Rais Museveni ataka serikali imiliki mtandao wa intaneti Uganda
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amependekeza kuwa Serikali lazima iwe na mamlaka juu ya mifumo ya msingi ya mtandao ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa bei nafuu.
Dk Migiro afungua Jukwaa la Wanawake 2025
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi, Dk Asha-Rose Migiro amefungua Jukwaa la Wanawake 2025 lenye kauli mbiu ‘Mama ni Amani’, leo Desemba 4, 2025, jijini Dodoma. Jukwaa hilo…
Mahakama yaitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi kesi ya Mange Kimambi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitaka Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu...
Umoja wa Mataifa hatimaye kuongozwa na mwanamke?
Rebeca Grynspan, makamu wa rais wa zamani wa Costa Rica na anaepigiwa upatu kuwa Katibu Mkuu wa kwanza mwanamke wa Umoja wa Mataifa amesema iwapo usawa utaziba pengo la ubaguzi,…
‘Hapana tena ukatili wa kijinsia’
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mama Mariam H. Mwinyi, ameendelea kutekeleza kwa vitendo dhamira ya kukomesha ukatili wa…
Tanzania inavyoweza kujitegemea, kujitosheleza kiuchumi bila misaada
Tanzania inaweza kujitegemea kwa kutumia makusanyo ya ndani yanayo Mamlaka ya Mapao Tanzania...
Mpango wa amani wa Trump unapoleta hofu Ulaya
Juhudi za Marekani za kukomesha vita vya Ukraine zinaibua hofu ya ‘makubaliano yasiyoifaa’ Ulaya. Wanadiplomasia wa Ulaya wanasema kuwa karibu kila kipengele cha makubaliano hayo kitaiathiri Ulaya
RC Arusha apokea ujumbe wa IPU
MKUU wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla mapema leo Desemba 04, 2025 ameupokea na kuzungumza na Ujumbe wa Umoja wa Mabunge duniani (IPU), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume …
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama,…
Wataalamu mbalimbali wakiwemo wanasayansi na watafiti katika nyanja za uhifadhi na utalii kutoka zaidi ya mataifa ishirini dunia…
Wataalamu mbalimbali wakiwemo wanasayansi na watafiti katika nyanja za uhifadhi na utalii kutoka zaidi ya mataifa ishirini duniani wamekutana jijini Arusha kwa lengo la kujadili na kupitia matokeo ya tafiti…
Rais wa Marekani, Donald Trump, anakutana leo na Marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kufanikisha m…
Rais wa Marekani, Donald Trump, anakutana leo na Marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kufanikisha mpango wa amani kuhusu mgogoro unaoendelea Mashariki mwa DRC.…
Rwanda na Kongo kusaini makubaliano ya amani Washington
Wakati Marais Félix Tshisekedi na Paul Kagame wakitarajiwa kusaini mkataba wa amani Alhamisi mjini Washington, mapigano yameendelea kwa siku ya tatu mfululizo katika maeneo ya Kamanyola na Katogota, jimboni Kivu…
Ujue uti wa mgongo wa uchumi usioonekana
Sekta isiyo rasmi nchini Tanzania ni zaidi ya mkusanyiko wa shughuli za kiuchumi zisizosajiliwa;
Trump kuwakutanisha Kagame na Tshisekedi kusaini makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump Alhamisi atakutana na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa kile anachojigamba kuwa ni hatua yake ya hivi karibuni ya kusitisha vita,…
MCF kuleta mageuzi sekta ya afya
DAR ES SALAAM: ILI kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa nchini na kupatikana kwa wingi, Taasisi ya Medical Credit Fund (MCF), imezindua rasmi mfumo wa Afya Mkopo wenye lengo la kuleta…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Polisi ya Tanzania: Tumebaini mbinu za waratibu maandamano
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limebaini kile linachodai kuwa ni mbinu zinazotumiwa na baadhi ya watu wanaohamasisha maandamano yanayotarajiwa kufanyika Disemba 9, ikiwemo maelekezo ya namna ya kutumia silaha.
Afrika Kusini kutohudhuria mikutano ya G20 2026
Afrika Kusini imesema iko tayari kusubiri kutohudhuria mikutano ya kundi la nchi tajiri na zinazoinukia kiuchumi za G20 mwaka 2026 baada ya kuzuiwa na Marekani na haikuratajia nchi nyingine kushawishi…
Kata ya Jangwani wapata meya mpya
MTWARA: HALMASHAURI ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara imefanya uchaguzi wa meya na naibu meya ambapo diwani wa kata Jangwani, Saidi Zaidi ameibuka mshindi katika nafasi ya umeya kupitia…
Kanuni mpya zao la korosho zaibua hofu kufikia malengo ya ubanguaji wa ndani
Zao la korosho nchini limeingia katika msimu wa 2025/2026 ikiwa na sura mpya ya kanuni na...
Wajumbe wa Umoja wa Mataifa waizuru Syria
Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umewasili nchini Syria Alhamisi, siku chache kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu alipoondolewa madarakani Bashar al-Assad.
