Mechi sita kali za CAF wikiendi
Hatua ya makundi ya michuano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ngazi ya klabu...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Ureno, Norway zafuzu Kombe la Dunia kibabe
Ushindi wa idadi kubwa ya mabao katika mechi za jana usiku, umezihakikishia Ureno na Norway...
Uganda: Kesi ya kiongozi wa ADF na washtakiwa wenzake zaidi ya ishirini kuanza tena
Kesi ya Jamil Mukulu, kiongozi wa kihistoria wa ADF, inatarajiwa kuanza tena Novemba 17, miaka kumi baada ya kukamatwa kwake nchini Tanzania mwaka wa 2015 na kupelekwa nchini Uganda. Kiongozi…
Vurugu Mali: Mamia ya Wamali wanatafuta hifadhi nchini Côte d’Ivoire
Nchini Mali, hali ya usalama bado inatia wasiwasi, hasa kusini mwa nchi. Huko Loulouni, kilomita hamsini tu kutoka mpaka wa Côte d’Ivoire, makabiliano yanafanyika kati ya magaidi wa JNIM na…
Baraza la Maimamu nchini Tanzania lalaani vurugu za baada ya uchaguzi
Baraza la Maaimamu nchii Tanzania limeelezea kusikitishwa na vifo vya kikatili vilivyotokea wakati wa uchaguzi nchini humo. Imechapishwa: 17/11/2025 – 09:20 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
DRC: Watu kadhaa wafariki baada ya daraja kuporomoka katika eneo la madini la Kalando
Angalau watu thelathini walifariki bada ya kuporomoka kwa daraja katika eneo la madini la Kalando, yapata kilomita arobaini kutoka Kolwezi, katika mkoa wa Lualaba, nchini DRC. Tukio hilo lilitokea siku…
#MEZAHURU:HOTUBA YA RAIS NA VIJANA
#MEZAHURU:HOTUBA YA RAIS NA VIJANA. JE, KUANZISHWA KWA WIZARA YA VIJANA KUTALETA TIJA GANI KWAO? KARIBU KWA #MAONI NA #MASWALI HAPA
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Uturuki inaangazia ushirikiano na ujumuishi katika nia ya kuandaa mkutano wa COP31
Uturuki na Australia zimeibuka kama nchi mbili zinazogombea kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa hali ya hewa, na majadiliano kati ya Ankara na Canberra wakati wa Mkutano Mkuu wa…
#HABARI: Jitihada zinazofanywa na Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika Wilaya ya Chato mkoani Gei…
#HABARI: Jitihada zinazofanywa na Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika Wilaya ya Chato mkoani Geita, zimefanikiwa kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na ajali za majini ambavyo…
Chancel Mbemba aisogeza DR Congo mlangoni Kombe la Dunia
Chancel Mbemba ndio jina linaloimbwa zaidi kwa sasa miongoni mwa mashabiki wa soka nchini DR...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Safari ya Lulu Diva kwenye mikono ya Wema Sepetu na Kitale
Katika maisha kuna ndoto ambazo huja mapema, lakini safari ya kuzifikia huchukua muda, na pia...
Polisi nchini yamkamata Sajenti wa Jeshi la Marekani akiwa na mabomu manne
Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Tarime–Rorya mkoani Mara limemkamata Sajenti wa Jeshi la...
