Tume kuchunguza vurugu za Oktoba 29
Rais Samia Suluhu amesema Serikali yake itaunda tume maalumu ya kuchunguza vurugu zilizotokea...
Mashariki mwa DRC: Kiongozi wa zamani wa waasi Roger Lumbala aanza mgomo wa kula Paris
Kiongozi wa zamani wa waasi nchini DRC, Roger Lumbala, ambaye kesi yake imengia siku ya tatu leo Ijumaa, ametangaza kwamba ameanza mgomo wa kula. Akishtakiwa kwa kushiriki katika uhalifu dhidi…
Bajeti ya Ujerumani ya 2026 yakosolewa na wataalamu
Kamati ya Bajeti ya Bunge la Ujerumani imepitisha mpango uliorekebishwa wa matumizi ya mwaka 2026, wenye kiwango kikubwa zaidi cha kukopa kuliko ilivyokadiriwa awali, huku serikali ikijiandaa kuongeza uwekezaji.
Mahakama yaiamuru kampuni ya Masai kulipa zaidi ya Sh13.78 bilioni
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Tanga imemwamuru Jonas Ihashe, anayeendesha biashara kwa jina la...
Mayanga aona mwanga Mashujaa
KOCHA Mkuu wa Mashujaa, Salum Mayanga amesema kikosi kinaendelea kuimarika na kutengeneza muunganiko ili kutoa ushindani kwenye Ligi Kuu Bara aliyodai kuwa ni ngumu na bora tofauti na misimu ya…
Tazama jinsi Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa shangwe alipowasili kuhutubia na kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya…
Tazama jinsi Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa shangwe alipowasili kuhutubia na kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #AzamTVUpdates
TRA kulinda biashara binafsi
DAR ES SALAAM: KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema mamlaka hiyo itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara zao binafsi ili ziendelee kukua. Akizungumza jijini Dar es…
Planning beyond today: Why long-term financial planning is modern necessity
Life expectancy in Tanzania has steadily increased in recent years. This is a positive outcome of improved healthcare systems, innovation in medicine, and growing awareness around wellness. According to the…
SMG ataja hekima, ugumu soka la wanawake
KOCHA msaidizi wa Yanga Princess, Said Maulid ‘SMG’ amesema amepata uzoefu tofauti kuwafundisha timu za wanawake, lakini kitu kikubwa ili kufanikiwa hasira ni lazima ziwe mbali.
Mahakama yaiamuru kampuni ya Masai kulipa zaidi ya Sh13.78 milioni
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Tanga imemwamuru Jonas Ihashe, anayeendesha biashara kwa jina la...
TMA yataja sababu mvua za wastani, ikieleza uwepo wa upepo mkali
Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imesema moja...
Hospitali moja huko Gaza yasema imepokea miili ya wafungwa 15 wa Kipalestina
Hospitali ya Nasser, kusini mwa Ukanda wa Gaza, imetangaza leo Ijumaa, Novemba 14, kwamba imepokea miili ya wafungwa 15 wa Kipalestina kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati…
Kocha Fountain Gate aomba mechi moja tu
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer ameomba mechi moja ya kirafiki ili kukipima kikosi chake kabla ya kukutana na Pamba Jiji.
Kocha Fountain Gate aomba mechi ya moja tu
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer ameomba mechi moja ya kirafiki ili kukipima kikosi chake kabla ya kukutana na Pamba Jiji.
Kipa Tanzania Prisons afichua siri nzito
KIPA wa Tanzania Prisons, Musa Mbisa amezungumzia kitu kilichoongezeka kwa msimu huu akiamini sasa kuwa matukio mengi wakati wa mechi yametawaliwa na ufundi na hilo linafanya timu zijipange kupambania pointi.
BRELA intensifies its digital systems for online business registration
MOROGORO: THE Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) has pledged to continue to strengthen its digital systems to reduce bureaucracy, protect the rights of business owners, and ensure that citizens…
Hii ni ishara msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka zimewadia
Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu wa makabila wakiwamo Wachaga kurejea makwao wakati wa...
