DW Access: Mwitikio dhidi ya ukandamizaji wa uhuru wa habari
DW imezindua App mpya, nyepesi na rahisi kutumia, iliyobuniwa kuhakikisha upatikanaji wa taarifa huru na za kujitegemea katika kipindi ambacho uhuru wa kidijitali unakabiliwa na vitisho vinavyozidi kuongezeka duniani.
Mange Kimambi’s economic sabotage case adjourned to Jan 28, 2026
DAR ES SALAAM; THE Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam has adjourned until January 28, 2026, the economic sabotage case No. 000021172/2025 against social media activist Mange Kimambi,…
Ambulensi zanaswa zikiwa na abiria
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubeba wagonjwa...
Tanzania joins six nations in a move to improve carbon sequestration
LILONGWE: TANZANIA, through the Tanzania Forest Service (TFS), has joined other African countries in an international workshop that discussed new methods for measuring and monitoring the amount of carbon sequestered…
LATRA allows bus owners to apply for short-term licences for the festive seasonG
DAR ES SALAAM: The Land Transport Regulatory Authority (LATRA) has announced an opportunity for bus owners to apply for short-term licenses to increase passenger transport services on high-demand routes during…
Tanzania takes mining, energy exploration to the next level
MBEYA: TANZANIAN geologists are playing a pivotal role in advancing small-scale mining and boosting exploration of oil and gas resources, the Tanzania Geological Society (TGS) has said. Prof Elisante Mshiu,…
Tanzania hits world record through Tarangire balloon flight
ARUSHA: THE Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) has successfully coordinated and managed a historic hot air balloon flight that made Tanzania officially listed as the 123rd country in the world…
Kocha Singida Black Stars achekelea pointi moja
BAADA ya kuambulia suluhu dhidi ya Azam FC ugenini, kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema kupata pointi moja mbele ya mshindani waliyenaye kwenye malengo sawa siyo haba.
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakiongozwa…
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe
#HABARI: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakiongozwa…
Chipo aitaja suluhu ya JKT Tanzania
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amesema suluhu dhidi ya JKT Tanzania imechangiwa na nidhamu nzuri ya kiuchezaji kwa wachezaji pale ikiwa na mipira au inapoipoteza mbele ya maafande…
Tanzania banks on carbon trading markets to solve climate change woes
DODOMA: TANZANIA is committed to ensuring its participation in carbon trading markets delivers tangible, measurable, and transparent results, aligned with the country’s goals outlined in its Nationally Determined Contribution (NDC)…
Profesa Msolla aonya matumizi kupita kiasi ya AI kwa wanafunzi
Mkuu wa Chuo cha Kimataifa cha Kampala Tanzania (KIUT), Profesa Peter Msolla ameonya matumizi...
Kila anayesepa kwenye lebo anaibuka kwa namna hii
KAMA ambavyo umekuwa ni utamaduni wa wanamuziki wengi kuondoka ndani ya lebo zilizowapa majina...
Waamriwa kulipa NSSF Sh678.4 milioni za michango ya wafanyakazi
Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini...
Mwigulu afunga semina ya Mawaziri
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Desemba 04, 2025 amefunga semina elekezi kwa Mawaziri na Naibu Mawaziri iliyofanyika jijini Dar es Salaam. SOMA: DK Nchimbi aapishwa kuwa Makamu wa Rais…
Wanafunzi 937,581 wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza
Wanafunzi 937,581 sawa na asilimia 100 ya wanafunzi wote waliokuwa na sifa wamechaguliwa...
Tanzania lists Rukwa as a new mineral hub
SUMBAWANGA: RUKWA Region has continued to establish itself as a new international hub for mineral trade, driven by its rich natural resources, improved infrastructure, enhanced security, and government-friendly systems for…
IPU delegation in Arusha for Parliamentary Conference
ARUSHA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan is expected to grace the major Parliamentary Conference expected to take place in Arusha. This was revealed today, December 4, 2025, in Arusha, where a…
Prof Silayo, Dk Anders wataka uimarishaji uzalishaji mbegu bora Afrika
Mazungumzo ya kina kati ya Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)...
MCF introduces healthcare system for children, mothers
DAR ES SALAAM: MEDICAL Credit Fund (MCF) has officially introduced the Afya Mkopo system in a move to improve healthcare services in the country and increase accessibility, The initiative aims…
Carter; Sokwe mkongwe mwenye hekima msituni
Carter ni mmoja wa sokwe wakongwe wanaopatikana ndani ya Hifadhi ya Taifa Milima Mahale...
Penzi la Suarez, Sofia na mkasa wa umasikini na utajiri
WAKATI Luis Suarez, 38, akisifiwa duniani kote kwa mafanikio yake katika soka, sehemu kubwa ya...