Tanzania moves to rail economy, modern transit
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced an ambitious national infrastructure agenda aimed at transforming the country into a rail linked economy that drives trade, investment and industrial growth across…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UBUNIFU WA UMALIZIAJI UJENZI WA NYUMBA |NOVEMBA 17, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UBUNIFU WA UMALIZIAJI UJENZI WA NYUMBA |NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 17, 2025
Samia: Pray for nation
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged all Tanzanians to continue praying for the nation, emphasising that peace, love, patience and unity are essential foundations for sustainable development. The message…
Hakimi, Salah na Osimhen nani mkali wao? CAF yateua watakaoshindania mchezaji bora Afrika
Mshindi atatangazwa Novemba 19 mjini Rabat Morocco, ikiwa ni pamoa na washindi wengine wa vitengo tofauti
Mwenyekiti CCM Tanga atoa mil 13/- kusaidia vijana
TANGA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahaman ametoa kiasi cha Sh milioni 13.4 kuwalipia madeni vijana waliokopeshwa na serikali mikopo ya asilimia 10. Vijana hao…
Nigeria yafungiwa nje ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia kushindwa na DRC
JJamhuri ya Kidemokrasia ya Congo iliweka hai matumaini ya kufuzu Kombe la Dunia ilipoilaza Nigeria 4-3 kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare ya 1-1 mwishoni mwa muda wa nyongeza…
#HABARI: Watu 32 wamefariki dunia, baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, katika machi…
#HABARI: Watu 32 wamefariki dunia, baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, katika machimbo ya Mulondo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ajali…
Uturuki inakaribisha makubaliano ya amani kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23
Uturuki imekaribisha kutiwa saini kwa mfumo wa amani kati ya serikali ya DRC na waasi wa Machi 23 Movement (M23) huko Doha.
Mgodi waporomoka DRC na kuua watu wasiopungua 32
Daraja lililoporomoka katika mgodi wa cobalt kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuua wachimba migodi 32, afisa wa serikali ya mkoa alisema Jumapili.
Matukio tofauti yashuhudiwa katika mkutano wa COP30 Brasil
Wiki ya kwanza ya mkutano kuhusu tabianchi unaoendelea katika mji wa Amazonia nchini Brazil, Belem, ilishuhudia matukio tofauti, ikiwemo maadamano ya amani ya mashirika ya Mazingira, yaliojumuisha jamii za kiasili…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 17,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 17,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Uganda: Mke wa Besigye atoa wito kuachiwa huru kwa mumewe
Mke wa mwanasiasa mashuhuri nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, sasa anataka mume wake kuachiwa huru na haki itendeke, kauli anayotia wakati huu mwanasiasa huyo akifikisha mwaka mmoja kizuizini tangu…
Leopard ya Congo yazima matumaini ya Nigeria kufuzu kombe la dunia
Timu ya taifa ya DRC hapo jana iliweka hai matumaini yake ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia hapo mwakani baada ya kuwafungwa Nigeria kwa magoli 4 kwa 3…
Vyombo vya usalama Tanzania vyamkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu
Polisi ya Tanzania iimetangza kuwa imemkamata raia wa Marekani na Kenya akiwa na mabomu katika mpaka wa Tanzania na Kenya.
#SwaliLaKipimaJoto:Mpango wa Wakala wa Nishati Vijijini REA kugawa kwa bei ya punguzo majiko ya umeme kwa wateja wao wapya
#SwaliLaKipimaJoto:Mpango wa Wakala wa Nishati Vijijini REA kugawa kwa bei ya punguzo majiko ya umeme kwa wateja wao wapya. Je, ifanyike kwa wateja wote wa TANESCO?
🔴#MAGAZETI:NECTA YAONYA UDANGANYIFU MTIHANI KIDATO CHA NNE LEO / KIPIGO CHAMCHEFUA GAMOND
🔴#MAGAZETI:NECTA YAONYA UDANGANYIFU MTIHANI KIDATO CHA NNE LEO / KIPIGO CHAMCHEFUA GAMOND
Araghchi: Iran lazima ijiimarishe ili kujilinda kwenye ‘Msitu’ ulioundwa na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amekemea Marekani kwa kuchochea mashindano ya silaha duniani kupitia matumizi ya mabavu waziwazi na uvunjaji wa sheria za kimataifa, akisema hakuna…
Makundi ya Wapalestina: Hatutaki uwepo wa majeshi ya kigeni Ukanda wa Gaza
Makundi na harakati za Palestina zimetangaza kuwa zinapinga uwepo wowote wa kijeshi wa kigeni au kambi za kimataifa ndani ya Ukanda wa Gaza, zikisisitiza kwamba suala hilo linawakilisha ukiukwaji wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…NOVEMBA 17, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 17, 2025
Silaha za Australia zinatumika katika mauaji ya kimbari Sudan?
