17.11.2025 Matangazo ya Asubuhi
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka Idhaa ya Kiswahili…
17.11.2025
Mjumbe wa Rais wa Marekani Donald Trump, kwa Afrika Massad Boulos, amesema vita vya Sudan ni “mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu duniani”, na kuwa anatarajia kuona maendeleo ya kidiplomasia kuelekea…
Kila la heri wanafunzi Kidato cha Nne
MITIHANI ya taifa ya kidato cha nne imeanza leo nchini ikiwa ni kilele cha safari ya miaka minne ya masomo kwa maelfu ya wanafunzi wa shule zote za sekondari za…
Tafiti 128 kutumika kusaidia wafanyabiashara
TAFITI 128 zilizolenga mada ya biashara na uchumi himilivu kwa ajili ya maendeleo jumuishi nchini Tanzania na nchi zinazoizunguka zimewasilishwa katika Mkutano wa sita wa Kitaaluma ulioandaliwa na Chuo cha…
Barrick yakabidhi leseni 13 kwa wachimbaji wadogo Tarime
MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji. Mgodi huo uliopo Nyamongo wilayani Tarime umetoa leseni hizo ikiwa ni…
Watahiniwa kidato cha nne waongezeka 7.6%
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema idadi ya watahiniwa wa kidato cha nne imeongezeka kwa asilimia 7.67 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana. Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said…
TRA yaahidi kulinda biashara
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara ili ziendelee kukua. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda amesema hayo alipowatembelea wafanyabiashara katika soko la kimataifa la Kariakoo…
Dk Mwinyi kuzindua uuzaji nyumba za ZHC
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za Shirika la Nyumba Zanzibar zilizopo Kisakasaka, Wilaya ya Magharibi B…
Dk Mwinyi: Sitovumilia ugomvi wizarani
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema hatovumilia ugomvi wa viongozi katika wizara ukiwemo wa mawaziri na makatibu wakuu. Dk Mwinyi ametoa msimamo huo katika hafla ya kuapisha mawaziri katika…
Bil 140/- kujenga barabara za Ilala
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewaomba wananchi waendelee kuiunga mkono serikali kwa kuwa imetoa fedha nyingi za ujenzi wa barabara katika Jiji la Dar es Salaam hususani Wilaya…
Samia ahimiza kuomba amani, ustahimilivu
RAIS Samia Suluhu Hassan amewahimiza Watanzania kuendelea kuliombea Taifa ili amani, upendo, ustahimilivu na mshikamano viendelee kudumu nchini. The post Samia ahimiza kuomba amani, ustahimilivu first appeared on HabariLeo.
Analysis of President Samia’s speech
A leader is summoned to the fore, by the needs of the time, 10 years from now we will be looking back on those days, and we would realize that…
Tanzanians mourn the passing of MC Pilipili
DODOMA: TANZANIANS mourn the sudden demise of Emmanuel Mathias, popularly known as MC Pilipili, has passed away this evening while on his way to Dodoma. MC Pilipili, as widely known,…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 16, 2025 -WATANZANIA WATAKIWA KULIOMBEA TAIFA AMANI
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU NOVEMBA 16, 2025 -WATANZANIA WATAKIWA KULIOMBEA TAIFA AMANI
Mkandarasi anayejenga daraja linalounganisha eneo la Majumba Sita na Segerea wilayani Ilala, Dar es Salaam ametakiwa kuhakikisha…
Mkandarasi anayejenga daraja linalounganisha eneo la Majumba Sita na Segerea wilayani Ilala, Dar es Salaam ametakiwa kuhakikisha msimu wa mvua unaotarajia kuanza hivi karibuni haugeuki kuwa kikwazo cha kuendelea kwa…
Changamoto ya kisheria kwa watu wenye jinsi tata
Wakati kukiwa na ongezeko la watu wenye jinsi tata au ulemavu wa via vya uzazi nchini...
Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, wanafunzi 311,986 wakiachia njiani
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho...
#TANZIA: Tanzania imepata pigo kubwa katika tasnia ya burudani baada ya taarifa za kifo cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu…
#TANZIA: Tanzania imepata pigo kubwa katika tasnia ya burudani baada ya taarifa za kifo cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, kuthibitishwa leo Novemba 16, 2025. Kwa…
Wazazi na walezi mkoani Dodoma wamehimizwa kuwapeleka shule watoto wanaotoka kwenye mkoa huo ili kukomesha dhana ya kuwa mkoa hu…
Wazazi na walezi mkoani Dodoma wamehimizwa kuwapeleka shule watoto wanaotoka kwenye mkoa huo ili kukomesha dhana ya kuwa mkoa huo ndio tegemeo kwa kuzalisha wasaidizi wa kazi za ndani hususani…
Simulizi ya Mtanzania aliyeshinda tuzo ya kimataifa ya Mohammad Ali
Maisha uliyopitia yanaweza kujenga wazo linaloweza kukutambulisha duniani.
