Umoja wa Afrika wasimamisha uanachama wa Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kuizuia mara moja Guinea-Bissau kushiriki katika shughuli zake zote hadi utaratibu wa kikatiba utakaporejeshwa nchini.
Uvamizi wa kijeshi wa Israel nchini Syria walaaniwa na Iran na nchi za Kiarabu
Uvamizi wa nchi kavu na anga uliofanywa na jeshi la Israel katika mji wa Beit Jinn, kusini mwa Syria, ambapo watu wasiopungua 13, wakiwemo watoto, waliuawa umelaaniwa vikali na Iran…
Ali Ameir Mohamed, Son of Zanzibar: A Tribute to the integrity of a father, minister and journalist who served TZ
MY father was… My father was a politician, but first, he was a patriot. My father was the former Minister of Home Affairs, who considered his post a sacred trust.…
Wanafunzi wa Iran wang’ara katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani
Wanafunzi wa Iran washinda dhahabu na fedha katika Mashindano ya Hisabati ya Marekani (AMO) ya mwaka huu wa 2025.
Gavana BoT awaasa wahitimu uadilifu, uzalendo
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amewataka wahitimu wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania kudumisha uadilifu, uzalendo na ubunifu wanapoanza safari zao katika sekta ya fedha.…
Uwanja wa Ndege wa Goma: Mwezi Mmoja Baada ya Tangazo la Macron, mvutano unaendelea
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, sasa imepita karibu mwezi mmoja tangu Emmanuel Macron atangaze kufunguliwa tena kwa sehemu ya Uwanja wa Ndege wa Goma “katika wiki chache zijazo” ili…
Anko Kitime: Mlango wangu wa kuingia katika muziki
Bendi yangu kubwa ya kwanza ilikuwa Orchestra Mambo Bado iliyokuwa ikiongozwa na mwanamuziki...
Paul Kagame atoa mtazamo wake kuhusu mgogoro kati ya DRC na Rwanda
Nchini Rwanda, Rais Paul Kagame amezungumza kwa kirefu siku ya Alhamisi, Novemba 27, wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Alizungumzia michakato ya amani ya Washington na Doha, suala la…
HLI pushes EALA to review culture-sensitive bills
DAR ES SALAAM: HUMAN Life International (HLI) has expressed plans to engage members of the East African Legislative Assembly (EALA) in an effort to persuade them to challenge Bills that…
Zambia: Maandamano dhidi ya marekebisho ya katiba yashutumiwa kumpendelea Rais Hichilema
Usajili wa wapiga kura unaisha leo Jumamosi, Novemba 29, nchini Zambia, miezi tisa kabla ya uchaguzi wa urais wa Agosti 2026. Kutokana na hali hii, marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa, kupanga…
Sudan: Mauaji ya kikatili, ubakaji, mateso… Jinamizi la El-Fasher lasimuliwa na mashahidi
Katika ripoti iliyochapishwa mnamo Novemba 25, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limechapisha ushuhuda takriban thelathini kutoka kwa wakazi wa jiji la El-Fasher la Sudan ambao walifanikiwa kutoroka.…
Guinea-Bissau: Ilidio Vieira Té ateuliwa kuwa waziri mkuu, utulivu warejea Bissau
Jeshi lililochukua madaraka nchini Guinea-Bissau limetangaza siku ya Ijumaa, Novemba 28, uteuzi wa Waziri Mkuu mpya, Ilidio Vieira Té. Kuhusu rais aliyeondolewa madarakani, Umaro Sissoco Embalo, ilijulikana Alhamisi kwamba aliwasili…
‘Govt backs ecological farming’
DODOMA: THE government, through the Ministry of Agriculture, has reaffirmed its commitment to advancing ecological agriculture in collaboration with key stakeholders, including Participatory Ecological Land Use Management (PELUM) Tanzania, to…
Baada ya talaka nne, Jennifer Lopez auza pete!
Maisha yanaenda kasi sana kwa Jennifer Lopez (J.Lo), 56, ambaye amewahi kuvalishwa pete za...
Korea envoy praises NM-AIST innovation
ARUSHA: THE Republic Korean Ambassador to Tanzania has praised the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) for its growing role in promoting innovation, research excellence and national…
Hekaya za Mlevi: Maofisa Usafirishaji wawe walinzi wetu
Nilijisahau nikaita “Bodaboda...”. Yule jamaa alisimama na kuniangalia kwa jicho la kejeli hadi...
Rayvanny hajaanza na Salima Chica, kuna hawa!
Staa wa Bongofleva, Rayvanny anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya, Songi Songi (2025)...
Sarajevo Safari: Kuwinda wanadamu kwa ajili ya kujifurahisha
Karibuni kutupia jicho kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki kinachobeba kichwa cha maneno: 'Sarajevo Safari'. Ni kipindi kinachohusu mojawapo ya ukatili wa kutisha na usiozungumziwa sana wa…
UDSM signs 8bn/- contracts to boost learning
DAR ES SALAAM: THE University of Dar es Salaam (UDSM) has advanced its on-going modernisation efforts after signing 12 contracts valued at 8bn/- for the installation of furniture and ICT…
🔴#MAGAZETI: HECHE, MNYIKA WALIVYOPANGUA MADAI YA KUDHARAU MAHAKAMANI / YANGA MDOGO MDOGO
🔴#MAGAZETI: HECHE, MNYIKA WALIVYOPANGUA MADAI YA KUDHARAU MAHAKAMANI / YANGA MDOGO MDOGO....
Waziri wa Ulinzi: Iran imejipanga kutoa majibu makali zaidi ikishambuliwa kijeshi
Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo katika kiwango cha juu zaidi cha utayari wa kijeshi kuwahi kushuhudiwa, akisisitiza kuwa kila kitendo cha uhasama kitapokewa kwa majibu…
Adolf Hitler ashinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa Namibia
Mwanasiasa wa Namibia aliyepewa jina la dikteta wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hitler, ametangazwa mshindi kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyoripotiwa Ijumaa.
Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel
Baraza la Waislamu la Ufaransa limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba watu wawili walikusanya taarifa kuhusu Waislamu nchini Ufaransa na kuzikabidhi kwa shirika la ujasusi la Israel.
Rais wa Guinea-Bissau akimbilia Senegal baada ya mapinduzi ya kijeshi
Rais wa Guinea-Bissau aliyeondolewa madarakani, Umaro Sissoco Embaló, amekimbilia nchi jirani ya Senegal baada ya jeshi kuchukua mamlaka kufuatia uchaguzi ulioibua utata, maafisa wamesema.
#KIPIMAJOTO: Ukatili wa watoto kupitia mitandao
#KIPIMAJOTO: Ukatili wa watoto kupitia mitandao. Je, Jamii inaelimishwa mbinu za kuwalinda kuwaepusha na janga hilo?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 29, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 29, 2025
Iran yasusia droo ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia kukataliwa viza na Marekani
Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (FFIRI) limetangaza kuwa halitohudhuria droo ya Kombe la Dunia FIFA 2026 wiki ijayo mjini Washington, baada ya Marekani kukataa kutoa viza…
Kwa kupiga marufuku shughuli za kundi la ‘Palestine Action’, Uingereza ni mtetezi kweli wa uhuru wa kutoa maoni?
Kundi linalolitetea taifa madhulumu la Palestina nchini Uingereza liitwalo 'Palestine Action' limesema, kupigwa marufuku uendeshaji wa shughuli zake na serikali ya London ni hatua ya kidikteta.
Kwa kupiga marufuku shughuli za kundi la ‘Palestine Action’, hivi kweli UK ni mtetezi wa uhuru wa kutoa maoni?
Kundi linalolitetea taifa madhulumu la Palestina nchini Uingereza liitwalo 'Palestine Action' limesema, kupigwa marufuku uendeshaji wa shughuli zake na serikali ya London ni hatua ya kidikteta.
Jumamosi, 29 Novemba, 2025
Leo ni Jumamosi mwezi 8 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 29 Novemba 2025 Miladia.
