Mshangao mabadiliko Baraza la Mawaziri
Ni mshangao. Ndivyo unavyoweza kulielezea baraza jipya la mawaziri ambalo Rais Samia Suluhu...
Jumuiya ya Madola kusaka maridhiano Tanzania
Wakati Serikali ikisaka njia ya maridhiano, Jumuiya ya Madola imemteua Rais mstaafu wa Malawi...
Baada ya kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri ambalo ndani yake kuna sura mpya zilizochukua majukumu ya baadhi ya wizara, wananchi …
Baada ya kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri ambalo ndani yake kuna sura mpya zilizochukua majukumu ya baadhi ya wizara, wananchi wametoa maoni wakieleza matarajio yao. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi
Wakazi wa mtaa wa Kakonda uliopo kata ya Nyanguku, mkoani Geita wamelalamika kuzuka kwa wizi wa mifugo unaoambatana na uchinjaji…
Wakazi wa mtaa wa Kakonda uliopo kata ya Nyanguku, mkoani Geita wamelalamika kuzuka kwa wizi wa mifugo unaoambatana na uchinjaji haramu wa mifugo inayoibwa. Hali hiyo ya taharuki imewalazimisha wakazi…
Mchekeshaji maarufu na msanii wa maigizo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ anatarajiwa kuzikwa Alhamisi ya Novemba 20 mkoani Dodom…
Mchekeshaji maarufu na msanii wa maigizo, Emmanuel Mathias 'MC Pilipili' anatarajiwa kuzikwa Alhamisi ya Novemba 20 mkoani Dodoma huku familia yake ikiendelea kusubiri ripoti ya kitabibu kuweza kubaini chanzo cha…
#HABAI: Mwenyekiti na Mratibu wa Mazishi ya Emmanuel Mathias, maarufu kama MC Pilipili, John Mwangata, amesema maandalizi kwa aj…
#HABAI: Mwenyekiti na Mratibu wa Mazishi ya Emmanuel Mathias, maarufu kama MC Pilipili, John Mwangata, amesema maandalizi kwa ajili ya maziko yanaendelea vizuri, na kwamba ratiba rasmi ya mazishi imepangwa…
Rais wa Tanzania amteua binti na mkwe wake katika Baraza la Mawaziri
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua binti yake, Wanu Hafidh Ameir, kuwa Naibu Waziri wa Elimu. Hafidh Ameir, mwenye umri wa miaka 43, ni Mbunge wa Jimbo la Makunduchi.
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya, Wycliffe Oparanya ameitangaza Tanzania kuwa mshindi wa jumla wa Maonesho ya 25 ya Wajasi…
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya, Wycliffe Oparanya ameitangaza Tanzania kuwa mshindi wa jumla wa Maonesho ya 25 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki…
Rais Samia amteua waziri mpya wa fedha, awaacha mawaziri wa mambo ya nje na madini madarakani
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Jumatatu alimteua balozi wa nchi hiyo nchini China, Khamis Mussa Omar, kuwa waziri wa fedha katika baraza lake jipya la mawaziri kufuatia uchaguzi uliokumbwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 17, 2025 -RAIS SAMIA ATANGAZA BARAZA LENYE WIZARA 27
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 17, 2025 -RAIS SAMIA ATANGAZA BARAZA LENYE WIZARA 27
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar kuwa Waziri Fedha
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar kuwa Waziri Fedha. Uteuzi huo umetangazwa leo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Mbaroni kwa madai ya kujiteka Tabora
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Hadija Jimmy (39), mkazi wa Manispaa ya Tabora...
Waziri wa vijana ni nani na yapi yanamsubiri?
Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu kuahidi kuunda wizara mahususi ya vijana, ametimiza hilo...
Morogoro kufungua dirisha jipya la biashara, uwekezaji
Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima (TCCIA), kwa ushirikiano na Ofisi ya Mkuu...
