MEZAHURU: Kufuatia mipango ya Taifa kutaka kuboresha kilimo, Je Mkulima atapata fursa ya kufanya Kilimo kama mwekezaji?
MEZAHURU: Kufuatia mipango ya Taifa kutaka kuboresha kilimo, Je Mkulima atapata fursa ya kufanya Kilimo kama mwekezaji? (Feed generated with FetchRSS)
Wanasheria, watetezi wataka watuhumiwa wa kisiasa waachiwe
Wanasheria pamoja na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania wanataka kuchukuliwa hatua za haraka kuachiwa watuhumiwa wote wa kesi za kisiasa ikiwamo wale waliokamatwa kutokana na vurugu za wakati…
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 430 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Oktoba, i…
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 430 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Oktoba, ikifikia wastani wa asilimia 35 ya lengo la mwaka 2025/26. Hayo…
Harakati ya M-23: Mazungumzo ya amani na serikali ya Congo yanaendelea
Harakati ya M-23 imethibitisha kwamba mazungumzo na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huko Doha yataendelea katika wiki zijazo.
Marekani yasisitiza haitahudhuria mkutano wa G20
Mvutano wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Marekani umezidi kuongezeka muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kilele wa kundi la G20 jijini Johannesburg Jumamosi.
Watatu walioshtakiwa kwa mauaji waachiwa huru
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imewaachia huru washtakiwa watatu waliokuwa wameshtakiwa...
Wanaharakati wa Kenya wauwasha Moto wa Demokrasia Tanzania
Uchaguzi wenye utata wa Tanzania uliibua mshikamano wa kidijitali, ambapo wanaharakati kutoka Kenya walitaka kuvuka mpaka kuonyesha mshikamano na wenzao waliozimiwa mtandao.
Afrika Kusini yakataa kumpokeza Balozi baada ya Marekani kuamua kutoshiriki ‘rasmi’ G20
Afrika Kusini ni nchi ya kwanza ya Afrika kuongoza mkutano wa G20, ikiwa ni urais wa kupokezana kila mwaka tangu mwezi Disemba na inatarajiwa kuwapokeza Marekani.
TAKUKURU yatoa mafunzo SIDO Dodoma
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( (PCCB) Mkoa wa Dodoma wameendesha mafunzo ya kuzuia na kupambana na rushwa…
Works Ministry acts tough on Ntyuka-Mvumi-Kikombo road contactors
DODOMA: THE Minister for Works, Abdallah Ulega, has ordered the arrest of contractors from China First Highway Engineering Co. Ltd. for failing to meet the terms of their road construction…
The Guardian: Israel imetumia mabomu yaliyopigwa marufuku dhidi ya Lebanon
Uchunguzi mpya uliofanywa na gazeti la Uingereza, The Guardian, umebaini kuwa Israel ilitumia mabomu yaliyopigwa marufuku wakati wa vita vyake vya hivi karibuni dhidi ya Lebanon.
Vyama vipya 25 vyasajiliwa, 30 vikiwasilisha maombi ya kusajiliwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Kenya
Karibu vyama vipya 25 vya kisiasa vimepata usajili wa muda katika kipindi cha miezi michache iliyopita nchini Kenya, huku vingine zaidi ya 30 vikiwasilisha maombi ya kusajiliwa kuelekea Uchaguzi Mkuu…
Tanzania cherishes its diaspora with 94bn US dollars in remittance
ARUSHA: The United Republic of Tanzania said it will continue to collaborate with the diaspora in coordinating their affairs, recognizing their crucial role in the development of the nation and…
Yanga, AS FAR hakuna aliye salama Zanzibar
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga kesho kuanzia saa 10:00 jioni...
