liverpool, Chelsea ikiilaza Everton
Mohamed Salah amerudi dimbani na ushindi baada ya kuisaidia Liverpool kuibuka na ushindi wa...
Kila mwaka, inapofika Desemba, Mkoa wa Kagera hushuhudia ongezeko la wageni wa asili wanaorejea nyumbani kutoka sehemu mbalimbal…
Kila mwaka, inapofika Desemba, Mkoa wa Kagera hushuhudia ongezeko la wageni wa asili wanaorejea nyumbani kutoka sehemu mbalimbali nje ya mkoa huo. Lengo ni kuimarisha mahusiano ya kifamilia na kijamii…
Bakhresa Group kwa kushirikiana na Fun City imefungua duka jipya la kuuza bidhaa za ice cream Kigamboni, ikiwa ni sehemu ya mkak…
Bakhresa Group kwa kushirikiana na Fun City imefungua duka jipya la kuuza bidhaa za ice cream Kigamboni, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma na kuwafikia wateja…
Aaaah leo Madina ni wa kumkimbia Degwa
Aaaah leo Madina ni wa kumkimbia Degwa 😆 Acha aombe msaada wa mimoshi #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Mwana ndio mswahili haswaaa kamfanyia Chichi usiku wa talaka ngija ngija 😅🙌
Mwana ndio mswahili haswaaa kamfanyia Chichi usiku wa talaka ngija ngija 😅🙌 #NomaSeries
Chalamila aitaka Dawasa kuja na suluhu ya kudumu uhaba wa maji Dar
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameonya kuwa upungufu wa maji...
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 13/12/2025
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 13/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 13, 2025 – RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JENISTA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 13, 2025 - RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JENISTA
TFF yazipiga rungu Tausi, Bunda Queens kwa kushindwa kufika uwanjani
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa adhabu ya kuwapokonya pointi tatu klabu za Bunda Queens na Tausi baada ya kushindwa kufika uwanjani kwenye mechi za kwanza za Ligi…
EU yaitaka Iran kumwachilia huru mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2023 Narges Mohammadi
Umoja wa Ulaya umetoa wito siku ya Jumamosi, Desemba 13, kwa ajili ya kuachiliwa huru kwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel ya 2023 Narges Mohammadi, ambaye alikamatwa na…
#HABARI: Bodi ya Bonde la Wami Ruvu kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeend…
#HABARI: Bodi ya Bonde la Wami Ruvu kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeendelea kuimarisha tuta la kuzuia maji katika mitambo ya…
Thailand yashambulia tena Cambodia saa chache baada ya tangazo la kusitisha mapigano
Uhasama kati ya Thailand na Cambodia umeendelea siku ya Jumamosi, Desemba 13, huku Phnom Penh ikiishutumu jeshi la Thailand kwa kufanya mashambulizi ya anga katika eneo lake. Bangkok imethibitisha operesheni…
Syria: Ujumbe wa kijeshi wa Syria na Marekani umelengwa kwa risasi Palmyra
Milio ya risasi mbayo chanzo chake hakijulikani imewajeruhi leo Jumamosi, Desemba 13, wanajeshi kadhaa wa Marekani na Syria ambao walikuwa sehemu ya ujumbe wa pamoja katika eneo la jangwa la…
Mashariki mwa DRC: Baraka, mji wa tatu ulio chini ya vitisho vya AFC/M23
Hali mashariki mwa DRC ilikuwa kwenye ajenda ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa, Desemba 12. Mkutano huo ulifanyika siku moja baada ya kundi lenye silaha…
Maximo atoa ya moyoni
ALIYEKUWA Kocha wa KMC, Mbrazil Marcio Maximo amesema hajutii uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa timu hiyo wa kusitisha mkataba wake kutokana na mwenendo mbovu wao katika Ligi Kuu Bara msimu…
Eritrea yatangaza kujiondoa katika kambi ya kikanda ya IGAD, miaka miwili baada ya kujiunga kwake
Eritrea imetangaza siku ya Ijumaa, Desemba 12, kujiondoa katika IGAD, Jumuiya ya mataifa ya Afrika Mashariki yenye makao yake makuu Djibouti. Katika taarifa yake, Asmara ilidai kwamba shirika hilo, linalojumuisha…
#kilimobora:MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA YA MBOJI
