Zaidi ya watu 1,900 wameuawa na magaidi Afrika Magharibi mwaka huu : Ecowas
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema kuwa zaidi ya watu 1,900 waliuawa katika mashambulio 450 ya kigaidi yaliyorekodiwa Afrika Magharibi katika mwaka huu. Imechapishwa: 20/11/2025 –…
Ukarabati wa uwanja wa ndege Tabora wafikia 98%
WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amepongeza kiwango cha kisasa cha jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora ambalo limekamilika kwa asilimia 98, akisema hata yeye hakutarajia…
Rais Samia ateua wengine wawili Wizara ya Vijana
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuiimarisha Wizara ya Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana kwa...
Rais Samia aagiza kitafutwe kiini cha tatizo, wadau watoa ya moyoni
Rais Samia Suluhu Hassan ameipa jukumu Tume huru ya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani...
DRC: FARDC yathibitisha kuwa M23 inaudhibiti Mji wa Katoyi Kivu Kaskazini
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limethibitisha kuwa, waasi wa AFC/M23, wanadhibiti mji wa Katoyi, wakati huu vita vikiendelea licha ya pande hizo mbili kukubaliana kuhusu namna ya kupata…
Uturuki inakabiliwa na “janga” wakati kiwango cha uzazi kinashuka hadi 1.48, anaonya Erdogan
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba kupungua kwa kiwango cha uzazi kunatoa onyo kali za tahadhari kuhusu mustakabali wa nchi, na kwamba hakuna anayeuthamini mustakbali wa taifa hili…
Wengine 19 kesi ya uhaini wafikishwa mahakamani, mapingamizi ya utetezi yatupwa
Jumla ya watuhumiwa 19 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza na kusomewa...
Mashahidi 26 kutoa ushahidi, kesi wizi wa mafuta mali ya TPA
Mashahidi 26 na vielelezo 13 vinatarajiwa kutolewa mahakamani katika kesi ya wizi wa mafuta na...
Wananchi wajitokeza kuaga mwili wa MC Pilipili Dodoma
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Coy Mzungu: MC Pilipili ametulea, ameondoka wakati tunamuhitaji
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Joshua azikwa, mwanafunzi mwenzake asimulia alivyonusurika mashambulizi ya Hamas
Mwanafunzi mwenzake wa Joshua Mollel aliyekuwa naye Israel amesimulia jinsi alivyonusurika na...
MC Pilipili azikwa leo , wasanii wamlilia
Mwili wa aliyekuwa msanii wa Vichekesho na Mshereheshaji nchini Emanuel Mathias (MC Pilipili)...
Mpolandi kuongoza majaji 14 kumsaka mshindi zao la Kahawa
Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na wadau wengine wa zao hilo, wameandaa shindano...
Dr Samia elevates Omolo, Mapana
DODOMA: THE President of the United Republic of Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, has appointed Jenifa Omolo as Permanent Secretary in the Office of the President, Youth Development. Prior to…
Kwa nini Tanzania inapaswa kuwa makini kulinda mafanikio ya afya ya uzazi
Wataalamu wa afya ya uzazi nchini Tanzania, wameitaka Serikali kuchukua tahadhari kubwa kabla...
Chongolo aita benki ya ushirika kuimarisha huduma
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo ameitaka Benki ya Ushirika Tanzania (Coop Bank) kuimarisha...
Lishe inavyotajwa kipaumbele kukuza ufaulu shuleni
Wakati maadhimisho ya siku ya lishe kitaifa yakitarajiwa kufanyika kesho Novemba 21, 2025...
Tuzo ya Mzize yawaibua mastaa
CLEMENT Mzize amekuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kubeba tuzo ya Bao Bora la Mwaka, tuzo aliyoitwaa usiku wa juzi katika hafla ya utoaji wa tuzo za Mwaka za Shirikisho la…
Arusha braces for President Samia’s tour
ARUSHA: PRESIDENT of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, begins a two-day working visit to Arusha Region from tomorrow, November 21 to 22, 2025. During the visit,…
Ngoma imerudi upyaaa Ligi Kuu Bara
BAADA ya mapumziko ya ligi kupisha mechi za timu za taifa, Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo KMC inayoburuza mkiani, itakuwa na kibarua cha kupambana…
TARURA tells COP30 of its success in building resilient infrastructure
BELEM: The Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) has continued to strengthen environmental management by constructing resilient infrastructure, including bridges, to mitigate the impacts of floods caused by climate…
Omolo Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Dk Mapana Naibu
DAR ES SALAAM; RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amemteua Jenifa Omolo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi…
Ni Asec Mimosas au AS Far Rabat WCL
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake inahitimishwa leo kwa mechi baina ya AS Far Rabat ya Morocco na Ases Mimosas ya Ivory Coast zitakazokutana katika fainali kuwania taji…
Kibarua kinachomsubiri Simbachawene
Baada ya George Simbachawene kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, anakabiliwa na...
Ceassia kushusha mashine tatu WPL
KOCHA Mkuu wa Ceassia Queens ya Iringa, Ezekiel Chobanka amekiri kikosi cha timu hiyo kipo katika wakati mgumu baada ya kuanza vibaya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), huku akianza hesabu…
Taasisi za Kiislamu 27 zaja na mambo 17 kurudisha amani nchini
Taasisi za Kiislamu 27 nchini likiwamo Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), zimeazimia...