Rais Samia airudisha Tamisemi Ofisi ya Waziri Mkuu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 17, 2025 Ikulu ya Chamwino, mkoani...
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto…
Mawasiliano nyenzo muhimu kufikia matumizi nishati safi ifikapo 2034
Wakati utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa Watanzania wanne kati...
Rais Samia atangaza Baraza lake jipya la Mawaziri
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza lake la mawaziri ambalo limejumuisha kwa sehemu sura mpya ikiwemo za watu wa familia yake.
Bangladesh yaitaka India kumrejesha Hasina nyumbani
Bangladesh imeitolea mwito India kumrejesha nyumbani Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina, pamoja na waziri wa zamani wa mambo ya ndani Asaduzzaman Khan Kamal, baada ya kuhukumiwa kifo.
Ujerumani yaondoa vizuizi vya kuiuzia Israel silaha
Serikali ya Ujerumani itaondoa sehemu ya marufuku yake ya uuzaji silaha kwa Israel kuanzia Novemba 24, ikibadilisha uamuzi iliyouchukua mwezi Agosti wa kutoiuzia nchi hiyo silaha.
Zelensky: Ukraine itapokea ndege za kivita kutoka Ufaransa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametia saini mpango unaoiruhusu Ukraine, kupokea ndege za kivita aina ya Rafale kutoka Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuimarisha uwezo wake wa kijeshi kupambana na…
Rais Samia ataja baraza la mawaziri, lina wizara mbili mpya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri likiwa na mabadiliko makubwa ya kiwizara sambamba na sura mpya za mawaziri walioteuliwa kuongoza wizara hizo, akiongeza wizara mpya…
Uingereza kuiadhibu Afrika kufuatia suala la uhamiaji
Serikali ya Uingereza imetishia kuwanyima viza za kuingia nchini humo raia wa mataifa matatu ya Afrika, iwapo hayatokubali kuwachukua wahalifu na wahamiaji haramu kutoka mataifa hayo walionyimwa hifadhi.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteuwa, Dkt
Rais Samia Suluhu Hassan amemteuwa, Dkt. Leonard Douglas Akwilapo kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, huku Naibu wake ni Kaspar Kaspar Muya. Dkt. Samia ametangaza uteuzi huo…
Mzozo wazuka upya kati ya AFC/M23
Tangazo la kufunguliwa tena kwa uwanja wa ndege wa kimataifa limezusha mvutano mpya kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23. Makubaliano ya Doha, yalionekana kuleta matumaini, sasa yanaonekana…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Arthur Nanauka kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Arthur Nanauka kuwa Waziri katika Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana. Akitangaza uteuzi huo leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia amesema…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar Mussa kuwa Waziri wa Fedha, huku Naibu Mawaziri wake wakiwa Laurent Deograt…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Omar Mussa kuwa Waziri wa Fedha, huku Naibu Mawaziri wake wakiwa Laurent Deogratius Luswetula na Mshamu Ali Munde. #AzamTVUpdates
Dr Nchemba officially takes the PM office
DODOMA: PRIME Minister Dr. Mwigulu Nchemba was officially handed over the office today, November 17, 2025, by the Former Prime Minister Kassim Majaliwa at Mlimwa in Dodoma. Leaders who attended…
TSN, Xinhua agree to deepen ties in media technology
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) has affirmed its commitment to deepen cooperation with the Xinhua News Agency on issues related to technological advancements in the media…
Yanga yawahi Zanzibar kuiandalia kipigo AS FAR
Yanga imepanga kusafiri kesho Jumanne, Novemba 18, 2025 kwenda Visiwani Zanzibar kuanza...