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), unaoshutumiwa kwa kuunga mkono waasi wa RSF wanaotekeleza ukatili na mauaji ya kimbari Sudan, umeibuka kuwa soko kubwa zaidi la silaha za Australia.
Eslami: Nchi Tatu za Ulaya zinaendeleza mabavu dhidi ya Iran
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesema kuwa Troika ya Ulaya inayojumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani inaendeleza mwenendo wa mabavu dhidi ya Iran na…
Somalia yakaribia uchaguzi wa moja kwa moja, wakazi wa Mogadishu wachukua kadi za kupiga kura
Somalia imezindua rasmi ugawaji wa kadi za wapiga kura katika mji mkuu, Mogadishu, kuelekea uchaguzi wa manispaa, hatua muhimu katika safari ya taifa hilo kuelekea uchaguzi wa ushiriki wa moja…
Marekani: Sudan ni mgogoro mkubwa zaidi wa kiutu duniani
Mjumbe wa Rais wa Marekani Donald Trump, kwa Afrika Massad Boulos, amesema vita vya Sudan ni "mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu duniani”, na kuwa anatarajia kuona maendeleo ya kidiplomasia kuelekea…
Waziri wa Ukraine aomba fedha kwa ajili mradi wa droni.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Andrii Sybiha, ametoa wito kwa wanaowaunga mkono kuchangia fedha ili kuongeza uzalishaji wa droni.
Jumatatu, 17 Novemba, 2025
Leo ni Jumatatu 26 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 17 Novemba 2025.
DRC yaipiga Nigeria 4-3 kwa mikwaju ya penalti
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezima matumaini ya Nigeria ya kufuzu Kombe la Dunia la 2026 baada ya kushinda kwa mikwaju ya penalti katika mchuano wa mchujo wa Afrika.
Safari inayotia shaka ya ndege kutoka Ghaza, ni mwanzo wa awamu mpya ya kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina
Zaidi ya Wapalestina 150 wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamehamishwa kwa ndege kutoka eneo hilo la Palestina na kupelekwa Afrika Kusini kwa namna inayotia shaka, huku mamlaka za Afrika Kusini…
Netanyahu aapa kupinga kuanzisha taifa la Palestina
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kupinga jaribio la kuanzisha taifa la Palestina, siku moja kabla ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura kuhusu azimio lililoandaliwa…
Waziri wa Fedha wa Ujerumani, Lars Klingbeil ziarani China
Waziri wa Fedha wa Ujerumani, Lars Klingbeil amekuwa waziri wa kwanza katika baraza jipya kuzuru China leo hii
Netanyahu: Walowezi wenye vurugu ni wachache.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya vurugu za walowezi dhidi ya Wapalestina na Jeshi la Israel katika Ukingo wa Magharibi, huku akisema kuwa wahusika…
Amani ni msingi wa taifa, tudumishe amani
AMANI ni tunu adhimu ambayo kila taifa duniani hutamani kuipata na kuidumisha. Tanzania imekuwa kisiwa cha amani, hili ni jambo la kuendelea kujivunia sana kama Watanzania. Pamoja na tunu hii…
Baraza jipya la mawaziri nchini Tanzania lazua mjadala
Baraza jipya la Mawaziri limezua mjadala nchini Tanzania, kufuatia mabadiliko makubwa ya majina na nafasi. Baadhi ya mawaziri nguli wameachwa , huku sura mpya zikiingia, ikiwa ni pamoja na mtoto…
17.11.2025 Matangazo ya Mchana
Waziri Mkuu wa zamani wa Bangladesh ahukumiwa Kifo+++Israel- Benjamin Netanyahu ameapa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya vurugu za walowezi dhidi ya Wapalestina na Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF)+++Umetimu mwaka…