Azam FC kuifuata AS Maniema kiakili
KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka nchini keshokutwa Jumatano kwenda DR Congo kuiwahi mechi ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema Union, huku kocha…
Singida Black Stars yafunguka ishu ya Lyanga, Mpepo
UONGOZI wa Singida Black Stars umesema nyota wawili wa timu hiyo, Ayoub Lyanga na Eliuter Mpepo, bado wana mikataba ya kuendelea kukitumikia kikosi hicho msimu huu, licha ya kudaiwa kutokuwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA….16 NOVEMBA, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA....16 NOVEMBA, 2025
Maniche afichua siri ya Mnigeria Mtibwa Sugar
KOCHA Msaidizi wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma ‘Maniche’, amesema beki wa timu hiyo, Mnigeria Victor Chukwuemeka Collins, ameanza taratibu katika kikosi hicho kwa sababu kuu mbili, ambapo ya kwanza ni…
Maximo, KMC lolote litatokea
KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu wa KMC (CEO), Daniel Madenyeka, amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi Kuu Bara, suala la kuachana na kocha wa timu hiyo, Mbrazil…
Mapendekezo ya wadau ya kuondoa uzuiaji wa maiti hospitalini
Wakati uzuiaji wa maiti hospitalini kutokana na gharama za matibabu ukiwa ni mfupa mgumu...
Israel yamuua kijana wa Kipalestina Ukingo wa Magaharibi
Jeshi la Israel limesema leo kuwa limemuua mtu mmoja katika oparesheni yake ya usiku kucha kwenye mji wa Nablus, katika eneo la Ukingo wa Magharibi.
Iran yakanusha ujenzi wa kituo cha siri cha nyuklia
Iran imekanusha juu ya kuwepo kwa kituo chochote cha siri cha urutubishwaji wa madini ya urani na kwamba miundombinu yake yote ipo chini ya uangalizi wa shirika la Umoja wa…
Urusi: Vikosi vyetu vinazidi kupata mafanikio nchini Ukraine
Urusi imesema leo kwamba vikosi vyake vimeendelea kusonga mbele katika eneo la Zaporizhzhia kusini mwashiriki mwa Ukraine na kudhibiti vijiji viwili.
Ujerumani yaadhimisha siku ya wahanga wa vita na machafuko
Bunge la Ujerumani leo limeadhimisha siku ya kitaifa ya maombelezo kwa wahanga wa vita na machafuko, ambapo bendera zimepepea nusu mlingoti kwenye jengo la Reichstag mjini Berlin.
Watanzania wahamasishwa kuhubiri haki ili kuilinda amani
Jamii ya Watanzania imeshauriwa kumrudia Mungu kwa kuhakikisha inatenda mambo mema na kuhubiri...
Tanzania tells COP30 Summit how fast it responds to climate change
BELEM, Brazil: THE Tanzanian government has made great efforts that have been able to complete infrastructure affected by climate change in many areas, the Chief Executive Officer of the Rural…
Dk Bashiru: Tumepiga hatua kidemokrasia, lakini umaskini bado
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally amesema pamoja na hatua...
Kilo 500 za taka zaondolewa Mlima Kilimanjaro, wadau waonya
Kampeni maalumu ya usafi iliyofanyika kwa siku tano katika hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro...
Aliyembaka mtoto wa kambo akwaa kisiki mahakamani
Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma, imetupilia mbali ombi la John Ngonda, aliyehukumiwa kifungo...
Ujerumani yafanya Siku ya Maombolezo
Bunge la Ujerumani limefanya kumbukumbu ya wahanga wa vita, ambapo bendera zimepepea nusu mlingoti kwenye jengo la Reichstag mjini Berlin.
Samia urges Tanzanians to pray for their nation’s peace, harmony
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan, continues to urge Tanzanians to continue praying for the Nation so that peace, love, tolerance, and solidarity continue to prevail in the country. The statement…
Alliance Girls akili ipo kwenye ubingwa
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls ya Mwanza, Sultan Juma amesema kikosi chake kiko vizuri na kimefanya maandalizi ya kutosha jambo linakompa imani watafanya vyema katika Ligi Kuu ya Wanawake Bara…
Kipigo Stars chamchefua Gamondi
TAIFA Stars chini ya Kocha Miguel Gamondi, juzi usiku ilikumbana na kipigo cha mabao 4-3 kutoka kwa Kuwait, huku kikimchefua kocha huyo akiwatupia lawama wachezaji kwa kushindwa kulinda ushindi wa…
George Mpole anasikilizia simu tu
NYOTA wa zamani wa Geita Gold na Pamba Jiji aliyewahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, George Mpole amezungumzia ukimya wa muda mrefu alionao kwa kufichua alikuwa akifanya majaribio…
Wahamiaji 4 wafariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba makumi ya watu kuzama pwani ya Libya
Wahamiaji wanne walifariki baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba karibu watu 100 kupinduka katika pwani ya Al-Khums kaskazini magharibi mwa Libya, Shirika la Hilali Nyekundu la Libya lilisema Jumamosi jioni.
Clara ajipanga kuvunja rekodi yake Saudia
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
Clara ajipanga kuvunja rekosi yake Saudia
NYOTA wa Kitanzania, Clara Luvanga amesema anapambana kuhakikisha kila msimu anavunja rekodi zake mwenyewe za misimu iliyopita.
Dakika 540 za Msuva Iraq
WINGA wa Kitanzania, Simon Msuva hajaanza vyema Ligi Kuu Iraq akiwa na kikosi cha Al Talaba SC baada ya kucheza dakika 540 na kufunga bao moja.