Tanzania, China agree to collaborate in research, conservation, and forest tourism
DODOMA: TANZANIA, and China have begun discussions to strengthen professional collaboration in research, conservation, and the promotion of forest tourism. The collaboration done between the Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI)…
Watunisha misuli wanne watua na medali
WATANZANIA wanne wamerejea nyumbani kibabe baada ya kunyakua medali mbalimbali za mashindano ya Watunisha Misuli (WFF Africa Bodybuilding and Fitness Championship Pro Qualifier 2025) yaliyofanyika siku mbili huko Zambia.
Kwa nini Paripesa ni jukwaa bora la kubashiri kwa njia ya simu Tanzania
Simujanja (Smartphones) ndiyo njia kuu ya matumizi ya intaneti kwa Watanzania wengi. Hivyo...
Watanzania mzigoni nusu fainali Ligi ya Mabingwa
JKT Queens inajiandaa kurejea nchini baada ya kung’olewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa timu za wanawake (WCL), lakini kuna Watanzania wawili wanaokipiga klabu ya FC Masar…
Mapigano yazuka Kivu Kusini baada ya makubaliano ya amani
Siku chache baada ya kusainiwa makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na waasi wa AFC/M23 mjini Doha, mapambano makali yanashuhudiwa katika baadhi ya vijiji ndaji ya jimbo la Kivu Kusini…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteuwa, Ridhiwani Kikwete kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bo…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteuwa, Ridhiwani Kikwete kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora huku Naibu wake akiwa Regina Nkwarai. Samia ametangaza uteuzi huo…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Joel Nanauka kuwa kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana. Akitangaza uteuzi huo leo Novemba 17, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma, Rais Samia amesema…
Mwaka mmoja gerezani, Kizza Besigye bado anapigania dhamana
Ni mwaka mmoja tangu mwanasiasa wa Uganda Dkt Kizza Besigye alipotekwa mjini Nairobi nchini Kenya na kufikishwa mahakama ya jeshi nchini Uganda. Wafuasi wake bado wanasisitiza kuwa anashikiliwa kinyume cha…
Case of 172 people involved in criminal incidents adjourned to Nov 26
MWANZA: THE case involving 11 out of 172 suspects alleged to have been involved in criminal incidents that occurred during the October 29, 2025, general election has been adjourned again…
Mitazamo tofauti adhabu ya viboko bajaji, bodaboda wanaovunja sheria
Kitendo cha baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) jijini Dar es Salaam kutumia fimbo...
Tanzania seeks to address unemployment challenges in Arusha, Manyara
ARUSHA: THE Tanzanian government has put in place robust plans to address unemployment challenges among youth, women, and other vulnerable groups, the Permanent Secretary in the Ministry of Industry and…
Yanga yapewa mwamuzi wa bahati dhidi ya AS FAR
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi, Imtiaz Heerallal kuchezesha mchezo wa...
Kesi ya ‘Dk Manguruwe’, kusikilizwa kesho mchana
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili, Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon...
Waajiriwa wapya Morogoro watakiwa kuzingatia haya
Watumishi mpya waliopata ajira siku za hivi karibuni wametakiwa kuwa wazalendo, waadilifu na...
Tovuti za taasisi za serikali ya Kenya zashambuliwa
Mashambulizi hayi yalilenga baadhi ya mashirika ya serikali yanayotoa huduma muhimu.
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, lenye wizara 27… hatua inayoweka mwelekeo mpya katika utekelezaji …
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, lenye wizara 27… hatua inayoweka mwelekeo mpya katika utekelezaji wa sera na mikakati ya serikali. Mabadiliko hayo yanatajwa kulenga kuongeza ufanisi,…
#HABARI: Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameteuliwa kuwa Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala …
#HABARI: Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameteuliwa kuwa Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora huku Naibu wake akiwa Regina Ndege. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
🔴MEZA HURU – WIZARA KAMILI YA VIJANA
🔴MEZA HURU - WIZARA KAMILI YA VIJANA.... 17 NOVEMBA, 2025
ACT-Wazalendo yafungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi majimbo 25 Zanzibar
Chama cha ACT- Wazalendo kimefungua mashauri 25 Mahakama Kuu kupinga matokeo ya uchaguzi wa...