Programu ya Misitu kunufaisha wakulima wadogo 100,000
Zaidi ya wakulima wadogo 100,000 kutoka mikoa ya Mara, Mwanza na Pwani wanatarajiwa kunufaika...
Hafla yafanyika Uturuki ya kuwakumbuka wanajeshi waliofariki kwenye ajali ya ndege
Mabaki ya miili ya wanajeshi hao yamepelekwa nyumbani kwao baada ya hafla hiyo.
BAKWATA hails Dr Samia, condemns violence, destruction
DAR ES SALAAM: THE Islamic Council of Tanzania (BAKWATA) and Islamic institutions in the country have congratulated President Samia Suluhu Hassan for his election as the President of the country…
Ukraine: Guterres alaani vikali mashambulizi ya Urusi, ataka mapigano yakome
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameilaani vikali leo mashambulizi makubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani yaliyotekelezwa na Shirikisho la Urusi katika maeneo kadhaa ya Ukraine,…
Ukata waongeza madhila katika makazi ya wakimbizi wa ndani Ituri DRC: OCHA
Hali katika zaidi ya makazi 60 ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, imezidi kuwa mbaya, ikiacha takriban watu 280,000…
COP30: WHO na Brazil zasema wakati wa kuchukua hatua ni sasa kutekeleza Mpango wa Afya wa Belém
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO na Serikali ya Brazil wamezitaka nchi kuchukua hatua za haraka kutekeleza Mpango wa Afya wa Belém, wakati mkutano wa Umoja wa…
Chanjo Gaza: WHO, UNICEF na UNRWA waanza uchanjaji zaidi ya watoto 44,000
Mashirika ya Umoja wa Mataifa WHO, UNICEF na UNRWA wameanzisha kampeni ya pamoja ya Uchanjaji watoto waliokosa huduma muhimu za kuokoa maisha kutokana na miaka miwili ya machafuko katika Ukanda…
Vita Sudan: Timu za misaada zatoa wito wa kufikiwa kwa maelfu waliokwama El Fasher
Maelfu ya watu wanaaminika bado wamekwama katika mji wa El Fasher nchini Sudan, huku jamaa zao wakihangaika kutafuta taarifa zao. Swali kuu ni kujua ni watu wangapi bado wamebakia ndani…
COP30 ni jukwaa kwa wakimbizi kupaza sauti juu ya athari za tabianchi kwao: Alfonso Herrera
Wiki ya kwanza ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP30, unaofanyika Belém Brazil, ikielekea ukingoni, viongozi wa dunia na wanaharakati wanakutana kujadili jinsi ya kushughulikia moja…
WHO yazindua mwongozo wa usimamizi wa ugonjwa wa kisukari kwa wajauzito
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO leo limezindua mwongozo wake wa kwanza wa kimataifa kuhusu usimamizi wa ugonjwa wa kisukari kwa wajauzito, ugonjwa unaoathiri takribani mwana mke…
Fahamu kuhusu ugonjwa wa kisukari na jinsi ya kujikinga
Tarehe 14 Novemba kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kisukari na mwaka huu kauli mbiu ni “Kisukari katika hatua mbalimbali za maisha.” Je wafahamu ugonjwa huu unampata mtu gani na…
Gamondi atupa karata ya kwanza Taifa Stars
TAIFA Stars iliyo chini ya Kocha Miguel Gamondi leo Jumamosi itashuka uwanjani kwa mara ya kwanza kuvaana na Kuwait katika mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayopigwa jijini Cairo, Misri.
Shirika la Viwango nchini (TBS) limnezindua maadhimisho ya viwango Afrika kwa kuchagiza ukuaji wa maarifa kuhusu ubora wa bidhaa…
Shirika la Viwango nchini (TBS) limnezindua maadhimisho ya viwango Afrika kwa kuchagiza ukuaji wa maarifa kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali nchini kwa kuwashirikisha wanafunzi wa elimu ya juu kupitia mashindano…
Mbeya kukusanya Sh800 milioni kupitia mradi wa parachichi
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inatarajia kukusanya takribani Sh800 milioni kwa mwaka kupitia...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
Samia amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemwapisha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuthibitishwa na…
Hekaheka ya kujinusuru wasio na makazi Oktoba 29
Ni usiku wa Oktoba 29, 2025 mitaa ya Ubungo, wakati wengi wakiwa majumbani wamelala, wengine...