‘Tanzania, partners stay united’
DAR ES SALAAM: TANZANIA and the diplomatic corps accredited to the country have reaffirmed their continuous commitment to deepening cooperation and strengthening the bonds of mutual partnership. Minister for Foreign…
Matangazo ya Jioni 29.11.2025
Muhtasari: Trump aonya juu ya zingatio la kufungwa kabisa kwa anga ya Venezuela----Ujumbe wa Ukraine njiani kuelekea Washington kwa mazungumzo ya kumaliza vita-----Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko…
Matangazo ya Mchana 29.11.2025
Urusi yaushambulia mji wa Kyiv kwa makombora na droni mapema leo asubuhi.+++Marais wa Kongo na Rwanda kusaini makubaliano ya amani nchini Marekani +++Safari za ndege duniani zatatizika kufuatia tahadhari ya…
Rapid bus services back on route
DAR ES SALAAM: DAR Rapid Transit Agency (DART) has announced the resumption of public transport services starting today, beginning with phase one routes from Ubungo Terminal to Gerezani, Kivukoni and…
Uturuki yachaguliwa tena katika Baraza la Kimataifa la Masuala ya Bahari la Umoja wa Mataifa: wizara
Matokeo chanya ya uchaguzi yanasisitiza nafasi ya kuaminika ya Ankara katika usalama wa baharini, usafirishaji na huduma za bandari, kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 28 NOVEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 28 NOVEMBA 2025
Vijana wanaofanya shughuli mbalimbali za uzalishaji mali katika maeneo ya Soko la Bombambili na stendi ya magari ya Ruhuwiko man…
Vijana wanaofanya shughuli mbalimbali za uzalishaji mali katika maeneo ya Soko la Bombambili na stendi ya magari ya Ruhuwiko manispaa ya Songea wamewatuhumu watendaji wanaosimamia utolewaji wa mikopo ya asilimia…
Wahitimu zaidi ya 200 wa ngazi mbalimbali za kozi za kitaaluma za maji wamehakikishiwa nafasi za ajira sambamba na ushirikiano w…
Wahitimu zaidi ya 200 wa ngazi mbalimbali za kozi za kitaaluma za maji wamehakikishiwa nafasi za ajira sambamba na ushirikiano wa kikazi na serikali kupitia wizara ya maji hususani kwenye…
Azam FC hesabu bado hazijakubali
ZANZIBAR; WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika, timu ya Azam FC, imekubali kipigo cha bao 0-1 kwa Wydad AC ya Morocco kwenye Uwanja wa New Amaan Complex…
“Katika matumizi ya uwekezaji katika nchi yetu, Mataifa mengi yanataka kuingia na kuchukua rasilimali hizi bure kwa kigezo cha k…
"Katika matumizi ya uwekezaji katika nchi yetu, Mataifa mengi yanataka kuingia na kuchukua rasilimali hizi bure kwa kigezo cha kwamba Teknolojia yetu haitoshi"Nathaniel Maseka - Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi…
Umoja wa Afrika umesitisha uanachama wa Guinea-Bissau kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Jeshi la Guinea-Bissau limemteua Jenerali Horta Inta-A kama Rais wa mpito wa nchi hiyo siku ya Alhamisi.
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Mabalozi, Wana…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na Mabalozi, Wanadiplomasia wanaowakilisha nchi na taasisi mbalimbali duniani ambapo amewahakikishia kuwa nchi iko…
“Unajua ushindani wa kibiashara ….nipale ambapo uwanja unakuwa upo ‘Fair’ kwamba kila mtu anaweza kufanya Biashara kulingana n…
"Unajua ushindani wa kibiashara ....nipale ambapo uwanja unakuwa upo 'Fair' kwamba kila mtu anaweza kufanya Biashara kulingana na taratibu mbazo zimewekwa, lakini inakuwa pale ambapo kunatokea vizuizi" Walter Nguma -…
Yanga yawatuliza Waarabu kwao
ALGERIA; MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A kati ya JS Kabyllie ya Algeria na Yanga ya Dar es Salaam umemalizika muda mfupi uliopita nchini Algeria kwa matokeo ya…
Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan ahimiza hatua za kimataifa kuhusu chakula, upotevu wa maji
Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan pia anasifu vuguvugu la Kutokuwepo kwa Taka - mpango bora wa mazingira ambao ameupigia debe - akiuelezea kama "fomula kali" ya kupunguza taka…
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) ametangaza kurejeshwa kwa shughuli za usafirishaji kwa barabara ya Morogoro kuanzia kitu…
Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) ametangaza kurejeshwa kwa shughuli za usafirishaji kwa barabara ya Morogoro kuanzia kituo kikuu cha Ubungo kwenda Kivukoni gerezani na Muhimbili. #AzamTVUpdates Mhariri | John…
Vijiji vitatu vilivyopo katika wilaya ya Nkasi, vimeanza kunufaika na Mpango wa Matumizi bora ya ardhi kwa kurejeshewa maeneo y…
Vijiji vitatu vilivyopo katika wilaya ya Nkasi, vimeanza kunufaika na Mpango wa Matumizi bora ya ardhi kwa kurejeshewa maeneo yao baada ya mamlaka husika kupitia na kuhakiki upya mipaka ya…
🔴#KIPIMAJOTO: VITA KIUCHUMI KIKANDA NA KIMATAIFA
🔴#KIPIMAJOTO: VITA KIUCHUMI KIKANDA NA KIMATAIFA. JE, WATANZANIA WAJIPANGE VIPI KUKABILIANA NAYO NGAZI ZOTE?