Uteuzi wa Madiwani Vitimaalum Wakamilika 99%
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kukamilisha uteuzi wa Madiwani Wanawake wa Viti Maalumu 1,385 kati ya 1,387 wanaotakiwa kisheria. Taarifa hiyo imetolewa mjini Dodoma na Mkurugenzi wa…
Nactvet yahamasisha waliokosa vyuo kuomba tena
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Nactvet) limewataka wanafunzi...
Ushirikiano wa Tanzania na Comoro wazidi kuimarika, rushwa yalengwa
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila...
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB, John Rubambe ametoa ushauri na mtazamo wa kimkakati kuhusu mustakabali wa sekta …
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB, John Rubambe ametoa ushauri na mtazamo wa kimkakati kuhusu mustakabali wa sekta ya kibenki duniani, akisisitiza umuhimu wa kuwekeza kwenye teknolojia na…
Washitakiwa 11 wa maandamano wafikishwa kortini, kesi yapigwa kalenda
Watuhumiwa 11 kati ya 172 wanaokabiliwa na mashtaka mbalimbali yakiwemo ya uharibifu wa mali ya...
TUFUATE LIVE HAPA…RAIS SAMIA ANATANGAZA JAMBO ZITO MUDA HUU-https://www.youtube.com/watch?v=030CVboE4DU
TUFUATE LIVE HAPA...RAIS SAMIA ANATANGAZA JAMBO ZITO MUDA HUU-https://www.youtube.com/watch?v=030CVboE4DU
Tato yataka Serikali kuimarisha meza ya majadiliano ili kulinda utalii endelevu
Vurugu hizo zilizotokea wiki ya uchaguzi zilisababisha vifo na uharibifu wa miundombinu ikiwemo...
Maswa yajipanga kuokoa watoto njiti, yasambaza vifaa tiba
Hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imeendelea kuboresha huduma kwa watoto njiti na...
Spika Zungu afungua mafunzo kwa wabunge
DODOMA; Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amefungua Mafunzo kwa Wabunge leo Novemba 17, 2025 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yanalenga kuwajengea uwezo wabunge kuhusu masuala mbalimbali, ikiwemo…
Hata Nuria Cunillera anastahili mazuri kama Xavi
Wiki iliyopita mke wa lejendi wa FC Barcelona, Xavi Hernandez, 45, Nuria Cunillera...
Wachumi wambebesha zigo waziri wa fedha atakayeteuliwa
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri kuanzia sasa...
Great Lakes leaders raise their voices to call out for peace, security
KINSHASA: TANZANIA’S Vice President, Emmanuel Nchimbi, has said that for any country to achieve a lasting sustainable development, peace and inclusiveness must be at the center. Dr Nchimbi made the…
Police nab U.S. Army soldier with four hand grenades
TARIME: A U.S.A. Army soldier with dual American and Kenyan citizenship, identified as Sergeant Charles Onkuri Ongeta, was found in possession of four CS M68 hand grenades. The information was…
Wiki ya SQF Zanzibar Marathon yaanza
TAASISI ya The Same Qualities Foundation (SQF), waandaaji wa SQF Zanzibar Marathon, imetangaza kuanza rasmi kambi ya upasuaji kwa watoto wenye ugonjwa wa midomo wazi (Sungura) hadi Desemba 19, 2025…
Baraza la Usalama lapitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu kuundwa kwa Kikosi cha Kimataifa cha Kuweka Utulivu Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo Novemba 17 limepitisha azimio lililoungwa mkono na Marekani ambalo litaanzisha kikosi cha kimataifa cha kurejesha utulivu Gaza, kulinda raia na kufungua njia…
Dunia yaadhimisha siku ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi huku nchi zikiharakisha hatua
Leo ni maadhimisho ya kwanza kabisa ya siku ya dunia ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi, iliyoidhinishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) hatua muhimu…