Ndejembi commends Dr Biteko at the Energy Ministry’s handover
DODOMA: Minister of Energy, Deogratius Ndejembi, today, November 20, 2025, was officially handed over the office by the former Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, at…
Tanzania, UNDCF kuendelea kushirikiana LoCAL II
SHIRIKA la Maendeleo ya Mfuko wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNDCF) limekubali kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza Programu ya LoCAL awamu ya pili. Kupitia Programu hiyo Serikali inatekeleza…
DC Mpogolo ahimiza viongozi kuongoza mapambano dhidi ya wizi wa umeme
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa serikali za mitaa na madiwani...
Uturuki kuwa mwenyeji wa mkutano wa mazingira wa COP31 baada ya makubaliano na Australia
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese anasema Waziri wa Mabadiliko ya Tabianchi Chris Bowen atakuwa Rais wa COP katika mashauriano, huku Uturuki ikiwa mwenyeji wa mkutano na Urais wa COP.
Utajiri wa Afrika: Guinea kufaidi kutoka kwa madini ya chuma
Guinea imezindua mgodi wa Simandou, huku usafirishaji wa kwanza wa madini ya chuma ukitarajiwa katika kipindi cha wiki moja.
Indonesia: Mamia ya watu wahamishwa baada ya Volkano Semeru Kuripuka Kisiwani Java
Zaidi ya watu elfu moja, wengi wao wakiwa wanakijiji na wapanda milima, wamehamishwa baada ya kulipuka kwa Volkano Semeru kwenye kisiwa cha Java. Mlipuko huo, ulioanza siku ya Jumatano, Novemba…
Dr Kijaji officially handed over the Natural Resources, Tourism Ministry
DODOMA: THE Minister for Natural Resources and Tourism, Dr Ashatu Kijaji, has officially taken over office from her predecessor, Ambassador Dr Pindi Chana, as she begins leading the Ministry, which…
Wakazi Mbezi Beach waiburuza NEMC kortini, kisa baa ya Dove Nest Garden
Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imewapa siku 14 wakazi wawili wa Mbezi Beach...
Coop Bank hailed for increasing loan portfolio from 15bn/- to 52bn/-
DODOMA: The Minister for Agriculture, Daniel Chongolo, has commended the Tanzania Cooperative Bank (Coop Bank Tanzania) for increasing its loan portfolio from 15bn/- in January 2025 to 52bn/-. The increment…
Waziri Ndejembi akabidhiwa ofisi
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi leo Novemba 20, 2025, amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kwenye ofisi za Wizara zilizoko Mtumba…
Tanzania, Korea in joint bid to produce high-quality dairy cattle
DODOMA: THE Tanzanian government, through the Ministry of Livestock and Fisheries, is set to implement a groundbreaking project to produce high-quality dairy cattle using advanced reproductive technologies. The initiative, a…
Tanzania, Chinese firm agree to construct medical equipment factory
DODOMA: THE Tanzanian government has affirmed its determination to open more doors for investment in pharmaceutical and medical equipment industries so as to increase the production of health products and…
Zimamoto yakiri kuchelewa eneo la tukio ajali moto, sababu yatajwa
Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Shinyanga, Mrakibu Msaidizi Stanley Luhwago,...
How solar power is rewiring East African agriculture
SONGEA: Did you know that solar power is rapidly transforming the agricultural landscape across East Africa This compelling question formed the heart of a five-day Regional Masterclass on the Productive…
Muhtasari wa yaliyotawala mijadala wakati wa COP30
Kadiri mazungumzo kuhusu tabianchi yanavyoendelea Belém, Brazil na kuingia hatua za mwisho, wajumbe wanashughulika katika maeneo matatu: masuala ya kiufundi, mashauriano ya ngazi ya mawaziri, na majadiliano yanayoongozwa na Uenyekiti.…
COP30: Wakati wa ahadi hewa za tabianchi umepita watu wanataka matokeo asema Guterres
Wakati mazungumzo ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP30 yakiendelea mjini Belém, Brazil, Katibu Mkuu wa UN António Guterres akizungumza na waandishi wa habari hii leo…
Watoto zaidi ya milioni 400 wanaishi katika umaskini duniani, wakikosa mahitaji muhimu ya kila Siku – UNICEF
Zaidi ya mtoto mmoja kati ya watano katika nchi za kipato cha chini na cha kati duniani sawa na watoto milioni 417 wanaishi katika umaskini wa hali ya juu, wakikosa…
COP30: Shule moja Amazon yageuka kuwa mwanga wa mnepo dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Safari ya mashua kutoka Belém hadi Barcarena ni kupitia mto wenye mwanga unaong’aa na misitu ya smariti, ambapo Amazon inakutana na Atlantiki kwa urembo wa ajabu. Lakini chini ya mandhari…
Nyuklia: IAEA yapitisha azimio linaloitaka Iran kushirikiana ‘kikamilifu na bila kuchelewa’
Bodi ya Magavana wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limepitisha azimio siku ya Alhamisi, Novemba 20, likiitaka Iran kushirikiana “kikamilifu na bila kuchelewa,” kulingana na wanadiplomasia. Imechapishwa:…
Mchechu: Ushirikiano wa serikali na TPC umezaa matunda, wachangia zaidi ya Sh75 bilioni kwenye mapato
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu amesema mafanikio yaliyopatikana ndani ya miaka 25 tangu...
Kyiv: Urusi imeikabidhi Ukraine miili 1,000
Urusi imeikabidhi Ukraine, siku ya Alhamisi, Novemba 20, miili 1,000, iliyowasilishwa kama ile ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa vitani, idara ya Ukraine inayosimamia wafungwa wa vita imetangaza. Imechapishwa: 20/11/2025 –…