Spika wa Bunge akutana na mabalozi wa EU
Spika wa Bunge, Mussa Zungu, amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wakiongozwa na Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), Christine Grau…
Sendiga ataka uwajibikaji Manyara
MANYARA: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewaagiza watendaji wa kata katika kata zote 142 zilizopo mkoani Manyara kuandaa taarifa sahihi za kata ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia madereva wa magari matano ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa tuhuma za …
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia madereva wa magari matano ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa tuhuma za kutumia magari hayo kusafirishia abiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mtukula…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia madereva wa magari matano ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa tuhuma za …
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia madereva wa magari matano ya kubebea wagonjwa (ambulance) kwa tuhuma za kutumia magari hayo kusafirishia abiria kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mtukula…
Madiwani wahimizwa uwajibikaji dhidi ya rushwa
ARUSHA: KATIBU Tawala Wilaya ya Arusha Mjini, Jacob Rombo amewataka madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kusimamia suala la rushwa katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Rombo ametoa rai hiyo…
Wasanii Dogo Janja, Shetta rasmi kuwatumikia wananchi
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja ameapishwa leo Desemba...
CCM urges youth to maintain their country’s peace
DODOMA: CCM Secretary General, Dr Asha Rose Migiro, has urged youth in the country to do everything possible to ensure that the nation does not fall into challenges like those…
Mkuu wa masuala ya haki aonya kuhusu ‘wimbi jipya la ukatili’ katika eneo la Kordofan, Sudan
Mkuu wa masuala ya Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ametoa wito wa mapigano kusitishwa mara moja huku vifo vya raia na njaa vikizidi kuongezeka.
Ministry hands over 300 motorcycles to extension officers
DAR ES SALAAM: THE Minister for Livestock and Fisheries, Dr Bashiru Ally, has handed over 300 motorcycles to all extension officers under the Local Government Authorities. Speaking during the handing-over…
DRC, Rwanda kusaini mkataba wa amani mbele ya Trump
Viongozi wa mataifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wako Washington...
Shamkhani azionya nchi za Ghuba ya Uajemi kutocheza na “mistari myekundu” ya Iran
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei katika Baraza la Ulinzi la Iran amelionya Baraza la Ushirikiano la Nchi za Ghuba ya Uajemi dhidi ya madai…
Amnesty yataka uchunguzi wa uhalifu wa kivita wa RSF nchini Sudan.
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limetaka kufanyike uchunguzi wa uhalifu wa kivita kuhusu shambulio lililofanywa na kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) nchini Sudan katika…
Vita vya Kijasusi; Kadi ya Ushindi ya Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni
Meya wa Bat Yam katikati ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, zilizopachikwa jina bandia la Israel , amekiri kuongezeka kwa ushawishi wa kijasusi wa Iran.
Afrika Kusini ‘haitashiriki’ G20 chini ya Trump
"Kwa sasa, tutapumzika na tutaendelea na mipango ya kawaida," alisema msemaji wa Rais.
Microsoft yalaumiwa kuhusika na jinai za Israel za maauaji kimbari dhidi ya Gaza
Muungano wa makundi ya kisheria umeonya shirika la Microsoft kwamba utoaji wake wa huduma kwa Israel wakati wa vita vya mauaji ya kimbari huko Gaza huenda ukaiweka kampuni hii kubwa…
Waziri Mkuu wa Somalia akosoa kauli za dharau za Trump kuhusu Somalia na wahamiaji wa Kisomali
Waziri Mkuu wa Somalia, Hamza Abdi Barre, siku ya Jumatano amekosoa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump yaliyolenga Somalia na wahamiaji wa Kisomali walioko Marekani.
Televisheni ya Kiebrania ya Iran yazua wasiwasi katika vyombo vya habari vya Israel
Press TV ya Iran imezindua kitengo cha lugha ya Kiebrania jambo ambalo limezua hofu katika duru za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwani hatua hiyo inaonekana…
IOM: Suluhu endelevu za waliofurushwa Msumbiji zahitajika
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa wa Uhamiaji Duniani IOM, Amy Pope, ameonyakuhusu kuongezeka kwa ufurushwaji wa watunchini Msumbiji, ambako zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kufungasha virago na…
Pamoja na uharibifu hospitali ya Al-Shifa, UNFPA yaendelea kuhudumia wanawake Gaza
Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu na Afya ya Uzazi UNFPA, limeahidi kuendelea kutoa huduma muhimu za afya ya uzazi katika Ukanda wa Gaza, hata wakati uharibifu…
UN yaonya kuhusu mashambulizi mapya na janga la kibinadamu Kordofan, Sudan
Kamisha Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ameonya kuhusu hatari ya wimbi jipya la ukatili katika eneo la Kordofan, Sudan, kufuatia ongezeko la mapigano kati…
Hakuna kisingizio cha mtu kupigwa, kuuawa au kunyang’anywa mali – Viola Jeptoo Lagat
“Hakuna kitu kinachochangia mtu yeyote apigwe, auawe au kuchukuliwa mali” Ni Kauli ya Viola Jeptoo Lagat, Mwanariadha na Mchechemuzi wa masuala ya wanawake na wasichana kutoka Kenya, ambaye pia ni…
Mchakato wa kumpata Katibu Mkuu wa UN hatua kwa hatua
Mara nyingi huitwa mkuu wa diplomasia duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni sehemu Mkurugenzi Mtendaji, meneja wa dharura na mhamasishaji wa muda wote kwa watu bilioni nane duniani.…
WHO: Usugu wa dawa na pengo la ufadhili vinatishia utokomezaji wa malaria
Ripoti mpya iliyotolewa leo na Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO kuhusu Malaria inaonesha kwamba usugu wa dawa za kutibu malaria sasa ni miongoni mwa hatari kubwa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025