Mapigano yanazidisha njaa duniani, OCHA yataka hatua za haraka zichukuliwe
Naibu Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa (OCHA) Joyce Msuya amezungumza katika mjadala wa wazi kuhusu uhaba wa wa chakula kutokana na migogoro katika Baraza Kuu la…
Hali ni tete Darfur, Sudan, atahadharisha Mkuu wa masuala ya kibinadamu UN OCHA
Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Tom Fletcher, ametangaza tahadhari kali kuhusu kuzorota kwa hali ya kibinadamu Darfur Kaskazini, baada ya kutembelea Tawila na Korma ambako maelfu…
COP30: Rais wa Baraza Kuu la UN atembelea uzalishaji wa kakao unaolinda misitu
Kwenye Ilha do Combu, pembezoni mwa Belém, Annalena Baerbock Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekutana na Dona Nena, mfanyabiashara aliyebadilisha maarifa ya jadi kuwa chanzo cha mapato…
Wazee wachoshwa na umwagaji damu DRC na Sudan wataka hatua za haraka kukomesha vita
Viongozi wa dunia wamesisitizwa kuwalinda raia na kutanguliza haki za binadamu mbele wakati migogoro ikizidi kuongezeka duniani.
Félicien Kabuga: Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari hana uwezo wa kusafiri kwenda Rwanda – IRMCT
Mfumo wa kimataifa wa kushughulikia mabaki ya kesi za mauaji ya kimbari (IRMCT) umeamua kuwa mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari, Félicien Kabuga, hana uwezo wa kiafya kusafiri kwenda Rwanda, uamuzi…
Mahakama tembezi yasaidia kuleta haki Maban, Sudan kusini
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudani Kusini UNMISS wakishirikiana na wizara ya haki na masuala ya katiba nchini humo wanaendeleza zoezi la mahakama tembezi nchini humo…
Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Simulizi ya Askalech kutoka Ethiopia
Dunia inajiandaa kuadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kuanzia tarehe 25 mwezi huu wa Novemba hadi tarehe 10 Disemba, kampeni inayolenga kuongeza uelewa na kutoa wito wa kuzuia…
Dr Samia blesses 595,816 students doing exams today
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has extended her best wishes to 595,816 Form Four students who have begun doing their National Examinations today in 5,868 schools across the…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Dabi ya Kariakoo ya Desemba 13 yaota mbawa
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baina ya Yanga na Simba 'Kariakoo Derby' iliyokuwa ichezwe Desemba 13 mwaka huu, sasa itachezwa Machi Mosi, mwakani.
Woga, uelewa mdogo chanzo wafanyakazi majumbani kukosa haki zao
Woga na uelewa mdogo zimetajwa kuwa miongoni mwa wafanyakazi wa nyumbani kumetajwa kuwa moja ya...
Mwaka mmoja tangu King Kiki afariki dunia, fahamu haya…
Asubuhi ya kuamkia Ijumaa Novemba 15, 2025 tasnia ya muziki wa dansi ilipatwa na pigo la...
Familia, marafiki wamlilia MC Pilipili
Vilio simanzi na majonzi vimetawala nyumbani kwa aliyekuwa mchekeshaji na mshereheshaji wa...
Sheikh Hasina wa Bangladesh akuhumiwa kifo
Mahakama ya uhalifu wa kivita Bangladesh imetoa hukumu ya kifo kwa aliyekuwa waziri mkuu Sheikh Hasina, baada ya kumkuta na hatia ya kuamuru kuandamwa kwa waandamanaji vijana waliokuwa wanadai mabadiliko.
Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 25 katika Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuongeza kasi ya kuwajengea uwezo wa kuongeza…
Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 25 katika Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuongeza kasi ya kuwajengea uwezo wa kuongeza ujuzi na kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali…