🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Kenya kuuza 15% ya hisa za Safaricom kwa Vodacom ya Afrika Kusini
Vodacom, ambayo tayari inamiliki asilimia 39.9 ya Safaricom kupitia Vodafone Kenya, italipa shilingi 34 kwa kila hisa, ikiwa ni malipo ya 20% kwa bei ya mwisho ya hisa ya shilingi…
#MEZAHURU: Mchezo wa Riadha kwa sasa unatangaza taifa letu, Kipi kifanyike kukuza na kuboresha mchezo huu kwenye taifa letu la T…
#MEZAHURU: Mchezo wa Riadha kwa sasa unatangaza taifa letu, Kipi kifanyike kukuza na kuboresha mchezo huu kwenye taifa letu la Tanzania..? Saa Tisa alasiri.
Wabunge Kenya wabaini mwenendo wa utovu wa nidhamu wa wanajeshi wa Uingereza
Mkataba wa sasa wa ushirikiano wa kiulinzi kati ya Uingereza na Kenya ulitiwa saini mwaka wa 2021 na utakamilika mwaka ujao.
Kamanda wa IRGC: Usalama wa Ghuba ya Uajemi ni ‘mstari mwekundu’
Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kali kwa Marekani na washirika wake kuhusu Ghuba ya Uajemi na Mlango-Bahari wa Hormoz, akisema usalama…
Guterres: Mwenendo wa vita wa Israel huko Gaza ‘kimsingi si sahihi’
Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna Israel ilivyoendesha vita dhidi ya Gaza na kuutaja mwenendo huo kuwa kimsingi si sahihi. Amesema, kuna sababu kubwa" za kuamini…
Ethiopia yapinga madai ya ‘kikoloni’ ya Misri huku mzozo wa bwawa la Nile ukiongezeka
Ethiopia jana iliikosoa vikali Misri na kuituhumu nchi hiyo kwa kuyumbisha utulivu wa eneo la Pembe ya Afrika ili kudumisha ukiritimba wa kikoloni mwa Mto Nile.
Ethiopia imepinga madai ya ‘kikoloni’ ya Misri huku mzozo wa bwawa la Nile ukiongezeka
Ethiopia jana iliikosoa vikali Misri na kuituhumu nchi hiyo kwa kuyumbisha utulivu wa eneo la Pembe ya Afrika ili kudumisha ukiritimba wa kikoloni mwa Mto Nile.
TZ strengthens fight against antimicrobial resistance
DAR ES SALAAM: THE government has reinforced efforts to tackling antimicrobial resistance (AMR) by strengthening health systems, boosting scientific research and promoting the responsible use of medicines to protect public…
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio linaloitaka Israel iondoke katika maeneo ya Wapalestina
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha rasimu ya azimio llinaloitaka Israeli iondoke kwenye maeneo ya Palestina iliyoyavamia na kuyakaliwa kwa mabavu tangu 1967, ikiwa ni pamoja na al-Quds Mashariki.…
Meya wa Minneapolis apinga matamshi ya Donald Trump dhidi ya Wasomali
Maafisa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani wameungana ili kuondoa hofu iliyotanda miongoni mwa jamii kubwa ya Wasomali katika mji huo.
Zanzibar records high HIV treatment coverage, treatments
ZANZIBAR: ZANZIBAR has recorded significant progress in HIV treatment, with nearly all diagnosed patients now on antiretroviral therapy (ARVs). However, a recent national review shows that women and young people…
TGS, mbioni usajili kudhibiti vishoka, yatakiwa kushiriki kufanikisha Dira matumizi ya nishati safi
Katika kuhakikisha wataalamu vishoka wanadhibitiwa, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya...
‘Reject unrest instigators’
DODOMA: THE Police Force has cautioned citizens to be vigilant and to firmly reject individuals promoting unrest. Speaking in Dodoma on Wednesday, Police Spokesperson Deputy Commissioner of Police (DCP) David…
Kwa nini sheria hazilindi wasichana dhidi ya ndoa za kulazimishwa
Ndoa za kulazimishwa zimekithiri katika sehemu kadhaa za Afrika kwani umaskini, ushirikina, dhiki ya hali ya hewa na ulegevu wa utekelezaji unapuuza sheria za ulinzi, na kuwafanya mamilioni ya wasichana…
#HABARI: Wakati hali ya ukame na kiangazi ikiendelea kukumba eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kufuatia kukosekana kwa mvua…
#HABARI: Wakati hali ya ukame na kiangazi ikiendelea kukumba eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kufuatia kukosekana kwa mvua kwa muda mrefu, sasa baadhi ya wabunge kutoka Kaskazini Mashariki mwa…
Hizi ni video zilizorekodiwa Jumatano na Shirika la Kitaifa la Uokoaji na Utafutaji la Indonesia zinaonesha waokoaji wakibeba mi…
Hizi ni video zilizorekodiwa Jumatano na Shirika la Kitaifa la Uokoaji na Utafutaji la Indonesia zinaonesha waokoaji wakibeba miili kutoka kwenye vifusi na kuipeleka kwenye gari la wagonjwa huko Sumatra,…
Samia assures investors’ safety
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has assured the investment community that the government will continue to be responsible for the safety of investors and their businesses. The assurance…
Rukwa yawavutia wawekezaji kimataifa sekta ya madini
MKOA wa Rukwa umejidhihirisha kwa kasi kama kitovu kipya cha kimataifa cha biashara ya madini, hatua inayojengwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, miundombinu bora, usalama ulioboreshwa na mifumo rafiki ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
Sudan: Amnesty yawatuhumu jeshi kwa uhalifu wa kivita katika kambi ya wakimbizi
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty limetoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi huru kuhusu mashambulio yaliyofanywa na wapiganaji wa RSF kwenye moja ya kambi kubwa ya wakimbizi…
Uganda: Ukandamizaji wa upinzani na vyombo vya habari unazidi kuelekea uchaguzi wa 2026
Umoja wa mataifa umelaani kuongezeka kwa matukio ya ukandamizaji dhidi ya upinzani na vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu nchini Uganda, UN ikitoa wito wa kufanyika uchunguzi huru kuhusu matukio…
Emmanuel Macron atoa wito kwa Xi Jinping ‘kusawazisha upya’ mahusiano ya kibiashara
Rais wa Ufaransa, akiandamana na mawaziri kadhaa na ujumbe wa karibu viongozi 40 wa makampuni, amewasili nchini China kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Rais wa Ufaransa anatarajia kutumia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55….DESEMBA 04, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 04, 2025
#HABARI: Kampuni ya Meta imesema imeanza kuondoa akaunti za vijana walio chini ya umri wa miaka 16 kutoka kwa mitandao yao ya ki…
#HABARI: Kampuni ya Meta imesema imeanza kuondoa akaunti za vijana walio chini ya umri wa miaka 16 kutoka kwa mitandao yao ya kijamii nchini Australia kuelekea marufuku iliyotangazwa na Serikali…
Marais wa DRC na Rwanda kukutana jijini Washington
Marais wa DRC Felix Tshisekedi na wa Rwanda Paul Kagame wanatarajia kukutana leo Alhamisi mjini Washington, nchini Marekani chini ya upatanisi wa Rais wa Marekani Donald Trump. Kuna uwezekano marais…
Tanzania: Kampuni ya teknolojia ya Meta imefunga akaunti za wakosaji wa serikali
Kampuni ya META inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram na WhatsApp, imefunga akaunti za wanaharakati kadhaa wa kutetea haki za binadamu nchini Tanzania, hatua iliyoibua maswali kuhusu Serikali ya…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 4, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 4, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mashauri Mwenyekiti mpya Halmashauri Kwimba
MWANZA; MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba mkoani Mwanza wamemchagua Lameck Mashauri wa Cbama Cha Mapinduzi(CCM) kuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo baada ya kupata kura za ndiyo 42…
DRC: Idadi ya walemavu imeongezeka sana kwa miaka 3 iliyopita
Katika mkoa wa Kivu Kaskazini, kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la watu walemavu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Kulingana na taarifa kutoka mashirika ya kiutu, ongezeko hili linahusishwa na vita vinavyodumu…
China yapinga uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Venezuela
Serikali ya China imetangaza kuwa, inapinga vikali uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.
#SwaliLaKipimaJoto:Wanaohamasisha maandamano yasiyo na kikomo
#SwaliLaKipimaJoto:Wanaohamasisha maandamano yasiyo na kikomo. Je, wana haki ya kuzuia haki za wengine?
Mauzo ya bidhaa, huduma nje yafikia Sh42.128 trilioni
Mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania nje ya nchi yameongezeka hadi kufikia Sh42.128 trilioni...
Alkhamisi 4 Disemba, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 4 mwaka 2025.
Wabunge Kenya wawatuhutumu wanajeshi wa Uingereza kwa unyanyasaji wa kingono na uharibifu wa mazingira
Ripoti ya uchunguzi ya bunge la Kenya imewatuhumu wanajeshi wa Uingereza walioko nchini humo kwa unyanyasaji wa mara kwa mara wa kingono, mazoezi yasiyo salama na ukiukaji wa mazingira. Ripoti…
Madaktari Sudan watahadharisha kuhusu hatima ya watoto na wanawake waliokwama Kordofan magharibi
Kundi la madaktari wa Sudan limesema kuwa lina wasiwasi mkubwa kuhusu hatima ya makumi ya watoto na wanawake katika mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi, baada ya mapigano kati ya…
Uchaguzi Uganda: UN yalaani ukandamizaji dhidi ya mgombea urais wa upinzani
Umoja wa Mataifa jana Jumatano ulikosoa kuongezeka ukandamizaji dhidi ya upinzani na vyombo vya habari nchini Uganda kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao, na kutaka uchunguzi ufanyike bila upendeleo…
Iran: Mhimili wa muungano na uongozi katika ushirikiano wa kupambana na ugaidi katika jumuiya ya SCO
Mazoezi maalumu ya kupambana na ugaidi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), "Sahand 2025," yanafanyika katika Kaunti ya Shabestar, Mkoa wa Azerbaijan Mashariki, nchini Iran.
Gabon inamshikilia Waziri wake wa utalii kwa madai ya ufisadi wa dola milioni 18
Pascal Ogowé Siffon Waziri wa Utalii wa Gabon amewekwa katika kifungo cha nyumbani baada ya kukamatwa. Hatua hii imechukuliwa baada ya Waziri huyo wa Utalii wa Gabon kujaribu kuondoka Libreville.
🔴#MAGAZETI:KUELEKEA DISEMBA 09, POLISI YABAINI MBINU OVU 12 / SIMBA, YANGA DIMBANI LEO
🔴#MAGAZETI:KUELEKEA DISEMBA 09, POLISI YABAINI MBINU OVU 12 / SIMBA, YANGA DIMBANI LEO
Bayern yatinga robo fainali Kombe la Shirikisho
Tumalizie michezoni ambapo Bayern Munich waliwazidi nguvu Union Berlin 3-2 mjini Berlin na kufuzu kwenye robo fainali ya mashindano ya kombe la Shirikisho la Ujerumani, DFB Pokal, usiku wa kuamkia…
Israel na Lebanon wafanya mazungumzo ya moja kwa moja
Waziri Mkuu wa Lebanon amesema nchi yake bado "iko mbali" sana kusawazisha mahusiano ya kidiplomasia au kiuchumi na Israel.
Trump kuwaleta pamoja Kagame na Tshisekedi Alhamis
Rais wa Marekani Donald Trump leo anawaleta pamoja viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kwa kile atakachojipigia kifua kuwa ni hatua yake ya karibuni ya kusitisha vita.
Trump asema Putin anataka kusitisha vita Ukraine
Rais wa Marekani Donald Trump anaamini kuwa Rais Vladimir Putin wa Urusi anataka kuvimaliza vita nchini Ukraine, licha ya mazungumzo na ujumbe wa Marekani ambayo hayakupata mwafaka huko Moscow.
Macron akutana na Xi mjini Beijing
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping Alhamis ambapo anatarajiwa kumuwekea shinikizo kiongozi huyo asaidie katika usitishwaji wa mapigano nchini Ukraine.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…DESEMBA 04, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 04, 2025
04.12.2025
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, anaanza leo ziara ya siku mbili nchini India katika juhudi za kuimarisha ushirikiano, hususan katika sekta ya ulinzi+++Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa likisema…
Siku 638 za Manula akirejea golini Ligi Kuu Bara
AISHI Manula usiku wa leo Jumatano Desemba 3, 2025 amekaa golini kwa mara ya kwanza akiidakia Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kupita takribani siku 638.