AGN turns 30, vows to protecting Africa’s climate interests
BEAZIL: THE African Group of Negotiators on Climate Change (AGN) has underscored its commitment to ensuring that Africa presents a strong, united voice in global climate negotiations. The group chair…
Tanzania, WHO set a joint plan to strengthen health services
DODOMA: THE Tanzanian government in collaboration with the World Health Organization (WHO) have resolved to come up with a joint two-year work plan to strengthen health services in the country.…
Kupinga Uturuki ombi la Marekani la kuacha kununua gesi ya Russia
Uturuki imekataa ombi la Marekani la kuitaka Ankara isinunue gesi kutoka Russia na kusema kuwa, haiwezi kuacha kununua gesi ya Russia kwa sababu imesaini makubaliano ya gesi na nchi hiyo…
Watoto wa Kipalestina katika jahanamu ya jela za Israel
Jana, tarehe 20 Novemba, dunia iliadhimisha"Siku ya Watoto Duniani," huku hali ya mambo huko Palestina ikionyesha picha tofauti kabisa, ambapo watoto ndio wanaoongoza katika janga linaloendelea kulitesa eneo la Ukanda…
Lebanon: Jeshi lamkamata kiongozi mkuu wa dawa za kulevya
Jeshi la Lebanon limemkamata, siku ya Alhamisi, Novemba 20, Nouh Zaiter, kiongozi mkuu wa dawa za kulevya nchini humo na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa biashara haramu ya dawa za…
Wakili msomi Chaula ausaka umeya Iringa Mjiini
IRINGA: Wakili msomi, Jackson Chaula, Diwani wa Kata ya Mlandege, amejiweka rasmi kwenye ramani ya kinyang’anyiro cha Umeya wa Manispaa ya Iringa baada ya kurejesha fomu yake leo, Novemba 21,…
Police warn groups, individuals making statements that fuel hatred and violence
DODOMA: THE Police Force has issued a stern warning to groups and individuals who continue to make statements that signal a breach of peace and incite hatred within the community,…
Ripoti yalaani majibu ya Uingereza dhidi ya janga la UVIKO-19
Uingereza imekuwa mojawapo ya nchi za Ulaya zilizoathiriwa zaidi na janga la UVIKO-19. Imeanzisha uchunguzi mkubwa wa umma ili kujifunza kutokana na jinsi ilivyoshughulikia kipindi hiki. Wakati huo, Boris Johnson…
Baba afanya mauaji ya mtoto kisha ajinyonga
MWANAUME mmoja, Derick Mwangama (23), mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, amemuua mtoto wake Devina Derick (2) kisha kujinyonga kwa kutumia kamba katika mti wa parachichi…
Baba amuua mwanaye wa miaka miwili kwa kumnyonga, naye ajinyonga
Mtoto wa miaka miwili Deniva Derick (2) ameuwawa kwa kunyongwa hadi kufa kwa kutumia kamba ya...
Araghchi: Iran imejiandaa zaidi kukabiliana na uhasama wa Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu sasa imejiandaa kuliko wakati wowote kukabiliana na uhasama wowote kutoka Israel.
Araghchi: Iran inajipanga imejiandaa zaidi kukabiliana na uhasama wa Israel
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu sasa imejiandaa kuliko wakati wowote kukabiliana na uhasama wowote kutoka Israel.
When one story becomes the whole Story
DAR ES SALAAM: RETHINKING the danger of a single-story narrative: What the New York Times missed about Tanzania’s 2025 Election THE New York Times’ recent article on Tanzania’s 2025 election…
Iran yalaani azimio la IAEA kuhusu mpango wake wa nyuklia
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali azimio lililopitishwa na Bodi ya Magavana wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), ikilitaja kuwa “batili na lisilo na…
Waasi wa RSF wameharibi viwanda zaidi ya 1,800 huko Khartoum, Sudan
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Sudan, Mahasen Ali Yaqoub, amesema kuwa zaidi ya viwanda 1,800 vimeharibiwa na kundi la waasi wa Rapid Support Forces (RSF) katika jimbo la Khartoum.
Rais wa Afrika Kusini akiashiria ubabe wa Marekani asema, hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine
Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa hakuna taifa linalopaswa kulitisha jingine kwa nguvu za kiuchumi au kijeshi, akieleza kuwa mataifa yote ni sawa. Kauli hiyo ya kupinga ubabe wa Marekani…
Makubaliano ya dola bilioni 1.4 ya kufufua reli ya TAZARA
China, Zambia na Tanzania zimesaini makubaliano ya kihistoria ya dola bilioni 1.4 siku ya Alhamisi ya kufufua reli ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA).
Ukraine: Ulaya inakataa mpango wa Marekani unaofanana na ‘kusalimu amri’
Kyiv ilipotangaza kuwa imepokea “mpango wa amani” wa Marekani, mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya walikuwa wakikutana mjini Brussels. Kwa kiasi kikubwa wameelezea uungaji mkono wao kwa…
Tanzania yaporomoka nafasi tano viwango vya ubora FIFA
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba.