#kilimobora:MATUMIZI SAHIHI YA MBOLEA YA MBOJI
Singida yaingia mazima kwa Lanso
BAADA ya Singida Black Stars kumrudisha Joseph Guede aliyekuwa anaichezea Al-Wehdat SC ya Jordan kwa mkopo, kwa sasa inaelezwa mabosi wa kikosi hicho wamemalizana na beki wa kulia wa KMC,…
Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya ajali za barabarani nchini husababishwa na makosa ya kibinadamu ambayo iwapo yatatambuliwa na k…
Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya ajali za barabarani nchini husababishwa na makosa ya kibinadamu ambayo iwapo yatatambuliwa na kuchukuliwa kwa uzito, yanaweza kupunguza ajali hizo kwa kiwango kikubwa. Mnadhimu wa…
Roger Lumbala kufungwa maisha jela kwa kushiriki katika uhalifu dhidi ya ubinadamu
Waendesha mashtaka Nicolas na Claire Thouault huko Paris nchini Ufaransa wameomba kifungo cha maisha siku ya Ijumaa, Desemba 12, kwa kiongozi wa zamani wa kisiasa na kijeshi wa Kongo Roger…
Mbeya City yarudi kwa kiungo wa Yanga
BAADA ya mabosi wa Mbeya City kumkosa kiungo wa Yanga, Farid Mussa dirisha kubwa la usajili lililopita, kwa sasa vigogo hao wamerudi upya kuihitaji saini yake, ikiwa ni harakati za…
#HABARI: Victor Mhagama mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, ameeleza maisha ya mama yake, namna watu wengi walivyofaidika na mais…
#HABARI: Victor Mhagama mtoto wa marehemu Jenista Mhagama, ameeleza maisha ya mama yake, namna watu wengi walivyofaidika na maisha yake, alivyowafundisha kumjua Mungu na alivyojitoa kwa Taifa lake. Powered by…
Kardinali Rugambwa atahadharisha matumizi holela ya AI vyuo vikuu
Mwanza. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Mwadhama Protase Kadinali Rugambwa...
#HABARI: Rais wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Taifa limepoteza kiongozi muhimu aliyekuwa imara, katika kutetea maslahi ya nchi, mwenye hekima, nidhamu na moyo wa kujali Taifa. Rais Samia…
Mrundi aziingiza vitani Pamba Jiji, TRA United
LICHA ya beki wa kati wa Fountain Gate, Mrundi Derrick Mukombozi kubakisha mkataba wa miezi sita na kikosi hicho, ila timu mbalimbali zimeanza kuiwinda saini yake dirisha dogo la Januari…
NGOs zalalamika kutozwa kodi kama kampuni za biashara, Serikali yajibu
Shinyanga. Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) katika Wilaya ya Shinyanga yamelalamikia...
Mavunde ataka kasi ukamilishaji miradi ya kimkakati sekta ya madini
Hatua mojawapo ya utekelezaji wa mkakati huo ni ujenzi wa jengo la kituo cha mafunzo ya...
TRA yapanua wigo wa kodi kuzuia magendo na ukwepaji kodi
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amesema wamejipanga kuongeza...
The Independent Commission of Inquiry begins inquiries
DAR ES SALAAM: THE Independent Commission of Inquiry into breaches of peace that occurred during and after the General Elections of October 29, 2025, has begun taking views, opinions, and…
Aliyeua bibi yake kutokana na wendawazimu kuwa chini ya uangalizi
Hata hivyo, ametoa amri kuwa awe chini ya uangalizi wa taasisi ya watu wenye tatizo la afya ya...
Chico Ushindi afariki dunia, kigogo athibitisha
TAARIFA mbaya kwa klabu Yanga ni kwamba, kiungo wao wa zamani Chico Ushindi amefariki dunia leo Desemba 13, 2025 akiwa kwao DR Congo.
Belarus yamwachilia kiongozi wa upinzani Maria Kolesnikova na wafungwa zaidi ya mia moja
Belarus imewaachilia huru wafungwa 123 leo Jumamosi, Desemba 13, shirika la habari la serikali Belta limetangaza. Miongoni mwao ni mwanaharakati Ales Bialiatski, mpokeaji mwenza wa Tuzo ya Amani ya Nobel…
Chico Ushindi afariki dunia
Chico aliitumikia Yanga kwa muda mfupi usajili wake ulitangazwa rasmi Januari 22,2022 akitokea...
Leo saa 4:00 usiku katika movie ya Weekend kupitia AzamTWO ni kitu cha Avengers: Age Of Ultron
Leo saa 4:00 usiku katika movie ya Weekend kupitia AzamTWO ni kitu cha Avengers: Age Of Ultron. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #avengersageofultron