Apple mbioni kutumia AI ya Google Gemini kuiongezea nguvu Siri
Kama unatumia simu za kampuni ya teknolojia ya Apple ni wazi utakuwa unafahamu akili unde...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA….17 NOVEMBA, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA....17 NOVEMBA, 2025
Rasilimali watu sekta ya afya itakavyoboresha maisha
Wadau wa sekta ya afya Tanzania, wamesema kwenye utoaji na wigo wa huduma za afya bado kuna...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Riziki Silas Shemdoe kuwa Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa huku Naibu Mawaziri wake wakiwa Reuben Nhamanilo…
Shirika la YTB laorodhesha mafanikio ya Afrika mwaka 2024 katika kitabu chao
Shirika linalohudumia Waturuki wanaoishi Ughaibuni na Jamii Husika (YTB) limezindua kitabu chao cha Afrika 2024 ili kuonesha matukio muhimu yaliyotokea katika bara la Afrika.
Sudan: Waendesha mashtaka wa ICC wataka kiongozi wa Janjaweed kufungwa maisha
Waendesha mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, wanataka kiongozi wa kundi la Janjaweed Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman, maarufu kwa jina la Ali Kushayb, ambaye wapiganaji wake walisababisha mauaji makubwa…
Rais Samia ateua Mawaziri 27, Naibu Mawaziri 29
DODOMA; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan leo ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye mawaziri 27 na Naibu Mawaziri 29. Baadhi ya majina maarufu ambayo yalikuwepo kwenye Baraza la…
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina ahukumiwa kifo
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina, amepatikana na hatia ya makosa ya uhalifu wa kivita dhidi ya binadamu, na kuhukumiwa kifo. Imechapishwa: 17/11/2025 – 15:39Imehaririwa: 17/11/2025 – 16:07 Dakika…
Watu 25 watekwa na watu wenye silaha kaskazini Magharibi mwa Nigeria
Watu wenye silaha, wamewateka watu 25 katika shule ya sekondari ya wasichana, Kaskazini Magharibi mwa Nigeria. Imechapishwa: 17/11/2025 – 15:33Imehaririwa: 17/11/2025 – 15:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Ukraine kununua ndege za kivita na vifaa vingine kutoka Ufaransa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake Volodymyr Zelensky, wametia saini mkataba, ambao utaiwezesha Ukraine,kununua ndege za kivita 100 aina ya Rafale, na vifaa vingine, ili kusaiadia katika vita dhidi…
INEC appoints 1,385 women councillors to Special Seats
DODOMA: THE Independent National Electoral Commission (INEC) has announced the completion of the appointment of 1,385 women councillors to Special Seats out of the legally required 1,387. The statement was…
Dr Samia names 2025/30 Cabinet
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has unveiled a new cabinet lineup, introducing fresh leadership across key ministries to enhance government efficiency and accelerate national development priorities. Announcing the changes at…
Kuwanusuru watoto njiti dhidi ya upofu Uganda
Ulimwengu leo unaadhimisha siku ya kimataifa ya Watoto waliozaliwa kabla ya muda wanaofahamika kama Watoto njiti. Huko Kampala hospitali ya Kawempe inawasaidia watoto njiti katika kutambua tatizo la la mishipa…
How MTAKUWWA program transforms parenting, protects young lives
Tanzania is doubling down on protecting its future, and the spotlight is on the country’s very important national initiative: MTAKUWWA. Standing for Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi…
Kabudi apewa Mwana FA, Makonda Wizara ya Michezo, wadau wapongeza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua tena Profesa Palamaganda...
Hili hapa baraza la mawaziri la Samia
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, likiwa na jumla ya...
Stop borrowing for lifestyle, start saving for life
DAR ES SALAAM: The Executive Secretary of the National Economic Empowerment Council (NEEC), CPA Beng’i Issa, has delivered a message that many young Tanzanians may not want to hear but…
#HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Ameir kuwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, ikiwa ni mara ya kwanza…
#HABARI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Ameir kuwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, ikiwa ni mara ya kwanza kuingia katika Baraza la Mawaziri. #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania.…
CCM urges clerics to refrain from engaging in political issues
ZANZIBAR: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) has urged religious leaders in the country to refrain from engaging in political issues, saying that doing so could lead the nation astray from its…