Mapambano ya rushwa yatajwa jukumu la wote
MAPAMBANO dhidi ya ubadhilifu na rushwa ni jukumu la pamoja, si la mtu mmoja au serikali pekee, hivyo wananchi na watumishi wa umma wana wajibu wa kuzingatia uadilifu katika matumizi…
Vita nchini Ukraine: Washington yawasilisha ‘rasimu ya mpango’ kwa Kyiv
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ametoa wito siku ya Alhamisi, Novemba 20, kwa “amani yenye heshima,” baada ya mkutano na afisa mkuu wa Marekani aliyemwasilishia mpango wa Washington wa kukomesha…
Video vixens Bongo walivyoususa mchezo
Je, video vixen ni nani hasa Huyu ni mwanamke mwenye mvuto ambaye huonekana katika video za...
Pawa ya Mbosso kuzikutanisha nchi tatu
Baada ya wimbo wa Pawa kutoka kwa Mbosso kufanya vizuri kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki...
Wenyeviti waagizwa kuwa karibu na wananchi
WENYEVITI wa vijiji na vitongoji wilayani Monduli wametakiwa kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto zao ili kuondoa malalamiko na kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na serikali.…
Tanzanians honour Mollel as he is laid to rest in Orkesumet, Manyara
MANYARA: THE body of Joshua Mollel, a young Tanzanian who died in Israel, allegedly taken hostage by by Hamas fighters on October 7, 2023, has been honoured and laid to…
Niger: ‘Karibu polisi ishirini wameuawa’ katika eneo la Tera wakati wa shambulio la JNIM
Nchini Niger, kituo cha polisi kilishambuliwa mnamo Novemba 19 katika mkoa wa Tera, magharibi mwa nchi. Kulingana na vyanzo vya usalama, polisi wapatao ishirini waliuawa, na wengine wapatao thelathini walijeruhiwa.…
CI: Makumi ya maelfu ya watafuta hifadhi wa Burkina Faso na Mali wapewa hadhi ya Ukimbizi
Nchini Côte d’Ivoire, zaidi ya watafuta hifadhi 69,000 kutoka Burkinafaso na Mali 1,500 wamepewa hadhi ya ukimbizi katika wiki za hivi karibuni. “Ufunuo” huu wa siri umefichuliwa katika dashibodi rahisi…
Ahukumiwa kifungo cha maisha mara nne kwa kuanzisha ‘nchi yake’ Nigeria
Mahakama nchini Nigeria imemkuta na hatia ya ugaidi na mashtaka mengine kiongozi wa vuguvugu la...
How Trump’s absence marks leadership opportunity for China at G20
SOUTH AFRICA: US President Donald Trump’s decision to snub the G20 summit in South Africa this year has handed an opportunity to China, as it seeks to expand its growing…
Tazama mwili wa MC Pilipili ulivyozikwa katika makaburi ya kilimo kwanza Dodoma
Baada ya kufanyiwa upasuaji, Camara avunja ukimya KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara amefanyiwa upasuaji salama huko Morocoo, huku mwenyewe akivunja ukimya kwa kukiri haikuwa rahisi kwake kukubali uamuzi…
Huyu ndiye mchezaji tishio FAR Rabat, Nkini aiongezea maujanja Yanga kukwepa mtego wa mwarabu CAFCL
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Cameroon: Kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma Bakary atoa wito wa watu ‘kusalia nyumbani’
Nchini Cameroon, kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma Bakary ametangaza siku nyingine ya watu “kusalia numbani” leo Ijumaa, Novemba 21, kwa heshima, aliyoitaja, kwa waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi.…
Trump: ‘Seditious’ Democrat message ‘punishable by death’
USA: THE president of the United States, Donald Trump, on Thursday threatened the death penalty for Democratic lawmakers who told members of the US military they should refuse to comply…
Rwandan investors eye iron, copper mining projects
DODOMA: INVESTORS from Rwanda’s mining sector have held talks with Dodoma Regional Commissioner Rosemary Senyamule, expressing interest in exploring investment opportunities in iron and copper mining within Dodoma City. During…
Mauritius: Emmanuel Macron atangaza ‘kujitolea pakubwa kwa ulinzi wa Bahari ya Hindi’
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alianza safari yake ya kwanza rasmi barani Afrika mnamo Novemba 20, akitua Mauritius, nchi inayochukuliwa kuwa “jirani wa kimkakati” wa Ufaransa kutokana na ukaribu wake…
Journos express optimism for Machumu, Tido to deliver
DAR ES SALAAM: VETERAN journalists and media stakeholders have expressed optimism following the appointment of their peer to the State House as Director for Presidential Communication, describing him as a…