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw. Majid Mjengwa amebainisha kuwa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa kupitia wazee wa Dar es Salaam, imeonesha dira…
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw
#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Kidiplomasia na Kiuchumi, Bw. Majid Mjengwa amebainisha kuwa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa kupitia wazee wa Dar es Salaam, imeonesha dira…
Putin: Mazungumzo na Marekani yalikuwa muhimu
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mazungumzo kati ya wajumbe wa Urusi na Marekani kuhusu kumaliza vita vya Ukraine yalikuwa muhimu na yenye tija.
Benki ya Dunia yaonya nchi maskini kuhusu madeni
Benki ya Dunia imezitahadharisha nchi maskini kuwa bado ziko hatarini huku gharama za madeni zikifikia rekodi ya juu zaidi.
Wasomalia walaani matamshi ya Rais Trump
Wasomali wameonyesha hasira kali kufuatia matamshi ya kudhalilisha yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi yao na nchi yao, ingawa wachache wamesema kuwa pamoja na ukali wake, aligusia ukweli…
Israel yashambulia kusini mwa Gaza
Israel imesema imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa Hamas kwenye eneo la kusini mwa Gaza, katika kujibu shambulizi lililotokea mapema Jumatano na kuwajeruhi wanajeshi watano wa Israel.
Vladimir Putin ziarani India, kukutana na Waziri Mkuu Modi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza ziara ya siku mbili nchini India 04.12.2025 atakapokutana na Waziri Mkuu Narendra Modi katika juhudi za kuimarisha ushirikiano hususan katika sekta ya ulinzi na…
Macron discusses Ukraine, trade with Xi in China
CHINA: FRENCH President Emmanual Macron met China’s President Xi Jinping in Beijing on Thursday, with talks expected to focus on Ukraine and trade as Europe seeks to recalibrate ties with…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Gamondi achonganisha washambuliaji Taifa Stars
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, amechochea vita ya mastraika na mabeki katika...
#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya …
#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya kibinafsi, akisema udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama kwa raia. Akizungumza…
#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya …
#HABARI: Rais Yoweri Museveni amesema kuwa miundombinu ya mitandao (internet) haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na makampuni ya kibinafsi, akisema udhibiti wa Serikali ni muhimu ili kupunguza gharama kwa raia. Akizungumza…
Yanga, Simba set for key clashes
DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM giants, Young Africans SC and Simba SC, are set for pivotal Premier League encounters today, as the battle for early-season dominance intensifies. Yanga will…
Saa 5 za presha Ligi Kuu
Ni saa tano zinazoweza kuwa tamu au chungu kwa vigogo vya soka nchini Yanga na Simba wakati...
TBC kuonyesha AFCON bure
MKURUGENZI wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Ayub Rioba Chacha, amesema mechi 32 za kuwania Fainali ya Mataifa ya Afrika (AFCON) zitarushwa mubashara bure kwenye chaneli ya TBC1 na TBC…
Puma Energy awards winners of the clean energy campaign
DAR ES SALAAM: PUMA Energy has announced Boaz Aywayo as the winner of its lubricants draw, bagging an Elite Card worth 5m/-. The card will allow him to purchase lubricants…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha hadi Januari 28, 2026 kesi ya uhujumu uchumi Na
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha hadi Januari 28, 2026 kesi ya uhujumu uchumi Na. 000021172/2025 inayomkabili Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii Mange Kimambi, baada…
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha hadi Januari 28, 2026 kesi ya uhujumu uchumi Na
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeahirisha hadi Januari 28, 2026 kesi ya uhujumu uchumi Na. 000021172/2025 inayomkabili Mwanaharakati wa mitandao ya kijamii Mange Kimambi, baada…
TAZARA revival signals regional transformation
BEIJING: AS the end of the year rapidly approaches, it is timely to pause and reflect much like couples do at the close of a shared chapter and that is…
Battery factories face health, safety concerns
DAR ES SALAAM: THE Government Chemist Laboratory Authority (GCLA) says it had planned to visit five battery manufacturing factories this year but managed to reach three, where inspectors found significant…
Public–private partnership drives Tanzania toward greater sugar self-reliance
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S journey toward achieving full sugar self-sufficiency by 2025 continues to gain momentum as the country expands its industrial capacity and strengthens public–private partnerships. The Government, through…
Starting small in a big way
ZANZIBAR: THE late afternoon sun settles gently over the narrow streets of Unguja as groups of teenagers stream out of a university hall, their conversations animated and hopeful. Just an…
#HABARI: Kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 kipindi cha Uchanguzi Mkuu na baada ya uchaguzi hali iliyosababisha vifo vy…
#HABARI: Kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 kipindi cha Uchanguzi Mkuu na baada ya uchaguzi hali iliyosababisha vifo vya watu na mali za watu binafsi na za umma kuharibiwa, baadhi…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Kagera residents hail TANICA revival plan
KAGERA: RESIDENTS in Kagera Region have applauded the government for its swift intervention to rescue the Tanganyika Instant Coffee Public Limited Company (TANICA PLC) from its ongoing financial difficulties. A…
Peace, unity and Nyerere’s legacy is keeping Tanzanians together
DAR ES SALAAM: IN the hustle and bustle of daily life, it is easy to forget the simple yet powerful words of our founding father, Mwalimu Julius Nyerere, who championed…
#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Tabora kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Bw
#HABARI: Serikali ya Mkoa wa Tabora kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Bw. Paulo Chacha imewatoa hofu wakazi wa mkoa huo juu ya uwepo wa taarifa za njama za makundi…