Mara Region sets new gold production record with 67.41 tonnes
MARA: MARA Region has set a new record in mineral production after producing 67.41 tonnes of gold, valued at 8.881tri/- over four years from 2021 to October 2025. Speaking on…
AFCON2025
AFCON2025 Mechi zote 52 kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Mapema hakikisha kisimbuzi chako kina kifurushi, kama huna kisimbuzi nunua sasa ambapo kisimbuzi cha Dish full set ni shilingi 99,000 na kisimbuzi…
Majimaji Songea kurudi kivingine, yaitaka Ligi Kuu
CHAMA cha Soka Mkoa wa Ruvuma (FARU) kikishirikiana na wadau wa soka mkoani humo wapo katika hatua za mwisho kuifufua upya Majimaji Songea, ili kuhakikisha inarejea tena kwenye medani za…
Mbuni FC ina jambo lake Championship 2025/26
PAMOJA na kuanza vyema msimu mpya wa Ligi ya Championship, Kocha Mkuu wa Mbuni FC, Leonard Budeba amewataka nyota kutobweteka na msimu ujao ni kuzipeleka Yanga na Simba mkoani Arusha.
Imam wa Swala ya Ijumaa Tehran: Vyombo vya kidiplomasia vimfungulie mashtaka Trump mhalifu katika majukwaa ya kimataifa
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema vyombo vya kidiplomasia vinapaswa kumfungulia mashtaka Donald Trump mhalifu katika majukwaa ya kimataifa.
Watu wanne wauawa katika shambulizi la Urusi nchini Ukraine
Urusi imefanya shambulizi la takriban droni 430 pamoja na makombora katika safu mpya ya mashambulizi mabaya ya usiku kucha dhidi ya Ukraine, ikiwa ni pamoja na katika mji mkuu wa…
Nigeria cancels mother-tongue teaching in primary schools and reverts to English
NIGERIA: The Nigerian government has announced it is cancelling a controversial policy that mandated the use of indigenous languages for teaching in the earliest years of schooling instead of English.…
UN kujadili uhalifu wa kikatili mjini El Fasher nchini Sudan
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa linatarajiwa leo kuandaa kikao cha dharura kuangazia ripoti za hali mbaya ya kibinadamu katika mji wa El Fasher nchini Sudan.
Marekani yaidhinisha uuzaji wa silaha za kijeshi kwa Taiwan
Marekani imeidhinisha uuzaji wa silaha za kijeshi kwa Taiwan za thamani ya takriban dola milioni 330. Haya yamesemwa leo na wizara ya mambo ya nje ya kisiwa hicho kinachojitawala.
Wapalestina 153 waruhusiwa kutoka kwenye ndege Afrika Kusini
Zaidi ya Wapalestina 150, waliozuiwa ndani ya ndege kwa saa 12 na polisi wa mpaka wa Afrika Kusini, waliruhusiwa jana jioni kutoka kwenye ndege hiyo. Haya ni kulingana na mamlaka…
Ujerumani yawaska wanaofanya biashara ya kusafirisha watu
Mamlaka ya Ujerumani imezindua operesheni kubwa inayolenga watu wanaoshukiwa kufanya biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu na wakwepaji kodi katika majimbo ya Baden-Württemberg na Berlin.
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, NOVEMBA 14, 2025
Man who grabbed Ariana Grande in Singapore charged in court
SINGAPORE: A man who jumped over a barricade and grabbed actress Ariana Grande at a Wicked: For Good premiere in Singapore has been charged with being a public nuisance. A…
JKT v TP Mazembe… Dakika 90 za kuamua
ILE siku ndiyo leo. JKT Queens ina dakika 90 ngumu za kuamua hatma ya kwenda nusu fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake mbele ya TP Mazembe…